SAFARI YA KIGOMA: QUEEN DARLEEN Atinga Bila MUME Wake - "WALISEMA NASAGANA"

  Рет қаралды 39,259

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@mwanajumabadi2836
@mwanajumabadi2836 4 жыл бұрын
Love u queen from kenya.....alafu mtangazi umenichekesha eti aunt unadeka siku hizi
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 4 жыл бұрын
Kuolewa Raha jamani Mungu waso Ndoa waoe Yaaa Allah hakuna Raha kama Ndoa
@samniza1763
@samniza1763 4 жыл бұрын
Good family bond, unlike some families!
@anisa383
@anisa383 4 жыл бұрын
Usipoteze nuru yako umeolewa umekuwa malikiya endeleya kutunza hishima yako litunze pendo Hilo la almasi mungu Kubariki
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
Kama mimi ndo mke mwenzangu walanisingeshughulika kwa mke mwenza uyu nilijua akiolewa atabadilika atasuka kama mkwe watu leo hii amesuka kama jini Medusa sjiui luck dube ata sielewi,,wanawke tunaambiwa mwalimu wetu kipofu ila na wanaue nahisi mwalimu ni chizi ivi kweli mwanamme unaejielewa halaf unajita Muislam unaweza kumruhusu mkeo avae kama ivo..
@missjasmine4447
@missjasmine4447 4 жыл бұрын
Mbon wake Zawatu wengi wapo hivyo uswahilin kwetu
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
jasmine haipendez Wallah mke wa mtu ni kujihifadh na kujielewa pia ukijihifadh unazidi kuchunga heshma yako
@missjasmine4447
@missjasmine4447 4 жыл бұрын
@@khadijaahmada2544 kwani kunyoa nikuvunja eshima mume kampata akiwa ivyo sasa ww hayo nimaono yako ila nikawaida sana naanaeshimika ndomana kaolewa pili yupo job mwanamke akinyoa hivyo eti vibaya Ila mwanaume kawaida lol
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 4 жыл бұрын
Queen Darren dada yake simba madame Isaka ongera sana umehongeya vizuri sana
@hawamashaka7235
@hawamashaka7235 4 жыл бұрын
Saf sana wajina wangu
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
Leo umevaa nguo ya heshim nimependa hiyo tujuan lik
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 4 жыл бұрын
Zaii Qatar kiba music nahic atavaa😆😆 vzr sasahiv kwa hatua aliyofikia..
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
@@tatuyussuf7574 chezea ndoa wew ten pemba
@careenmassawe53
@careenmassawe53 4 жыл бұрын
Safi queen kwanza umependez knom we ndio chaguo Lang Kweny music
@neyvatally8008
@neyvatally8008 4 жыл бұрын
Umeongea point
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 4 жыл бұрын
Nimecheka tu
@TanzaniOman
@TanzaniOman 4 жыл бұрын
Sasa io miaka kumi yakuzaliwa au 😅
@aminamkamba5406
@aminamkamba5406 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😃😃😂
@agnesj.h9789
@agnesj.h9789 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣ya mziki
@aminajuma5664
@aminajuma5664 4 жыл бұрын
Ndio ya kuzaliwa
@agnesj.h9789
@agnesj.h9789 4 жыл бұрын
Mm nikafikilia ya mziki jaman
@najmasaidi1412
@najmasaidi1412 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndiyo
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 жыл бұрын
Jamani queen kaenda na mumewe wengine washa Anza kutokwa na povu, mke mkubwa yupo kwa mapumziko kiduchu😂😂
@lisaliza9788
@lisaliza9788 4 жыл бұрын
Waongo nyinyi wambea viwembe
@jamesmdimu3730
@jamesmdimu3730 4 жыл бұрын
Uyo mke mkubwa sizani km hatoomba talaka mwenyewe
@ummysaid5600
@ummysaid5600 4 жыл бұрын
Hahahaha nimefurahi maana uko happy
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 4 жыл бұрын
Langu jicho mm.
