Рет қаралды 20,243
Mungu akiingia agano na wewe, mtu akijaribu kupambana na wewe anakua anapambana na Mungu.
Uko happ una-survive ni kwasababu Mungu aliweka agano na wewe.
Mungu akikuambia toa sadaka na akakuambia mpaka kiasi cha kutoa, usifikiri Mungu anakua na SHIDA na sadaka yako, Kuna kitu ANAKITAFUTA.
Agano la Mungu na Abraham ndilo lililowatoa Israel utumwani, NEEMA aliyokua anatembea nayo Musa ilikua ni kwasababu ya agano.
Unapopata nafasi ya kutoa sadaka TOA, unapopata nafasi ya kuweka agano na Mungu kwa njia ya sadaka ichukulie kwa UMAKINI.
Mungu ni mwaminifu na siku zote analitimiza neno lake.
#PastorSunbella#Sadaka#Agano