USHUHUDA WA KILICHO MFANYA OSINACH KUTOKUINGIA MBINGUNI

  Рет қаралды 43,044

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

2 жыл бұрын

Пікірлер: 342
@vivianadiang2501
@vivianadiang2501 2 жыл бұрын
This message is not for everyone rather for those who want to make it to heaven. The Lord removed all these things long time ago from my life. Everything you have said hata Viatu nilitupa, pete za ya bei sana ya harusi nilitoa. Mimi naishi huku ujerumani ni Mwalimu hata na nina funga kitambaa nikienda hata kazi. Yesu anasema ukimpenda basi shika amri zake. Mimi nampenda na nitazidi kutii sana. Asante kwa ujumbe.
@bernicemayleshow8023
@bernicemayleshow8023 2 жыл бұрын
I support your point,this message is meant for those who want to enter heaven,it's narrow way and many hate it following Christ it's a cost
@degrasianabaynit2066
@degrasianabaynit2066 Жыл бұрын
Amen hata mimi naamini jumbe kama hizi zimeongelewa sana Yesu nirehem nitabadilika.🙏
@delphinamakupa4914
@delphinamakupa4914 Жыл бұрын
Ameen na watu wanapinga Bado neno la Mungu
@christinephilip5043
@christinephilip5043 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe❤❤❤
@janethjosephat6986
@janethjosephat6986 4 ай бұрын
21 Siibatili neema ya Mungu; maana, ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure. Wagalatia 2;21
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Masikini Osinach 😭 ahsante kwa ujumbe Mungu atusaidie wanawake na wakiristo wote watu ukiwambia mapambo ni dhambi ni wabishi 😪
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmh ni KWELI kabisa shetani Hana ADABU kutufanya tulilie vitu vya kupita na wakati SS ni WAPITAJI duniani
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 Ай бұрын
Nitusome Bibilia tuelewe sio kupenda kuskiza,itasaidia juu Bibilia imeongea mambo mengi sana, kuomba ufahamu,
@vumiliavumiliasambepo4999
@vumiliavumiliasambepo4999 2 жыл бұрын
Eeeh Yesu wangu niondolee tamaa ya kutamani mapambo ya kidunia nisije nikaikosa Mbingu 🙏
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Nashukuru mungu, kwa kunitoa kwenye vitu hivo,kilichobaki nangoja roho mtakatifu atende kazi ndani mwangu, Mungu akutumikia zaidi,🇰🇪🇰🇪.
@queenesther8505
@queenesther8505 Жыл бұрын
Huyu kijana sio wa kwanza kutueleza bwana anakataza mapambo,tukubali,tukatae ,bwana anapenda uhalisia.mimi nilikuwa najipaka mafuta ya kubleach skin,nimewacha,afadhali niwe mweusi lakini niende mbinguni,lipstick niliachana nayo pia,Mwenyezi mungu lazima aheshimiwe.
@janethjosephat6986
@janethjosephat6986 4 ай бұрын
21 Siibatili neema ya Mungu; maana, ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure. Wagalatia 2;21
@user-eu6re3pw7h
@user-eu6re3pw7h 11 ай бұрын
Yesu ni njia ya kweli na uzima thanks mtumishi kwa ujumbe wako
@emmyfountain6825
@emmyfountain6825 2 жыл бұрын
Amen amen Yesu tufundishe na kutuelekeza kuyashika mafundisho yako. Ili ulipo na sisi tuwepo
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwaujumbe yule asiye jipamba amemuita mshamba MUNGU atujaliye neema yake kwakweli il tupate ufalme wambinguni amina
@collya4551
@collya4551 2 жыл бұрын
Someone said that she entered in heaven but I doubted because she was wearing earrings and had pleated her hair, even though she used to cover her hair but she had the attachments.
@patriciaalfred1746
@patriciaalfred1746 2 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa kwa walio rohoni tu wataelewa hili, kujipamba ni kuukosoa uumbaji wa MUNGU
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yes hakuna ufahamu juu ya kujipamba UKIWA rohoni UTAJUA vingi na ROHO atakupambanulia vingi utaviona Ni UCHAFU TU
@user-xn1kk3ur1n
@user-xn1kk3ur1n Жыл бұрын
Ata mimi sipendi wanawake wa kujipamba
@voctoriangombe6136
@voctoriangombe6136 2 жыл бұрын
Watu wa Mungu tuache kujipamba Mungu afungue fahamu zetu
@lovenywendygospelsong240
@lovenywendygospelsong240 2 жыл бұрын
Safar ya mbinguni ni kazi sana na wachache humwelew mungu anavotak
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
Hili ushuhuda itatumika kuhukumu wengi ambao wataiskiza na kuipinga ama kutoamini. Mungu atuzaidie kuwa wanyenyekefu mioyoni mwetu
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 2 жыл бұрын
Mdogi angu Mungu azidi kukutumia zaidi God bless you
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Asante yesu kujua kweli Yako nilikua siijuwi kama urembo nizambi kumbwa Asante yesu kristo 🙏 nimeasha kabisa
@purity234
@purity234 Жыл бұрын
Mungu akusaidie akupee rehema.. ama kweli kujiremba na urembo usio uhalisia wako ni dhambi . Nakumbuka wakati mmoja Roho mtakatifu akiniuliza kuwa " umetoa wapi maarifa hayo kwamba kucha zako 💅 zaonekana vyema zikipakwa rangi nyingine kuliko wakati zipo kwa uhalisia wake ambao niliikuumba nao? " Ama kweli nlipigwa na butwaa .
@maryjustajovini5736
@maryjustajovini5736 2 жыл бұрын
Asante yesu kwa maonyo kwa kanisa lako mbarkiwe Sana kwa shuhuda ninajifunza mengi kutoka chane hii
@stephenmwanza6905
@stephenmwanza6905 Жыл бұрын
God bless you so much,napeda hizi shuhuda sana zimenijenga sana pamoja na kanisa ninalo liogoza,naitwa mchungaji Stephen Mwanza niko kenya,nawaomba mtafute huyu dada anaitwa nyisake chaula niwa huko Tz mbeya,alitebezwa pia mbinguni na kuzimu,Mungu a alikiba station hii ya promover imejenga wengi kupitia mahushuhuda
@janelopez5550
@janelopez5550 Жыл бұрын
Uko wapi kenya
@stephenmwanza6905
@stephenmwanza6905 Жыл бұрын
Machakos county
@hopeolactar5132
@hopeolactar5132 2 жыл бұрын
the revelation is their more grace sir in Jesus name!
@gloryfidelis7857
@gloryfidelis7857 Жыл бұрын
Mungu niwakuaminiwa,naamini namshukuru Mungu anazidi kukupa maelekezo utusaidie.
@degrasianabaynit2066
@degrasianabaynit2066 Жыл бұрын
Yesu nirehemu ninashuka chini sana naomba nisaidie kubadilika mimi ni mdhambi.
@Susan-cl3fd
@Susan-cl3fd Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe kweli kupata paradise sio mchezo mapambo ni dhambi kubwa sana kwa mungu lakini watu wamefungwa macho hawatambui hilo jambo
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi wa BWANA
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
Siku hizi huwezi kutofautisha walokole na watu wa kimataifa kwa mapambo. Hata wadada walokole waibanji wa nyimbo za injili na wahubiri, wanajipamba sababa na watu wa kimataifa. Hili ni jambo la kuhuzunisha saaana. Mungu aturehemu na atuzaidie.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Asante ubarikiwe namshukuru Mungu nimeacha kupitia shuhuda
@farajangwala1278
@farajangwala1278 2 жыл бұрын
Asante kwa maelekezo yako Ila uimbaji sio huduma...uimbaji haujatajwa katika zile huduma tano...fuatilia waefeso 4:11-13
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
ASANTE Sana YESU KWA WEMA WAKO KWETU na MUNGU ATUSAIDIE MAANA ubishi wetu unatuponza kuona KUWA tumeumbwa vibaya
@carlsonleon446
@carlsonleon446 2 жыл бұрын
Nabii wa uongo: someni maandiko vizuri mjueni Bwana na kazi ya msalaba. Shuhuda za uongo. Kwanza uwepo wa Mungu ukikushukia huondoa hofu. Jiulize tena huyo uliyekutana nae ni nani. Utashangaa kuwakuta hao watu mbinguni. Halafu uchanga wa kiroho unawasumbua.
@nancymorenje3880
@nancymorenje3880 2 жыл бұрын
Duh kazi kweli kweli
@vicentphilipo3549
@vicentphilipo3549 2 жыл бұрын
je kama ww ndo unatudanyaga sisi tuta kuamini je kwa unacho fikiria ww
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
The bible says that it's a fearful thing to fall into the hands of God. The bible also says that the fear of the Lord is the beginning of wisdom.
@josephrashidy-nl5hb
@josephrashidy-nl5hb Жыл бұрын
Na wewe hayo unayoongea unaongozwa na Roho?
@rehemasuleiman7469
@rehemasuleiman7469 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe huu,mwenye masikio na asikie neno hili
@kristinajuliahoka9044
@kristinajuliahoka9044 Жыл бұрын
Blessed be the name of the Lord 🙏🙏🙏🙏🙏 ni ukweli I can testify!!!
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 Жыл бұрын
Kusuka nywele Yako asili pia si vyema.?nijibu plz.sorry
@YusuKisingile-fs4hv
@YusuKisingile-fs4hv Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa bwana. Umepata neema ya kukutana na bwana. Na kutueleza mambo mbalimbali kuhusu kumuona bwana.
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Àmen Amen sana nadownload nitawatch baadae na kwa vile upo ktk channel ya SHUHUDA ZA KWELI yote unayoongea ni kweli acha nishare pia
@glorytogod1793
@glorytogod1793 2 жыл бұрын
Ameen Mungu nisaidie nikuelewe zaidi
@abighaili1514
@abighaili1514 2 жыл бұрын
Asant sana mtumishi wa Mungu Mungu haturehemu duniani tunajidanganya na vitu ambavyo vinatubeba mahali pabaya Mungu hatusahidiye Asant sana mtumishi
@zaitunnanjira6078
@zaitunnanjira6078 2 жыл бұрын
Asante kwa huu ushuhuda,God honours his word na alitaenda bure.neno ndilo litatuhukumu,may Lord Jesus have mercy and hep us to make heaven..😭😭
@ngwemafaraja5252
@ngwemafaraja5252 2 жыл бұрын
Hivi nyie Mbona mnadanganywa kirajisi hivyo? Nani aliyeenda Mbinguni sahizi kama ni kuweni makini na Hawa manabii wa uongo, msipende kuamini Kila roho kirahisi zichunguzeni hakuna mwanadamu yeyote aliyeenda Mbinguni Kwa Kwa Sasa wote wapo makaburini wanasubiri Yesu atakapokuja na Ile parapanda itakapolia waiokufa katika kristo watafufuliwa kwanza Kisha wataungana na walio hai kumlaki bwana Yesu hewani tatizo hamsomi Maandiko ndio sababu mnapotoshwa kama waliokufa katika kristo wanaenda Mbinguni Sasa Yesu atakuja kumchikua nani? Wakati Kila anaekufa anatenda Mbinguni Kwa sababu kitakacho mleta Yesu Duniani ni kuwachukua watakatifu Sasa kama Kila anaekufa anatenda Mbinguni Yesu anakuja kuchukuwa Nini? Lazima muwe mnajiuliza maswali, huo ni unabii wa uongo na mtakuja kugundua mlidanganywa baada ya kuchelewa hao wanataka kupata watu wengi Kwa uraghai wa unabii haya yangu macho
@ngwemafaraja5252
@ngwemafaraja5252 2 жыл бұрын
Ufunuo wa Yohana 1:7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Ufunuo wa Yohana 1:8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
@tameemothman8192
@tameemothman8192 2 жыл бұрын
True pastor I like that..
