Рет қаралды 61
UTV Tanzania
Ripoti mpya ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeitaja mikoa ya Rukwa na Morogoro kuwa vinara wa matukio ya majaribio ya ulaghai na utapeli kwa theluthi moja ya matukio yote nchini.#AzamTVUpdatesMhariri | John Mbalamwezi