Asante sana na karibu. Tunaweza panga private classes a week.
@orgenesslema87682 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu kwa mafundisho mazuri
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Asante sana sana. Pia unaweza jifunza nadharia ya muziki kwenye gitaa hapa: kzbin.info/aero/PLRxLAm60RGzOsJsoASoXy8IihDz1sIf6z
@renatachuwa57693 жыл бұрын
nzuri
@mutuaben253 жыл бұрын
Very educative
@innocentsayayi68193 жыл бұрын
Barikiwa sanaaa
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Habari. Tumeendelea na masomo. Somo linalofuata ni hili. Bofya link hii: kzbin.info/www/bejne/r4uYoXiLp7Vnn7M
@fredrickvenerando27653 жыл бұрын
Teacher upo vizuri but mwendelezo tunapataje
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Soon muendelezo unakuja
@venlucas99533 жыл бұрын
Upo vizuri,muendelezo uko wapi?
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Tumerudi tena. Soon masomo yataendelea.
@godblessmushi69193 жыл бұрын
Habari mwalimu unapatikana wapi nami natamani kujifunza noten
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Niko dar es Salaam
@saimonimasomo88193 жыл бұрын
Nimependa elimu hii,unapatimana waoi mwalimu
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Niko dar es Salaam ndugu
@tadeosaleje92404 жыл бұрын
mwalimu nimekupata vizuri sana unafundisha mara ngapi kwa mwezi bahati mbaya niko mbali nakupata kupitia simu naomba ratiba
@zilipendwa-club-covers4 жыл бұрын
Inategemea muda wa kufundisha. Napatikana kwa 0717989668
@goodlacksasila19683 жыл бұрын
@@zilipendwa-club-covers naomba namba za wasap
@erickstanford12362 жыл бұрын
Nimechelewa episode 1 ntaipataje
@wilfredoscar88593 жыл бұрын
Nimekufuatilia vizuri, napenda kufahamu namna ya kutumia hizo nota kuandika maneno
@jemakalinga2763 жыл бұрын
Ahsante kwa darasa naomba namba yako.
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Tutafika hivi karibuni katika somo hilo.
@youngchriss4423 жыл бұрын
linaendlea lini
@emmyshelu56673 жыл бұрын
Naomba uniunganishe na shule inayofundisha muzik wa injil tafadhar
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Soon tunarudi tena.
@AndrewErnest-i9f Жыл бұрын
Sasa nataka kujifunza mziki
@Manyesha62903 жыл бұрын
Naomba mwalimu unisaidie ndio Kwanza mie begginer naomba mawasiliano
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Tunaweza wasiliana kupitia Instagram gitaa kwa kiswahili
@kwekagospel2820 Жыл бұрын
Uko speed sana mkuuu watu tuna 2G but nmependa mafundisho mazuri
@zilipendwa-club-covers Жыл бұрын
Hahaha. Listen to some cool covers hapa. kzbin.info/aero/PLRxLAm60RGzM0hxJ50CVtSTmkZhA12Vqd
@orgenesslema87682 жыл бұрын
Nifanyeje niweze Rythim mwl?
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Habari. Tafuta rhythm online kisha ufanyie mazoezi. Kuzipiga kama nilivyo fundisha. Hiyo itakusaidia kuzoea. Then tunavyoendelea tutafika katika kuweka melody kwenye rhythm.
@paulonkunga2713 жыл бұрын
NAOMBA teacher weka SoMo la staff notation and piano solve shear apo utakuw umesaidia
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Somo like mbele kidogo. Tutalifikia.
@witnessmaiko20533 жыл бұрын
Tunaomba ufungue dalasa lamziki WhatsApp hata tuwe tunatoa Ada kidogooo kila siku unatutumia kipindii
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Group hilo tayari. Nitxt WhatsApp kupitiq 0717 989668
@orgenesslema87682 жыл бұрын
Naomba notes za rythim mwĺ
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Unamaanisha notes za kufanyia mazoezi ya rhythm?
@RejinaMwangwa10 ай бұрын
Nahitaj kujifunza kuanzia mwanzo
@nickemmanuelemmanuelemmanu27343 жыл бұрын
Nimeipenda sana mwalim naomba namba yako ya WhatsApp
@zilipendwa-club-covers2 жыл бұрын
Unaweza wasiliana nasi kuoitia instagra gitaa kwa kiswahili