MBOSSO ATANGAZA NDOA YAKE NA MPENZI WAKE RUKIA

  Рет қаралды 295,166

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MBOSSO ATANGAZA NDOA YAKE NA MPENZI WAKE RUKIA
#wasafi #refresh

Пікірлер: 107
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 4 жыл бұрын
Zama hizi uzinifu unatangazwa hazarani halafu unaonekana ndo mjanja wazinifu wanajianika Kabisa wanaitangazia hadhira Allah atuongoze kwa hakika hayupo kiumbe atayeweza kuvumilia adhabu za Allah
@halimahamid9081
@halimahamid9081 5 жыл бұрын
Cku hizi watoto wa haramu wengi Allah tuangaze Inshallah tuolewe ama kuoa Ndy tupate watoto ambao hata kwa Allah wanajulikana
@festosanga1793
@festosanga1793 5 жыл бұрын
Et Mtoto haramu yani Mungu karuhusu kiumbe kizariwe we umuite binadamu mwenzio haramu yani nyie waislamu mnajikuta watakatifu kweli..!! Muache mungu ahukumu sio wewe afu nyie Kweny mitandao ndio mnajifanya wema kweeli!!!
@halimahamid9081
@halimahamid9081 5 жыл бұрын
Halafu mbn haikuhusu na wala cjaongea kuhusu ww naomba uctutukane kwakuwa cjatukana Wala kuongelea vibaya watu wa dini yenu nadhani 2meelewana
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 5 жыл бұрын
Mnao SIFIA ZINAAAA NA UKAHABA endeleeni hayo ni Maoni yenu mnao sema mnapenda watu wakizini endeleeni tuu fimbo ya Mungu inaanzia duniani
@mrsmisifa7908
@mrsmisifa7908 5 жыл бұрын
ndio dunia ya ss hii zina kisha ndoa subhanallah
@catherinekathini7169
@catherinekathini7169 5 жыл бұрын
Red Scorpion Boy namkulibali mboso 2xn
@catherinekathini7169
@catherinekathini7169 5 жыл бұрын
na Aslye
@janatahmad7048
@janatahmad7048 5 жыл бұрын
huo mbosso wew muow ruckia mbon muzuli jamani
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 4 жыл бұрын
@rahma salim Ni hatari Rahma Kumuhusisha Mungu na kashfa za wazinifu kama hawa ,wanafanya uzinfifu kwa makusudi halafu wataraji Duaa ,hakuna uislam kama huo
@abadalaali7736
@abadalaali7736 5 жыл бұрын
WAZINIFU BHANA ACHA KUJISIFU KWA UCHAFU
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 5 жыл бұрын
Basiiiiii..jamaniiii !,hamuowani mpaka mujaze wanaharamuu? Kwa kuziniiii.hebu ogopeni mungu !Subhanna-ALLAH, umaarufu wanu mpaka wauzinifu ! Na kujaza wanaharamu?
@salimajuma5196
@salimajuma5196 4 жыл бұрын
Wacheni kuhumu watu nyinyi sio Mungu so kila mmoja amesona na yuwajua nini maana ya ndoa na nini maana yabkuzini wanaijua faida ya kuzidi skuizi wanasemaga mukizini mwapat mtoto haraka mukiowana mpka nitafute waganga so wao hukmu Yao yuwaijua Mungu pkeake ndugizangu tusihuku watu kwa makosa yao
@yusrashayma2294
@yusrashayma2294 4 жыл бұрын
Mwanahawa Ali
@shabanalifo4230
@shabanalifo4230 4 жыл бұрын
Nataka ndoa huku kuzini wanaharam kibao haimpendez Allah (SW)
@amranadan865
@amranadan865 3 жыл бұрын
Ikram wah anajina Kama langu 🌺🥰
@cbhofficial3432
@cbhofficial3432 5 жыл бұрын
Mama wa kambo wa na rohombaya 90 /100
@jumachillo
@jumachillo 5 жыл бұрын
mama wa kambo hakawahi kuwa na roho nzur
@maryamsanga8547
@maryamsanga8547 4 жыл бұрын
Si kweli wapo mama wazazi na wanatupa watoto na hao wa kambo wanawalea hadi kukua
@berinezadivine5386