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen and Amen shukran nimebarikiwa na ujumbe huu mwezi mungu azidi kukuinua zaidi barikiwa sana
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Nafurahi Sana JACKTAN msafiri naona Mungu anazidi kufanya mazuriii SANA mtumishii barikiwaa SANA mtumishii barikiwaa nawapenda SANA
@leahdaniel271
@leahdaniel271 2 жыл бұрын
Asante Yesu kwa ujumbe huu,hii ni sauti ya mtu aliaye nyikani
@blasipaul68
@blasipaul68 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Neno la Mungu ni kweli na ni amina,so kwa wanaotaka kuiona mbingu huu ujumbe ni wako ila km uko kwa matakwa yako wala hili neno lisikusumbue kbs, fanya vile moyo wako uonavyo inakupa kuwa ksribu zaidi na Yesu kristo
@getrayakoyi9185
@getrayakoyi9185 Жыл бұрын
Asante yesu kristo aukupenda watoto wako wapotee tusaidie bwana yesu kristo tueshimu Sheria yako
@nangongolukundula9367
@nangongolukundula9367 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mutumishi wa MUNGU wanadamu wanaenda jehanamukutakakwao wameambiliwa hawasikii
@joycehaule9717
@joycehaule9717 11 күн бұрын
Ulimwona YESU NAWE UKAISHI KABISAA AISEEE ....
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Tunaokolewa kwa neema tu .Mungu aangalii mapambo ya nje.Mungu anaangalia matendo ya rohoni.maana hata mafarisayo walijiona kuwa wao ni bora kuliko wengine.Mungu atusaidie sana tuwe na matendo ya rohoni
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 2 жыл бұрын
Matendo ya Roho ni yapi unaweza kuyasema ?
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
@@shuhudazakweli3406 mithali 16:2. Gal:5.22.....
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
Utakuwa je na matendo mema ya roho na uwe na mapambo ya kidunia?? Si ni lazma kuwe na tofauti kati ya watoto wa Mungu na watu wa kimataifa????
@daisybuyantsi5953
@daisybuyantsi5953 2 жыл бұрын
Mungu aniepushe na tamaa za dunia
@mathekaeunice3454
@mathekaeunice3454 2 жыл бұрын
Kusema ukweli watu wa.mungu tuwache kutharau shuhuda tafadhali tuko nyakati za mwisho do maana mungu ameaza kufichua Mambo,,c ata aston alipata chapa ya tbjoshua huko?bcareful ooooo
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Tumejaa ubishi na wakati tunaona matujio yalivyo KUWA MENGI na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO wetu Hali ya dunia Ni mbaya Ila watu wakipinga ushuhuda huu WENGINE wanasaidiwa na ujumbe huu ubishi wetu NDO tatizo
@sylvestermwingira9316
@sylvestermwingira9316 2 жыл бұрын
Imeandikwa jaribuni mambo yote lishikeni lililo jema 1Wathesalonike 5:21, hata hivyo huwezi kujaribu kila jambo kama hauko na Roho mtakatifu kila unachoskia unakipima katika roho.
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
We should really learn from this testimonies as we women,we tend to assume,most of this testimonies.
@dorinemashubi546
@dorinemashubi546 2 жыл бұрын
Huwezi jua mungu sio mwanadamu ,,mwanadamu hawexi kumuhukumu mwanadamu mwenzake it impossible sikubalian na nyie ,,
@monicamruma7725
@monicamruma7725 2 жыл бұрын
Mmmmmm jamani hakuna ajuaye Siri ya mbinguni jamani ahukumuye no Mungu peke yake kuiona mbingu no neema tu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Bwana Yesu atukuzwee sanaaaa
@charlesmadata9318
@charlesmadata9318 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana endelea kusema ili utuokoe na lile ziwa la moto
@isayanyingi6622
@isayanyingi6622 2 жыл бұрын
Still najifunza be blessing with with God ammennii
@jesikaodigu5184
@jesikaodigu5184 2 жыл бұрын
When we die, we do not go to heaven. 1 Thessalonians 4:15 says that Jesus will descend with a shout and the dead will rise from their sleep ( meaning death) then will be caught up in the air. Let me ask you, if the righteous have already gone to heaven, is there a reason for judgment? Where in the Bible do we get a verse that says that people go to heaven or hell after death?
@sangyemmanuel2222
@sangyemmanuel2222 2 жыл бұрын
Hebrews 9:27
@purity234
@purity234 Жыл бұрын
Revelation 20:13
@janet7740
@janet7740 2 жыл бұрын
Ulikua huko ukamkosa?? .hii dunia iko na watu wajabu kweli. sawa mapambo mengine inatisha sema hivo tu.
@gracehelbert5858
@gracehelbert5858 2 жыл бұрын
Amina ..MUNGU atusaidie tugeuke tulifuate NENO LAKE..
@Neemakilimba
@Neemakilimba 2 жыл бұрын
Mimi naamini kabisa kuhusu mapambo Hata Mimi nimeonywa Sana mavaz na Nywele bandia Mungu anisamehe kabisa
@godsonmollel5698
@godsonmollel5698 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@lannemwenda
@lannemwenda 2 жыл бұрын
Jiseme na yako. Mnatuletea uongo hapa. Mungu anaangalia roho na si mavazi yetu, matendo yetu zaidi. Nyie mnatafuta wateja tu, hamna lolote
@nipherniima7280
@nipherniima7280 2 жыл бұрын
Mwana wa Mungu kasome maandiko hay lkn omba Nguvu ya Roho mtakatifu apate kukufundisha uelewe 1 Wakorintho 3 :16-17 Warumi 12:1 1 timotheo 2:9
@mourineauma7323
@mourineauma7323 2 жыл бұрын
Ni andiko
@josephrashidy-nl5hb
@josephrashidy-nl5hb Жыл бұрын
Unasema Mungu anaangali roho na sio mavazi. Hayo mavazi mtu anawaza kuyawaza kwa roho yake kwanza kwahyo hta kuvaa ni tendo la kiroho
@elnorahmjomb1896
@elnorahmjomb1896 2 жыл бұрын
Now therefore no condemnation to those who are in Christ Jesus Romans 8:1
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Bwana Yesu aturehemu
@devotaadrano6241
@devotaadrano6241 2 жыл бұрын
God have mercy on us
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o Ай бұрын
Niulize,kinacho ingia, mbinguni ni Roho au mwili ? Mm mwezenu sijui!
@gordonomondi7161
@gordonomondi7161 2 жыл бұрын
Nyuele bandia ni kutukana mungu , ni kurekebisha kazi yake.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 11 күн бұрын
Mbona ulizaliwa uchi na sasa unavaa nguo huoni kama unamkosoa Mungu? Nani alikwambia uvae nguo ...? Na nani alikwambia usivae wigi.... Naona kama mnajichosha weee na mahubiri yenu yakupoteza Muda badala kutubu DHAMBI
@prophetzakayomkemwa5154
@prophetzakayomkemwa5154 2 жыл бұрын
Wewe muongo saana ushindwe kwajina la YESU kristo wanazareti aliye Mimi nawaambia
@loretahdaniel9410
@loretahdaniel9410 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@dianalucas6506
@dianalucas6506 5 ай бұрын
kwaio wewe ndo YESU? 🙌
@magretjohnas8105
@magretjohnas8105 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@eliwitnessjoseph4350
@eliwitnessjoseph4350 Жыл бұрын
Hii mbingu ngumu jaman hasa kwawanawake
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Amen 🙏,kwa ushuhuda wa kujirekebisha,nikuulize Mtumishi kusonga nywele yangu matuta nayo ni dhambi
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
Doka hatu suki hata zetu kama nindefu ujifunge tuu kisha ufinike na mtandio bas
@GMD820
@GMD820 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣achana na matuta
@user-no2tw5vb8j
@user-no2tw5vb8j 2 жыл бұрын
Ati kusonga matuta😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lydiarono2613
@lydiarono2613 2 жыл бұрын
Sio mbaya bora ni nywele yako mwenyewe wala sio ya kuongezea
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
@@lydiarono2613 Dada acha kujipotosha mwenyewe Bibilia imesema USISUKE NYWELE haija Sema USISUKE BANDIA ila ya kwako ushuke noo Hausuki Angalia maandiko Dada maana WAKRISTO wote tutahukumiwa kupitia maandiko sikauli ya mtumishi wako maana mtumishi aeza Sema zako suka lakini jee bibilia yako Ina Sema nn
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
The Lord Jesus Christ has consistently and constantly been warning born again women against women trousers 👖, miniskirts, artificial hairs, braided hairstyles, skin bleaching, earrings, makeup 💄👄, and earrings (all these are jezebel properties, against God's will). Mungu amewaonya wanawake wakristo kuhusu hizi styles na mipambo ya kidunia, lakini wadada wengi, wamekaidi onyo ya Mungu kwa sababu ya kupenda Dunia hili na mapenzi(tamaa) yake kuliko kutenda mapenzi ya Mungu aishie milele.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 11 күн бұрын
We utakua ulitokewa na bwana arusi na si BWANA WA MA JESHI......
@josephrashidy-nl5hb
@josephrashidy-nl5hb Жыл бұрын
Habari ya uzima. Samahani Mimi nilikuwa naomba msaada kujua jinsi ya kuvalisha watoto ikiwa SULUALI hazitakiwi. Nina mtoto Binti wa miaka minne nipo mbeya, kidogo Hali ya hewa ni baridi. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwasitiri manake baridi ni Kali sana nifanyaje.
@pascalkidiku5898
@pascalkidiku5898 Жыл бұрын
Sasa ukizungumzia mapambo kwa hiyo hata Pete za ndoa hazitakiwi? Na unaposema vipodozi hata mafuta ya kawaida ambayo na wewe unapaka ni vipodozi, Kiukweli maandiko huwa magumu kuelewa Mungu atusaidie, Na pale wakati mussa kapanda mlima Sinai yule ndama wa dhahabu alitengenezwa na nini?
@pendokabelele6286
@pendokabelele6286 2 жыл бұрын
Lord have mercy on us
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 Жыл бұрын
Hilo eneo la mapambo kwa kina dada lina mapana yake ktk kuliwakilisha kunatakiwa kuwe na "kiasi"maana utapofundisha tu juu juu unaweza jikuta baada ya kuwasaidia unawapoteza msaada wa ROHO MTAKATIFU unahitajika mno mnoo
@joeldaniel5076
@joeldaniel5076 2 ай бұрын
Wasabato wapo sahihi sana
@catherinehwanjiru6479
@catherinehwanjiru6479 2 жыл бұрын
Ameen ameen
@janethgeefs2556
@janethgeefs2556 2 жыл бұрын
Mnachanganya Sana waumini, mtu kusuka nywele kunaleta shida gani? Anamkwaza Nani? Dhambi Ni kwenda kinyume na amri za Mungu hizo zingine Ni porojo tu!!! Huyo bwana uliyemwona tuna walakini nae!!! Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai hatendi kazi kwa mifumo ya tamaduni za wanadamu.
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
God created man in his own image...tubaki natural..mapambo ni mbinu tu za adui...
@DrDorcy_HealthTips
@DrDorcy_HealthTips Жыл бұрын
Neno la Mungu kupitia waraka wa mtumish wake 1 pet 3:3 Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
@pamelawanderaofficial6257
@pamelawanderaofficial6257 2 жыл бұрын
Kweli nani atauona ufalme wa Mungu kweli. No. 2. Huyu dada alikuwa karibu na Mungu sana mbona Mungu kwa huruma zake hangemshauri akiwa hai duniani na vile alimtumikia Mungu hadi kuatarisha maisha yake ya ndoa kusudi asimkasirishe mungu
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 2 жыл бұрын
Tatizo tulilo nalo wanadamu Mungu anatuma watumishi wake waje watuonye kuhusu vitu hivyo ila mioyo yetu ni migumu kuamini na pia tukisikiliza shuhuda kama hizi hatuna muda wa kumuuliza Mungu kama ni kweli huo ushuhuda. Tungekuwa tunamuuliza naamini angekuwa anatuonya,kinacho tuponza ni ile hali ya kuchukulia kila kitu uongo🙏
@neemameshack2758
@neemameshack2758 Жыл бұрын
Kama alivyomtuma huyu na watu watapuuza
@kadzolizzy1849
@kadzolizzy1849 2 жыл бұрын
Judgement day by man... We shall never enter heaven.... Not even angels know but.....
