Рет қаралды 1,334
Kipindi hiki cha Wekeza Tanzania kinakuletea hatua kwa hatua kutoka site, kiwanda cha kutengeneza ndege ndogo kilichopo Morogoro nchini Tanzania, ambapo ni uwekezaji wenye thamani wa dola za Marekani milioni 10.
Wekeza Tanzania ni kila jumanne saa 12:00 jioni TBC1 na marudio Jumatano 7:30 mchana na kwenye KZbin channel yetu ya TBCONLINE.
Mtangazaji: Vumilia Mwasha
Mwongozaji: Neligwa Mugittu
Mdhamini: Azania Benki