No video

SAFARI YANGU YA KUKUTANA NA BWANA YESU USO KWA USO

  Рет қаралды 6,457

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

2 жыл бұрын

Lengo letu ni kuleta mafundisho yenye uzima kwa makanisa ya Kikristo na nuru ya ukweli kwa wale wanaoishi gizani. Tutaufunua ulimwengu wa roho kupitia ushuhuda wa kila mtu ambaye amepata uzoefu wake. Katika kurasa hizi pia tutaangazia dhana zisizo za kawaida, kurejesha injili ya kanisa la kwanza kwa ajili ya wokovu wa wale waliopotea. Hatutetei madhehebu au sehemu maalum; tuko wazi kwa wapentekoste, wapentekoste, wa jadi, walutheri na wengineo.

Пікірлер: 36
@peterkarimu00
@peterkarimu00 2 жыл бұрын
Umepataa Neema kubwa sana, ushuhuda umenijenga na nimejifunza kitu kikubwa sana, na kiu ya maombi imerudi kwa upya, enderea kunyenyekea hapo hapo kwa Pastor Obedi wachungaji wengine hawakupi nafasi Kama hiyo wanajua utainuka hivyo ambatana Sana na Pastor huyo kwa kuwa Neema yake ni kubwa mno na ni Baba haswa kwako.
@Nenolamaarifa
@Nenolamaarifa 2 жыл бұрын
Aminaaa
@jesusservant8945
@jesusservant8945 2 жыл бұрын
Umesema kweli kabsa mtumishi
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana!!
@maryeer6392
@maryeer6392 Жыл бұрын
Asante kwa nawe tuombee nasi Mungu atutembelee, umenipa tumaini nitasimama tena.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Amen nabii hakika umepata nejema kutoka kwa Bwana..jina la Yesu kristo aliye hai lizidi kuhimidiwa milele na milele
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Mungu akufunulie mengi zaidi ubarikiwe
@mariahyera3737
@mariahyera3737 2 жыл бұрын
Amen Mtumishi. Ee Bwana Yesu niumbie moyo mpya. Ninatamani ukuu wako.
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Amen barikiwa nabii wa BWANA
@joankaranja6210
@joankaranja6210 2 жыл бұрын
Amen. Nimebarikiwa Sana na huyu ushuhuda.. Heri tushikilie Imani Kabisa.
@hindahnambela6628
@hindahnambela6628 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutumikia amen
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeen and ameeen man of God be blessed
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana Nabii wa Mungu
@emmylema5911
@emmylema5911 2 жыл бұрын
Powerful testimony!
@patriciamsofe9693
@patriciamsofe9693 2 жыл бұрын
Yaani amebarikiwa sana
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Asante sana kwa shuhuda hii kubwa MUNGU BABA ALIYEHAI azidi kukufunulia Huu ni uponyaji mkuu sana kwa anaedaka na kuufanyia kz Ubarikiwe sana Nabii wa MUNGU ALIYEHAI🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤🇹🇿 🇺🇸
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 2 жыл бұрын
AMINA AMINA, Mungu akubariki Sana nabii.naomba Mungu nasi atukumbuke kupitia usuhuda wako tuokoke kabisa na kumkiri Yesu Kristo kwa maisha yetu. Mungu akubariki na akutunze daima.
@blasipaul68
@blasipaul68 2 жыл бұрын
Amen Mungu amenishangaza sana kupitia ushuuda Bwana na azidi kukufunulia tuponywe roho zetu.
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 жыл бұрын
Yesu atusaidie sana
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
hakika nimebarikiwa na ushuhuda huu,...sana tena zaidi.barikiwa sana nabii wa mungu.na mwenyezi mungu akulinde katika kazi yake...AMINA🙏
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@margretokuku8220
@margretokuku8220 Жыл бұрын
Nimebarikiwa. Na. Hushuhuda
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Ameeeeen BWANA akubariki sana man of GOD
@sophiakilango5286
@sophiakilango5286 2 жыл бұрын
A
@mariahyera3737
@mariahyera3737 2 жыл бұрын
Amen. Bwana anawajua walio wake.
@francoisemashimango8177
@francoisemashimango8177 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtoto wa Mungu
@magdalenamziray4622
@magdalenamziray4622 2 жыл бұрын
Amen I connect in Jesus name
@maxwellking9399
@maxwellking9399 2 жыл бұрын
Mag- Any relationship with Prophet Allen?
@maryjustajovini5736
@maryjustajovini5736 2 жыл бұрын
Yesu akutumie Kati ya mataita mengi pia.
@peninahmwendwa2519
@peninahmwendwa2519 2 жыл бұрын
Amen.
@galaxyboyofficial9785
@galaxyboyofficial9785 2 жыл бұрын
Ameeen
@Alex_Anania
@Alex_Anania 2 жыл бұрын
Asante Sana prophet
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmmh na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO wetu KWA MAANA dhambi Ni mbaya mno
@purity234
@purity234 2 жыл бұрын
Mtumishi ntapataje nambari yako ya Whatsapp?
@nyaikadavid6044
@nyaikadavid6044 2 жыл бұрын
number ya simu ewonekane yote vizuri
mukutano mkuu wa injili bishop nyisaki chaula, Bukavu R.d.congo
2:42
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 35 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 61 МЛН
DAY 7 NABII ASTON ADAM MBAYA  JINSI YA KUINGIA PARADISO
1:26:09
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 9 М.
Rev Moses Magembe- MTAJI WA MWINJILISTI NI WENYE DHAMBI.
5:03
EVANGELIST KANANI
Рет қаралды 25 М.
SOMO JINSI YA KUSHINDA DHAMBI
2:09:58
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 3,5 М.
USHUHUDA WA KILICHO MFANYA OSINACH KUTOKUINGIA MBINGUNI
23:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 43 М.
DALILI ZA MTU ALIYEANGUKA 9/10/2022
3:11:12
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 990
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 35 МЛН