Ni vizuri Serikali izuie UZUSHI ,kama huu mapema kabla ya malumbano ya namna hii katika nchi yetu.
@mch.deosinkala31203 жыл бұрын
Kabisa...ila tusiwachukie tuwaombee ili Mungu awape macho na wamkimbilie huyu Yesu
@mohamedimohamedi89333 жыл бұрын
Brother haki haki ukweli umekufikia ni juu yako kukubaliy au kukataa
@khadijamgambo93823 жыл бұрын
Haya yamesemwa msikiti I Kama ninyi mnavyozungumza makanisani kuwa Yesu ni Mungu. Sasa itakuwa vyema Kama huko makanisani haya ya kuwa Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu pia yapigwe marufuku Kama ilivyo imani yetu kuwa Yesu si Mungu unataka yapigwe marufuku. Lakini hebu ninyi viumbe wa Mungu fungueni akili zenu kwa kujibu maswali haya. Kabla hajazaliwa huyu Yesu nani aluendesha huu ulimwengu. Je Kama you ni Mungu ss tunaa amini Mungu anakuwa ana nguvu zisizo na ukomo Sasa iweje hakuweza kujiokoa katika misalaba halafu akafa kwa ajili ya dhambi zenu,inakuwaje Mungu anakufa inakuwaje alidhalilika pale huku akiwa Hana nguo.sisi hatuwezi kuamni haya yote ambayo ninyi mnachokiamini kwani huyu ni miongoni mwa vipenzi vyake Allah hivyo hawezi kuning'inizwa bila ya nguo katika misalaba . Huyu ni kiumbe mtukufu mwenye daraja kubwa Sana Kama sheikh alivyo mueleza .
Kwani nyie mnaposema Yesu ni MUNGU Kwa Imani yenu makanisani Serikali inawazuia..?....Waislam wanasema Yesu ni mtume msikitini Kwa Imani yao ‘ kinachokukereketa kipi..? Nenda kanisani kasisitize Yesu ni MUNGU.’ Hiyo ni Imani yako’ Acha uchonganishi..!
@abaskaombwe31463 жыл бұрын
Uko vizuri
@rudorudo22323 жыл бұрын
ماشاء الله
@adamuomari81033 жыл бұрын
Mashaallh
@sammganga68658 ай бұрын
Msilinganishe Yesu na Issa, Issa ni kupotoshana
@sammganga68658 ай бұрын
Kwenye Al kitab hakuna Issa Kuna Yesu waarabu wanamuita Yasu ( Muokozi) Issa ni nini? Halina maana ya ukombozi, ichunguzeni sana hiyo Qur'an, kwanini iwaletee Issa badala ya Yasu,. Kuweni makini sifa za kidunia hazina maana mbele ya Mwenyezi Mungu, ogopeni siku ya hukumu, nakumbukeni shetani anafanya kazi kubwa ya kuufanya ukweli uonekane ni uwongo, ogopeni kuwa mawakala wa mpinga Kristo, mafundisho ya Qur'an hayaendani kabisa na mafundisho ya Al kitabu, Yesu kaja Kwa kazi ya kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye utumwa wa zambi na watu wanabadilika wanao mwamini na kumfuata. Huyo Issa Hana huo uwezo kufanya hivyo, shetani yupo kazini amkeni.
@dezainermedia10353 жыл бұрын
Maashallah
@allyissalipawe70723 жыл бұрын
Maaashaaallah shekh jazakallah
@sawdaasawdaa79033 жыл бұрын
Kabisa hatuna wasiwasi kashatwambiya kiumbe aliyotukuka mbele ya molz wa viumbe vyote nabi umii asadiku al amiin Allahuma amiin
@mohammedmbarouk57293 жыл бұрын
Shukraan san shekh wetu Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye kher na barka ndani yke ili uzidi utuelimishe na kutupa tusiyoyajua ktk dini yetu hii ya haqi ya kiislamu.pia namshukur Allah kwa kunijaalie kua miongoni mwa waja wke aliowatunukia hii neema ya kua muislamu naseme tuu kwa uchache"Alhamdulilah alaa negh-matul-islam
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA
@salimobeid1470Ай бұрын
Hatujakataa lkn kwa wana wa israel
@josephwilliam58133 жыл бұрын
Waislam mnateseka duh....
@mdandazamdandaza16783 жыл бұрын
Mashallah
@ZaharadaffaZaharadaff3 жыл бұрын
Marshallah
@JadalAme-fr6uz Жыл бұрын
❤
@mussanoah36283 жыл бұрын
Poleni nyinyi mnaokataa yesu kirahisi kwa hekima zenu ta shetani amewadanganya nyinyi watu hebu tafteni kujua ukweli kwa sababu muda umeisha yesu anarudi kuchukuwa watu wake wanaumwamini na Siku hiyo yeye ndo bwana na mfalme mkataeni tu Ila Sikh hiyo ndo mtajuwa kuwa ndiye na mtakuwa mmechelewa
@salimobeid1470Ай бұрын
Pole yako watu wake ni wapi kama si wana wa israel we muizrail au mluga luga acha hizo utatoswa unafatilia shuhuli si yako
@salukanambali70093 жыл бұрын
Si mtoto Wala mungu kwa Imani ya kiislam lakini kwa Imani ya kikristu ni mungu na mwana.
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Sawa’ mbona imeeleweka..!
@harrishussein69923 жыл бұрын
Ukiristo sio dini yamungu ndo maana neno biblia lipo kwanje tu ila ndani yamaandiko yote kutoka mwanzo mpaka ufunuo huwezi kupata neno biblia nani aliekuja nabiblia naomba unambie wapi yesu aliingia kanisani
@asikastephen8515Ай бұрын
Mbona bibilia ikawa mbele ya quran kisha quran ikawa na mambo mengi kutoka kwa bibilia. Ukitoa bibilia dunian quran inakufa kabisa maana itakosa ladha, hakuna cha kuhubiria watu ndani ya quran
@aminamodi89273 жыл бұрын
Kuna waliyotia pamba madikioni na akili zao zimeshikiliwa na WENGINE lakini tujitahidi kuwaombea Allah awazindue na akili zao washike wenyewe 🤲
@azizanjuguna2659 Жыл бұрын
Mashaallah
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Nabii Issa siyo Mungu isipokuwa Yesu Kristo wa Nazareth yeye ni Mungu. Yeye ni Neno tena ni Nuru pasipo yeye hakuna kilichoumbwa yeye ndiye mwenye funguo za mauti na kuzimu na yeye ndiye atakayewahukumu wazima na wafu yeye ni mfalme wa wafalme yeye ni Bwana wa mabwana ndiye Mungu wa miungu yeye ni Niko ambaye Niko yeye ni Mkuu wa wafalme dunia ni mwaminifu na wa haki. Hafananishwi na yeyote, yeye ni Alfa na Omega. Yeye pekee ndiye anayesamehe dhambi za wanadamu wala hakuna wokovu kwa mwingine awaye yote isipokuwa Yesu. Jina lake lina mamlaka shetani na majini yote yanatii litajwapo jina lake. Anaponya anafufua na anaokoa . Kwa jina la Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa yeye ni Bwana kwa utukufu wa Mungu baba. Yeye ndiye atakakaye wahukumu wote wenye mwili siku ya mwisho. Ukimwamini na ukampokea moyoni mwako utakuwa na uzima wa milele
@mwanaishamlima20473 жыл бұрын
8:40Yohana usiongee tu hawezi kua Mungu na haitokea kua Mungu
@mohammednassoro49623 жыл бұрын
Akili huna ww
@leonceuwandameno63783 жыл бұрын
@@mwanaishamlima2047 ... siamini kama una akili ya kuelewa mambo... Yesu ni Mungu.. wa kweli kabisa
@ikabako24543 жыл бұрын
Leonce Uwandameno kwa hiyo alivyokuwa tumboni kwa mama yake nani alikuwa mungu wenu? Pumbavu kweli ndio mungu wenu alikuwa na govi wakosa akili akatahiriwa
@hamzaswaibu94703 жыл бұрын
Yohana 20:17 yesu siyo Mungu, hacheni kupotosha
@leonceuwandameno63783 жыл бұрын
Hivi ndivyo Waislamu wanavyodanganywa na mashehe wao kuhusu Yesu... Kama Yesu siyo Mungu basi mwulizeni pepo kwa nini hawawezi kutamka jina la Yesu Kristo (hakuna pepo anayeweza kutamka jina la Yesu) ila jina la Muhamad linatamka vizuri tu na mapepo... huo ndo ukweli.. narudia tena kusema .. hakuna pepo yoyote anayeweza kutamka jina na Yesu Kristo... na ndivyo ilivyo hata kwa Waislamu .. wanalizunguka zunguka tu hilo jina la Yesu .... eti Issa ibin Mariam .. Tamkeni Yesu wa Nazareth.. maana yake ni kwamba wapungia Kristo hawawezi kutamka waziwazi jina hilo Yesu. Kutamka Jina la Yesu ni kumkiri Mungu katika Utatu Mtakatifu.. kutamka Issa kama kurani inavyosema... ilivyoandikwa.. ni kumtamka mtu mwingine ambaye hana Uhusiano na Yesu .. japo habari zinazoongelewa zinaongelewa kuhusu Yesu.... Mashehe muwaelezeni waumini wenu vizuri kuwa Yesu ni Mungu kamili kabasa... acheni kupindisha ukweli ili kujifurahisha nafsi zenu!
@naswidiaabdulkarim50053 жыл бұрын
Pole sana mungu akuongoze
@ikabako24543 жыл бұрын
Ujinga utawaisha lini? Kwa hiyo unadhani jina lake ni Yesu sio? Unadhani alikuwa mzaramo kama wewe. Katafuta Yesu alikuwa na asili ya wapi na jina lake kwa mujibu wa asili ile ni lipi. Ni sawa na mtu aitwe Yohana halafu mwingine akisema John mtu ahamaki. Ni lugha tu. Issa ni kiarabu na Yesu ni kiswahili na Jesus ni kiingereza. Na kwa taarifa yako Yesu alikuwa anaongea ki armaic. Kuna pepo mpaka wanaosali makanisani. Endelea kuishi utajua mengi
@harrishussein69923 жыл бұрын
Nakushauri ndugu yangu uisome hiyo biblia yote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna andiko yesu aliingia kanisani pia yesu nikiswahili kwa kingereza anaitwa jesus kwa kifaransa anaitwa jezee sasa kusema yesu wala sio shida inatakiwa ufahamu yesu ninabii wa mungu nimtume sahihi wamungu kwa wana waisrael ndani yamataifa 12 ya Israel hiyo iko wazi mitume 25 walio tumwa na mungu wametajwa kwa mpangilio sasa biblia nimaneno yanani sababu hakuna sehem yesu kasema yeye nimungu kama unalo andiko nipatie
@yussufali16643 жыл бұрын
Mungu kasulubiwa nyie kasomeni tena
@chikuiddy99463 ай бұрын
Tatizo biblia yenyew hawaisomi mpaka wakahubiriwe makanisani
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Yesu ni.mungu ni.mwana wa.mungu. utabaki hivyo milele . Yesu.atahukumu ulimwengu wote haighalishi dini gani upo mbele yako Yuko yesu. YOHANA. 5 38;. 47. Waisram. Wote tafakarini Aya hiyo. Yesu ni mwisho wa.sheria. Manabii wote na mitume wa.kizazi.hiki wana.muhubiri.yesu wanaisoma.injili ya yesu hakuna jipya .niyesu atahubiliwa mpaka mwisho wa dunia
@sumisumi81813 жыл бұрын
Kama yusu mungu baba wa mama yake yesu mwamwitaje nyinyi ? wala mama wa Mariamu mwamwitaje?
