Safiria nyota ya mtu hata mpenzi wako, upate kufanikiwa kilahisi.

  Рет қаралды 4,047

Allykk tv

Allykk tv

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo 2 ай бұрын
Kaka upo vizuri wew ni sawa na mwalimu
@zubedairislove3936
@zubedairislove3936 Жыл бұрын
Unajua kunikosha kaka kk nacheka je jani upo mule mule mashallah najifunza vingi san kupitia wewe
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 7 ай бұрын
Ukwel 💯🎯✔️ Ubarikiwe Kaka Haya Yakulogwa Yamenikuta ktk Mapenz
@evnctmb1824
@evnctmb1824 Жыл бұрын
Upo vizuri sana, tupe kitabu2
@allykk1459
@allykk1459 Жыл бұрын
Kinakuja usijali
@OmanOman-gu1wy
@OmanOman-gu1wy Жыл бұрын
💯 upo vizur
@wardaally7233
@wardaally7233 Жыл бұрын
Tufafanulie na Afya ya akili
@annageorge43
@annageorge43 Жыл бұрын
Tunakuelewa Sana bro. Upo vzr. Darasa lako ni nzuri Sana. Mungu aendelee kukulinda uzidi kutuelimisha. Inshallah.
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 5 ай бұрын
Mjomba sijawahy jutia toka nikujue
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 Жыл бұрын
Congratulations kaka angu unajitahidi sana nimejifunza mengi sana kupitia ww
@ETt-r3e
@ETt-r3e 4 ай бұрын
Asante kaka jamani
@IsaacSichalwe-p1e
@IsaacSichalwe-p1e Жыл бұрын
Asante sana nimekuherewa
@KataniMwandete
@KataniMwandete Жыл бұрын
Jamii ogopeni wanganga wa kienyeji wa mitandaoni. ,ni hatari kwa maisha au kwa kipato kidogo chako
@NYIRARUKUNDOHalimah-iy6rg
@NYIRARUKUNDOHalimah-iy6rg Жыл бұрын
Ma sha Allah
@SarahMtawa
@SarahMtawa 5 ай бұрын
Mimi naitwa Sarah lakina namajina mawili linguine tusajigwe sasa apo nyota angu ni ipi
@AnitaAnn77
@AnitaAnn77 Жыл бұрын
Jambo kaka nyota ya J , N , R HIZO NUKTA NYOTA YAO NI ZIPI BABA
@abubakaripasto2696
@abubakaripasto2696 Жыл бұрын
Mie nakufatilia muda mrefu tangia kwa sudi naa huwa nafatilia majina yawatu wangu wanao nizunguka mie ila jina mwajuma inanichanganyaga ipo kundi lipi kati ya T au H
@asiyajuma3135
@asiyajuma3135 9 ай бұрын
Doctor je upepo hapati mafanikio kwa moto
@hanamakamba373
@hanamakamba373 Жыл бұрын
somo nzr
@ngongomamy2968
@ngongomamy2968 Жыл бұрын
asate babu
@saidisalehe9200
@saidisalehe9200 Жыл бұрын
Habar yako mwalimu. Naomba kuuliza. Wakati Moto anafaidika akiwa na upoepo. Je upepo nae atafaidika akiwa na Moto? Au Upepo atafaidika akiwa na nyota gani?
@makof-kof1977
@makof-kof1977 Жыл бұрын
Umenitisha
@vyakwetutv
@vyakwetutv Жыл бұрын
ASANTE MTAALAM KWA SOMO LAKO
@jumaomary2392
@jumaomary2392 4 ай бұрын
Doktar naomba no zako za whatssup
NYOTA ZIKIWA ADUI ZINAUA ZINJUE NA UZIKWEPE!?
43:27
Allykk tv
Рет қаралды 4,7 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
LIVE UCHAMBUZI WA 2025 NINI UFANYE UFANIKIWE.
1:27:55
Allykk tv
Рет қаралды 2,7 М.
KWA KUFANYA HIVI UTATUMIA NYOTA YA MTU YEYOTE!
10:23
Allykk tv
Рет қаралды 1,4 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН