Рет қаралды 17,763
#mchuziwapapawanazi #mchuziwanaziwapapa #mchuziwapapa
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen.
English recipe press the link ➡️ Dry shark fish in coconut sauce | Shark fish stew | Mchuzi wa papa wa nazi in English. • Dry shark fish in coco...
Mahitaji:-
Papa
Tui zito kikombe nusu
Tui jepesi kikombe 1 1/2
Tomato 🍅 3
Pilipiliboga
Dania / giligilani
Kitunguusaumu na tangawizi kijiko chakula
Limau 1
Manjano
Kitunguu maji 1
Chumvi
Pilipilimanga
Currypowder
Royco