Inshaallah naomba MUNGU nipate mke anipende nami nimpende kisha usiku tukae wote kitandani tuisikilize hii nyimbo ili tuzidi kupendana zaidi inshaallah
@zengeummu95756 ай бұрын
Inshaaa Allah Allah atakujalia mwenye khery na weye
@ahmedougedo53266 ай бұрын
@@zengeummu9575 amiin
@mwajabushomari38723 ай бұрын
In Sha Allah
@SadouxMsafiri3 ай бұрын
Masha Allah
@AbdullatifKandwa3 ай бұрын
Amin inshallah
@mesaidisuleimaninyemia6333 Жыл бұрын
Jamani hii nyimbo itaniacha nitafute mume niolewe
@MohammedAli-yc2ek10 ай бұрын
😂😂😂
@salmaalimusa5473 жыл бұрын
Raha duniani huba la Mohammed wangu 😍😍😍😍😍
@halimakindamba48833 жыл бұрын
Limeniathirii Huna Lakee jamaniii Mashallah Sabah Manenoo Perfect kabisaaa I am Soo in love jamanii
@saadsiham677Ай бұрын
Ma sha Allah nyimbo mzuri msma etu sabah salum.mungu akueke❤❤❤
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Macho kitizama nadhar ya shan,huwa nna hema mapigo ya ndan Mwili watetema nafungwa lisan,hushindwa kusema yalofuwadin Yaa Rabbi salama Mola niahumi niahuni
@saumuabdulazizi81183 жыл бұрын
Hatareee
@abdulhamidkificho57683 жыл бұрын
@@saumuabdulazizi8118 Tam tam za mwambao
@salimseif6 ай бұрын
MashaAllah sabah salum utaniua kwa maneno yako matam dadaangu ❤
@azlambarouk90394 жыл бұрын
Raha duniani huba la fulani la fulani aaaa jamani hii nyimbo nzur hongera 😍😍😍
@nassirsafari23383 жыл бұрын
Sauti mashallah +254 tunakupenda sana...
@suhaybabeid31154 жыл бұрын
Cjaona mwengin zaidi yako sabah salum your taraab is so cute😍😍
@hassankitwango4872 күн бұрын
Daah that was so feeling💯
@khamismohamed13782 жыл бұрын
MashaAllah ngoma haishi tuamu
@aminamohamed70024 жыл бұрын
Dah! Raha sana nyimbo zako zinahamasa
@user-gu1lg2zr8sАй бұрын
Jamaniiiiii asante tulio zama kwenye ili dimbwi la huba na wanaotupenda tujuane. Mapenzi ni matam tu ikiwa utampenda anae kupenda.... Hakika raha kupendwa ❤❤
@saraahs68843 жыл бұрын
Kesho tukiwa hai nauzima takua mapema tuskize hzo nyimbooo usiku mwemaa ndugu zanguu kaka zangu dada zangu good night 😴😴😴😴🙏
@kumenyaasheri2007Ай бұрын
dada
@B_C_Bellah5 ай бұрын
Huu wimbo itanifanya nitafute ndoa kilazimaaaaa
@user-gu1lg2zr8sАй бұрын
Hakuna ndoa ya lazima vinginevyo hautapa hio raha wafikiria utapata.. Take your sweet time to get the right one ndio utaona raha
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Moyoni wa khashiin,na katika langu hili langu hili Raha duniani huba la Fulani la fulaniii,kwa raha duniani huba la Fulani la Fulani
Yani haya maneno ni mazima sisi wengine tumetoka znz mpaka tupo UK kwa kuaathiriwa yani machozi mpaka basi kwa sababu ukiathiriwa na huba la fulani huwa unataka usimuone kila ukimuona huwa kama napata fedheha
@maiyakassim48642 жыл бұрын
Pole dear
@B_C_Bellah5 ай бұрын
😂😂😂😂😊
@AbdullatifKandwa3 ай бұрын
Pole kk nahid
@AbdullatifKandwa3 ай бұрын
Pole san kak nahid
@missdee95012 ай бұрын
Pole sana
@dollamsomi19642 жыл бұрын
Acheni tuuuu
@salmayusuph36533 жыл бұрын
Limeniathir huba la Fulani siwez subir Sina afueni