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
@@sumisumi8181 tokea yesu.adhihirishwe.ulimwenguni.unaona Nini ?miaka..alfu mbili.iliyopita.jina.la.yesu linatajwa.ulimwenguni.kote. . Mm yesu.kristo. ninafasi ya.mungu ...bb.. . Anayo. . Ya amli. Ya kuhukum na kusamehe ulimwenguni vituvyote. Viko chini. Yake ikosababu ya yeye kuitwa mungu naikosababu ya yeye kuitwa mwana. Tafutakujua sababu itakusaidia
@sumisumi81813 жыл бұрын
@@macrinajoseph1422 jibu swali kwanza umetowa maelezo ya sio kidhi swali .. jibu swali Bro
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Yesu alikuja duniani miaka 600 kabla ya Muhammad. Ndiyo maana koran inasema wakristo ndiyo wanaijua njia ya kweli. Na njia hiyo ni Yesu kristo. Muhammad mateso anayoyapata huko kuzimu hayaelezeki majini yanamsulubu vilivyo na kila asiyemwamini Yesu kristo njia yao ni moja. Nampenda Yesu kwa kuniokoa . Neno la msalaba kwa waliopotea ni upumbavu lakini kwetu sisi tuliookolewa ni nguvu. Ooh Jesus I glorify your name
@ikabako24543 жыл бұрын
Aya gani inasema hivyo wewe kilaza? Hujui unachokiongea wewe unaandika tu hushirikishi udongo
@hamzaswaibu94703 жыл бұрын
Unaongea vitu gani mbona haweleweki leta ushahidi wa maneno yako
@hojabinafsi14712 жыл бұрын
Sio hivyo kura I inasema wakiijua kweli wanabadilika na kufuata, sio wanaijua bali wakiijua Umeelewa.
@salumally9103 жыл бұрын
Swadakta
@stephenmnkande81922 жыл бұрын
Amejitahidi sana kuelezea ila amechemka hapa alipoelezea Historia ya Anglikana, Uluteri na Uroma. Hapa amechemka kabisa hahahahahhahahah
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Tulimtia nguvu Isa nani.alisema wawili watatu?
@canahakim93393 жыл бұрын
Assalam alaykum mimi ni muislamu lakini sielewi unapo sema mohamedi s.a.w ni mkubwa kwa isa japo isa ni roho na neno la Mwenyezi Mungu swali? Lipi linamufanya mohamedi s.a.w mkubwa kwa isa ????
@samxx4112 жыл бұрын
Muhammad ni mkubwa kicheo, issa ni kwa wana israel tu muhammad kwa watu wote
@stephenmnkande81922 жыл бұрын
@@samxx411 nani amesema hivyo? Aya itasaidia zaidi.
@mohamedimohamedi89332 жыл бұрын
Wewe n I muislam kweli?
@chikuiddy99463 ай бұрын
Wee cana ndomana mnaambiwa msome dini, hii yote kutokusoma dini ni Uislam jina tu wa kuzaliwa
@asikastephen8515Ай бұрын
Ni wapi na wapi yesu akawa issah, hawa ni watu wawili tofauti. Issah sio Yesu.
@saidmadizi91523 жыл бұрын
Uyu sheikh anamawaidha mazuri saana lakn shida hataji vitabu anasema tu mtume kasema.. angesema na kitabu gani nasi tukahakikishe
@jumashamte2883 жыл бұрын
Ww kaa Kwanza usome utavijua hivyo vitabu
@AshaJuma-q6j8 ай бұрын
Ukimsikiliza huyo sheikh huitaji akutajie kitabu unathamani tu ukasome kwake huyo ni mwanawazuoni
@muhdsseif9620 Жыл бұрын
Sheikh kafafanua kwa uwazi kabisa. Si somo kwetu waislam bali hata kwa wakiristo wanaotaka kujua ukwelk juu ya Nabii Issa ama Yesu
YESU KRISTO NDIE MUNGU MKUU mpende msipende mpinge mwezavyo lkn kilagoti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa YESU KRISTO NDIE BWANA WA MABWANA na ndomuhukumu wa kila kiumbe kiishicho mbinguni duniani na kuzimu
@hamzaswaibu94703 жыл бұрын
Ok toa ufafanuzi yohana 20:17,Luka 18:18 Yohana 17:3
@GwaoOthman-ek1tp Жыл бұрын
Harmonez
@mussanoah36283 жыл бұрын
Nyinyi mashehe mnadanganya sana waislam mnapoteza watu jamani kwanini mnamsaidia shetani Luanda kundi kubwa LA kwenda motoni
@allanothuman29413 жыл бұрын
Ww fala ww ujui kitu
@chikuiddy99463 ай бұрын
Kama hujui kitu uliza ueleweshwe
@myself41283 жыл бұрын
Mtume wenu alizaliwa katika upagani sasa nipeni aya moja tuu lini alisilimu sababu muislamu wa kwanza ni mke wake,Endeleeni kubusu Jiwe mpaka mpate neema ya kumjua Yesu ambaye ndiye Kristo sio isa ibn mariam ambaye hata hajawahi tokea nadhani ndio huyo nabii wa uongo atakayekuja na mahdi(ant christ)
@ziadasadiki81963 жыл бұрын
Ukiijua INJILI ya YESU na kuisoma ndio Utamjua YESU/ISSA Bin MARYAM. Lakini kwa INJILI ya YESU/ISSA bin MARYAM hujawahi kuiona wala kuisoma huwezi kumjua MWZ MUNGU wala huwezi kumjua ISSA bin MARYAM wala huwezi kumjua MTUME MUHAMADI. Biblia/Bible siyo KITABU cha ISSA bin MARYAM/YESU na kama YESU haijui Bible/Biblia ni Wazi hata anayetumia KITABU ambaye siyo Chake yaani INJILI ya YESU ujue fika hauko na YESU. Tafuta kwanza INJILI yake YESU ndio Useme Unamjua MUNGU na YESU.
@allanothuman29413 жыл бұрын
Www ni fala ujui kitu ww kwnz unaona wakat yes ajawh oa ww si fala ww ujui kuhus iss ww kam yesu wen katajw kweny kitab cha waislum aushtuki tuuuuh na kwann mtum atatajw kwenuu ....Som vizur ww ujue
@ziadasadiki81963 жыл бұрын
@@allanothuman2941 Duu Matusi tena JAMANI I kwaajili ya kueleweshana. Nduguzangu hapa hakuna ugomvi YESU siyo wako bali ni wa MUNGU. YESU ni MTUME alitumwa kufikisha Ujumbe wa MUNGU wake ambaye ni MUNGU wetu, Baba yake ambaye ni Baba yetu. Sasa ukiona Unatukana Ujue fika wewe humjui YESU wala MUNGU. Anayemjua YESU na MUNGU wa YESU Hawezi kutukana. MUNGU AKUPE Baraka zake ili umjue YESU na MUNGU na INJILI ya YESU.
@ziadasadiki81963 жыл бұрын
Kwanza nikusaidie huyo haitwi Mpinga Krito bali ni Mpinga MUNGU ili Awapotoshe Binaadamu. Na Mpinga MUNGU (Lusifa) Mwakati wake nado maana atakapokuja Dunia ndio Mwisho. Hivyo ni vema Umjue MUNGU mapema na Umjue YESU ni nani na INJILI yake ikoje, hapo ndipo Utapata maarifa mengine.
@hojabinafsi14712 жыл бұрын
Shida sio kubusu jiwe shida ni kula mkate unaotengenezwa na kinyesi(mashonde) mpaka atakaporudi.
@mch.deosinkala31203 жыл бұрын
Kama unaamini Torati kasome ukaone jinsi manabii Wa zamani walivyo tabiri juu ya Yesu kristo kuteswa kwake na mengine mingi kasome na Zaburi sura ya 1,2 Isaya 53:3-5 Acheni uongo. Siku yamwisho mtajuta kwanini hamkumwamini Yesu kristo na mtakuwa mmecjelewa japo ukweli mnaujua tuuu. Kwa ufupi Mimi ninawaombea kwa Mungu aliye hai awafungue macho muone kuwa bila Yesu kristo hakuna mwanadamu atamuona Mungu( atakaye ingia peponi)
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Ushasema bila Yesu hakuna binaadam atakemuona MUNGU....Kwa hiyo kuna Yesu na kuna MUNGU’ Sasa waambie wakristo wenzio wanaosema Yesu ni MUNGU...! Waislam tunamuamini Yesu kama mtume wa MUNGU...Kwa hiyo suala la kusema hatumuamini hilo litoe mawazoni mwako’...ila tunawakumbusha tu kwamba Yesu Si MUNGU wala mtoto wa MUNGU..!...kwa sababu MUNGU hana shida na Ubinaadam wala kuwa na mtoto...!
@mch.deosinkala31203 жыл бұрын
Bado huja nielewa....nyie sinamunaamini INJILI? Soma Marko 1:1 Yohana 1:1-4 Isaya 9:6 Ndo utajua Yesu Kristo ni Mungu na ni mwana Wa Mungu. Haya mambo ni yanatambulikana kwa namna ya Roho Wa Mungu nasiyo kwa akili zetu au kubishana...Barikiwa na Bwana Yesu Injili ya Marko " Mwanzo Wa Injili ya Yesu Kristo mwana Wa Mungu" Injili ya Yohana " Hapo mwanzo kulikuwako na neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu" HAYA NIPE TAFSIRI HAPO
@@mohamedimohamedi8933 Isaya 9:6 " Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa; Tumepewa mtoto manaume, Na uweza Wa kifalme utakuwa begani mwake ataitwa mushauri Wa ajabu Mungu Mwenye nguvu , Mfalme Wa amani" Anaamanagani hapo Isaya
@safiyaahmed75263 жыл бұрын
Z
@davidgasper88213 жыл бұрын
Hamjui chochote kuhusu YESU KRISTO wala mariam porojo tuu mnapoteza muda tuu ndomana mungu wenu na mtume wenu anawaambia 'mambo mengi hamjui waulizeni waliowatangulia ktk kitabu yaani wakristo na wayahudi 'ninyi mmetoa wapi hzo hadithi za uongo!!!??
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Hahaha’ kipindi Cha Yesu ukristo haukuwepo’ mpk anaondoka haukuwepo’ ukristo umeletwa na Paulo’ mtaalam wa kutengeneza mahema ‘ mwana philosophy aliewaharibu akili...! Tunauliza viitabu vilivyopita kabla ni ZABURI ya DAUD ......TORATI ya MUSA na INJILI ya ISSA....hatuulizi ukristo maana haukuwepo wala hawana kitabu’ ...!....ukristo si dini...!...funua kitabu unachoamini tafuta andiko ukristo ni dini...!....hulipati kwenye vitabu vilivyotangulia wala hicho kitabu unachokifuata...! Ukitaka kujua jambo soma ‘ acha ushabiki..!..UTAPOTEA
@samxx4113 жыл бұрын
Wewe unajua, baba ake si Yussuf ikisha
@chikuiddy99463 ай бұрын
Kwaiyo uongo wa Paulo ndo wa ukweli..!?
@editrudesmbonde90513 жыл бұрын
Acha kashfa wewe mtu, YESU ni mwana wa MUNGU na ndio maana hata pepo wabaya wanatii unapoliitia jina lake. Hakuna JINA kingine tulilopewa wanadamu chini ya jua ambalo twaweza kuokolewa kwalo. Bado mnamuombea rehema mtume, lakini sisi hatuombi rehema kwa ajili ya YESU. Hubirini Dini yenu nyie.