Mwalimu nashukuru sana unafundisha vizuri sana nikupongeze na nimefurahi sana kwa sababu unafurahisha pia (GRAZIE MILLE.
@bundalabundala48852 жыл бұрын
Mungu akubarik kwa kazi hii nzuri. Nlikuwa cjui muziki hata kidogo Asa ivi nimeanza kujua sifa za muziki
@MaliaChrisАй бұрын
Asanteeee mwalm nataman sana kujifunza na kuzijua nota mungu azid kukuimarisha
@ImakulathaMoyo Жыл бұрын
Mwl nakukubali sana,umenifanya nitamani kujifunza muziki
@stevenbeatuskibigili72442 жыл бұрын
Shukrani ndugu nimetafuta sana mafunzo ya muziki youtube... uko vizuri kaka
@passionistskenya5243 Жыл бұрын
Asante Mwl. tazama bar ya mwisho uongeze Minim moja ndiyo ziwe Nne.
@oundovictor9211 ай бұрын
Kazi nzuri kaka napenda unavyofunza natokea Kenya Nairobi
@neemaelpid56693 жыл бұрын
Unaelekeza vzr sana na ninakuelewa mno. Nitazidi kukufuatilia
@innocentmmandago30293 жыл бұрын
Awesome! Thank you buddy. Be blessed abundantly!
@eliasenyapallangyo50782 жыл бұрын
Hakika up nafundisha vzr mnoo. Be blessed sir
@ajunaishungisa10 ай бұрын
nimependa mavunzo yako......unakipaji cha ualimu hongera
@colmanmwero7473 Жыл бұрын
Mwalimu uko vizuri asante kwa mafunzo mazuri
@titotichy_ndocha19482 жыл бұрын
Shukrani ,Mungu awabariki kwa kukuza vipaji kwa mafuzo haya
@passionistskenya5243 Жыл бұрын
Asante kumbe Uliongeza...safiii
@maduhumanyangu1544 Жыл бұрын
Boss asante kwa ufundishaji wako ni mzuri, japo najaribu kukufuatilia kupata mafunzo mapya ya mwendelezo lakin sikupati. Hivyo naomba masomo mengine ya mziki !
@yohanemtumekwayasanyajuu2 ай бұрын
Bro Nimeanza kukufuatilia sana , Niko sehemu ya kwanza ntatafta muendelezo
@johnb.j.m2062 жыл бұрын
Uko vizuri Manyama. Asante
@malcelmganga2 жыл бұрын
Hongera xaan Mungu akubarikiii mwalimu
@hekimaoscar652728 күн бұрын
Naku pataje mwalim
@SamsonJulius-j6z25 күн бұрын
Uko vzur kufundsha
@ilakozeonlinetv2 жыл бұрын
uko vzuri sanateacher
@taramajane200 Жыл бұрын
Kaka uko vzr nimekukubali
@VerdianaMwandu Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nakupa vyema
@hitechsolutions95772 жыл бұрын
somo lako nimelipenda sana
@andreamndeme15392 жыл бұрын
BARIKIWAAA MNO
@florencevideoskimeu18822 жыл бұрын
The lesson is very nice and clear
@NzwallaPhilipo Жыл бұрын
Nimelipenda darasa
@richardjoel59653 жыл бұрын
Kweli anapenda msos
@andreamndeme15392 жыл бұрын
YAAANI WEWE JAMAAA NI MWALIMUUUUU HEAVY
@kungumassive Жыл бұрын
Hello Mwalimu,nice one
@kalenjinoralliterature217 Жыл бұрын
You gained a subscriber
@richardjoel59653 жыл бұрын
Thanks
@FistonMwilambweMusenge8 ай бұрын
Nami natamani kujifunza music
@saimonimasomo88193 жыл бұрын
Mimi nilikuwa natafuta kujifunza mziki nakushukuru ndugu alex kwa kipindi iki naomba kujua chuo chako kiwapi niweze kufika.
@josephmassawe1612 жыл бұрын
Hapa ndipo tunatakiwa kuanza kuumiza kichwa sio pow