SAKATA LA GSM LACHUKUA SURA MPYA!! WANASIMBA WAIJIA JUU TFF KUHUSU SHERIA YA KUDHAMINI TIMU SITA

  Рет қаралды 24,497

LIKE MEDIA

LIKE MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 380
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 27 күн бұрын
Kwahiyo simba mlitoa point sita alifadhiriwa na GSM
@kassidpandu866
@kassidpandu866 29 күн бұрын
kwa kweli GSM anaharibu mpira wetu sana hiyo sio sawa kabisa
@georgelyimo2138
@georgelyimo2138 29 күн бұрын
Nenda mahakamani katafute haki yako,si umwambie mo adhamini vilabu vilivyobaki na yeye kama ana pesa kweli,mnataka vilabu vishindwe kujiendesha halafu mpeleke bahasha zenu ili muwe mabingwa?
@robertphilip385
@robertphilip385 29 күн бұрын
​@@georgelyimo2138Mo hawezi nimchungu sana bairi kama nini
@rukiamkwayo6302
@rukiamkwayo6302 29 күн бұрын
Simba alipigwa inje ndani poiti sita vp nae kazaminiwa na gsm? Sajilini wachezaji
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 29 күн бұрын
Wamegundulika ujanja kwishaaa
@frankmataka7185
@frankmataka7185 25 күн бұрын
Simba ya saba amechangia point Tisa je amezaminiwa na Gsm acha kumhoji huyo mjinga
@selemanidihanuka2903
@selemanidihanuka2903 25 күн бұрын
Nilitaka kutoa mawazo hayo hayo umenifilisi
@hawahussein137
@hawahussein137 29 күн бұрын
GSM kaja kuharibu Moira wa Tanzania
@JideeboeMboma
@JideeboeMboma 21 күн бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi daah magufuli
@Winstonfying
@Winstonfying 29 күн бұрын
Fungueni kesi, kama Mzee Magoma tu, peleka GSM na TFF mahakamani tu
@wazirimagayuka9681
@wazirimagayuka9681 25 күн бұрын
Makolo mnaongea sanaaaa!! Mwambieni MO azidhamini timu 10 zilizobaki 😂😂😂
@JumaIbrahim-k1q
@JumaIbrahim-k1q 27 күн бұрын
Huitaji kukaa darasani kuelewa hoja ya kiongozi wa mpira pesa
@davidmangole-z1z
@davidmangole-z1z 29 күн бұрын
mbeya city,mbeya kwanza zlikuwa na mpira mzuri zilixhuka ................7bu ya kukataa iyo ktu ya gsm
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 29 күн бұрын
Kwani Azam sports Club imedhaminiwa na GSM.Mbona imefungwa 4-1. Simba nayo imefungwa 1+0. Je imefadhiliwa na GSM.
@adammwandambo4143
@adammwandambo4143 29 күн бұрын
Tunapozungumza ligi hatuongelei tim tatu,naona wew mpira huujui,ulishaona wap mwanachama na mshabik wa club Moja anaanza kudhamn vilabu vingine wakt ndan ya ligi anatim kuu anayoidhamin,,hiyo haipo Dunia nzima haipo
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 29 күн бұрын
Bahresa kadhamini ligi nzima wakati yeye ni mdhamini wa Azam​@@adammwandambo4143
@simonnjovu586
@simonnjovu586 29 күн бұрын
​@@adammwandambo4143dunia nzima unayoijua? Emirates kwenye UEFA inadhamini Arsenal, Psg, Madrid, AC Milan, nk. Hiyo ni ligi moja. Acheni ujinga kolozidad.
