Namjuwa sana yote anayosema ni kweli Allah ambarik amzidishie ampe umri mrefu azidi kusaidia watu
@YussufMohd-k3y9 ай бұрын
Mashallaa kiukweli Bopar ni mtu wa aina yake Sana,ukichunguza mwanzo mwisho yupo ktk misingi ya dini na maelekezo ya wazazi🙏Mungu akutunze Sana mzee wetu funzo ni kubwa Sana.
@bongo3910 ай бұрын
Mashaallah nimependa hadithi ya huyu sheikh inshaallah na sie pie allah atufanyie wepesi huo mie binafsi uwezo wangu sio mzuri ila napenda sana kufanya kama huyu sheikh najitahid nafanya kwa uwezo wangu alionijaalia allah alhamdulilah allah kareem
@DelightfulMacawBird-tl5hf9 ай бұрын
Mashallh huyu baba anaimani sana NA licha ya pesa alizonazo hajiskii Ata kidogo m mungu akuzidishie kheri
@nailaomar481010 ай бұрын
Mashaallah tabarakaallah Allah akuzidishie kheri na barka ameen na mama ako kipenzi mungu amjaze kheri inshaallah
@sleifikhajjir2629 ай бұрын
Mashallah kiukweli mbona najifunza hapa siwezi kata tamaa kwamwe nitamtegemea allah napia sadaka ni kitu muhimu sana katika amaisha yetu
@suleimanh182610 ай бұрын
Hii stori inahamasisha sana. Vijana wa leo tujifunze kwamba maisha hayana njia ya mkato. Ahsante Alfatah TV
@AbdulkarimAkmam9 ай бұрын
Masha Allah, Masha Allah, Masha Allah, machozi lazima yakububujike kwa maneno na vitendo vya kheir anavyovifanya kaka etu Bopar, nataman na mm niwe kama Bopar, mm kwangu huyu Bopar ni kiigizo chema na In Shaa Allah ipo siku na mm nitakua km ww Bopar Amiin
@ahmedsalim94639 ай бұрын
Alhamdu lillah masha All’wa Shekh Said Nasser All’wa akulinde na hasad na akupe umri mrefu amiin
@aminaSuleyman-d6y9 ай бұрын
Kupitia sheikh huyu nimejifunza mengi kwamba pia hakuna kukata tamaa ktk maisha na vile vile kuwa na subra na kumtegemea Allah (s.w )tutafika in shaa Allah m/mungu amjaalie umri mrefu wenye manufaaa allahuma aamin thumma aaaamin 🤲
@aminaSuleyman-d6y9 ай бұрын
Wallahy jazzallahu ghaira kwa ukumbusho hakika lipo la kujifunza kupitia haya jazzallahu ghaira jazzallahu ghaira kwel Inna Allaha maaswabirina
@chikujuma1810 ай бұрын
Mashallah inshallah shukuran mwenyezi mungu akujazie Kila la kheri akuzidishie unapotoa akuongeze inshallah
Mashallaa Sheikh Said Bopar ww ni mfano wakuigwa,kiukweli mwanzo mwisho wa maelezo yako imeonesha wazi jinsi gani upo karbu na Mila na desturi za dini na kitu kikubwa ni kufuata Wazazi,🙏Tunakupenda Sana kwaajili ya Allah
@abufirdaushashim85859 ай бұрын
Mashallaah tabarakallaah ... sheikh Bopar ni mfano wakuigwa na hawa matajiri wetu wakiislam... Nikweli mia fil mia matajiri wengi wakiislam hawataki kumpa Allaah haki yake (zakatul maal) wala hawataki kufanya biashara na Allaah... mali zao nyingi wanazipoteza kwenye kusponsor timu za mipira au waimbaji ama wanasiasa... lakini wanaona ubakhili kutoa kwaajili ya Allaah. Lau matajiri wote wangeungana katika kutoa sadaqa au zakat bila shaka umaskini haungekuwepo hapa duniani maisha ya mayatima, wajane na mafukara yangebadilika pakubwa..
@AllySully9 ай бұрын
Mpemba safi kabisa sheikh said bopar mwenyez mungu akulipe kila kheir fii Dunia Wal akheir.
@princesaha32629 ай бұрын
Aamin
@nassorhaji693010 ай бұрын
Allah azidi kukupa nguvu za kuwasadia wanyonge juhudi zako hazitaki tochi kila mtu anaziona Madhallah
@AliAhmed-m1o2u10 ай бұрын
❤❤❤maasha Allah mwenyezimungu akuzidishie kheir nasie tuombee dua ili tufanikiwe kama ulivyo fanikiwa wewe na insha Allah uwe miingoni wa waja watakao ingia peponi na mtume swala na salam ziwe juu yake ndani ya firdaus Amin Amin insha Allah
@Nassor237710 ай бұрын
Maashallah Allah amzidishie kila akitakacho na Allah ampe mwisho mwema yeye na sisi ...kuna funzo kubwa hapo kwa maelezo na vitendo vya Sheikhe Bopar ...Allah akulipe kheri pamoja na uongozi wa Al Fatah kwajumla.
@hamadibujafar22289 ай бұрын
Mashallah Allah akuzidishie shekhe Bopar hakika kuna kitu cha kujifunza kwa unayoyapita
@Bigmo27069 ай бұрын
Mashallah asante sana bopar umenifunza kitu kikubwa leo Allah akuongoze na akupe pepo iliojuu inshallah
@zuberimbwila32649 ай бұрын
Mashaallah leo nimejifunza kitu kikubwa katika maisha yangu allah atujalie sote tuliopata nafasi ya kumsikiliza shekhe
@RahmaRashid-lc6nw10 ай бұрын
Mashallah Tabaraqallah neema kubwa kumuona mtu aliyejaliwa kipato bado ameshikamana na dini na mwingi wa kutoa
@HhRt-m5z9 ай бұрын
Yaa Allah mjaalie umri mrefu wenye kheri na barka mja wako huyu na umlipe Pepo yajuu bila ya hisabu pamoja na kipenzi chetu Muhammad yeye nafamilia yake inshallah
@fatmaalbeity909710 ай бұрын
Hakuna kitu kama kumtanguliza mwenyezi mungu katika maisha yako na kuwa na kinaa na kuwati wazazi dua yamzazi inafungua barka kubwa na kutokuwa na kiburi ! Huyu bwana qualification zote hizi anazo ..mashaallah tabarakallah Allah ihfadhkum Allah ibarik
@princesaha32629 ай бұрын
Naam
@hajikhatibhaji71629 ай бұрын
Allah akuhifadhi mzee wetu, akuongezee katika machumo yako na aikuze mali yako zaidi ili uweze kuwasaidia watu wengi zaidi
@princesaha32629 ай бұрын
Aamin
@mohammedally59358 ай бұрын
Alhamdullilah Tumepata funzo kubwa sana ukitowa Nafasi inafurahi ukitowa 100 kesho unataka kutowa 150 kwa tafsiri nyepesi towa utakavyotowa unakuwa na Amani Allah tujalie tuwe miongoni katika kufanya kheri🤲🏼🤲🏼
@twahasuleiman-lo9vl10 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah Wallah najisikia... Machoz yananitoka... MashaAllah Allah amjalie Bopar ampe Maisha Mazuri...
@zulekha302810 ай бұрын
Allaah akupe kheri za dunia na akhera utaporejea inshllh
@princesaha32629 ай бұрын
Aamin
@yusuphhabibu14749 ай бұрын
Mashallah lait matajiri wote wengeiga mfano wa sheikh huyu au mfanyabiasha huyu uislam ungekua juu Zaid
@waheedaw195310 ай бұрын
MashaAllah tabaraka Rahman Allah akuzidishiye zaidi ya hayo Na mwisho mwema NAKUTAKIYA AFYA DAIMAN INSHAALLAH
@princesaha32629 ай бұрын
Aamin
@Mohammed-ot7nf9 ай бұрын
Gd bless u akupe afya umri akuondoshe Kila BAYA mbele yako
@MwajumaSaleh-z8k9 ай бұрын
Maashallah allah akubarik. Usomesha somo kubwa. Alhamdulillah.