@berinezadivine5386 5 жыл бұрын
Rukia ni mzuri kwa kweri
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
Hongera kaka ila ndoa ni jambo la kheri kila la kheri ✌💕
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 5 жыл бұрын
Munira mashaAllah
@ireenboker4783
@ireenboker4783 4 жыл бұрын
Ase ila watu wengine mshukur mekap
@Dougie_machine004
@Dougie_machine004 5 жыл бұрын
Leo wa kwanza mm comments gonga like kama una mkubali mbosso
@janethvarymond9081
@janethvarymond9081 5 жыл бұрын
Nakubal
@yusuphcharles1497
@yusuphcharles1497 5 жыл бұрын
Hongera mzee baba ulkuwa unatest mitambo
@faridahmustafa3866
@faridahmustafa3866 5 жыл бұрын
😂
@sarahwawuda7638
@sarahwawuda7638 5 жыл бұрын
Hahaha hee ikapitiliza
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
😃😃😃
@maryamshaffi22
@maryamshaffi22 2 жыл бұрын
Mashanllah 💕
@mishiomarabdhallahassan6106
@mishiomarabdhallahassan6106 5 жыл бұрын
Mjue kuzini lkn ndoa msifikirie sasa hiyo garama ilio fanyika hapo si bora tu mgeanza mahari na posa tu
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 5 жыл бұрын
NA NYIE MAUSTAND UBWABWA MUNGU ANAWAONA WANAFIKI WAKUBWA UNASHABIKIA UZINIFU HATA KAMA MTOTO HANA KOSA LAKINI HAO WAZINFU WAWILI WALITAKIWA WAPIGWE MAWE MPAKA WAFE NYIE NDIO KWANZA MNAWASIFIA LAAA ILAHA ILAA LAH SUBHANA LAH NJAAA INATUDHALILISHA MAUSTADHI UCHWARA
@IbrahimMohamed-of3sl
@IbrahimMohamed-of3sl 4 жыл бұрын
Hamna adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa kwa mtu alozini ambae hajaoa/olewa katika uislam rudi madrasa kidogo bro ni fimbo 100/80
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 4 жыл бұрын
@@IbrahimMohamed-of3sl Naelewa kua adhabu hiyo ya kuuwawa ni ya wale ambao tayari wameoa ,lakini kiufupi wazinifu kama hawa amabao wanafikia kuzaaa nje wanatakiwa adhabu zaidi si sawa na kuzini tuu sasa wewe shehe mkuu toa hukumu yako pia bado itawabana hawa wazinifu tuu ,na huo ushee wako wakushabikia uzinifu hiyo dini yako lazima iwe ya aajabu
@IbrahimMohamed-of3sl
@IbrahimMohamed-of3sl 4 жыл бұрын
Sishabikii uzinifu na wala sipendi ila sheria za dini zimewekwa na Allah s.w sio mimi kuzaa nje hapo Kosa ni uzinifu ndio source na hukmu inasema mtoto ni wa Mama baba hana haki ya yule mtoto. Mimi sitoi hukmu yyote hayo ni katika maandiko ya Dini uloiongelea.
@aliabeidali2214
@aliabeidali2214 4 жыл бұрын
Mnaudhi sana mnafanya zinaa halafu mnajisifu
@nooromar6233
@nooromar6233 5 жыл бұрын
Inshallah mngu awa jaliye muowane muishi kwa amani na mngu Ghafur Rahim muhimu ipite halali basi
@elizabethmwandoe2426
@elizabethmwandoe2426 4 жыл бұрын
misifa iyo subirin cku za hukumu ya kuzini..nyoo wasanii wa tz mumezidi
@shemsasaid9478
@shemsasaid9478 4 жыл бұрын
Maashaallh
@jutonmbilinyi3626
@jutonmbilinyi3626 5 жыл бұрын
Daaah nmependa hiyo lakn rukia mkubwa eeeee fresh lakn
@rukiaali2786
@rukiaali2786 4 жыл бұрын
Rukia make up mbaya
@tauhidaalikhamis871
@tauhidaalikhamis871 4 жыл бұрын
Duhh bila ya kuzn huolewi or maan sk hz kama hjazn hupt mume voohh ebu zini uone hta usiolewe
@hezronmichael1195
@hezronmichael1195 4 жыл бұрын
BIKRA UNAYO?????????