@priscaadongo1922
@priscaadongo1922 2 жыл бұрын
Nitamjua na Alama ya misumar
@miriamwangari7417
@miriamwangari7417 Жыл бұрын
Usimnyoshee mwenzako kidole.....Hakuna aliye mtakatifu. Mbona hamuo yeshwi Hali ya maisha ya waru kadri wanaishi ndiyo watubu? Mwaonyeshwa maisha wa wafu mbona? Mungu hapendezwi na kifo cha mwenye dhambi. Mbona asubiri Hadi MTU akafa ndiyo awaonyeshe maono??
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 2 жыл бұрын
Wapare sishangai. Kuna baba alifundisha akasema computer ni 666. Alikuwa anaitwa mzava, alipoajiriwa akapewa laptop akatulia. Sina hamu na hawa viumbe
@merryrichadi110
@merryrichadi110 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Bado wanawake wengi sana huwa wanapinga sana haya maandiko. Lkn kitakachowakuta siku ya mwisho ni balaa tupu. Acheni. Ukiambiwa acha unaacha afu unakoma kabisaaaaaa!!
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 жыл бұрын
Eeeeh kumbe kuna watu wanajua wenzao kama wameingia mbinguni au la, Makubwa haya.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Hakika unavyosema ni kweli, ubarikiwe Sana katika jina la Yesu Kristo
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Ameni na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO WETU MAANA shetani kaingia kanisani mzima
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
@@geitandelwa299 kweli tutamschinda kwa Damu ya mwana kondoo kama neno lake linavyosema
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Wanaogopa kuwaambia waumini wao Mkristo avae vipi kwa hofu ya kukimbiwa na waumini
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 Жыл бұрын
Kuna wimbi kubwa sana sshv kwa watumishi wa MUNGU kupotosha maandiko. ni heli uwe unaonya wewe km wewe tu kuwa hikj kitu si kizuri fanya hiv au vile. usitumie maandiko ambayo hayasapoti unachokimaanisha ww, si wote unaowahubiria hawana ufahamu wa kufafanua neno la MUNGU.hilo andiko(1pet 3:3) unalolitaja limezungumzia na mavazi mbona ww umevaa nguo hapo, utembee uchi basi, hiyo ni kuonyesha kuwa munalinukuu Vibaya Hilo andko mpendwa
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 2 жыл бұрын
Mbona pesa zinatoka kwa shetan na mnazipokea? Alafu tunamhitaji elia wa kizazi hizi athibitishe ni yupi Mungu wa kweli na miungu maana hata wachungaji wanaoenda kuzimu wanakataza mapambo lkn wabaruhusu chanjo nini kikubwa cati ya chapa ya mnyama na vitu vya kuvaa kisha ukavua Yesu mimi ss hivi nitaufata Moyo wangu maana sielewi na pete za ndoa vipi inamaana hata ndoa siyo sahihi au
@joshuawenceslaus2466
@joshuawenceslaus2466 2 жыл бұрын
Encounters huwa siziamini, unless zimechujwa na neno la Mungu, you fast 40 days and encounter with an angel but, kama hakuna neno la Mungu hapo then haijatoka Kwa Mungu
@serahwothaya5476
@serahwothaya5476 2 жыл бұрын
the book of Revelation says that the book of life has seven seals that only Christ Jesus will open. Hawa was kusema nani uuko mbinguni na nani hakufika walifunguliwa na nani hiki kitabu Cha uzima?
