SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

  Рет қаралды 54,364

NG'ARING'ARI

NG'ARING'ARI

Күн бұрын

Watch out also Sabra Machano in • NDOA YANGU ILIDUMU MIE... Mahakama ilihusika kuamua hatima ya moja ya NDOA zake.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa mfuko wa jamii wa Zanzibar - ZSSF (Zanzibar Social Security Fund) Sabra Issa Salim Machano aelezea kisa na mkasa wa yeye kusimamishwa kazi na kurudishwa tena kazini kwa mara nyingine baada ya muda mrefu.
NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON Epsd 057 Clips "SABRA MACHANO"
''NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON - Epsd 057 - B'' Aired on Cloudstv on 16 December 2023.
Producer: Sakina Lyoka. @sakinalyoka_
Camera: Juma Katunda @Juma Katunda
Editor: Junior Syaary ‪@Juniorsyaary‬
Tazama Kipindi cha NG'ARING'ARI Clouds Tv kila Siku ya JUMAMOSI Saa 3 Kamili Usiku (09:00pm).
Marudio: Jumapili saa 11 Jioni (05:00pm) & Jumatano saa 7 Mchana (01:00pm).
Angalia Cloudstv kupitia:
⎮ Azam channel no. 403 ⎮ Dstv no. 387 ⎮ Startimes no. 109 / Antenna 497.
#zanzibar #Sabramachano #ngaringari

Пікірлер: 120
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 10 ай бұрын
Uyu mama Ni best
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
Hamna kitu hapo
@mohdothman5888
@mohdothman5888 9 ай бұрын
Interview kiukweli haikukaa kimaadili..like kama wanaoiga umbea muandishi hajakaa katika maadili ya kazi,na huyo anaehojiwa alipaswa asimame katika contents zake
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 ай бұрын
Hamna kitu hapo bro hahahah kazingua sana kwenye Serikali ya Shein huyo bibi
@sureshgossain2367
@sureshgossain2367 4 ай бұрын
V ​@@jumakapilima7295
@ArafatKhatib
@ArafatKhatib 8 ай бұрын
Uko vizur ❤ mungu akulinde na azidi kukulinda na maneno na husda za watu wanaochuki na wewe
@totomuyenjwa-wv6vi
@totomuyenjwa-wv6vi 9 ай бұрын
Huko vizuri saana ila sehemu yoyote wanafiki waramba kisogo awakisi, your very smart God bless you
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 8 ай бұрын
Hongera sana
@suleimanbadru819
@suleimanbadru819 9 ай бұрын
Dada nakufuatilia sana speech zako nakukubali natamani kuchange idea nawewe ila sijui nakupataje,ttzo wanawake wenzio hawakupendi jealous na choyo tuu
@tauhidajumahamad1218
@tauhidajumahamad1218 9 ай бұрын
My super woman 💪🏼🫶🫶🫶♥️♥️♥️you inspire me a lot💪🏼🫶🫶♥️♥️
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 9 ай бұрын
Huwezi ukaja hadharani ukasema wa2 wanasema unatembea na Rais heshim taasis ya Rais na ww ulieandika iyo heading heshim maudhui Rais ni Taasis sio jina la kulisema kwenye ujinga wenu
@DullaZillihija
@DullaZillihija 7 ай бұрын
Kwan rais ni mungu acha uoga ukweli humuweka huru mtu
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 7 ай бұрын
kwani rais si binadam na ww khaa😂
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 7 ай бұрын
kwani rais si binadam na ww khaa😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
Yaani mamlaka za Zanzibar zilitakiwa kumuita na kumhoji atoe ushahidi kuwataja hao waliosema anatafunwa na Rais, na akishindwa anatakiwa kushitakiwa Kwa kuidhalilisha mamlaka ya Rais
@juma2979
@juma2979 9 ай бұрын
Huyu dada anapenda kuji proud sana
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 ай бұрын
Sana 😂😂😂😂anajikosha kwa Wazanzibari walio wengi
@majdazaharan9006
@majdazaharan9006 9 ай бұрын
