Ndacha umeingia cha kike, huyo ndo mwamba SAIDI JUMA KINYOGOLI MashALLAHu
@Yohana-xc1xi2 ай бұрын
ndacha Mungu akulinde kwa kuwa unawafunguwa vipofu
@LuqmanAndrew-nu9rx Жыл бұрын
Nakupenda kinyogoli kwa ajil ya Allah, Allah akupe umri mrefu na nguvu ya kuilingania din yake.
@LASSUH49476 ай бұрын
Shukran sana shekh said juma kinyogoli
@EmmanuelLameck-s2i10 ай бұрын
Ndacha Mwenyezi mungu akubariki sanaa
@HassanMbaruk-nv6ub Жыл бұрын
Allah ukupe nguvu na maisha marefu uzid kuulingania uislam
@IbrahimMagige-d3c6 ай бұрын
Uislaam umekamilika kila idara katika mfumo mzima wa maisha.
@KipkorirDennis-z7g Жыл бұрын
Pastor ndacha Moto, Mungu akubariki
@i.dclassic1163 ай бұрын
Acheni ushabiki mutaenda moton
@KADOWAKADO3 ай бұрын
DR SULLE
@DuliBrillant-mr8er10 ай бұрын
Hyu ndacha ana babwaja 2 yan hakuna mkirsto mjinga km huyu jmaa
@professorimmah4 ай бұрын
Uko sahihi
@ismailally201411 ай бұрын
ndacha hana hoja shekhe wangu huyo unga unga mwana
@miangijunior4358 Жыл бұрын
Jibu lako lipo Kwenye QUR-AN Surat Al I'Mran Aya 19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. Aya hiyo apo, Haya Sasa tuambie wewe mwenzetu ili yawe maneno hayo hayatuhuyu sisi Waislamu Iyo Dini ya Uislamu waliyo iyamini WANAITWAJE?
@huseinshedrack61802 жыл бұрын
Uislam raha sn jmn,cjutuii kuslim
@mustafarashid2484 Жыл бұрын
Karibu sana kaka kwa dini ya haki Allah akuongoze inshallah
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Kapunge muhamad huko we maimuna
@huseinshedrack6180 Жыл бұрын
@@mustafarashid2484 Ahsant sn nina aman sn huku
@huseinshedrack6180 Жыл бұрын
@@irenekaluse3213 mbona umeandika kirumi ckuelew
@سعدياقوت-ت2خ Жыл бұрын
Huyo ndie said kinyogoli kiboko yao
@JumOnyancha7 ай бұрын
Ndacha mwalimu kweli
@cabylake2320 Жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️😍
@jamilaomari24442 жыл бұрын
Ndacha msanii kweli😂
@Marankito2 жыл бұрын
But his is fake
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Mazinge on satanik na dera lake
@kareemaali8007 Жыл бұрын
Msanii ndacha
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Asante msaniii ndacha
@walesjulius549310 ай бұрын
Mkristo gan anasema Muhammad ni mtume ili wawe wanafiki
@enosbahati2232 жыл бұрын
Ndacha ubarikiwe sana
@firstvisual5404 Жыл бұрын
Ndacha on fire
@IbrahimMagige-d3c6 ай бұрын
Ukristo umeanzishwa na Paul miaka 13 baada ya Yesu kupaa mbinguni, hivyo basi, ukristo na Yesu ni kama vile mashariki na magharibi, havijakutana kabisa.
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Ndacha ni jembe la Yesu
@mustafarashid2484 Жыл бұрын
Jembe gani na anawapotosha,dini ya Kweli ni Uislam,sasa nyinyi makfiri eti munamuabudu Yesu mwanadamu mwenzako,ila Allah atakuongoza inshallah
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
@@mustafarashid2484 weeee allah c Mungu mkuu allah n mungu wa 360 upo shehe wao na huko kwenu muna njaa mwajuana ndo mkiona mmekimbiwa ndo husema njaa mbaya allah msosi tu wamsumbua hadi akimbiwa
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
@@mustafarashid2484 ndacha c mficha ufirauni wenu nishawahi ona mwislam kafunga asubuhi kabla kufuturu kafuturi k eti ngoja niende nikafuturu muda ushafika mmmh tena mganga muhamadi matanza au baba koba mzinifu wavitoto km nabii hamidun
@zainabumwagiroabdallamwagi972 жыл бұрын
Ndacha hajui chochote kuhusu maandiko hajui bibilia wala quran.quran haipindishwi .ukiipindisha aya moja waumbuka.
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Waislam hawa hawajui kitu chochote
@Yohana-xc1xi2 ай бұрын
acha kuongea ujinga maana ata ujui chochote
@eyelushshamschel Жыл бұрын
Dah! Wakristo bwana 🤣🤣🤣🤣🤣
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Waislam bwana
@mustafarashid2484 Жыл бұрын
@@irenekaluse3213 Uislam dini ya haki,nyinyi makfiri mumepotea kweli.
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
@@mustafarashid2484 haki ya kufir.....??hapo ndipo mlipoanzia kuuana kisa kuazinivmnaroho mbaya khaaa
@khadijarashid543411 ай бұрын
Ndacha hii video inaangaliwa na wasomi worldwide ,mbona wajidharaulisha kwa kufanya u cartoon na urongo
@mustafarashid2484 Жыл бұрын
Ukristo uliletwa na kafiri Paulo,ata wayahudi hawatambui ukristo,mumepotoka kweli na ndacha Kafiri mkubwa,Allah atawaongoza katika dini ya Haki inshallah.
@bakarimakomola Жыл бұрын
Kumbe ndacha ni hovyo kabisa😅😅😅😅
@MukulasiKapela6 ай бұрын
Ndacha apo umezinguwa
@abdallahhamisiiddi45132 жыл бұрын
Uislamu raha ukiufahamu
@hoja2 Жыл бұрын
true
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Ukristo raha sana
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Uislamu mzigo uislamu majini uislam uongo kulazimishana sasa zama zaja kwakuwa wao ndo makafiri mtu ataulizwa we dini ipi mkristo panga shaaa muislam kaa kule mana mungu wao anapiganiwa hajipiganii nguvu za allah zi katika kutoa kafara za mtume kubaka lkn msiogope mwanaume YESU YUAJA TENA wakati allah yu kuzim na mtume wk
@petro_RaphaelАй бұрын
@@irenekaluse3213aya maneno utayakumbuka mkuu
@JohnLorunyu10 ай бұрын
Walimu waislamu munaact utoto munaonekana wa sio ukweli
@santosinza9785 Жыл бұрын
Uislam bila biblia aujitoshelezi kinyogoli anabwabwaja tuu na kanzu lake
@professorimmah4 ай бұрын
Nyoo hata haya hauoni
@jersonmpeka4984 Жыл бұрын
Someni 5 -85 qruan utajua wakikisito ni watu wa haina gani
@HassanAjeneza-nd1oh Жыл бұрын
Saidi ni mkata umeme wa tanesco
@mazikumakoye9533 Жыл бұрын
Wapinga kristo Ni waislamu.
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Kabisa
@mustafarashid2484 Жыл бұрын
Ukristo uliletwa na kafiri Paulo,Uislam ni dini ya haki
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
@@mustafarashid2484 haki kuuana ?kufuga majini ?kugeuzana?ww kafiri mpinga kristo nakamata ufahamu wk nakufungua kwacjina lipitalo majina yooote likiwemo hamadi mbakaji alomwacha elimu aende zk mpingana na MUNGU ALIE HAI
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Mungu anajipigania allah na mtume wanapiganiwa
@professorimmah4 ай бұрын
Utajua ukifa
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
Hakuna Muislamu ametajwa kwa hio andiko wanataka Kuweka Kwa nguvu 🤣🤣🤣🤣 Hawa ni makofia tu hawana lolote 😂😂😂 uislamu bila uongo si uislamu ni usanii
@radjabundikumana5689 Жыл бұрын
Una uhakika?
@firstvisual5404 Жыл бұрын
😂😂
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
@@radjabundikumana5689 kwani hujaskiza ama unacomment mbila kujua chenye unacommentia?? 🤣🤣🤣 hivyo ndivyo mnandanganywa na Hawa Wayahundi wenu Kwa Sababu wanajua hamsomi Biblia 😆😆
@amriamraan2612 Жыл бұрын
Najua inauma lakini ukweli unaujua kwamba usanii upo kanisani maana viwete wanaotembea na vipofu wanaoona hatujawahi kujua wanatokea wapi ila wale tunaowajua hawaponi eti imani yao ndogo😂 Na juzi mchungaji wenu kasema ukristo dini ya kinafiki na vijana wa kikristo matapeli kafukuzwa kanisani 😂😂😂😂