@halimsaidi95678 ай бұрын
Sheikh kaanza mbali sana mashallah
@halimsaidi95678 ай бұрын
Mashallah
@abdillahiomar59619 ай бұрын
Mashallah.Allah awalipe nyote kwa kazi yenu nzuri.Allah awape jannatul firdaus na ibada zenu ziwe maqbuul
@sheikhaswalehsalim339210 ай бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akupe umri mrefu na ukizidishie neema.ameen Ameen Ameen Ameen yarab 🤲 🤲 🤲 🤲 🤲
@princesaha32629 ай бұрын
Aamin
@SaidSaid-rm8wq10 ай бұрын
Mashallah Yaa Rabbi mpe huyu bopar umri mrefu na afya bora aendelee kuwasaidia maskini na wasiojiweza na pia azidi kuwahamasisha waislam wengine wafuate nyayo zake .kwa kusaidia wanyonge Mungu akuzidishie Sana na sana.
@SalmaJuma-p7b9 ай бұрын
Masha allah mwenyezi mungu akuzidishie badala insha allah
@JumaRajabHaji9 ай бұрын
ما شاء الله يا شيخي ومعلمي ، أسأل الله تعالى أن يزيدك ويبارك لك في مالك لتكون مع الذين ينفقون أموالهم فى سبيل الله، وأن يحفظك من جميع البلاء والبلوى الخارج من الأرض والنازل من السماء وحفظك الله من كل شر وجزاك أحسن الجزاء
@princesaha32629 ай бұрын
آمين
@AmirGau-it5ty9 ай бұрын
Mashaallahu shekhe sayidi bopari ALLAHU akulipe kula ya kheri
@NassibMbuguni-n1d10 ай бұрын
Sheikhe said mwenyezimungu amjalie mwisho mwema
@princesaha32629 ай бұрын
Aaamin
@AwadhiSiraji-gw8lo9 ай бұрын
Yule mwalimu kauliyake yakheri ishaallah
@fatumahamadi137910 ай бұрын
Mashallah ALLAH akuhifadhi n Dini yko N akuzidishie Umri Mrefu
@princesaha32629 ай бұрын
Aamin
@mwanamnyika408510 ай бұрын
Mashaallah tajili wa kujielewa ,tuna mbunge moja hapo ninapo kaa ataki wanainchi waunganishe umeme kwwnye ngunzo ambayo Iko kwenye eneo lake kwa kweri sijui akifa ataenda nao uwo umeme subhaanallah
@MouhammedSeif9 ай бұрын
Matajiri wa zanzibar niwakarimu sana mungu kawajalia imani kubwa
@mbarakkhamisali9 ай бұрын
Uyu mzee ni mtu MashaAllah
@zakiaqasim531210 ай бұрын
Maasha Allah maasha Allah tabarrak rahman amiin hakika tumejifunza mengi kutoka historia yake na vipi As wazazi tuwe na vizazi vyetu in sha Allah azidi kukufanyia barkah ktk maisha yenu shukran
@fathiarabi83409 ай бұрын
MashaAllah TabarakAllah ✨
@mody-guyngido27929 ай бұрын
Clip hii inamazingatio Sana na imefungua watu wengi masikio na macho,hakika kutoa ni moyo na ni neema Kubwa sana Allah Akikujaalia moyo wakutoa, Allah Atupe Mioyo ya kutoa bila yakuhofia umasikini Allahumma Amin, Allah Akuzidishie Neema na Afya yenye Baraka Bopar Allahumma Amin.
@allykassim11209 ай бұрын
mungu akuzidishie na akulinde shekhe
@stonetown5789 ай бұрын
Masha'Allah TabarakaAllah, Allah azidi kukufanyia wepesi katika shughuli zako.