Tusibebe mizigo ya dhambi jamani ukweli anaujuwa Sabra mwenyewe
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 9 ай бұрын
Nampenda sana uyu mama mashaallah
@ShebeShebe-us3ow
@ShebeShebe-us3ow 9 ай бұрын
Dada ata km ulihrbu ila ukweli zanzibar imebdilik kiasi chk ulijithd dada..mall km mall tyr umebdlsh sana ten sana.biq up sana
@TaarabChannel
@TaarabChannel 9 ай бұрын
Mupitie na kwangu wapenzi watazamaji ❤❤❤
@FatawiSheha
@FatawiSheha 9 ай бұрын
Kuna watu wengine munaingia kwenye dhambi kwa kusikia stories bila uhakika huyu dada hana makosa kwa suala la chips haikua hivo munavosema ila kwa mambo ya kazi yake sisemi kitu maana sijui lakini la chips nalijua tulizeni ss watu wa mkoani ilivyokua watu wana tabia ukimwambia moja anasema matatu
@farisomar1889
@farisomar1889 9 ай бұрын
Ipoje embu funguka kuhuc chipsi
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
HAKI ITENDEKE KWA PANDE ZOTE 2 IKITHIBITIKA UKWELI DHANA MBAYA HAIFAI JAMAMI
@myme9447
@myme9447 7 ай бұрын
Haya ndio matatizo ya ofisi zetu hasa za SMZ ukienda smart au uweke hio makeup utaona watu wanavochachawa yaani ni ushamba, uadui na uhasid kisa makeup!!! Ukiwapekua hao wafanyakazi wameoza majukumu yao hawayajui kazi fitna na majungu tu na mabosi zao!
@binfahmi8637
@binfahmi8637 9 ай бұрын
Wee mwiziii
@NadyaOmar-du6be
@NadyaOmar-du6be 7 ай бұрын
Sifa Tu nyingi na umalaya kutembea na raisi ndo uweke hadharani, ushamba WA maisha Tu unajua wangap walianza na hawakujitapa mpumbavu Tu........
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 9 ай бұрын
Wewe hujielewi tena hujielewi
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 9 ай бұрын
Hz project zinamgusa vp mnyonge wakat pesa anaechangia zsff ni mnyonge
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 9 ай бұрын
Jizi
@nasraissa4873
@nasraissa4873 9 ай бұрын
Kweli lisemwalo lipo wizi wenziwe wamerejeshwa kazini yeye kaachwa kwenye mataa wangeliwaonesha wote tukawajua majizi makubwa jinga
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 9 ай бұрын
Mwandishi nae jamani😢😢😢 punguza kumkatisha maneno mgeni mwache mgeni aongee amalize jambo usidakie
@AbdulrahmanRashidsimba
@AbdulrahmanRashidsimba 9 ай бұрын
Sister piga kazi.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 9 ай бұрын
Inawezekana
@fatmaali4921
@fatmaali4921 9 ай бұрын
Huyu alikuwa anahoji au wanapiga nae story km shoga ake tu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
Mamlaka za Zanzibar zilitakiwa zimuite na kumhoji ili atoe ushahidi wa hao waliosema kuwa anatafunwa na Rais,,,,,akishindwa kutoa ushahidi inatakiwa ashitakiwe kwa kudhalilisha mamlaka ya Rais
@RashidSalim-jw1hv
@RashidSalim-jw1hv 9 ай бұрын
Anaejuwa jitihada zako hawezi kusahau daima na milele Allah azidi kukusimamia tuu
@maase2023
@maase2023 9 ай бұрын
Mmmhhhh ovyoooooo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 9 ай бұрын
Mimi sina ushahidi wa anachodaiwa kaiba lakini na kazi nzuri kafanya kiasi kwamba najiuliza pesa zilivyokuwa haziibiwi zilikuwa zinakwenda wapi. Inawezekana mimi na wewe ni wezi kuliko yeye lakini hatujapata nafasi. Lakini pia huwezi kuiba kwa kiwango kinachotajwa halafu ukapatikana na HATIA ikiwa Wapelelezi ni Walalahoi halafu ukasubiri taarifa halali "valid".
@juma2979
@juma2979 9 ай бұрын
Huyu mwizi kilichomlinda nikwamba amekula na wakubwa
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
Una uhakikaaaa????