@tauhidaalikhamis871
@tauhidaalikhamis871 4 жыл бұрын
Hezron Michael yeahh nshkr kwa hilo
@Lizaora
@Lizaora 4 жыл бұрын
Machallah félicitations 🥰🥰🥰
@husnajohn7466
@husnajohn7466 4 жыл бұрын
Namuona mobeto kanoga balaaa
@johnmwidete5499
@johnmwidete5499 5 жыл бұрын
DEMU MWENYEWE UFEKI MWINGI MNO
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 жыл бұрын
congulation mbosso tulia na huaaa rukia mbon muzuli kaka kaaa hapo muleee mtoto wenu
@umekondawemaq5756
@umekondawemaq5756 4 жыл бұрын
Mikundu nyieee...acheni zinah kabla ya ndoa....mwanaharam huyo
@rukiasellemani42
@rukiasellemani42 5 жыл бұрын
hongereni
@faudhiaiddy7270
@faudhiaiddy7270 5 жыл бұрын
Wamependezana sana Mashaallah
@ruthshavola5488
@ruthshavola5488 4 жыл бұрын
Wow cute sana
@vestinawilliam8316
@vestinawilliam8316 4 жыл бұрын
Watoto wote ao ok
@calowamaye4009
@calowamaye4009 5 жыл бұрын
Wachani ukahaba then munasema mwenjezi mungu
@mropeclassic166
@mropeclassic166 5 жыл бұрын
Hamna ndoa hapo 👺👺👺
@mombasaraha1502
@mombasaraha1502 5 жыл бұрын
Munanishangaza nyinyi wanasanii wakislam munafanyajd zinaa kabla ya halali ?? Tamu ya ndoa ni ni haswa tukiulizana? Zinaa ni maafaa na ufukuraa mkubwa
@gitongadavid6449
@gitongadavid6449 5 жыл бұрын
Rukia kafanana na Mobetto
@officialjohanesmkandara4301
@officialjohanesmkandara4301 5 жыл бұрын
gitonga david upo makini
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 5 жыл бұрын
Umeonae
@mimahakeee7298
@mimahakeee7298 4 жыл бұрын
gitonga david sanaaa
@mastutakhamis650
@mastutakhamis650 5 жыл бұрын
Zinaa imekua km kawaida tu wallah
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Mabrook kwa mtoto ila sijapenda wanatupia hela kwa mtoto, sio ustraabu
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 5 жыл бұрын
Hope mbosso gets his other kids n stays with them as a family with Rukia she looks like a very down to earth 3humble person god bless you two
@husnajohn7466
@husnajohn7466 4 жыл бұрын
Nelly Matalanga kabisa
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 5 жыл бұрын
Hayo ndio maoni yangu asitokeee MSENGE AKANITUKANA kila mtu ana haki ya kutoa maoni
@mesalimmuna8327
@mesalimmuna8327 5 жыл бұрын
Tulio soma madrasa tukaitimu hatuwezi sifia zinaa
@esterpromy3183
@esterpromy3183 5 жыл бұрын
@@mesalimmuna8327 we hujawah gongwa/gonga kabla ya ndoa?
@abuuabuuamed5366
@abuuabuuamed5366 5 жыл бұрын
Wcb 4 life
@daudusanga962
@daudusanga962 3 жыл бұрын
Fungeni ndoa
@nuruabdallah9143
@nuruabdallah9143 5 жыл бұрын
Sije ikawa Ana x wake anaitwa ikram
@festosanga1793
@festosanga1793 5 жыл бұрын
😂😂😂
@Namjua
@Namjua 4 жыл бұрын
X wake ni rayvanny
@IbrahimMohamed-of3sl
@IbrahimMohamed-of3sl 4 жыл бұрын
Amepigaaaa rayvany ukaona nawewe umpe mimba kabisa dah
@azizaaldhahari6387
@azizaaldhahari6387 5 жыл бұрын
Zina zimiwajaa kila kona, na 40 wamifanya kutangaza maovu yao
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 жыл бұрын
Mungu Akupe moyo huohuo muowane ulee wtt wa mbosso
@issaonline4723
@issaonline4723 5 жыл бұрын
Hutaki kuonekana mzembe naona madume tu ila hongela kwako
@rosemarykathure6527
@rosemarykathure6527 4 жыл бұрын
Nice family 😘
@irenesikha7636
@irenesikha7636 4 жыл бұрын
Nyinyi temben temben ivo ivo hafu bahati mbaya muangungushe huyo mtoto mutafungwa miaka 💯
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 жыл бұрын
Hivi huyu si amefiwa juzi juzi tu???
@farish2899
@farish2899 5 жыл бұрын
Where are the rest of Wasafi crew.
