Hongereni sana nyote mulioshiriki kwenye Ngoma hii. Munafanyakazi nzuri sana kuitunza ngoma hii..😁💪
@mohdmbarouk84652 жыл бұрын
😄😄😄😄 Makane nuhusi jaman
@yassyvisualtv36622 жыл бұрын
Pemba peremba
@w40582 жыл бұрын
Sawa lakini wanawake mmewaka utupu kufunga kanga za viuno makalio yao yanaonekana jamani tupunguzeni magoma na michanganyiko na wanaume
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Jamani pemba kwetu raha mungu awabariki nyote
@noffelsalim8302 жыл бұрын
Jamani me kwa kweli msewe unanikosha mpk bc 😂😂
@mohdmbarouk84652 жыл бұрын
Mau mpemba atari
@aaahadventures42142 жыл бұрын
Good Job..Mau Mpemba.. endeleza Utamaduni asilia na ngoma zetu asilia. RVS - Hii ngoma munaionea. Hebu ifanyieni detailed video shooting na Sauti nzuri. Msewe na Kibati nk hizi ngoma zinafanyiwa shooting za ovyo sana. Anyway Ahsanteni sana kwa kutupa Burudani.. From USA..