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 9 ай бұрын
Umefukuzwa kz kisa unatembea na raisi ?? Emu fafafnua vzr hapoo
@AbdulrahmanRashidsimba
@AbdulrahmanRashidsimba 9 ай бұрын
Sikuzote mtu anapokuwa mkweli napia akawa msema kweli basically wasiyopenda maendeleo yake humchukia dada pita kazi.
@oyay2821
@oyay2821 7 ай бұрын
Mtangazaji atumie kiswahili au kizungu, asituchoshe na vijineno vya kizungu wakati haelewi kizungu
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 9 ай бұрын
KAMA MAHOJIANO NI YA LUGHA YA KIFARANSA ZUNGUMZENI KIFARANSA WACHENI MIKOGO YA KIPUMBAVU NI RIAAAA NA UJINGA
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 10 ай бұрын
Kila dhalimu hudhalilika hapa hapa duniani labla kesho akheira
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Salehe nani alikeenda hiko akarudi ukifa umekufa dini ni kama siasa tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Salehakuna asiye mwizi pamoja na masigida usoni acha ale huo ndiyo wakati aliojaliwa nao
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Salehe watu wanaiba sadaka misikitini nq makanisani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Salehe Hassan nani aliyekwenda hilo akarudi
@KhatibHijja
@KhatibHijja 9 ай бұрын
​@@margarethpolepole7438ww umeenda ukarud,si hivo unatuambia kwamba ukifa umekufa tu huulizwi it means tunatakiw tuishi tu hakunamipaka tuliowekewa
@KhaleedHamad-vl7lz
@KhaleedHamad-vl7lz 7 ай бұрын
Unazingua hunielewi wkt upo zssf michamgo mingi yawatu haijakamilika mmoja wapo mie
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 9 ай бұрын
Tena hizo haki za wanyonge zitakudhalilisha hapa Dunia cha majisifu ,Dhalim wèè
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 7 ай бұрын
Huyu sio chipsi chafu kwn?
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 7 ай бұрын
Kuwa na subira kila jambo Lina wakati wake na kufikiri kwata mtu tulia muombe mungu kwa kila jambo
@alijuju8697
@alijuju8697 9 ай бұрын
Sabra punguza majigambo ivo wewe ndio mwanamke pekee aliyelrta mafanikio? Achana na mambo hayo ya kutaka sifa ndio yanakuharibia. Muungwana hapendi kujisifia kama ufanyavyo wewe Kweli ulikuwa kiongozi zssf lakini kuna kadhia nyingi juu yako ambazo kwa kweli kiongozi kama wewe haulipaswa kuzifanya kutokana wadhifa uliokuwa nao. Kubwa ulishindwa maadili na nidhamu zote mbili ya kazi na fedha. Sisi unotuona vizee nfio tuno macho na tunakuanalieni. Usisingizie eti unaambiwa kuwa ulikuwa ukitembea na raisi wa nchi hilo sio kweli ispokuwa wewe una matatizo yako ambayo kwa kweli usingeliweza kumudu kuendesha taasisi kubwa kama ile kutokana na madhaifu uliyonayo. Ikiwa kama.unaweza kujirekebisha basi nadhani unaweza ukawa na mafanikio. Nfugu yangu Sabra dunia ni duwara kaa uzingstie hayo hao waandishi wa habari wanakutia mihemuko na wewe ndio. unajaa debe tele.
@OmaryTambi
@OmaryTambi 9 ай бұрын
Mh mama samia jembe umeliona hilo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 9 ай бұрын
Inawezekana uliendekeza majungu zaidi kuliko kazi,,,
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 9 ай бұрын
Mwandishi unaudited sana kwa kuongea MNO
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 ай бұрын
Lile mall au chujio Mall halina hata Prking😂😂
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t 9 ай бұрын
Mambo mazuriiii mwizi hata aibu huna Looooh
@HajiMakame-m8l
@HajiMakame-m8l 7 ай бұрын
Usiwate vizee sema watu wazima Mwanamke yoyote bibi na mwanamme yoyote babu sawa
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 9 ай бұрын
Tuwache kusema ambayo hatuna uhakika nayo.