@isherrashidimkindi3930
@isherrashidimkindi3930 4 жыл бұрын
Asalam alykum naomba msubscibe Chanel yang ya mapishi
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 жыл бұрын
Ndoa Tama nyie najikuta natamani mie Darin sio kwa kupendeza uko mweeee
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 4 жыл бұрын
Ingia ukaone utamu wake kashakujibu apo
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 жыл бұрын
@@dazuujuma1211 najipanga Kwanzaa
@mwanahawasaid1561
@mwanahawasaid1561 4 жыл бұрын
Kabisa wajina wakina mwanahawa ni wastaharab,tunajiheshimu ,ni wakimya hatunaga makuu wenyewe
@mwanajuma4743
@mwanajuma4743 4 жыл бұрын
Na wakina mwanahamisi pia wastaharabu sana bebe😘
@mwanahawasaid1561
@mwanahawasaid1561 4 жыл бұрын
@@mwanajuma4743 eeeh kipenz nawajua sana kina mwanahamis pia wako vzr kwakwel mashallah
@catherinehaule8030
@catherinehaule8030 4 жыл бұрын
Pua chanu kama sketi ya solo
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 4 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@babchidy8836
@babchidy8836 4 жыл бұрын
Makubwa milasta na mukofia mke wa MTU aiiiiiiiii
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 жыл бұрын
Hyu bi harusi mchanga nae asotulia na mumewe au ndo hzo cku yuko kwa mke mkubwa 🙄
@rizikihamisi8954
@rizikihamisi8954 4 жыл бұрын
ummu adam hhhh
@allyzicko8149
@allyzicko8149 4 жыл бұрын
Umbea c kaz
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 4 жыл бұрын
Atulie nini akati kuna kazi za kufanya za pesa nyie watoto wa kiswahil mnawaza mapenzi tu watu wanawaza pesa bwana
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 4 жыл бұрын
Akitulia utampelekea wewe matumiz?? Au unabwabwaja tu bila kufikiria.?!
@aminajuma5664
@aminajuma5664 4 жыл бұрын
Mna kalili maisha
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Ungetulia tu dada
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 4 жыл бұрын
Iyo dislike moja hapo juu kama sio yamke mkubwa mmmmmhhhh sijuiiiii😂😂😂😂😂
@alipqasse9967
@alipqasse9967 4 жыл бұрын
😂😂😂😂jamani
@mayahhajih2636
@mayahhajih2636 4 жыл бұрын
😁 😁
@bintykigan6236
@bintykigan6236 4 жыл бұрын
Hahaaaa
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 4 жыл бұрын
Wema unawapa sepetu🤣🤣🤣🤣
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 4 жыл бұрын
Umesharudi kunyoa hivyo ndo Mana sura inakuwa ngumu kima wewe kusuka suka kichwa kizima nyoa nyoa kichw kizima
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@raxhidymono9258
@raxhidymono9258 4 жыл бұрын
Biharusi wetu umedamshi
@maspro6294
@maspro6294 4 жыл бұрын
Hili demu bovu Sana na Linaonekana linanuka papa kishenzi huyo jamaa alie mchukua anapata shida Sana kwa harufu ya papa yake
@khadijaabdallah366
@khadijaabdallah366 4 жыл бұрын
Wacha hizo hujamalizika kuumwa Kuna Leo na Kesho hujui Ww utakuwa Vp dharau hizo
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 4 жыл бұрын
Wew ni huna akili
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 4 жыл бұрын
Kuwa na hofu ya Mungu wewe! Usimuharibie dada wa watu brand yk.
@tynnahpaul8639
@tynnahpaul8639 4 жыл бұрын
Mungu anakuonaaa jaman usipende kutia kasoro kwa watu watu wengne jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@edinasamwel1417
@edinasamwel1417 4 жыл бұрын
Ulisha wahi muonjaa,hebu acha kumsema vibaya mtoto wa mwanaume mwenzio
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 179 М.
Jua Kali Leo Ijumaa Usiku 18-10-2024
21:21
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 38 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
Wanaume - Wema Sepetu 2024
2:01
Wema Sepetu Fans
Рет қаралды 6 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20