Safi dr hussen mwinyi raisi mpendwa wetu Allah akutangulie katika majukumu yako ❤❤❤❤
@abuuraslaanadam97572 жыл бұрын
Daa pole sana raisi wetu Allah atakupa wepesi katika uongozi wako
@kassim12627 ай бұрын
Allah hayupo pamoja nakiongozi dhulma au allah yupi umemkusudia
@fatmamansour27647 ай бұрын
Hongera baba kwa jitihada yako Allah atakulinda kwa kila baya ,ila watu wako wabaya na hiyo ngumu kuondoka
@suhailaidarousahmed28796 ай бұрын
Sema baba Hussein tupo pamoja nawe Mungu akulindeee inshallah
@raphaelsikumbi55172 жыл бұрын
Mheshimiwa upo vizuri sana watanzania na wazanzibar tunakuamini sana
@ibrahimame98059 ай бұрын
Unamuamini wwtu yy mwenyewe ndio hivo.ameingia madarakani kwanjia gani.
@allyzanzibar89837 ай бұрын
@@ibrahimame9805Upo kulia mzee
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Nakupenda sanaaaa mwanangu uko kama hayati magufuli walifikiri mpole kumbe mchapaji kazi mzuri sanaaaa sasa hivi znz inapendeza isipokuwa bara tamko lake mama kila mtu anakula urefu wa kamba sasa siyo urefu wa kamba tena bali wanahomola mama bara imemshinda kabisa nchi inakombwa vibaya sana kila sekta
@allyzanzibar89837 ай бұрын
Huna kazi unaongea kama unanyonya koni unampongeza wa Mkuranga mwenzako sio na kumponda Mama
@ibrahimnassor6 ай бұрын
Tuko nyuma yako Baba M/mungu akulinde usiku na mchana..
@abdallahkassim86009 ай бұрын
Waiba halfu ss wanyonge wa mungu ndio tunalipa ss kw kukushanya makodi zrb wafanya kazi wanamjumba wana magorofa na wa nyumba wakodisha kw dola wala hawalip kodi ss wnyonge ndio tukamuliwa
@aishahaji31282 жыл бұрын
Wallah umewachaguq watu wanakumiza ww mtendaji mashallah ila viongozi wa juu wanakumiza Raisi wetu
@KhadijaHussein-qn2ge2 ай бұрын
Haya yote majizi yamekutana ibeni mpaka muchoke iyo mijizi inasingiziana tu😅😅😅😅ondokeni mnaifanya znz duka lenu la mitaji
@aminaomary55677 ай бұрын
Ndio Mhe:Rais hivyo hivyo na huku kwetu bar ndio kuzidi wizi❤❤❤👍👍👍👍
@kishkopakabalu82796 ай бұрын
Alaaaa😂😂😂
@dm_hulsdv867 ай бұрын
Mungu akulinde Mh Rais uendelee kutusaidia wanyonge.
@veronicabwamukuru12652 жыл бұрын
Nakukubali Sana wewe baba Mungu akulinde
@KamchapeKachara7 ай бұрын
Tunajua unapambana na viziwi tutakuombea kwa mungu akupe nguvi ushinde mafisadi na inshaallah utawaweza ameen
@eaglecrown11012 жыл бұрын
Safi Sana MUNGU akulinde zidi ya manyangau keep going (leader can make changes)🙏🏿🤔
@ukweliunauma45702 жыл бұрын
Wote wamoja tunaondoshwa juju tu
@JannatJannat-s6j17 сағат бұрын
Hata bado. 😢😢
@AliKhali-q5u2 ай бұрын
Mungo akupe umri mrefu Rais wetu mpendwa
@DaheerK5 ай бұрын
Uko zanzibar uyu nirais kweli hongera baba
@BizzBoy-g4o7 ай бұрын
Acheni kutuzuga mwizi hapewi ushauri Utawala wote nidhaifu.
@adaNahimana-y7b6 ай бұрын
CCM Mnachekesha Mkiambiwa Hamuwezi Kuongoza Nchi Mnakataa Haya Sasa Hadharani Mnajianika
@Fatma99-ve7ys7 ай бұрын
Tatizo lenu ni wiz wakila siku na ilo jambo haliondoki maisha mtabakisha kuiba kila siku wala hamutajiriki
@aishahaji31286 ай бұрын
Tatizo wanakumiza hao unaowachagua kuongoza watuwazima wenzio kazi Wallah tumbua tu
@KhaleedHamad-vl7lz9 ай бұрын
Unajikosha tu
@ndukulusudikucho_7 ай бұрын
Shule
@lessingondainendaine70012 жыл бұрын
Nakubali mshikaji kama haongelei camera
@husseinkonz51922 жыл бұрын
Zaeca zanzibar ishakua jipu pevu tatizo muhali Sana
@FatnaAlly-go7yt7 ай бұрын
Allah jaalia tanzania 🇹🇿 🙏 amani
@gracemima52342 жыл бұрын
Munatishia kufukuza mafisadi, lakini hamuchukuwi hatuwa. Watu wamezowea kuambiwa tu bila hatuwa kuchukuliwa, watu wanakuwa hawana woga wa wizi unaendelea. Kuna takukuru, kuna Polisi hawa wote wanafanya kazi gani? Kwa mwenendo huo Tanzania maendeleo tusahau. Matatizo haya yako kote. Tanzania bara ndiyo ome if I. Wawekezaji wanaondoka. Wizi serikali mpaka kwa wananchi. Tanzania ilikuwa na Rais
@mundodebolada35702 жыл бұрын
Wao wenyewe ni zao la huohuo wizi , harafu utamfukuzaje mtu aliyekupigania kukaa kwenye hicho kiti? nyinyi fanyeni tu kwamuda wenu huu lkn amini kama cyo nyie basi vizazi vyenu vitakuja kulipa haya mnayo watendea watanzania ,
@solomonadams63374 күн бұрын
Wewe mwenyewe vile vile ni mwizi kwa nini umevikodisha visiwa vya Wazanzibar wakati Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume hakuwahi kupata kuvikodisha visiwa visiwa vya Zanzibar sio mali ya Serekali wala sio mali ya Rais bali ni mali ya Wazanzibar sawa!thanks
@Nuruyasunnah.official_tv6 ай бұрын
❤❤❤❤
@papaimaika69432 жыл бұрын
R.I.P. MAGUFULI
@hamadfaki25032 жыл бұрын
Umeshiba ugali na mlenda
@ashaali71542 жыл бұрын
Wevi washtakiwe na kufilisiwa ndio dawa tu la sivyo mchezo utaendelea milele.
@shadyachina24702 жыл бұрын
Watatuuwa hao c watu wazuri
@massoudsultan61492 жыл бұрын
Maana ya wazir I WA ulinzi ni Jeshi my President w apeleke kijesh watakuzeesha
@ledetourzanzibar14337 ай бұрын
watimue mueshimiwa usiwaache na uwachukulie sheria please
@fat-hiyasalum31877 ай бұрын
Kuwa nao karibu TU hao watafanya kazi Yako.utajua nn tatizo.
@salumsimai6427 ай бұрын
Wana njama hao ya kukuharibia wakiwemo zaeka ndio hao hao
@FatnaAlly-go7yt7 ай бұрын
Allah oooh allah jaalia amani nchini
@atlastz22632 жыл бұрын
Kiongozi inatakiwa awe na maamuzi kama haya. Mwinyi ni magufuli mwingine
@mohamnedsalum21502 жыл бұрын
Kabisa
@aishathabit37326 ай бұрын
Afisa masuuli ndiye aliye iba? Sijafaham hapa Je hao wezi hajawafahamu? Hawakutajwa majina au taasisi zao? Ufafanuzi pls
@JannatJannat-s6j17 сағат бұрын
😂😂 ndio kwanza unajua wewe mwenyeo mwizi na ndio maana mpaka Leo upon madarakani 😂😂😂
@GilbertNhigula7 ай бұрын
Haaa Wizi hapana Hawamjui Mungu na Sijui ni Kwanini hawana ofu ya Mungu Wanakula Viapo harafu Wanaiba Fedha za Maendeleo hii si sawa Kabisa !, inasikitisha Sana basi tu !.
@AbdallahJuma-wb8lq6 ай бұрын
Wewe,mwenyewe,????????
@zariadunia63282 жыл бұрын
Angekuwa yule mwanaume pekee wa nchi hii hon JPM ungeshasikia zaeka sijui zrb amewafukuza kazi wote na kuajiri hapo hapo RIP chuma huku ulituacha wanawake watupu mwanaume ulikuwa wewe tu wezi wanaongezewa muda wa kuiba eti mwakani muache kazi wenyewe kwani wanajali wakati wanamshiko wa kutosha sweka ndani mara moja hawana adabu
@hamadfaki25032 жыл бұрын
Huyo jamaa unayemkubali inawezekana mlikua munaibia serikali pamoja,huyo dicteta ulomkubali ww aliibia serikali matirioni ya hela.