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 5 жыл бұрын
Sasa NYINYI MAKAHABA MNASHEHEREKEA UZINIFU WALA WATU HAWAJAFUNGA NDOA ,NA NYIE MNASEMA MTOTO WAO KIISLAM MTOTO WA UZINIFU KAMA NI MWANAMKE ANATAKIWA AMUOE YEYE MWENYEWE WALA HANA NASABA NAMTOTO HUYO NA HUYO MWANAMKE NDIO HANA HOFU YA MUNGU KABISA SUBUHANA LAH HAYA ENDELEENI MATUNDA YA UZINIFU MTAYAONA
@esterpromy3183
@esterpromy3183 5 жыл бұрын
@alfashir j4 athuman msenge kwel huyu ndoa my foot!😂😂aache watu wale raha bas unakuta limtu limeolewa lakin linazini halaf bdo linaona matatizo ya mwenzake c ukuma huo! Tena mi mtu aingie kwa 18 zangu anambie ukuma wa ndoa ntamfira qumamae
@esterpromy3183
@esterpromy3183 5 жыл бұрын
@alfashir j4 athuman itakua aisee mtarimbo doro😆😆😂
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Huyu mwanamuke wa mboso anawatoto wengine au huyu wa mboso ndo wa kwanza.? Nipeni jibu watoe comment
@Namjua
@Namjua 5 жыл бұрын
Huyu wa mbosso ndo wa kwanza
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Ok
@husnajohn7466
@husnajohn7466 4 жыл бұрын
Mboso kamwaga mbegu kila kona ila kwa Hutu Dada ndio wa kwanza
@IbrahimMohamed-of3sl
@IbrahimMohamed-of3sl 4 жыл бұрын
Wakwanza alikua anapigwa tgo na Emanuel Elibariki angezaa mda gani
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 5 жыл бұрын
Mufunge ndoa itapendeza sana
@elizabethtulio2650
@elizabethtulio2650 4 жыл бұрын
yo
@glorypama5985
@glorypama5985 5 жыл бұрын
Uozo
@sittyhalladi9738
@sittyhalladi9738 4 жыл бұрын
Félicitons aux parents que dieu les protège tous inchallah❤
@mwanaisharashid7349
@mwanaisharashid7349 5 жыл бұрын
hahaha
@rynelorandrichierynelorand4515
@rynelorandrichierynelorand4515 5 жыл бұрын
Mbosso your girl is a wife material from the looks and everything, don't expose her on social media pliz .
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 5 жыл бұрын
TENA NA NYIE MASHOGA MAKAFIRI MNAULIZA NDOA LINI KUNA NDOA TENA HAPO NA NI UKAHABA TUU NA PENGINE WEWE UNAE HOJI UJINGA HUO NA WEWE UNAJIDAI MUISLAM SUBUHANA LAH MAKAHABA WAKUBWA NYIE LAANATULAH MNAJISIFIA UZINIFU
@Angie14245
@Angie14245 5 жыл бұрын
wataachana tu..ni muuda
@livvn6697
@livvn6697 5 жыл бұрын
🤔 i thought he was single men
@swabrinaathman1773
@swabrinaathman1773 4 жыл бұрын
Nancy Oliver hy
@marykinya7086
@marykinya7086 4 жыл бұрын
Pia
@anniekamau1537
@anniekamau1537 4 жыл бұрын
Single "man"
@calowamaye4009
@calowamaye4009 5 жыл бұрын
Wasani jamani muwe na bibi moja☝🏽 na watoto wa Wazazi wa will 🤦🏽‍♀️ jamani mtoto na huyu na yule na pale my god???? Umalaya meingi at ☝🏽🤷‍♀️ juu munapesa👎🏿 that is sooooo!!!! Bad selfish munaleta vita jubés kwa hao watoto ati dini 👅👁👀🤮
@murekatetehenriette1438
@murekatetehenriette1438 5 жыл бұрын
Ndowa WSB?labda andoke ka harmonize
@tiamo726
@tiamo726 5 жыл бұрын
Kwani harmo ka toka wcb
@esterpromy3183
@esterpromy3183 5 жыл бұрын
Nenda shule kwanza kajifunze kuandika hihihiiiiii😆
@maryamsanga8547
@maryamsanga8547 4 жыл бұрын
@@esterpromy3183 una mijishauo utadhani umepewa pesa kushabikia upumbavu
@esterpromy3183
@esterpromy3183 4 жыл бұрын
@@maryamsanga8547 we kimekuleta nn huku mpumbavu mwenzangu
RUKIA RUCKY - "NATAMANI KUZAA WATOTO KUMI NA MBOSSO" | REFRESH
12:02
S02 EP07 - MBOSSO KHAN
31:25
The Trendy Show
Рет қаралды 316 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 96 МЛН
Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA
10:32
Tazama Alikiba, Abdukiba wakivishana pete na wake zao
6:08
Azam TV
Рет қаралды 528 М.
MPENZI WA KWANZA WA HARMONIZE / BADO NAMPENDA SANA / SARAH SIMJUI
6:44
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН