Mashallah Allah akujalie pepo miongon mwa pepo za daraj la juu amiin
@allymzee40543 жыл бұрын
Allah akusamehe makosa yako sheikh na akufufuwe ukiwa ni mja mwema duniani na akhera inshaallah aamin.
@SalmaTelkom11 ай бұрын
AMEEN AMEEN
@rashidmwalele18689 ай бұрын
Ameen
@fatemaoman79482 жыл бұрын
Allah akurehem shekhe naakusamehe pale ulipokosea katika uhai ulioishi duniani akupitishe njia ya swiratwi kabla yakuhesabiwa
@mwanakombaabbas933 жыл бұрын
Ma shaa Allah Namuomba Allah amrehemu shekh wetu yaa rabb
@aminatatu56922 жыл бұрын
Amin
@mohammedkaparaimeishahiyoo8846 Жыл бұрын
@@aminatatu5692 Wee Naomba
@jumabaruani4922 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Hassan
@muwahidiinalasad71902 жыл бұрын
Allahu Akbar, Allah amrehemu Sheikh na akujalie jannatul firdaus amiin In shaa Allah.
@barakankoma55 Жыл бұрын
Mungu amjalie pepo
@AlhajiSechinge9 ай бұрын
Allah akurehem sheikh na afanye kaburi lako liwe Moja katika viwanja vya pepo na isiwe miongoni mwa katika mashimo ya moto
@Munziltawfiq9 ай бұрын
Allah akusamehe dhambi zako kabur lako liwe fridaus shehe Hessen yundo
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Subuhanallah ninamuomba mwenyezi mungu akujaaliye pepo ya fridausi na wazazi wetu na jamii islamiya na sisi tulio nyuma yenu mungu atupe mwisho mwema
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Aamiin yarrab
@yasinamiri76492 жыл бұрын
Innaaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuwn sheikh hassani nyundo Allah akuepushe na mtihani ya kabulin nasku ya kiyama tukutane peponi amini amini amini amini amini amini amini amini yaarabi aramin inshaaallah
@leylasalim93802 жыл бұрын
Amiin
@rashadymuhamad62932 жыл бұрын
Aaamiin Aaamiin Yaarabbil aalamyna
@niyokwizeraamuri50029 ай бұрын
Mungu akurehm na akuweky weps ulipo tanguly mbel ya hak sheikh wt amiiin
@shakilayusuf78022 жыл бұрын
Allah akurehemu sheikh
@SalmaTelkom11 ай бұрын
MASHAALLAH TWAKUOMBEA KWA ALLAH AKULAZE PAHALA PEMA PEPONI SHEIKH HASSAN NYUNDO
@happynesbaemuhappynes88133 жыл бұрын
Allah akupe kauli thabit
@yusufmelly Жыл бұрын
Allah amuweke roho ya Sheikh mahali pema palipo na wema peponi. Amwuepushe na adabu Kali ya kabri na kesho wakati wa hukmu atujaalie zote Pepo yake firdaus Amin.
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
Amiin yarrab
@mohamedimohamedi89333 жыл бұрын
Allah mfanyie wepesi kipenzi shehe nyundo
@IddyDaruweshi-jv1fu10 ай бұрын
YAARAB MJAALIE PEPO IWE MAKAZI YAKE
@fathimamct2322 жыл бұрын
Subhana ALLAH Tena na hiyo Ramadhani piya pameingizwa mambo ya mipira ya usiku wa manane muda wa kuomba Toba ndio watu wanakesha kuangalia Manchester Innalillah wa Innaillah Rajuun.
@athumankinda7812 жыл бұрын
Allah akusamehe makosa yako shehki wa kimataifa... pia sisi Kenya tulikutambua kwa uzuri wako wa daawa.
@tausimpoma3472 жыл бұрын
Allah akujaalie kauli thabit..Allah atujaalie mwisho mwema..
@rukaiyaahmadsuleiman39512 жыл бұрын
Allah akueke mahali pema peponi Ameen🙏
@Quranicrecitation19953 жыл бұрын
mashaALLAH
@ArafatiAli-u8q4 ай бұрын
Inshalha mwenyenzi muungu akupeleke peponi
@Mamedandjirmo6 ай бұрын
Innanillahi waina ileyhi rajiun Allah amjalie pepo in shaa Allah
@qurankareem22752 жыл бұрын
Sifa ZOTE njema Anastahiki Allah, Muunga wa mbingu na Ardhi, na vyote vilivyomo🙏
@asilclub2 жыл бұрын
رحمة الله عليه وغفر له واسكنه فسيح جناته
@maryamdotto2633 Жыл бұрын
Ameen 😢
@MSONGERA2 жыл бұрын
Mashallah @Nyundo
@barakankoma55 Жыл бұрын
Mungu amsamee yote aliyokosea
@MohamedAli-pb7gz9 ай бұрын
Rabana atig rigaba mina nar ya sheikh Nyundo jannata firdows.
@ruu65922 жыл бұрын
Mashallah sheikh
@IddyDaruweshi-jv1fu10 ай бұрын
SHEIKH MWENYE NAFASI ZAKE KWA ALLAH AMJALIE PEPO IWE MAKAZI YAKE
@yasinamiri76492 жыл бұрын
Waleiku salam warahmatullah wabarakatuh
@ArafatiAli-u8q4 ай бұрын
Na alhaa akusamehe makosa yoto uliyoyafanya hapa duniani inshalhaa
@leylasalim93802 жыл бұрын
Ni kweli shekhe hukukusea
@nurukasunzu27112 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabit
@chidybenzi88132 жыл бұрын
hj
@MikaMika-ve1ip3 ай бұрын
Leo muislamu unasema ya maana.
@trackingimperialroadhaulag2004 Жыл бұрын
Allah amuweke roho ya Sheikh mahali pema palipo na wema peponi. Amwuepushe na adabu Kali ya kabri na kesho wakati wa hukmu atujaalie zote Pepo yake firdaus Amin.