mwalimu nimefurahi sana leo nimejifunza kitu kizuri sana ninaitwa Edgar nyagawa naomba unifundishe muzuki kwa mtandao hivi nitafuatilia nipo Iringa Nina penda sana Asante mungu akubariki nitaendelea kesho Tena
@kalistisseverini-hv5jv Жыл бұрын
Safi Sana mwl wew ni Mwalimu Bora naomba kujua kwenye utunzi yunazingatia vitu gani
@elipidiusrushakuzi1108 Жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristo, Habari za Leo. Nimefurahi Sana kukuona.
@JosephIroma5 ай бұрын
Dash, hapo mwalimu nimepata kitu, asante sana
@stanleymkongwa15592 жыл бұрын
Nitaendelea kukufuatilia sana sio mchoyo God bless u!
@vitalisbahati41708 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mwl, mimi nimfuatiliaji wa vipindi vyako nakuelewa sana na umenifikisha hatua fulani hivi barikiwa
@AidanChelasa11 ай бұрын
Nina iman kwa hili darasa nitafaulu huu mtihan mungu akubariki teacher
@AnnoyedBlockGame-sj4jq Жыл бұрын
Mwalim naelewa sasa nitendele a kukufatili a maana ❤☆ sikuelewa vizuri
@OrestoKishindo3 ай бұрын
Mwalimu naomba kama muna grupu la kulipia
@josephmugeni2811 Жыл бұрын
Hujambo Mimi hua sikupati kwa wazip ningependa sana kusoma zaid na pia nikutembelee Mimi ni mkenya naitwa Jose
@jasperwendojhomeonline.9152 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mwalimu
@VictorNdaki-qc4jd Жыл бұрын
Mwl ubarikiwe nimefatilia vipindi vyako vyote sizn 1 na 2 nashukuru lakini naonba ulielekeze kanuni ya utunzi wa nyimbo yaani jinsi ya kuzijaza sauti zote 1,2,3,4 ❤
@MichaelMligo-fd5ct8 ай бұрын
Mungu akupe nguvu mwalim
@Husbandkhan-s.bwr5kj Жыл бұрын
Vremanmt merci beaucoup mo mwalimu wangu
@daudbeii8424 Жыл бұрын
Ntaanza kujifunza
@MichaelMligo-fd5ct8 ай бұрын
Mwalim hongera sana ila mimi naomba kujua kusovu nota
@maryshirima52292 жыл бұрын
MMwimu Mungu akubariki naanza kujua mziki nimefuatilia masomo mawili tu ila nimebarikiwa najisikia raha yakuzidi kupenda mzuki wao
@wachwengehsylas6756 Жыл бұрын
Mwali naomba kujifunza muziki kwa urefu
@Joe-2904 Жыл бұрын
Big up Mwl . Nahitaji somo la kusoma nota zilizo kwenye mstari wa ziada 🙏🙏
@theservantmedia7566 Жыл бұрын
Namba ya mwalimu 0767690567
@timdovecool7202 Жыл бұрын
Safi Sana.
@fidelisvalelian2 жыл бұрын
Mwalim sawa aponimekupata sana
@patriciandunge9777 Жыл бұрын
Huyu ni mwalimu poa
@heriusmatiku23142 жыл бұрын
Big up sana mwl
@agapititairo6926 Жыл бұрын
Asante mwl
@Julianajofrey11 ай бұрын
Mwalim nataka kutunga wimbo was nota
@basilsimon6764 ай бұрын
mimi ndo naanza kaka utanisaidiaje
@Julianajofrey11 ай бұрын
Mwalimu nataka kutunga wimbo
@SWATY632 жыл бұрын
Mwalimu nimekukubali sana. Nimejifunza kitu kikubwa sana kwko kupitia chanel yko
@jonathanntare47873 жыл бұрын
Safi mwalimu
@leahmsangula3345 Жыл бұрын
Wengine tumatamani kujifunza hatujui tufanyeje
@leahmsangula3345 Жыл бұрын
Mi nataka nianze sasa
@patriciandunge9777 Жыл бұрын
Tupo mr
@josemapu50102 жыл бұрын
Nime Namba yako
@anthonyhanson40912 жыл бұрын
Uko vzr teacher
@DeviusiDezideri11 ай бұрын
Niunge kweny grupu nipate nahatua zamwanz
@GeorgeSalvitory-vb7qk Жыл бұрын
Kwamaelezo ya t ni do umenipatia
@francismambo5865 Жыл бұрын
Mwalimu najarbu kujua music akh nsaidie
@cornelmpanda6249 ай бұрын
Nakubal
@elifadhilifaustini15832 жыл бұрын
namna yakujifunza mzk
@Julianajofrey11 ай бұрын
Amen
@ruthmadata87352 жыл бұрын
Upo mkoa gani
@patriciandunge9777 Жыл бұрын
Bass clef kuna Do mbili nimeona umezionguza ..mbona mbili?
@muhiapeter75892 жыл бұрын
Nitaweza aje kupata masomo yote ya kwako mwalimu?
@SarahKikoti-gy9bs6 ай бұрын
Mwalimi samahani naomba kujua kwa mfano wimbo unkoma au pimziko lakini Nota hazina pumziko inakuwaje ?
@hefintus2 жыл бұрын
There I am!
@patriciandunge9777 Жыл бұрын
Alafu mwalimu ..there are some ,you find ,they have no sign at the beginning either flat or sharp but in-between you may find them ...what do we call such key
@producerdeey7228 Жыл бұрын
the flat or sharp unayo ipata mwanzo wa score sheet...inaitwa key signature....lkn flat ama sharp unayo ipata kati kati ya sheet...kwa nota zinaitwa accidentals ...
@misesegaganija75982 жыл бұрын
Saf
@jxuk53253 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@paschalmaige11663 жыл бұрын
Nahtaji shule ya mziki wa kisasa nijue kuusoma,kuandika &kupiga vyombo vya mziki npo morogoro
@leahmsangula3345 Жыл бұрын
Mwalimu me napenda sana muziki nifanyeje sasa ili na mi niweze