SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 32,150

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Sadaka ni jambo la kiroho na ni jambo lenye matokeo makubwa sana,iwe katika upande wa nuru au wa giza.Miongoni mwa kazi za sadaka ni kwamba unapoitoa haiwi kwa ajili yako tu ila inahusisha hadi uzao wako,iwe unajua ama hujui.Kama ambavyo sadaka inaweza kuleta baraka kwenye maisha ya mtu na uzao wake,pia inaweza kuleta laana kwenye maisha ya mtu na uzao wake..inategemea imetolewa katika madhabahu ipi na kwa lengo gani.
Karibu ujifunze kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando namna sadaka inavyofanya kazi katika ulimwengu wa roho.Somo hili litabadilisha kabisa mtazamo wako juu ya sadaka,na hata utoaji wako utabadilika,hautotoa tu kimazoea ila wakati unatoa utakuwa unajua unafanya nini.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...

Пікірлер: 37
@simonndegwa-ui8rk
@simonndegwa-ui8rk 2 ай бұрын
Am always blessed following your teachings
@patriciammbando5870
@patriciammbando5870 Ай бұрын
Thank you JESUS🙏🙏🙏
@user-vp3ve3pi4v
@user-vp3ve3pi4v 5 ай бұрын
Asante kwa mafundisho Yako mungu akutie nguvu zaid na miaka zaidi
@samwellaiser8421
@samwellaiser8421 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri inanibariki ila kuna wakati unachanganya na kimombo Unaniacha hewani naomba unisaidie kwa hilo
@user-mr7yg9rw5k
@user-mr7yg9rw5k 10 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu na pia akuongezee nguvu ya kimwili nakukujaza Roho mtakatifu Mahubiri yako unipa fundisho sana kukufata Kila siku kwenye KZbin.
@felestinekwamboka2873
@felestinekwamboka2873 2 жыл бұрын
I have learnt something be blessed pastor 🙏🙏🙏
@johnny.j.nyondo
@johnny.j.nyondo 2 жыл бұрын
Tukipata muda tusome yakobo <a href="#" class="seekto" data-time="130">2:10</a> Mtumishi kuna jambo unatakiwa ujue Na unatakiwa ujifunze au ulifatilie vizuri Ahsante sana nashkuru
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Ameeen be blessed paster nimejifunza kitu kwa hilo fundisho waaaa
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Asante Mungu wangu kwa huu ufahamu 🙏🙏🙏❤️❤️Mungu akubariki sana baba
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 жыл бұрын
the lord is good
@angumbwikeanangisye9766
@angumbwikeanangisye9766 3 жыл бұрын
Amina! Nimejifunza kitu hapa,
@kabelengegodfrey9741
@kabelengegodfrey9741 3 жыл бұрын
Uko sawa nimekukubari ubarikiwe
@deborahogega4600
@deborahogega4600 2 жыл бұрын
Ashanti mtumishi sikuona ukubwa wake Leo nimejua
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 3 жыл бұрын
Amein
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 2 ай бұрын
AMEEN
@francislazaro1413
@francislazaro1413 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@ntulimwambambale1244
@ntulimwambambale1244 3 жыл бұрын
Ameeen mtumishi wa Mungu
@godlovewarwa
@godlovewarwa 3 жыл бұрын
Amen mtumishi....Mungu azidi kukubariki
@dollamtui5849
@dollamtui5849 3 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri mtumishi kwa maisha tunayoishi na tulioishi Mungu tuu aingilie kati atuokoe kwa Neema yake amen
@jemaebeneza6516
@jemaebeneza6516 3 жыл бұрын
MTUMISHI ubarikiwe Nina kuelewa sàna
@marydaniel1121
@marydaniel1121 3 жыл бұрын
Mchungaji sisi wachaga ndio tunatakiwa tufikirie sana wazee wetu na sadaka za mitambiko mwaka kwa mwaka
@getrudentulo7803
@getrudentulo7803 3 жыл бұрын
A
@cutemamy9602
@cutemamy9602 2 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾
@noelswai2619
@noelswai2619 3 жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki saana, nimejifunza jambo kubwa saana
@neisamartin4087
@neisamartin4087 2 жыл бұрын
Asante Mtumishi Sunbella kwa Somo la fungu la kumi , ninebarikiwa sana na masomo yako. Ila swali langu ni Sadaka ya yatima na wajane. Itakuwa katika kundi gani?. Mimi nilidhani unaweza kutoka fungu la kumi kwa yatima na wajane na kama sio. Je liko katika kundi gani ? na inatolewa wakati gani?.Mimi nauliza ili nijifunze kwani nafuatilia masomo yako kwenye you tube Ibada zote Tatu.Kila wiki, . Mungu azidi kukubariki sana . Nebraska- Marekani.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Nina jibu swali lako ingawa sio mhusika uliye muuliza!! Fungu la kumi unaweza kuwapa yatima na wajane kama Holly spirit amekwambia ila ni salama kabisa kutoa kwa makuhani au wachungaji na hata madhabahuni ambapo Mungu asema toeni ili kiwemo chakula!! Malaki 3:10-12,ila tangu zamani sheria ilikuwa ni kutoa kwa makuhani na walawi au madhabahuni (kanisani) makuhani ndio walikuwa wanaigawa katika mafungu mbalimbali ya misaada kwa wahitaji ikiwemo yatima na wajane!!
@ViolethyKimaro
@ViolethyKimaro 6 ай бұрын
Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya Nini?
@user-ip6it5kf5o
@user-ip6it5kf5o 8 ай бұрын
Na kama sandaka yako unampa mtoto wake atoe kwa sababu mzazi anafanya kali nchi za mbali je ni sawa ama ninakosea
@neemashuma4302
@neemashuma4302 3 жыл бұрын
Laiti tungelijua maana ya sadaka tusingecheza nayo hata kidogo
@flevianelacongolese323
@flevianelacongolese323 2 жыл бұрын
Hjh
@petroelibarick5945
@petroelibarick5945 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@priscaadongo1922
@priscaadongo1922 2 жыл бұрын
Fungu la kumi is not for the church during animal blood
@kilianmtotowamungu3885
@kilianmtotowamungu3885 11 ай бұрын
Amen
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 жыл бұрын
Amen
@lucymmary2933
@lucymmary2933 2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi nilikuwa sitoagi zaka ila kwanzia Leo nitakuwa wakwanza kutoa zaka mungu anisaidie
SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:04:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 18 М.
SADAKA YA FUNGU LA KUMI KWENYE AGANO JIPYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:05:28
Reality of Christ Church
Рет қаралды 14 М.
THAWABU TATIZONI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 1,8 М.
Mkristo Hatakiwi Kutoa Fungu La Kumi - Sehemu ya Kwanza
15:03
Spirit Gathering Ministry
Рет қаралды 19 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 4,4 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 16 М.
UAMINIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:29
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
TAMBUA CHANZO CHA TATIZO UNALOPITIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
17:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 33 М.
ROHO MTAKATIFU  II (FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:07
Reality of Christ Church
Рет қаралды 47 М.
UMUHIMU WA KUTOA FUNGU LA KUMI
22:55
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 7 М.
FAIDA YA KUMTUMIKIA MUNGU KWA KUJITOA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 17/03/2024
3:31:18
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 12 М.