@nasraissa4873
@nasraissa4873 9 ай бұрын
Halafu cha kushangaza watu kama hawa wanajiita wasomi mwisho wa siku kumbe wamesomea wizi naujinga aibu kubwa wapo wengi sana hawa atakwenye uzalilishaji baadhi ya viongozi ndo kazi zao hakupi kazi mpaka akuzini nimeshayashuhudia
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 ай бұрын
We mtangaza aji fanya utanga azaji wacha uchawa na shobo fanya kazi yako
@gibbs1320
@gibbs1320 7 ай бұрын
Ndoa yako ilidumu miezi 10 tuu, mara ulifukuzwa kisa shutuma za kutembea na Raisi. Wewe ni Total Failure.
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 9 ай бұрын
Huyu haifai kuwa hata balozi wa Nyumba kumi
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 7 ай бұрын
Dada tafuta maisha pengine sio lazima smz usikubal ukafanya kishada
@Msomali-o7f
@Msomali-o7f 9 ай бұрын
Waandishi wa habari sijui hawajasoma hawajui kuuliwa mazali km anamsaidia kujibu mazali
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 9 ай бұрын
ZUNGUMZENI KISWAHILI WACHENI UZEMBE WA KUZUNGUMZA KIINGEREZA KUNA WATU WANAJUA KIINGEREZA KULIKO NYIE NA WAKIULIZWA KISWAHILI WANAJIBU WACHENI RIAAAAA NA KIBRI
@Worldunite
@Worldunite 9 ай бұрын
Kiingereza cha kuungaunga tu hawa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
​@@Worldunitesabra Yuko vizuri kwenye lugha
@hayfahajj6328
@hayfahajj6328 9 ай бұрын
Huyu muandishi hafai anauliza yeye anachangia yeye😅
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 9 ай бұрын
Umenichekesha we mtu 😂😂😂😂😂
@huqfojaia232
@huqfojaia232 8 ай бұрын
Ulikuwa mjinga kweli
@binfahmi8637
@binfahmi8637 9 ай бұрын
Unajiteta tu mwezi kama mwiziii
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 9 ай бұрын
Ww ni jizi tu huna llt michenzani moll umepiga hela kinyama jumba mpaka leo linavujaa uyooooo😊😅😅😊
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 9 ай бұрын
Vipi skuiz hufanyi party za kufyatua pesa
@HasnuuMakame
@HasnuuMakame 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg Ай бұрын
Uyo rais satembee nawewe unanini
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 9 ай бұрын
Macho yako yanaonyesha kweli ulikuwa unatembea na wakubwa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
Huwezi kumhukumu mtu Kwa macho
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 9 ай бұрын
Yani huyu anajiona znz nzima yy ndo msomi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
Hahahaha,,,,uko sahihi
@KomboMachano-t2u
@KomboMachano-t2u 7 ай бұрын
Bibi wa Chipsi chafu
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 10 ай бұрын
Huyo mwizi wa Mali ya umaa ,achane ubabaifu wenu
@suleimanbadru819
@suleimanbadru819 9 ай бұрын
Unao ushahidi ?
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo 10 ай бұрын
Tushawaxoea lakin Allah wetu hutubainishia ,haiwi Afande RAMA hana makosa editing tu, wazibeni macho wajinga wenzenu tu.
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 9 ай бұрын
Mh
@farisomar1889
@farisomar1889 9 ай бұрын
Daa bg up sn Hiz ni serekali za kizalim hio ndio fandila zake hao ni wezi wakubwa wana babaika na maneno ya vijiweni tu
@rayaomar6299
@rayaomar6299 10 ай бұрын
Sasa hivyo viengereza ni vya kazi gani
@lenniefei6710
@lenniefei6710 9 ай бұрын
Kama hukusoma laumu wazazi wako !
@babyakasha4002
@babyakasha4002 9 ай бұрын
na wewe ungesoma kidogo usingeshangaa😊
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 10 ай бұрын
Wewe ni mwizi tu kama wizi wengine subiri siku yako ifike wende ukajibu mbele ya Allah kumbe ndiye Wewe Sabra chipsi chafu za Pemba uletewe chips kutoka Unguja tena kwa ndege umetumia vibaya pesa za ZSSF umma unajusubiri Fisadi Wewe. Husalmiki mwizi mkubwa wee
@AliMahmoud-tj2jb
@AliMahmoud-tj2jb 9 ай бұрын
Mama ulifanta kufuru sana kwa pesa za uma omba radhi sana kwa wananchi kabla hujafika mbele ya m.mungu
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
Kama uhakika wa unayosema upo, basi wwajibishwe wote wawili. Huo ni uonevu uliofanyika MTOA RUSHWA NA MLA RUSHWA WOTE FIMBO 12 WAKIINGIA NA 12 WAKITOKA!!!
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 9 ай бұрын
@@AliMahmoud-tj2jb Alifukuzwa ukafanywa uchunguzi na baadae wakajiridhisha kwamba hana hatia. Sasa kama wewe una uchunguzi wako na uhakika nenda mahakamani
@SeifMassoud
@SeifMassoud 9 ай бұрын
​@bakarijumakupaza4351 Nafikiri ile kufukuzwa kazi ilikuwa ni onyo kutoka kwa Allah ambae ndie mtoa rizq na ndie aliemfikisha pale nafasi aliyofika, lkn alishafanya kifuta kiasi.. unafikiaje mpaka unaita chakula kichafu? Wewe binafsi unaweza kuniambia kuna rizq chafu?
@aliyissa9857
@aliyissa9857 9 ай бұрын
Salamtak
@coolpara8192
@coolpara8192 9 ай бұрын
Unatembea na Rais una maana Gani ww
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 9 ай бұрын
Kama mna uhakika wa hiyo tuhuma Basi.asiwajishwe peke yake, na huyo mtuhumiwa mwenzake anapaswa kuwajibishwa eti, au...... MTOA RUSHWA NA MLA RUSHWA WOOTE MSAGANNAGA, FIMBO12 WAKIINGIA NA 12 WAKITOKA!!!
@naimajuma647
@naimajuma647 9 ай бұрын
Kwani ajabu kutembea na rais!? Bahati iliyoje😂
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 7 ай бұрын
​@@naimajuma647😂😂😂
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 9 ай бұрын
Huyu dada KAMA utamfatilia utajuwa amedata
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 7 ай бұрын
Kabisa, akili yake imedata Kwa kutolewa cheo,,,
@hassanthabit4021
@hassanthabit4021 9 ай бұрын
Sasa ww mtangazaji au shogaako tu naona hujui Taaluma yako 🤔🙆
@BakarJuma-v6s
@BakarJuma-v6s 7 ай бұрын
Kwani Hana mume
@farisomar1889
@farisomar1889 9 ай бұрын
Laanatu lwahi alaih fisadi mkubwa ww ucie funzwa na wazazi wako nyoo tembea uko malaya ww una jikosha tu ktk media ili iwe nn na ww ni mwizi tu
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 9 ай бұрын
Mwanamke hawez kuendesha sehem zakijamii zaid ya shuhur za nyumbani acheni kupingana na mungu machini nyie wote mnao taka et haki sawa mungu alivyoeka yeye mjingaa ma mbwa nyie ndio maana ndoa za leo hazidum kwa kuketa usenge senge wenu tofaut na alivyo weka mungu
LIVE_:SABRA MACHANO AFUNGUKA
1:01:38
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 5 М.
ISHA MASHAUZI kuachana na Muziki wa Taarab mazima?
14:52
NG'ARING'ARI
Рет қаралды 18 М.
RAISI AVAMIA SABASABA WATUMBULIWA VIONGOZI
2:24
BETA film production
Рет қаралды 22 М.
MKURUGENZI ZSSF/CHAKULA CHA WAKUBWA/NILIKUWA MDOGO /WAMEONDOKA WOTE
50:56
KIDANI EP 47:-SIRI YA KUISHI NA MKE MWENZA MWENYE HEKAHEKA
56:31
Kidani Show
Рет қаралды 17 М.
Breaking news: SABRA MACHANO Asimamishwa kazi tena.
4:26
NG'ARING'ARI
Рет қаралды 10 М.