Yan kwenye sadaka ukitaka Mungu akufikilie .toa sadaka kama wajibu bila kutegemea utapata faida toa na sahau tena kwa moyo wa kupenda usimpangie Mungu muda hata asipojibu yy ni BWANA tu ila hatakuacha binafs hajawah niacha
@furahamkonda5112Ай бұрын
Naomba kuuliza KUHUSU KKKT (Lutheran Church) natoa nilikotoka au popote natoa tu ilmrad iwe na MADHABAHU ya KKKT??? NAOMBA NIELEWESHE
@janendumia899129 күн бұрын
@@furahamkonda5112..my brother mafundisho ya malimbuko umeifahamu kupitia Siri za bibilia...kabla ya mafundisho haya kna maombi imefanywa na mtumishi innocent..ya kuitisha baraka na kibali kutoka kwa Mungu ,sasa wewe ukitoa kwingine kaiombea nani...fungi la kumi na sadaka ya kawaida waweza kuziachilia madhabahuni kwenu..ila hii.. Ujumbe na ufahamu umetoa kwake... tafakari... Shalom.
@MamaTee-bm2en23 күн бұрын
@@furahamkonda5112sadaka toa madhabau unayosali kwa sasa
@akim_tzАй бұрын
Daah🥱 kiukweli si jambo rahisi aisee, Mungu anisaidie hii January, kutoa kila mshahara wote na marupurupu😥 Mungu nipe nguvu niweze.
@eliminapeter3280Ай бұрын
Sadaka zinazouma zina majibu makubwa
@luciageorge29229 күн бұрын
kuna wakati skuwa na kazi lkn nilikula na na nilipona
@luciageorge29229 күн бұрын
Nasikia kupona asante mtumishibwa Mungu nilkuwa nahofia natoa yote wakati sina ata nauli ya kazn af naumwa lk nafs imefunguka kwa moyommoja kbsa
@eliminapeter3280Ай бұрын
This is huge. God I thank you for this 🙏🏽
@JimmyKimaro-z6bАй бұрын
Asante yesu
@PascalMpareАй бұрын
Amen mtumish wa mungu
@AureliaJeremia-v6kАй бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe
@anjelinamgude808Ай бұрын
Amina
@Joycependopendo-dv2tbАй бұрын
Amen namshukuru Kwa kunilinda Mimi Na familia yangu Hakika utukufu umerudie yeye milele Na milele Amen
@Victoria-bv6xu19 күн бұрын
Nimepona mie🙏
@furahamkonda5112Ай бұрын
Mungu nipe Moyo wa kutoa! Mana huwa najuwa na sababu nyingi Sana.
@JastFinancial02Ай бұрын
Bravo san
@wisemelodytz589Ай бұрын
Amen...Amen 🙏
@SevAl-p9kАй бұрын
Sylvia ameen 🙏♥️ asante roho mtakatifu 🙌♥️
@Loice-c9oАй бұрын
Amen 🙏
@irenesangolo1272Ай бұрын
Amen,amen,amen.
@StellaKeneth-dg7jlАй бұрын
Amen asante kwa kutufungua mtumishi🙏
@DorothyChilemboАй бұрын
Asante mtumishi ubarikiwe Sana nimejifunza mengi Sana kuhusu sadaka🙏🙏