@yuleboy80599 ай бұрын
Mwenyezi mungu atakulipa juu ya kheri yko MashAllah
@AnwarAli-vs9mp9 ай бұрын
MASHALLAH TABARAKALLAH allah izidak nasi twakuomba utusaidie tupo msa kenya
@HussainAbdallaAli9 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah mashallah Allah walipe kheir ktk hayo munayofanya
@ukhtysalama418410 ай бұрын
MashaAllah Allah akulinde na kila baya, akulipe malipo mema duniani na kesho Akhera.mungu ajaalie ufike na kijiji cha kiwani ya mchanga mdogo, wete pemba InshaAllah.
@AnwarAli-vs9mp9 ай бұрын
ASALAM ALIEKUM naomba nmba ya shkh said nasor bobar minhisanikum mie nipo MOMBASA kenya
@oshaooshao33019 ай бұрын
Maasha ALLAH, Great Job done by the Bopar and may Allah bless him in the Dunia and Akhera, Amiin Amiin Amiin
@omarmohammed515710 ай бұрын
MASHA ALLAH INAMAFUNZO MENGI NIMEIPENDA HONGERA SANA BROTHER ❤❤❤
@husseinbakromar586510 ай бұрын
mashallah tabarakah allah utu unashinda kitu hata maswahaba walitoa mali zao zote kwa sababu ya dini na hata mtume s a w alikua akilala njaa sababu ya waliomzukuka zama tulizo nazo ni wachache sana wenye kuiga mafunzo mema ulimwengu mzima matajiri wakubwa ni waislam lakin aradhiwa ajihfaharishe kwa anasa za dunia ili apate umarufu mwisho wa siku umauti haubishi mlango wala kukupa tarifaa hilo wamelisahau kwa anasa za usoni wanachezea ballion kwa upuuzi na kuna wahitaji asili mia sabini na tano ukijua utakapo na uwendapo na mwishon kifo huezi kufanya makosa na uwezo unao
@KomboHassan-r9y10 ай бұрын
Mara nyengine sheikh said tufikirie namna yakuwapelekea wataalamu WA fani ndogo ndogo wawafunze jamiii. Kama vile subunit, viatu vya plastic na ufundi mbali mbali. Ahsante
@rajabrajab974710 ай бұрын
Mashaalla Allaha akuzidishe kheri Duniani Hadi Akhera
@Ashoora27 ай бұрын
Mashaa'Allah nimeipenda story yako Allah akuhifadhi ili uwe mfano kwa vizazi na vizazi Innshaa'Allah ❤
@is-mailh.makame54209 ай бұрын
mashallah mzeee nakuelewa na nakuheshimu sana HIGH IQ upo nayo ya
@bushraaljadidi77479 ай бұрын
Maa shaa Allah.Allah akupe kila lakheri🤲 usiwasahau watu wa mkowani pia
@KomboHassan-r9y10 ай бұрын
Allah akupe maisha marefu Ndugu yetu. Hakika wewe ni hazina katika umma WA kiislam. Allah akupe wepesi. Naomba safari hii biidhnilah ufike kijiji cha mjini wingwi Pemba ameen
@1112-b3c8 ай бұрын
Mashallah Allah awafanyie wepesu
@Onlyforfun1992tube10 ай бұрын
Tabaaraka rahman Allah akubarik
@OmarOmar-bh1iu9 ай бұрын
بارك الله فيكم واحسن اليكم.
@fatmam199710 ай бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie akulipe kila zuri unalolifanya
@hamiduhamidu59749 ай бұрын
Mashaallah boss Bopa mimi nishuhuda wa ayanenayo kuna kijana aliwai kuvamia biashara yake uturuki lakini alimaliza kwa hekima
@mody-guyngido27929 ай бұрын
Barakallahu fiikum
@rahmahaji35649 ай бұрын
Mashallah Allah ampe Kila la kher maalim boper
@NabilHassan-ny6jj9 ай бұрын
INSHALLAH MUNGU AKUBARIKI BOPAR
@MasoudMrisho-r4z9 ай бұрын
Asalam alaykum MashaAllah Allah atubarik Sheikh Rashid mm nataka kumuona Bopar lnshaAllah.
