Рет қаралды 35,963
Tangu mwaka 2011 wanajeshi wa Kenya wamekuwa nchini somalia kupambana na wanamgambo wa al-Shabaab katika vita vilivyoleta changamoto si haba humu nchini na pia katika taifa la Somalia. Wanajeshi wa Kenya ni miongoni mwa wale wa Umoja wa Afrika, AMISOM wanaodumisha amani nchini humo. Hassan mugambi amerejea kutoka taifa hilo la upembe wa Afrika na kuandaa makala yafuatayo ya safu ya mashambulizi.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya