MWINJILISTI NDACHA ASEMA UTATU NI UPAGANI (PART 2)

  Рет қаралды 29,988

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 272
@QWARIDAMassay
@QWARIDAMassay 5 ай бұрын
Yaan kweli namshangaa sana Mungu Baba wa bwana wetu Yesu kristu jinsi alivyompatia uwezo pastor ndacha kuuambia ulimwengu ukweli uliotukuka kuhusu ufalme wa Mungu🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Arishafa547
@Arishafa547 Жыл бұрын
Nataman kumuona huyu ustadh Ramadhani mungu akujaali inshahlla unapambana kuitetea din yote Allah anayaon yafanye mungu mupe maisha marefu huyu sheik na umjalie awe na mwisho mwema inshahlla
@minhajsahal4467
@minhajsahal4467 Жыл бұрын
Alhamdulillah Rabil Aalamin 🤲 Allah akubariki sana. Allah akuzidishie elimu na akulipe hapa Dunia na akhera.
@yusufseifu4967
@yusufseifu4967 Жыл бұрын
ALLAH akujaalie kila la kheri shekh Ramadhan kwa kaz yako nzuri ya kueneza dini ya haki
@nurki001
@nurki001 Жыл бұрын
Ustaadh kuria Mungu akubariki maana una ujasiri wa kujibu maswali kinagaubaga na umetoa hoja nzito kabisa mashaallah
@رسكيعبده
@رسكيعبده Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe wetu kwakuwapa darsa ao makafiri
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
In shaa Allah,ndacha atasilimu na kuwa mhadhiri akawarudishe alio wapoteza ili sote tukaingie poponi
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa labda apende الله kumuongoza na wengineo, maana ni wabishi sana. Ikiwa mtu anasema mwenyewe mimi mtu, nawao wana mwaambia ww siyo mtu. Sasa anaye jijua ni nani?
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Amiin yaarab Mmungu atakabali dua yako hii ndugu Ndacha asilimu.
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 Anaye jua ni Yule alitoka juu mbinguni, akaja nduniani na kuishi kama mtu, alafu mwisho wa mission yake nduniani, akapaa juu kurudi mbiguni aliko toka, watu wakimtazama wazi! Ndiye yeye alisema, " kabla Abraham ajazaliwa, ("MIMI NIKO")!! Ndio yeye aliyesema kuwa, Mfalme Daudi ("ANANIITA MIMI MBWANA KWA ROHOONI")) Anaye jua, ndio Yule Yule alitembea juu ya maji! Ndio Yule Yule aliyewafufua wafu! Aliye ponya wangojwa, aliye toa watu pepo. Ndio Yule Yule aliye ambundiwa siku aliyozaliwa, Ndio Yule Yule atakaye inamiwa na KIPIGIWA GOTI na KILA MTU, mbunguni, nduniani na china ya maji. Shetani mwenyewe na muhammed watapiga goti. Malaika mkumbwa wa ajabu mavazi yake ni mawingu, akanyangaye ardhini mguu moja, na majini mguu mwingi, ATAPIGIA HUYU TUMWONGELAYE HAPA GOTI! imagine!! This Angel swears BY THE NAME OF THE LORF!! Anaye jua, ndio Yule Yule atakaye hukumu kila mtu! Yaani YESU KRISTO .. YESHUA AMASSIAH! Jee, wewe umewahi kutembea juu ya maji? Umewahi kufufu mfu? Niwagapi umewahi kuwaona wakipaa juu mbinguni na macho yako! Je, ulikuweko kabla ya Abrahamu kuzaliwa? Mwenye anayo haya yote, Mzito sana na sio wakawaida! Msikize anayo amuru watu kufanya kambla ya Mda kuisha Duniani! Usikumbali kuchanganywua na mambo ya dini hata! NDINI HAZIKO MBINGUNI NA WATU HAWATAOKOLEWA DHIDI YA NDINI ZAO! Haya yote hapa, tafadhali zingatia!
@inashariif545
@inashariif545 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Sh. Ramadhan. You have the idea to challenge him, May Allah ease for you and guide him to the right path.
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Amin
@mohammedahmed4508
@mohammedahmed4508 Жыл бұрын
Amiin
@QWARIDAMassay
@QWARIDAMassay 5 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeen 🎉🎉🎉🎉🎉 ndacha kwa jina la Yesu aliyehai
@tocaworld7864
@tocaworld7864 Жыл бұрын
Jazzakallah, Tabarakallah, ustadh Ramadhami , Allah Kubariki Sanaa tena Sanaa katika kulingania his Dini ya Hakki. Ndacha Allah akuongoze katika dini ya uislam.
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Ati yesu anakuwa kaa mungu, waaaaah, ndacha ukora wa akiri
@MaalimDakane
@MaalimDakane Жыл бұрын
ALLAH ukuwekee thawabu katika mizani yako ya mema siku ya Kiyama
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
M.A am following this Channel staright path kutoka garissa township naongojea ustadh Ramadan afike gaissa nitamkaribisha
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@khamissalum9285
@khamissalum9285 Жыл бұрын
Shekhe uko sawa
@KhamisiJuma-xd7il
@KhamisiJuma-xd7il 5 ай бұрын
Ndacha ananichekesha sana hauna elimu hiyo yakuelezea mambo ya mungu
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Sheh Ramadhan sheh Anwar hao waalimu ndacha sio level yako usichezee
@leonardmathias9948
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
Inahitaji watu wenye uwezo mkubwa sana wa akili ili kumwelewa ndacha. Very bright man
@maherzain615
@maherzain615 Жыл бұрын
Hahahahaha
@abdallajuma1723
@abdallajuma1723 10 ай бұрын
Ww akili huna kila ki2 kipo was hpo akili gn tena Utumie
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Жыл бұрын
Ma sha Allah ,sheikh wetu, kwa maonì yangu, ndacha tatizo lake anaaminì yote yaliyoandikwa katika biblia ,anayaunganisha anatafuta ku make sense vile anataka
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
@@leonardmathias9948 biblia yenyewe mapunguf kibao
@leonardmathias9948
@leonardmathias9948 Жыл бұрын
@@Yu-jr9uf namimi nilijuaga hvyo ,kumbe Ni uvivu wa kibinadam wa kufuatilia ndo shida, , naomba mfano wa mapungufu tuelekezane tafadhali
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
@@leonardmathias9948 sawa ndg yangu ebu naomba kasome 2-wafalme 8:26 vs 2-mambo ya nyakati 22:2 alafu uniambie Ahazia alianza kutawala akiwa na miaka mingapi? Alaf je ikiwa bible ni maneno ya Mungu yote, je Mungu anaweza fanya makosa hata lile dooogo kabisa! pili kama watakua waandishi ndo walifanya makosa, hao waandishi hawakua inspired na roho mtakatifu walipokua wanaandika mpaka wakosee? tatu ikiwa hilo ni moja ya makosa je tunawezaje kupata ujasiri wa kuyaamini na kutegemea maandiko mengine? na je kitabu chenye makosa kinaweza kutumiwa kuhukumia watu? naomba unifundiahe ndgu kama points zangu zitakua hazina mashiko na unijibu kipengele kimoja baada ya kingine
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@leonardmathias9948 kwanza original ya biblia ni lugha gani tunataka kujua ilo, na jee kwa nini msisome iyo original kwanza maana sisi Waislamu tunasoma kama ilivo kuja original tna dunia nzima tunasoma ivo wala hatuja wahi kutofautiana, then ndio tuna tafsir kila taifa kwa lugha yake,
@ahmedrustu1283
@ahmedrustu1283 Жыл бұрын
Ndacha ni Allah pekee anaweza kungeuzageuza roho, NA ni YEYE tuu anaongoza, Wewe ni dua tu Nakuombea, ALLAH AKUONGOZE, AMIIN
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Жыл бұрын
Hyu ndacha km shekhe ramadhan utaenda nae hivi hivi bc ata silimu kua muislam...maaana hua kwa ustadhi mazinge anakua na wenzie anapiga nae kelele.... ila ww mashallah unaenda nae taratibu.....
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 11 ай бұрын
InshaAllah
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Ndacha MUNGU akubariki San🙏🙏 nimebarikiwa hakika🙏🙏
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 Жыл бұрын
Siku karibu ataitwa Al-Hajj-Shk-Al Ust-Al-Maalim Ndacha.Atasilimutu mda sio mbali.Isha'Allah.
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Ndacha qurani ikishasema msiseme Mungu watatu, huyo ni Mungu aliesema hivyo, sasa wewe unabishana na Mungu aliekuumba na akakuneemesha. Tafadhali sana kaka angu muogope sana Mungu unaweza kuja kufa kibaya sana ila namuomba Mungu akuongoze uijuwe haki
@ludeelectronics
@ludeelectronics Жыл бұрын
Kwan korhan ndo neno la mungu
@ludeelectronics
@ludeelectronics Жыл бұрын
Korhan kitabu cha ibilisi kuwapoteza watu wa Mungu.. kama hutak kuamini acha tutakutana mbeleni
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
@@ludeelectronics hayo ni mawazo yako ndio mana kuna dini zinaruhusu ushoga
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
@@ludeelectronics uzuri vitabu vijieleze wenyewe kwa mfano qurani inajieleza " Hiki ni kitabu kisichoshaka kutoka kwa Allah ni muongozo kwa wanaomuamini Mungu".na biblia ijieleze kama hivyo..
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@ludeelectronics Uyo iblisi ndio kasha ahidiwa adhabu kali sana siku ya mwisho kwenye iyo Qur-an kama ulivo ekewa wewe, Moto milele ukifa ndani ya huo ukiristo
@maherzain615
@maherzain615 Жыл бұрын
Biblia hio uio yasema yesu ni mfano wa mungu na hiio hio yasema mungu hana mfano
@zeharaz4116
@zeharaz4116 Жыл бұрын
Allah ni mmoja wala hapana Allah mwengine
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Жыл бұрын
Aslam walkm warahadhullah wabarakatuh, Ustadh Ramadhani Allah akulipe kila la kher fill Dunia wall akhera. Ulinganiaji wako ni mzur Sana MashaAllah. Uko taratibu na hekma sanaa
@hashimabdi
@hashimabdi Жыл бұрын
Mashallah ustadhi
@khalfansaid4756
@khalfansaid4756 Жыл бұрын
😂😅😂😅😂😅Ndacha hamna kitu nisawa na zimwi lenye wafuasi 😂😂😂😂😂
@africacoast6841
@africacoast6841 Жыл бұрын
Always ndacha you're great
@jamamohamednooh5802
@jamamohamednooh5802 Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Ndacha kua muislamu uokoke na adhabu za ALLAH..Dunia tunapita na kila kitu tutakiacha .
@salummakame5086
@salummakame5086 Жыл бұрын
Maoni yangu. 1). Msieke mada ya kuzungumzia bali kikao kianze moja kwa moja na maswali na mtu ajibu tu. 2). Maswali yakiulizwa yasiegemee katika mada flani bali maswali yawe yoyote tuu 3). Kabla ya kuanza mazungumzo tujue kwamba kinachosemwa katika kitabu kisipingwe 4). Vitabu tu nd vitumike kueleza ukweli hakuna kuweka mawazo ya mtu.
@reubenmwagisa4380
@reubenmwagisa4380 8 ай бұрын
Wanamasikio lakini hawasikii na wana macho lakini hawaoni.Mungu awasaidie waisilamu wote, mgeuke kutoka ktk mambo hayo mawili, na mtapata kujua kweli na kuwaweka huru kweli kweli.
@saidamur5747
@saidamur5747 Жыл бұрын
Ss.ndacha.hujui.hayo.maneno.ni.yapaulo.kwann.hufahamu.yesu.hakuwa.mkisto
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Kaka Said fullstop weka mwisho kabixa ya comment yako.
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Ndacha Ukafiri umemjaa ndio maana
@saidseiph8576
@saidseiph8576 Жыл бұрын
Ndacha yani yeye yupo kiushindani tu na sivyenginevyo INNALILLAH WAINNA ILAIYH RAJIUUN
@ummohamed4404
@ummohamed4404 Жыл бұрын
Mashalhaa Allhah akuhifadhi shekh Ramadhani
@protasmathias5064
@protasmathias5064 Жыл бұрын
kwel huyu ostaz amekosa cha kufanya, kwenda kubishana mambo ya dini, ila sawa tetea waumin wako wasipotee, dini haibishwan au dini haipondew mtandaon, dini inafundishwa sehem usika, Mungu akusaidie sana ostaz ujitambue pia.
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Maasha Allah..ALLAH akufungulie rizki zako shehe Ramadhan.Nakumbuka Ndundi ALLAH amrehem alikuwa mbishi sana lakini Kwa huruma zake alibadilisha moyo wa Ndundi na kuwa mwislam .Naamini hata huyu ALLAH atamuonyesha njia ya haki kama Ndundi.Kwani humuongoa amtakae.
@bernardmkuffya5171
@bernardmkuffya5171 Жыл бұрын
Ndacha you are well understood,Ila waliofia Imani kukuelewa Ni vigumu.ubarikuwe!
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Mwenzako anapinga UTATU sijui wewe
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Жыл бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh,....tayari tupo part 2. Shukran sana Ustadh Ramadhan kurya kumkaribisha ndacha kumuilimisha tauhid ya wiisilamu
@countercheck887
@countercheck887 Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki na akulinde
@salumuhamza
@salumuhamza Жыл бұрын
Mungu atamlipa kwa kupotosha watu
@countercheck887
@countercheck887 Жыл бұрын
@@salumuhamza wewe ushapotea, unajua nini ilhali wewe ni kipofu kiroho. Ndacha ndie kiboko yenu wapinga Kristo makafiri. Tubu wachana na Dini ya mtume Mwongo...
@isackmbarikiwa5887
@isackmbarikiwa5887 Жыл бұрын
Mwinjilisti Ndacha upo vizur sana shida sheh anatafsiri maandiko kibinadamu na mjanja mjanja hanyoshi
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Dacha mungu amekupa mda wakufanya maamuzi lakn unauchezea ukae ukijua kaburini hakuna kulipa fyne..yakurudishwa duniani n saii uamue uifuate hakki
@MaalimDakane
@MaalimDakane Жыл бұрын
Ustadh Ramadhan
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Жыл бұрын
Ndacha unapinga utatu lakini kwamaelezo Yako unakubali utatu
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 Жыл бұрын
leo ndo nimeamini kwamba wakristo mumepotea mara Yesu ni Mungu, mara Yesu ni Mungu dah karibu kwenye uislam
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 Жыл бұрын
Jazakallahu khaiyra sheikh wetu..Ndacha Allah amuongoze Inshaallah kwa mtazamo wangu huwa namuona Ndacha anaijua haki lkn nikwamba tu yupo kikaz Inshaallah ipo ck Allah atamtoa hapo alipo
@andyismailbuanado6703
@andyismailbuanado6703 Жыл бұрын
Mashalla alhabdulilai barakalla fih wajazakallahu haira ustaz ramazane
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 Жыл бұрын
Ndacha punguza bange,Mada ni utatu,wewe huamini kuliko utatu,kwahio Mada umeimaliza mwenyewe,
@ashtube1333
@ashtube1333 Жыл бұрын
Huyu Ndacha anafahamu lakini anaogopa kumwaga unga maisha hayo
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 Жыл бұрын
Ndacha ulipwa na waasi Mungu kupotosha wakristo utatu si upagani bibilia iko na msimamo dhabiti kuhusu kuwepo kwa utatu.
@AhmedMohamed-um8ox
@AhmedMohamed-um8ox Жыл бұрын
Mashallah mashallah 👌 allah awawezeshenii musichoke tuwailimisheni mpaka pale mungu atawaonesha njiya ya haki🥺 hawa ni marafiki zetu wa kidamu 🥺🥺
@saidamur5747
@saidamur5747 Жыл бұрын
Injili.km.ilvo.taulati.kma.ilvo.zaburi.km.ilivo.namngesoma.kmailvo.shushwa.wote.mngesilimu.tu.poulo.alikuja.kuwachanganya.sana
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Na hilo YAI , Bwana Ndacha, ina kuwa KUKU, halafu hilohilo KUKU, lita zaa WA JUKUU!
@sarboko
@sarboko Жыл бұрын
Ndacha ushindwe ee ushindwe kwajina laramdhaniii
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Duuuh!!
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Kweli my brother, wasaidie saahii, hawajachelewa endapo wataacha jeuri na kibri maana kilakitu kikowazi mungu ni 1 (الله) na wote wanajua. Sijui ni masilai sijui wanaona aibu kujakwanjia iluo nyooka itaonekanika wameshindwa. Nikawaida broo, kuna kushinda na kushindwa. Na hapa ukiwa muelewa ni salama yako mbele ya mola wako.
@gazaomar677
@gazaomar677 Жыл бұрын
Sheikh Ramadan kuria mbona ndacha Kama anaelewa aondo hataki kurudisha Hela ya wakristo
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Жыл бұрын
Ndacha amelewa maandiko Kwa kuyachomeka chomeka anataka kushindana na biblia 1 Yohana 5:8 Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
@MaalimDakane
@MaalimDakane Жыл бұрын
Ukweli utabaki kuwa ukweli, tunamwombea bwana Ndacha aweze kuongozwa na ALLAH
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 11 ай бұрын
Amiin
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
Ndacha Leo Hana mashapiki
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 10 ай бұрын
hyu ndacha ni muhuni sana hyu!!!! hoja zake ni kama anamuangalia yule David Wood wa KZbin
@michellenorbert8705
@michellenorbert8705 Жыл бұрын
Bismllah , Ndacha ana njaa tu. Kwa hakika anajua kila kitu ila njaa ndo inamfanya anakufuru Inalillah- wainnalillah raajun.
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Жыл бұрын
Prophet google hahahahaaaaa ameenda Kwa nabii google sio vitabu
@alhajioskamaalim8892
@alhajioskamaalim8892 Жыл бұрын
Ndacha,it's a time u put back pride and emblaze Islam coz u have been shown the fact.
@mohammedali7803
@mohammedali7803 Жыл бұрын
Swadaqtaa
@mohamseyf6243
@mohamseyf6243 Жыл бұрын
Shekh Ramadan ningependa uwashawishi wahadhiri wote watumie style hii ya kuwahoji na sio kufanyanao mijadala maana mijadala huwapa fursa ya kubandika maneno ya uongo
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Inshaallah ipo siku ndacha atasilim inshaallah
@mohammedali7803
@mohammedali7803 Жыл бұрын
Jezaka'allahu kheir
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 Жыл бұрын
Allah Akbar. Allah akuzidishie kila lenye kheri nawe pia Allah amuongoze Ndacha aijue njia ya haqi aifuate na batil aiepuke
@asiaoman2979
@asiaoman2979 Жыл бұрын
Ramadhan mungu akulipe ya khery
@minhajsahal4467
@minhajsahal4467 Жыл бұрын
Huyu jamaa hana point walahi. Ati mbona mungu anatumia uwingi kujielezea, sasa hiyo sio swali kumwuliza ustadh mkubwa kama Ramadan kuria, angenikujia mimi. Hiyo sio hoja, Ndacha Wacha kuwadanganya wakristo ati mungu anatumia uwingi katika Quran Kwa hivo mungu sio mmoja 😂😂😂
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Ndacha atajizi, ju ya uongo wake, lakini ndani yami kama yai, Mungu, mjancha ndacha
@Sharrif456
@Sharrif456 Жыл бұрын
Ustadh Allah akuzidishie na aambia dacha aache kuongea sana 😂😂 ata kizungu kusoma inamtatiza mi ata hio maneno yake yoote cjaelewa anayuba yuba kama boya Alhamdulillah kwa uislamu
@protasmathias5064
@protasmathias5064 Жыл бұрын
na tena haujui kabisa ulivyo utatu, na mtu huyo nae haujui vizur, wote mmepotea,,, nendeni hata kwa pastor ezekiel au mwamposa awafundishe, maan naona hao watu wanawafanya mnawaza usiku na mchana mnapoteza wanachama wenu.
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Towa mahandiko shekh umeshindwa pointi tumia kitabu chako royo we ndo Nini
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 Жыл бұрын
Masha Allah, shukran bro Ramadah
@BASHIR-IBRAHIM
@BASHIR-IBRAHIM Жыл бұрын
Masha Allah my bro brother sheikh Ramadan may Allah sw bless u in this Dunya and akhera
@salisali3738
@salisali3738 Жыл бұрын
Ndacha ana tumia nguvu nyingi sana
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Inshaallah ipo siku Ndacha ataelewa tu Mungu akipenda inshaallah 🙏
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
Ndacha anaelewa lakini ubishi naanaangalia wanziwe na wafuasi anaowapoteza watamwangaliaje
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Жыл бұрын
Kiukwel huyu Shekh Ramadhan ni hatar na nusu,Ndacha cheche zote ziiiiiiiiiiiiiiiiii!
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
Ndio, huyu Ramadhani anachanganwyia watu sana hasa watu wasio kuwa na misizi kii imani. Biblia yetu wakristo iko waziiiii! Mkatae msikatae. Jina lake kwa biblia ni "I'AM'!!!! Maneno yake Yesu mwenyewe!!! Tena anaongezea, Daudi ananiita mimi...yaani anamwita Yesu Mbwana Kwa Roho... waislamu wanakataa kila kitu, lakini wanaamini mambo ya Luna!!! Kaeni papo hapo tu! Mungu mwenyewe anamwiita Yesu Mungu!! Kwa kitabu cha Hebrinia Waislamu wamefuzwa kusema ati hiyo, Mungu mwenyezi anaongelea Daudi. Majini mnayo nyiingi yamempagaa na kuronga nyinyi akili zenu! Shehe wa Naigeria ametokewa na Yesu wazi. Yesu akamkozoa. Leo hii anaongea Yesu. Nikawapa clip. Wanakataa! Hio nini??? Kurongwa ama kupangawa????
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Anakwenda Kwa Jehova es nyonyi,Leo kakutana na mwamba,
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Ndacha tembea na kitambaa chauso mikono sio kitambaa😂😂😂
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Ndacha ameelewa bado kutamka tu shahada
@rubonezajeankaka
@rubonezajeankaka Жыл бұрын
Mwalim Ndacha, ubarikiwe na Mungu akujalie. Mimi niko burundi naomba unipe number zako za sim za whatsap.
@maasaimoja4093
@maasaimoja4093 Жыл бұрын
Ndacha nimemuona mara mingi, kwanza unafanya biashara, pili lengo lake si kuelekeza watu kwenye haki, la tatu ikiwa atakuwa serious, atasilimu.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Ndacha Yuko vizuri
@akeem1221
@akeem1221 Жыл бұрын
Ndacha kafuta uso mara nyingi mno. Dalili ya kuzidiwa na 3ilmu.
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Жыл бұрын
Dacha ni mwalimu kweli kweiibarikiwa sana dacha
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س Жыл бұрын
Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatu sheikh hoja zote alizoweka ndacha ni dhaifu Mimi zote nna uwezo wa kujibu nitakufata private in Sha Allah
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س Жыл бұрын
To day nimethibitisha kua NDACHA ni dhaifu sana
@barakafondo8090
@barakafondo8090 Жыл бұрын
Ndacha uko na kazi ngumu kufundisha mtu ambaye Hana roho mtakatifu
@annaitumbi5572
@annaitumbi5572 Жыл бұрын
GOD is LOVE 💘 GOD LOVES all of us and God is your Father If I want to know anything and iam sure I ask him I go to Him as a child talking to the Father do the same
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
ukisema Yesu ni mungu basi tutaamini asilimia kubwa ya bibilia itakua ni maigizo...na pia hatar ni pale ambao utaamua kutotumia neno mungu alafu ukareplace na yesu alafu ukaisoma tena biblia
@Exposedvideokenya
@Exposedvideokenya Жыл бұрын
Ndachu anasema ukweli
@saidamur5747
@saidamur5747 Жыл бұрын
Yesu.alitawaza.km.waisilam.yesu.alingia.msikitini.km.waisilamu.mana.agekua.mkisto
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Aliingia msikiti gani? Huyo Yesu unaemuongelea ww
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@madetetv6576 zinagogi na zinagogi biblia inakubali kua msikiti ya waislamu
@ianhassan1116
@ianhassan1116 Жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah Ramadan Good job
@kelvinmurithi7714
@kelvinmurithi7714 Жыл бұрын
Hebrews 1:8 Title ( Jesus Superior than Angels) Verse 8: But about the Son He says (God says) "Your Throne, O God will last for ever and ever and righteousness will be the sceptre of your kingdom. John 10:30 Jesus telling Jews " I and the Father are one. JESUS IS LORD. NO WAY YOU IGNORE JESUS AND ENTER HEAVEN.
@lawrencetoel9183
@lawrencetoel9183 Жыл бұрын
Mafunzo yako Ndacha ni ya kweli, wafundishe waislam waokoke na wapatishwe kwa jina la Yesu wapate uzima wa milele
@kevintruman9981
@kevintruman9981 Жыл бұрын
Waletwe kina zakir hapa hakuna mtu anaweza mshinda mtu wa kweli NDACHA mungu akulinde na akuongoze katika kweli
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@kevintruman9981 sasa kwa akili yako tu kwa nini usimfate uyo Mungu mwenyew umfate mtoto akili zenu zero kabisa
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Nawezaje kufundishwa kwa jina la mtu ambae anakwenda chooni kama ninavo kwenda mimi,
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Жыл бұрын
Muhadhiri wa Kikristo aliebakia alikuwa huyu NDACHA, Lakini baada ya kusikiliza DEBATE hii.. Ukristo hauna Mtu tena 😅🤣 ... Huyu ndacha hata ningekutana nae mimi tu asingeweza kunielezea UTATU akaeleweka. ALLAH awaongoze wakina Ndacha .. Aamiyn
@mwanaidiabdullah8173
@mwanaidiabdullah8173 Жыл бұрын
Ndacha yuko sahihi waislamu njooni kwa yesu
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Жыл бұрын
Sasa yesu katumwa anawezaje kua mungu?
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Ramadhan amezoea kupitia mitaani na kuwahoj watu hawana ufaham wa maandko Leo kakutana na mwalim ndacha hongera sana mwalim ndacha ipo cku waislam watajiua njia ya kweli
@salumuhamza
@salumuhamza Жыл бұрын
Maelezo ya ndacha walioandika biblia hawakuweza kueleza kama ndacha aache kuunga unga maana maneno ya mungu hayastahili kuongeza
WANA KIJIJI WENGI WAFURAHIA UJENZI WA MSIKITI KWAO
30:52
Straight Path Dawah
Рет қаралды 538
KITENDAWILI CHA UTATU MTAKATIFU (PART 3)
1:02:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 120 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 6 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН
UTATUZI WA UTATU MTAKATIFU KUPITIA VITABU. HAKUNA UTATU!!!
1:12:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 22 М.
AFANDE NJOGU AJIANDAA KUSILIMU ALLAH AMUONGOZE PAMOJA NA WENZAKE
1:00:17
Straight Path Dawah
Рет қаралды 19 М.
BIBLIA YAPATA PINGAMIZI KUBWA MIONGONI MWA WAKRISTO.
44:54
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
Bishop Stephen na Ramadhan Kuria katika kukuru kakara sehemu ya pili
32:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 67 М.
"KUMBE BIBILIA ZINATOFAUTIANA" ACHANGANYIKIWA KWA KUONA HITILAFU ZA BIBILIA MJI NI BUSIA DAY3 PART 2
56:11
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 7 М.
MASWALI NYETI YALIYOWATATIZA WACHUNGAJI
35:55
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 63 М.
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 23 М.