@MialiiMohamed-m9l9 ай бұрын
Mashaa Allah sheikh said kwa kunipa mafunzo, Alhamdhulilah
@SAUMUALI-zf1cz9 ай бұрын
Mashaallah Allah akulipe kheri duniani na akhera😊
@husseynomar952310 ай бұрын
MashaAllahu sheikh Allah atubarik kwa sote Amiin
@faroukfarouk4779 ай бұрын
Allah akuzidishie
@abdallamohamedabdalla9 ай бұрын
Ma sha Allah TabarakallAh ❤
@fatmasaid976510 ай бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie neema na baraka uzidi kusaidia jamii
@aliyabdullah163310 ай бұрын
Allah akuzidishie zaidi na zaidi kwa akulipe kheri inshaallah na ujira mkubwa inshaallah
@VORTEXAF10 ай бұрын
Mashaallah
@FatmaMohamed-jw2lc10 ай бұрын
Allah amlipe kheri mama yako mtoto mwema hutengenezwa tangu mapema na Allah hujaaliya kawa mwema
@zabibuissa12529 ай бұрын
Allahumma thummaa Amin Nasi tuwe kama. Shehe
@SwahiliSister-o5v10 ай бұрын
Mashaa Allah tabarak wataala
@AllyHamran10 ай бұрын
"Kitu kikubwa kilichonisaidia ni uaminifu" Nimekuelewa sanna mzee.
@ZuhuraSaleh-k8s9 ай бұрын
Good job mashaallah
@SHARIFUABDALLAH-o5h10 ай бұрын
MASHAALLAH ALLAH akuzidishie kila la kher
@suleimanadim652210 ай бұрын
ALLAH ATUZIDISHIE KHER NA BARQA MASHALLAH
@suleimanrashid391810 ай бұрын
Kiukweli katoka moyoni huyu sheikh said kwangu mm nimejifunza kwako mambo mengi katika utoaji wake kila nikaswali huomba mungu anijalie mali na imani na moyo kama wanakumbula kuna siku nilipata pesa kiasi nikaenda hadi dukani kwake pale mombasa nimuone anipe ushaur wakufanya biashara na nilitaka ninunue pampas pale dukani nianze biashara ila wale wauzaji wakaniambia hayupo na siwez kumuona hapo nikaanza biashara ya mkaa kuchukua kutoka tanga ijapo sijafanikiwa ila saiv nafanya kaz nikijipanga iko siku in shaa Allah nami nami nitakua mtoaji kama yeye Allah amjalie umri mrefu wenye mwisho mwema na kruu yote ya al fatah kwa juhudi zenu.
@mozashekhan48889 ай бұрын
MashaAllah tabaraka rrahmaan
@aishahadi27398 ай бұрын
Allah bariq
@twayehadi69219 ай бұрын
Mashallah mfano wa kuigwa
@fakihdarusi438510 ай бұрын
YAANI HUYU BABA KWAKWELI ZANZIBAR...TUMUOMBEE TAJIR PEKEE ZANZIBAR..ASIE KUWA NA MAKUU
@Pili-n3l9 ай бұрын
Sheh mm naomba unisaidie namba za huyu baba kw uwezo wa Allah atakulipa hery inshaallh naomba 🙏
@mariamsalim931110 ай бұрын
I am proud of you my brother
@princesaha32629 ай бұрын
True
@zenjibar6410 ай бұрын
Vijana wa. siku hizi. hawataki kujituma , wanasubiri watu watoke majasho wao waje kukuibia .
@AliAbdulla-xq8vr10 ай бұрын
Ni kweli shehe said ametoka kwenye hali ngumu sana anayosema ni ya kweli
@princesaha32629 ай бұрын
Mkoani eee???
@aishaahmed78949 ай бұрын
Asalaam alayqum Mimi Naomba nikutanishwe na sheikh wangu bopar nashida nae Allah amzidishie
@SalmaSalum-qw8yo10 ай бұрын
Jazakallah khayr
@nadhifamohammed77499 ай бұрын
Hapa kwenye isabu kweli nilifika ofini kwako nimeshuhudia