No video

"SAFARI YA MATESO": NILIZAMIA SOUTH AFRICA KWA MIGUU/ NILITEKWA NJIANI/USIKU/ NILIJUTA (S02EP02"B")

  Рет қаралды 17,525

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Uwe unaaandika part1 na part2 ili mtu aelewe atazame ip iliokuwa tayar maana kuna wengine ndio tunajiunga leo hik kipind chako so uwe unachambua vzr
@juniorcharles3384
@juniorcharles3384 Ай бұрын
Miyeyusho sana, ila content nzur
@DalaliMorogoro
@DalaliMorogoro 2 жыл бұрын
Mzee baba story inachelewa sana fanya back to back
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 5 күн бұрын
Hii move umebugi siew nikitka nitafute namb 1 sihii pati
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Safari bila mipango hiyo
@gharibislam1586
@gharibislam1586 2 жыл бұрын
Story Tamu Sana
@faiongala3012
@faiongala3012 2 жыл бұрын
Siwezi nika liski maisha yangu kisa kwenda South Africa
@kondoramadhan7840
@kondoramadhan7840 Жыл бұрын
Yaa uwezi because we mtoto wa kike na una majukumu istoshe unakaa home
@abuumwichumu5520
@abuumwichumu5520 2 жыл бұрын
Naona mwamba kawakia kwenye gia maana alikuwa slow sana now kachangamka🤣🤣🤣🤣😂😂
@mudykai4950
@mudykai4950 2 жыл бұрын
Ahahhhhhhhh noma
@omarymohammed3873
@omarymohammed3873 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@binthawa2973
@binthawa2973 2 жыл бұрын
safari ndo hii🤣🤣
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Maisha simchezo aisee
@devmwalabu3193
@devmwalabu3193 2 жыл бұрын
Kwer dunian kil k2 kinagawnywa kwa muda
@dulakapopo8522
@dulakapopo8522 2 жыл бұрын
Duuu porenisana ndo maisha
@allyberto7617
@allyberto7617 2 жыл бұрын
Yeah kanjani wena malume Wana WA dizonga tupo mfeto
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 жыл бұрын
Jamani hizi comment zetu za mtuandikie Kama ni part one au part 2 ama part 3 mnaziona dar24?
@frankgervas2961
@frankgervas2961 2 жыл бұрын
Daaaah iyo njia sitoisahau aisee..nilpata shida nying kufika South Africa ila namshukul Mung nipo Tanzania.vijana wenzangu msipate tamaha ya kwenda uko sio kuzuri kabisa
@rasdee7474
@rasdee7474 2 жыл бұрын
Usitishe watu dizonga hoya hoya
@christianosimba6083
@christianosimba6083 2 жыл бұрын
Wewe mtoto wamama wezio tuna magali na nyumba tushanunua
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 2 жыл бұрын
@@rasdee7474 dizonga oya oya Kulala nje au vp? Au kupiga mchomoko ndio oya oyaaa acha kuwakanyagisha watu
@rasdee7474
@rasdee7474 2 жыл бұрын
@@manyotaskipper5765 kulala nje kupiga mchomoko ndio viwanjani sio kula vitumbu vya moto na usawa auweleweki
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 2 жыл бұрын
@@rasdee7474 acha kutia watu ujinga wewe ujanja gani huo waambien watu Ukweli uanataka wayakanyage kama ulivyoyakanyaga wewe wafagashe kwenye madustbin
@nasserkhoduri4087
@nasserkhoduri4087 2 жыл бұрын
story tamu ila mbk wiki hd wiki da weka kila siku
@florakankutebe3987
@florakankutebe3987 2 жыл бұрын
Tupia story yote ili mtu aweze kucheki kadri anavyoweza, sasa mfumo huu munakata mzuka!!!
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 69 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 49 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 18 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
Maisha ya ughaibuni na ramazani sehemu ya 1
26:18
BAB SEIF
Рет қаралды 2,6 М.
Kijiwe Mchongo na UTT AMIS S01 E04 - Ijue UTT AMIS
13:17
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 234
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 69 МЛН