@purity234
@purity234 Жыл бұрын
Revelation 20:13
@IbrahimMatofali
@IbrahimMatofali Жыл бұрын
Amena mtumishi mapambo ni ya shetani
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
AMEN🙏...ushuhuda mzuri sana barikiwa sana ewe nabii uliye teuliwa na mungu.na mungu akuzidishie mema kila kuchao.hakika wanawake mapambo tusipo yaacha tutaelekea pabaya.moyo wangu mtukuze bwana milele.🙏
@johnramadhan692
@johnramadhan692 2 жыл бұрын
Wanawake wamepona wanaume je.
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 2 жыл бұрын
If God wanted you with earings he would have made an allowance in the ears for that or even better you'd be born wearing them. If God wanted you with plaited hair it would come naturally. Anything you do besides God's original creation is a sin a defiling God's temple and God sees it as idolatry. That's why some of you are busy defending your idolatry. You are so focused on self you can't even see the truth when it's starring you at the face. Repent and turn away from all this.
@neemameshack2758
@neemameshack2758 Жыл бұрын
Very facts
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeen
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Amen, 🙏
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Asanteni
@winfridarobertcosmas6278
@winfridarobertcosmas6278 2 жыл бұрын
Na siku ya kusali kuabudu ni lini?
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 2 жыл бұрын
Roho anielekeze kutokana na ushuhuda huu .
@gkilonzoh
@gkilonzoh 2 жыл бұрын
Not even sure how this came to my feed. Please sir, worry about your own salvation and stop propagating things that are not of God. God did not reveal this to you about her. You said you did not see his face (Jesus) but you don't need anybody to tell you what you saw. That right there is enough to show how unsure you are about what you encountered. God looks at the heart! Let that sink in. What you and I wear matters not. Those are material things left behind when we die. Nothing wrong with experiencing God's goodness in the land of the living.
@lucykanana688
@lucykanana688 2 жыл бұрын
On point
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 2 жыл бұрын
One day you will look on this comment and wish you had asked God to reveal to you about what this young man is saying. Enjoying the good of the land doesn't have to defile the temple of God with make up jewelery and adornments. Look up for more revelations about these things and if you still doubt and ask God in prayers and fasting lest you fall in he'll like those who have gone before us. And your tone is Godly repent and seek to be filled with the Holy spirit.
@helmashimba7761
@helmashimba7761 Жыл бұрын
True true
@gkilonzoh
@gkilonzoh Жыл бұрын
@@edwardmwalukware9734 why are you still living if you don't want to see and experience the goodness of the Lord in the land of the living? Mercy!
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 Жыл бұрын
@@gkilonzoh is prostitution and fornication also enjoying the good of the land. The body is the temple of the holy spirit why are you adding things to it when God says you are fearfully and wonderfully made. You are an image of God does God need make up.
@victorgoodluck2922
@victorgoodluck2922 Жыл бұрын
Amen.,
@nancymorenje3880
@nancymorenje3880 2 жыл бұрын
Duh sikuelewi kabisa
@christinemuchiri199
@christinemuchiri199 2 жыл бұрын
Vingumu saana kuamini wewe .. Huyu mama ako kwa yesu
@lucykanana688
@lucykanana688 2 жыл бұрын
Kabisa nakubaliana na wewe
@fabricemunguiko5192
@fabricemunguiko5192 Жыл бұрын
BARIKIWA NA BWANA YESU KWA KUTUIMIZA ASNTENI SANA
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
WANAWAKE NI WACHACHE MBINGUNI USHUHUDA WA DADA FABIOLA
23:35
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 57 М.
SAFARI YANGU YA KUKUTANA NA BWANA YESU USO KWA USO
1:07:23
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 6 М.
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
PART 3 ONYO VIATU VIREFU NIVYA SHETANI USHUHUDA WA KENZO ATSUSHI
29:43
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 12 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 366 М.
USHUHUDA WA ASKOFU ELIBARIKI SUMBE ALIVYOOKOLEWA NA MUNGU
24:01
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 29 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН