SAID BOPAR AWAELEZA KWA VITENDO MATAJIRI WENGINE

  Рет қаралды 6,820

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@AzutyHemed-go8yv
@AzutyHemed-go8yv 10 ай бұрын
Allah amjalie wepes inshallh acheni roho mbaya mkimuona mtu anatoa muombeni dua so kumsema Allah mfanyie wepes inshallh mja wako na mzidishie zaid na zaid
@binadimseif2668
@binadimseif2668 Жыл бұрын
Mashallah Allah ambarik amjalie firidausi pamoja nasi Amin.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Жыл бұрын
Allah akuzidishie neema.Wallah natamani niwe ka wewe Allah anizidishie pia na mimi nitowe
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Maa shaa Allah, toa kaka etu kwa Siri na dhahiri na Allah akulipe ujira kamili akhera na duniani, amiin
@OthmamAbdalla
@OthmamAbdalla 7 ай бұрын
Allah amlinde bopar na hasad
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Allah akupe afya na utulivu na nafs akhera na duniani, amiin
@hajiabdullakoba-jz5vj
@hajiabdullakoba-jz5vj Жыл бұрын
mashallah Allah amlope kilalaheri filduni wa filahera amcmamie mamboyake awafikie nawengine inshallah
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 Жыл бұрын
Masha Allah🙏🙏🙏🙏
@ahmedhamdan8526
@ahmedhamdan8526 Жыл бұрын
Mashallah ❤
@saheedali7467
@saheedali7467 Жыл бұрын
Allah akuzidishie zaidi na zaidi. Amin.
@HamadySaidy-et5qw
@HamadySaidy-et5qw Жыл бұрын
Masha Allah
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Жыл бұрын
ALLAH AZIDI KUKU FUNGULIA WEWE NA MATAJIRI WOTE WA ZANZIBAR. AMIYN....... AAMIYN...... 💕💓❤️💓💕🙏🙏🙏🙏🙏
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 9 ай бұрын
mia kuanzia Leo nataka ninunua bizaa za uyu mzee bopar
@Moc.khalfan
@Moc.khalfan 9 ай бұрын
Sawa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Halafu matajiri wengi sana hua wana watu nje ambao wanawaamini na kuwapa Mali zao wazitoe. Hatuezi kujua inaeza kua anatoa kwa kudhihirisha ili wale wanaomuamini kwa kuwapa Mali zao awatolee waridhie. Na km zake mwenyewe hatujakatazwa kutoa kwa kudhihirishq muhimu nia yako tu.
@MaadamAisha-qx5pu
@MaadamAisha-qx5pu Жыл бұрын
Asalam alaykum mimi nnashida naomba kujengewa nyumba japo chumba kimoja nimeanza fondesheni ila mpaka leo mpaka leo chumba hicho kimoja hakijaisha kutoka na na hali yangu mbaya ya maisha.muheshimiwa bopar naomba unisaidie.
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 9 ай бұрын
hiii huoni haibu kuomba fondesheni umewezaje kujenga ushindwe rofari
@AzutyHemed-go8yv
@AzutyHemed-go8yv 10 ай бұрын
Allah ndo mjuzi msihukumu mtu
@abdallahally842
@abdallahally842 10 ай бұрын
Tukipata matajiri wengi kama Hawa nchi itapiga hatua
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Hiyo ni riyaa watu wakuone serekali ikuone na huna fadhila mungu hapendi mambo ya riyaa
@salumnassor6555
@salumnassor6555 Жыл бұрын
@masoudlriyamy6298 ushakuwa Unajua ? unajua vp nia yake Na kweni dini imekataza kutoa dhahir Nia yake ndio Kila kitu Yeye mwenyewe anajua fadhila za kutoa Siri na dhahiri Kwaiyo bora ulizia Kwa wenye ilmu
@salimazan105
@salimazan105 Жыл бұрын
Hakika wale wanao soma Kitabu cha Mwenyezi Mungu, na wakashika Sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga. (Surat fatir aya ya 30)
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 10 ай бұрын
Umejuaje anafanya riyaa . Chunga maneno yako. Allah pekee na yeye mwenyewe ndiye anajua nia yake.
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 9 ай бұрын
sasa kaliya namashekhe wanao towa mawaidha wakilikodiwa waonekane acha ujinga uwo
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Жыл бұрын
Nikweli Bopar alianza kutoa vyeti vya hospital
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah Жыл бұрын
Wadau hii kutoa kwa kujionyesha imekaaje hii haina shida ktk malipo ya Allah
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 Жыл бұрын
Kwanikakwambia KAMA kwa kuijionesha
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 Жыл бұрын
Iyoo nihamasa kwa wengine
@Dullahfakih-hd7re
@Dullahfakih-hd7re Жыл бұрын
huyu tajiri mm namwelewa sana maashallah mungu amzidishie
@salumnassor6555
@salumnassor6555 Жыл бұрын
Haina shida muhimu nia yake kama anatoa kwa kuonekana Tuuu kama anatoa ili kwa kusifiwa fulani bwada tajiri na nimtoa Lakini Hata kama anaonyesha tv kwania ya kuwafanya wengine watoe Si vibaya Nia ndio muhimu
@salimazan105
@salimazan105 Жыл бұрын
Hakika wale wanao soma Kitabu cha Mwenyezi Mungu, na wakashika Sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga. Surat fatir aya ya 30
@BibieAli-co1mb
@BibieAli-co1mb Жыл бұрын
Nia yake ndo inayotakiwa
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Haitakiwi unapotoa kujitangaza hiyo inaitwa riyaa hulipwi chochote unapotoa halafu ukajitangaza ni upotofu mkubwa ukitoa mkono wa kulia wakushoto usijue
@suleimanmuhammed1347
@suleimanmuhammed1347 Жыл бұрын
Kutoa kwake sio kama anajionyeshe Pia anatuhamasisha mimi na wewe tufanye hivi kama Anavyo toa yeye.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Жыл бұрын
Wewe Katoe kwa siri
@salimazan105
@salimazan105 Жыл бұрын
Hakika wale wanao soma Kitabu cha Mwenyezi Mungu, na wakashika Sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga.surat fatir aya ya 30
@salimazan105
@salimazan105 Жыл бұрын
Usiseme kitu ambacho Huna elimu nacho rudi darasani uliza masheikh sio unaongea tu wakat Allah katika Quran kashalieleza hilo ukitoa kwa siri na kwa dhaahiri katk kile ambacho amekurukuni Allah basi kuna malipo makubwa mbele ya Allah
Sheikh Yahya Masussuka Tafsirul Qur'ani bil Qur'ani 102
59:35
MASUSSUKA TV
Рет қаралды 1,3 М.
MWEZI HUU KAMA HUKUFANYA  HILI UTAJUTA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:02:44
arkas online tv
Рет қаралды 118 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
MFAHAMU MUUZA SUPU ALIYEIBUKA KUWA BILIONEA
38:24
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 35 М.
SIRI NZITO YA QUR’AN YAFICHULIWA CHINI YA MTI NA MTOTO ASIYEONA
8:34
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
EPUKA KUNUNUA BIDHAA FEKI :
4:18
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 7 М.
HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI FUNDO PEMBA
4:33
Mamlaka Ya Maji Zanzibar - ZAWA
Рет қаралды 2,1 М.
KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA MAALIM BAKATHIR KUTOKA UKUTANI ZANZIBAR
9:33
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
🅻🅸🆅🅴 KIKAOCHA BARAZA KUU CHADEMA 2025
JAMBO TV
Рет қаралды 1,5 М.
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН