Nimependa sana elimu yako, Mungu akukariki sijajua unauzaje lita moja bei gani?
@annaclaireshija2 ай бұрын
@@ewaldroman987 amina dear, lita 5 kwa elfu 10.
@Shafikimanga75 ай бұрын
Barikiwa sana kwa utaalmu
@annaclaireshija5 ай бұрын
@@Shafikimanga7 Amina mpendwa. Barikiwa pia.
@ElvisElidaima4 ай бұрын
Barikiwa kipenzi tupe vipimo chumvi na sless
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@ElvisElidaima amina dear, vipimo utavipata kwenye kitabu cha Utengenezaji wa bidhaa za Viwandani, 0687786576.
@annamwalusamba26534 ай бұрын
Asante kwa elimu dada Anna🙏😘naomba kuuliza malighafi za kutengeneza sabuni kwa Dar zinapatikana wapi?
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@annamwalusamba2653 Asante dear. Karibu upate kitabu utajifunza bidhaa nyingi zaidi za usafi na urembo, vipimo na wapi pa kupata malighafi. 0687786576. Kitabu ni elfu 30 tu.
@hellenmawere92844 ай бұрын
Asante kwa Upendo dear, samahani kitabu chako hauna nakala ngumu?
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@hellenmawere9284 Asante dear. Hapana. Ni soft copy tu.
@hellenmawere92844 ай бұрын
@@annaclaireshija Sawa, najipanga kupata nakala yangu hivi karibuni.
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@hellenmawere9284 Karibu dear 0687786576.
@khadracilmi-yl1fpАй бұрын
Nimependa sana hii sabuni naomba vipimo na how many litres imekuwa?
Dada habari Mimi nikitengeneza sabuni rangi inabadilikabadilika . Mfan namtumia bluu baada ya muda unakuwa zambarau mwisho unakuwa pink. Pia perfume hainukii shida Nini?
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@evalinasimon134 caustic huwa ndio inasababisha rangi kubadilika ndio maana huwa nashauri sabuni zenye caustic ni vyema kutokuweka rangi.
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@evalinasimon134 caustic huwa ndio inasababisha rangi kubadilika ndio maana huwa nashauri sabuni zenye caustic ni vyema kutokuweka rangi.
@evalinasimon1344 ай бұрын
@@annaclaireshija kwa maana hiyo caustic inaharibu rangi na manukato. Vipi naweza kutengeneza bila caustic?
@evalinasimon1344 ай бұрын
@@annaclaireshija vipi sabuni inaweza kuw Bora nisipoweka caustic ? maana tangu nianze kuweka hii kitu wateja wanalalamika sabuni hazinukii na rangi inabadilika
@JaneMashaka4 ай бұрын
Hujaweka vipimo
@annaclaireshija4 ай бұрын
@@JaneMashaka utavipata kwenye kitabu.
@Khadija-ne8ul3 ай бұрын
@@annaclaireshijakitabu bei gani???
@annaclaireshija3 ай бұрын
@@Khadija-ne8ul elfu 30 dear 0687786576.
@ZakiaMohamedi-n8x3 ай бұрын
Unatisha dada Yani mmmh, unafaa kuwa mwalim unaelezea vizuuuuri, karibu masasi mtwara
@annaclaireshija3 ай бұрын
@@ZakiaMohamedi-n8x Asante sana kipenzi. Ubarikiwe.