Wallahi Sheikh ww ni mmoja Kati ya Mashekhe ninaowapenda kwa maneno yako ya busara Allah amekupa kipao cha hali ya juu Namuomba Allah akuzidishie Ameen
@ramamwazembe1715 ай бұрын
😊😊
@RahmaRashid-lc6nw5 ай бұрын
Kweli kabisa amejawa na wingi wa hikma Allahuma barik
@EvaWaziri2 ай бұрын
Yaani Mimi Kila Mara namsikiliza
@ashashaban6484Ай бұрын
MASHALLAH MASHALLAH SHEIKH SHUKLAN KWA MAWAIZA ALLAH AKUJAALIE JANNA FEEDAUSI NA SS PIA ALLAH ATUONGEZE KWA KILA KHER INSHALLAH ATUME MWISHO MWEMA INSHALLAH
@MasaadSaid5 ай бұрын
Alhamdulillah kwa kunipa moyo mkubwa sana
@salamaabubakar59785 ай бұрын
Mungu azidi kukupa elimu njema Amin . Nafurahi sana kwa mawaidha yako . Insha’allah Mungu azidi kukudumisha kwa kutuelimishi .
@AnisaA-v4v5 ай бұрын
Yah Allah tulindie shekh wetu yaraby ❤
@bwanadiosman13176 ай бұрын
Mungu atujalie kheiyr zaka insha Allah nawe Mungu akujazi kheiyr nyigi insha Allah
@NzomukundaHawa5 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu wakuendeleza mafunzo ya dini, tunashkuru sana sheikh wetu
@jamilaathumani54815 ай бұрын
Mashalah. .maneno kuntu ayo ostaz...Yan ayo mawaiza yaleo yananigusa Sana..Yan apo kama unanizungumzia mim kabisa ostaz....ama kwali nimejifunza kumbe nishajua jinsi yakudili nao mahasidi...kumbee izo nidalili za wivu wao dhidi yang...nimeelewa Sasa ostaz ...nawala sipati tabu nao tena
@MinahSaid-f4z5 ай бұрын
Ni maneno ya busara sana na Hekima nyingi Allah Azid kukuweka ili Tunufaike Zaid 🙏🙏.
@SafiyaMakachara-g3h29 күн бұрын
Alah akupe maisha marefu tuzidi kuelimika shekhe
@RubeaAli-vi8ww6 ай бұрын
Allah akulipe KHEIR NYINGI napa duniani, kaburini, na akhera pia, amiin
@husseinkatana45736 ай бұрын
Allah akuzdishie neema ya afya uzidi kutuelimisha
@fatimahirakoze73116 ай бұрын
Nakupenda sn cheikh wetu kwa akili ya Allah Allah akulipe kheri zisizo kua n'a hesabu duniani n'a akhera
@halimaramadhan20005 ай бұрын
Jazzakah llahu kheir sheikh Othman
@saudaali5056 ай бұрын
Allah akuongoze sheikh uzidi kutuelimisha.
@Tima-q4y5 ай бұрын
MashaAllah❤
@KhadijaNgozi-ln4ww6 ай бұрын
Maneno.mazuri.sana
@sharah050516 күн бұрын
Mashallah shekhe wetu Allah azidi kukupa hekma
@IbrahimKalisa5 ай бұрын
Ma shaa Allah
@MariamHaroon-pu3lx5 ай бұрын
Mashaaallah 😢🎉🎉🎉🎉🎉
@zubairumar91312 ай бұрын
Mansha Allah
@fatimahirakoze73116 ай бұрын
Cheikh acha kunichekesha
@fatmaally725224 күн бұрын
Allah akulipe janna fil daus inshallah
@خليفهالرحبي-ف4م5 ай бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@SifuniHaji5 ай бұрын
Mimi nimefaidika na darsa hii ni muhimu sana MUNGU amjalie kiongozi huyu azidi kuwafumbua macho waislam kwani sana wakati tulionao watu takriban wengi ni mahasidi
@FatumaAbdallah-l2j5 ай бұрын
Allah akuhifadhe
@faizaabdallah75702 ай бұрын
Ameen ya rabbi ❤❤❤❤
@KhadijaDaud-g8y19 күн бұрын
Mashallaha
@خليفهالرحبي-ف4م5 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الرحمن❤
@fatimahirakoze73116 ай бұрын
Yani Allah alimpa jibu lizuri kua ni mafunzo kwetu kiukweli inaumiza kabisa
@jamilaathumani54815 ай бұрын
Inachokisema kuntu ostaz...mim nilikuwa nawasapoti watu lakini wakawa wananishambulia na kutoona kama sifanyi kitu...kiukwel ukifikilia icho inaweza ikakuledisha nyuma na usisapoti watu hata kama unapenda kusapoti watu...kikubwa tu kufokas na mambo yako unachofanya japokuwa inaumiza
@LeyllaLeylla-hf7su2 күн бұрын
Yaaan mtihan san hiyo Namie imenitokea unasaidia watu lakin unambiwa wee mbaya Lakin hichi kisa kimenifunza sana namshukuru Mungu sana