@mudhihirugara88456 ай бұрын
Jongera raisi mwinyi mama samiya jifunze kwa kakayako
@moodyman75886 ай бұрын
Wafungwe na wateifishwe km ulaya wavyo fanya. Hata kibanda cha kuku.wasiwe nacho mpaka zikamilike pesa za wizi.😣
@anafisuleimani70832 жыл бұрын
Ndio maana inchi yetu haipigi hatu mbele watumishi wa serikali ni wezi kila sekta ni hatari
@hawrajehan239820 күн бұрын
Wafunge hao mijiviongozi milafi kazi kutoa matumbo na roho mbaya tu
@shaabansabour12146 ай бұрын
Kwanini tungoje mwakani?
@DormanDorman-jm3dz7 ай бұрын
WASWEKE NDANI NA WAFILISIWE MALI ZAO ZOTE ..KUWAFUKUZA PEKEE HAITOSHI
@ferozjussab19092 ай бұрын
Bila Action no result... Piga chini wote
@raheemsterling23046 ай бұрын
Harumatha kanenepa thijamwona thiku nyingi
@abdirazaaqhussein33187 ай бұрын
Sio uwafukuze Dr hao washitakiwe wao bado umuhali na rushwa wanachukua hao
@sadraaly34107 ай бұрын
Mh .. mbona yamejirejea tena na upo kimya baba
@AliMuhamed-k2v2 ай бұрын
Mheshiwa rais haki hekima na busara zako itaifikisha pazuri nchiyetu Kwa uwamuzi unayo chukua usiupindishe kaza hapohapo
@LameckLameck-v9r6 ай бұрын
Mh mm ningefurahi kuona mwaka huu washughulikiwe
@SalehKassim-v5y5 ай бұрын
S wema kwako hao baba timua
@MakameSilima-g7k9 ай бұрын
Hamun uadilifu
@hashimalsaadat49056 ай бұрын
Kama Raisi Analalamika Mimi Na Wewe Ni Nani Hata Tujione Tupo Salama ? Tuendelee kujitathmini
@AliMahmoud-p7o8 ай бұрын
Mheshimiwa tatizo hao zaeka hawana elimu ya kupeleleza kesi hawajasoma nndo mana wanashindwa kupeleka kesi mahakamani
@shaksbinsalim6 ай бұрын
sawa sawa ondosha Maradona ukiwachekea watakufelisha rais wetu wameshazoweya hao wafanya ni shamba la babu hilo
@kishkopakabalu82796 ай бұрын
Hahahaha hahahaha😂 sicheki kwa kejeli Bali nacheka kwa masikitiko
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
Zulma haizai haki
@RaibebeBebe6 ай бұрын
Africa mnaiba mpaka kura za wananchi na mnasema wazi kwamba mnaingia kwa kura 2 tu yako nayamkeo za wananchi hazina saman nyote sawa
@onelovetz79357 ай бұрын
Uko vizuli lakini chokola akiiba jera ni lake naomba Rais walipe na wahukumiwe miaka hata wanyonge wafalijike kwa kuona haki inagusa kotekote
@abdirazaaqhussein33187 ай бұрын
Waeke ndani wao hao wanashirikiana nao kazi kuonea wanyonge tuu hao
@ashahamad-mq3iz7 ай бұрын
Hao wataiba mpaka kiama maana Hawa wanalindana hawawezi kuacha Wizi maana ndio Sera zao
@mohamnedsalum21502 жыл бұрын
Rais mwinyi unajitahidi lkn bado unakazi kubwa kuondoa ufisadi uliodumu kwa mda mrefu Zanzibar
@MhemedySaloom2 күн бұрын
Dhulma ndo ilivo
@sleyra4 күн бұрын
Tatizo hao zaeca nao ni wizi
@ndimimaskati36417 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni MWIZI, umetokana na DHULMA.
@AliAli-ox9wo6 ай бұрын
Muheshimiwa anza kunyonga wezi ushauri wa wananchi wamechoshwa
@ndimimaskati36417 ай бұрын
Kamtafute aliyekuwaka madarakani, WAZANZIBARI wanataka nchi hap.
@yussufmiraji94087 ай бұрын
Mh: mwinyi fukuza wote hawa kwa hili hii tutakuwa hatufiki mbali docta mwinyi ondowa muhali kwanza
@African5112 жыл бұрын
Blueprint ya JPM
@bajagihaji89232 жыл бұрын
Tanzania tatizo kubwa siyo kiongozi ni baadhi ya wafanyakazi wizi ni nguzo ya maisha inasikitisha
@fortuneakankizya53362 жыл бұрын
Hon mwinyi natamani siku moja nikuone nikupigie sakuti ba unioe pia mkono wa heshima. I wish wewe ungekuja kua president wa hapa Bara anyways poa sana
@ibrahimame98059 ай бұрын
chukueni ss hatuna haja nae baraka ya kutuengezea Hali ngumu ya maisha .ameingia mapembe 1200,skari1400 unga hausemeki mafuta ya taa,1420. Saiz ni marambili yake. Wakati mchele unalimwa bara ilikua dukani kg 800 leo32001kg. Ila Allah anayaona anayotufanyia.
WIZI ni urithi wa Afro-Shirazi Party (ASP) mara baada ya Vita vya Msalaba kuibura Zanzibar kwenda Tanganyika. 1) Waliiba ardhi ya Wazanzibari, Unguja na Pemba kwa jina la Utaifishaji bila ya fidia chini ya utawala wa ASP. 2) Waliiba mashamba ya mikarafuu ya Wazanzibari, Unguja na Pemba bila ya fidia chini ya utawala wa ASP. 3) Ardhi na Mashamba yaloibiwa yakawa ngawira na kupewa Bure kwa wanachama wa Afro-Shirazi Party chini ya utawala wa Afro-Shirazi Party. 4) Baada ya Rais Julius Nyerere kuvunja Afro-Shirazi Party (1977) na akaunda Chama Cha Mapinduzi (CCM), wizi ukarithiwa na wanachama huimba: CCM OYEE!! OYEE!! au 2MAPINDUZI!!! DAIMA!!
@chichelazaro36292 жыл бұрын
Now I see the President, good seed of JPM
@fahadfaraj64742 жыл бұрын
Acha kaka nalia
@hamadfaki25032 жыл бұрын
Huna la kuongea kaa kimya
@salumsimai6427 ай бұрын
Mheshmiwa fanya vitendo Kila siku unazungumza tuuuuu
@abdullhamaidsalum15116 ай бұрын
MH uko zaeca na wao waundiwe tume ya kuwachunguza
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Na mpaka sasa hatujui mradi wa mwalimu nyerere wa umeme uko vipi tunaona tu January makamba anatangaza gesi ya rostam kuuzwa na kupewa bure huko songea maajabu haya
@arafataliomar74327 ай бұрын
Kwani wakiiba siwanatumia hapa hapa wazungu wasituibiye tu
@mwajemwafula57772 жыл бұрын
Chuma hichi Huyu angekuwa bara da tungefaidi sana
@jumaramadhan38817 ай бұрын
Tena watakatishwe mali walizoiba
@chinchon21262 жыл бұрын
Una nia njema na vitendo vyako vinathibitisha imani yako lakini kuna walafi umewapa nafasi wanaliumiza taifa kwa wizi
@jumaramadhan38817 ай бұрын
Sio kuwafukuza ni kuhukumiwa kama tunqvohukumiwa raia tunapofanya kosa
@mohammedhaji73822 жыл бұрын
Mnakipigia makofi nini au mnamjejea?
@Mizblu074 ай бұрын
Mwinyi unaupiga mwingi
@aishahaji31286 ай бұрын
Warowe ikisha wapelekwe ndsni hao Anko wacha ubinadamu hao sio binadamu
@DormanDorman-jm3dz7 ай бұрын
FUKUZA MAZEEE HAYO YATAKUHARIBIA
@handhalhandhal46086 ай бұрын
Hamna kitu hapo
@MakameSilima-g7k9 ай бұрын
Wala hautaondoka kwa sababu yenu viongozi
@nassormessi-zk5cz10 ай бұрын
Nyote wizi Waafrika njaaa tu
@AyoubKhatib-p4k7 ай бұрын
Wakubwa wa zaeca wote tia ndani kama mwezi
@SadikKhamis6 ай бұрын
Mwakani
@massoudsultan61492 жыл бұрын
Vile VYAMA vingi ilikua tushauriane mengi ila mwisho WA ubaya ni aibu
@assleeali23027 ай бұрын
Sasa mheshimiwa kma mwiz unamjua na ww ndo mweny amr ya mwisho kwann unewacha mpka wakaiba tena na wapo kazini bado.kwahy unawaonea huruma????au na ww wameshakupa zako????
@sasha-ri7tf2 жыл бұрын
Acha mkwara wewe mwenyewe umeingia madarakani kwa njia ya wizi wa kura unategemea nini na ndio sababu unakigugumizi hujuwi umshike nani ktk wizara zote ulizo zitaja sababu wewe mwenyewe Mwinyi ni kati ya hao (wezi) wenyewe huo ndio ukweli.
@oscarsheha46022 жыл бұрын
Una ushahid
@JumaMatao7 ай бұрын
Wanaiba halaf tunapandishiwa makodi ss wafanya biashara .