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda 21 күн бұрын
Kabisa wana Simba pigeni kelele hili jambo halijakaa sawa kabisa
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda 21 күн бұрын
Wanasimba tupeleke barua CAF hili jambo litatuumiza sanaa tuamkeni jamaniii
@user-sn9cd5lv9z
@user-sn9cd5lv9z 25 күн бұрын
The problem is way of thinking, arguing without reasoning
@mbarakasijaona7638
@mbarakasijaona7638 29 күн бұрын
Mashabiki wa simba ni vilaza sana mwambie Mudi azamini vilivyobakia na nyinyi muchukue point za bure
@simonnjovu586
@simonnjovu586 29 күн бұрын
Simba mna matatizo ya uelewa. Mnajua tofauti ya Mwenye timu, mdhamini na mfadhili? Azam ana timu kwenye ligi kuu na amedhamini timu zote. Mbona mko kimya. Mudi alidhamini Simba, Lipuli, Singida United mbona mlikaa kimya. Halafu GSM siyo mmiliki wa Yanga.
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 29 күн бұрын
Ukwel unakuuma ww fikiria t kwa hiz akili zako ambazo sio kilaza ina uhalali mt 1 kuwa mdhamin wa vilabu 6
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 29 күн бұрын
​@@simonnjovu586 Azam amedhamin haki ya matangazo kuonesha live azam hajamvisha mt nembo yake yy kanunua matakazo aoneshe live kuwen na akili
@user-mt4ro9yz5s
@user-mt4ro9yz5s 28 күн бұрын
Yanga wamezoea ubingwa wa kununua miaka yote
@robertzamani5612
@robertzamani5612 28 күн бұрын
Azam mbona inadhamini klabu zote na Wana timu ya Azam fc Hilo wanasimba hamlioni mnaona ya gsm tu
@drallan6879
@drallan6879 29 күн бұрын
umeongea vyema mwenyeliti;keep it up
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 29 күн бұрын
Katika ligi ijayo mechi zote za Simba nitaangalia kwa sababu pale kuna Mpira wa kweli.Kukamiana,Kuumizana,Kubadishs viwanja,marefa kujizima data.Wachezaji wakivuka walau wakapata nafasi ya 2,Simba nusu finali Africa anafika.
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN 26 күн бұрын
😢😢😢😢 sitaki kuamini
@boyngota4497
@boyngota4497 25 күн бұрын
Simba chezeni mpira gsm hachezi mpira wachezaji ndio wanacheza
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 28 күн бұрын
JUZI TU SIMBA IMEUTAKA NA IKAPEWA AZAM WAKAUTAKA WAKAPEWA KAMA HUKO KWINGINE GSM IMEDHAMINI VILABU 6, MBONA NYIE MAKOLO MMECHEZEA? NYIE ROPOKENI TU MSISAJILI WACHEZAJI WENYE UBORA.KWANZA WEWE UMELEWA YANGA SIO YA GSM,BOYA WEWE LETA USHAHIDI WA HIZO SIMU.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 27 күн бұрын
Simba wako sahihi kulalamika la gsm hata ingekuwa MO dewj anadhamini vilub 6 yanga wangelalamika sana
@dochikibaraza2944
@dochikibaraza2944 29 күн бұрын
Makolo wamezowea kuhonga. Si mnakumbuka Enzi zile za kina BENARD MADALE, sasa timu zina pata PESA za kutosha hawataki HONGO. KAMA MAKOLO WANAOGOPA WAJITOWE !!!!.
@RamadhaniMtupa-qg8ci
@RamadhaniMtupa-qg8ci 21 күн бұрын
Simba imefungwa gori Sabamulinunuliwa na gsm acha woga ushangalia timu ya ulio sajili mbovu munaanza visingizio
@VedasElly
@VedasElly 29 күн бұрын
Simba vichaa badala ya kutengeneza timu mnawaza ujinga😂😂😂😂😂😂
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 24 күн бұрын
Simba homa hiyoooo INA homa siku hizi hawana kiwango na viporo hawana ndio maana wanalalamika waongeze juhudi tu wakuze kiwango ,hawajui kuwa waamuzi wengi ni wao hats wanachama wao wanalijua hilo
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 24 күн бұрын
Woga tu wanao Simba msitoe sababu Hanna kiwango tu,juzi goli NNE mmebebwa na refa hamsemi hill ondoeni woga.huyo Maria no Simba anaheshimu sheria
@johnngairo3052
@johnngairo3052 29 күн бұрын
Turejee kwanini timu za majeshi ziliambiwa ziwe na timu moja e.g Tanzania Prison, JKT Tanzania na Polisi Tanzania
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 26 күн бұрын
Wako mashujaa na jkt zote ni jeshi
@drexdrex3879
@drexdrex3879 24 күн бұрын
Tofautisha umiliki, ufafhili na udhamini. Hapo ndio mnaposhindwa kuelewa concept GSM aanaingia makubaliano na timu Kwa jicho la biashara. Bidhaa zake zitangazwe ziuzwe
@user-vx5jj7vl1w
@user-vx5jj7vl1w 26 күн бұрын
Shaban shoga anatunzwa na changudoa muuza juisi sokon
@lazaroaloyce6649
@lazaroaloyce6649 29 күн бұрын
Ubaya ubwela sa hv mnyama anaona mbali.
@dr.allyahmada
@dr.allyahmada 25 күн бұрын
Hawa Simba kweli ni mbumbumbu, GSM anadhamini vilabu 6, sio kufadhili ni kudhamini. Hivi Simba na Azam wote wamefungwa je nao wanadhaminiwa na GSM?
@SeciliaKasian
@SeciliaKasian 25 күн бұрын
Kweli mnajitoa ufahwaamu sportpesa boss aba vis talimba mwana yanga aliwafadhiri nyinyi simba na timu ilifanyavizuri mbona hatukusikia hizi kelele
@IssaAusi-s6h
@IssaAusi-s6h 27 күн бұрын
Gsm msoga wanajivunia kauli waliyokuanayo selekalini
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 29 күн бұрын
KAKA HILI DUDU NI LA KWELI WALES KALIA ASIKALIE KITI CHA TFF UKU HUJUMA INAENDELEA YEYE AMEKAA KIMYA
@kolosii4351
@kolosii4351 29 күн бұрын
Kwa hiyo wewe umefungwa nawe unazaminiwa na GSM?? Au Azam?? Acheni ujinga. Kwa hiyo kama hakuna wadhamini wengine hivo vilabu vingine vianguke au wewe utadhamini??
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx 29 күн бұрын
Tff wanamasirahi na Gsm ndio maana wanangata maneno nabahati mbaya ya simba wamewekwa mfukoni niwazito kufanya maamzi magumu ila ingekua niviongozi wa yanga tayari wangekua wameshawasha moto
@paulotemba8881
@paulotemba8881 26 күн бұрын
Simba ni wivu unawasumbua nawashauri na wao watafute timu wazi thamini waache utoto na mawazo ya umasikin8
@Saidi-x4h
@Saidi-x4h 29 күн бұрын
Yaan ubora wa yanga kwenye peach wala huonekani, hi hoja zaifu sana
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 27 күн бұрын
Tuliwapiga makolo ndani , mbona Simba tulimpiga tano
@user-rl8ge1zl1m
@user-rl8ge1zl1m 29 күн бұрын
Hivi Azamu mbona anafadhili timu zote ninyi hamsemi,Sasa mwambieni Mo Afadhili timu zilizobaki
@HassanKassim-ei8ko
@HassanKassim-ei8ko 29 күн бұрын
Anaaribu ushindani wa mpira uyu sigara sm. Mana G mshamba akuna😂😂😂
@jaydenkaleshi
@jaydenkaleshi 28 күн бұрын
TFF Haina weledi hata kidogo. Basi tu siasa za mpira maana hao wote wanaomiliki timu ni Mali ya GSM.
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 29 күн бұрын
Udhamini sio ufadhilii... Halafu brother ukipelekwa TAKUKURU utatoa ushahidi?
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 29 күн бұрын
Mtangazaji unasumbuka huyo anawewesuka anaihofia Yanga
@frankmataka7185
@frankmataka7185 25 күн бұрын
Tenge nezeni timu yenu mbona tulifungwa na yanga mechi za ligi zote na ngao jumla goli name tumezaminiwa na Gsm acha maneno😅😅😅😅
@AnciscoKayombo
@AnciscoKayombo 29 күн бұрын
TFF wamekula mpunga hao,ni binadamu hao
@JacobWaryoba
@JacobWaryoba 29 күн бұрын
Anayeua Moira wa tanzania. Ni. Karia. Na bodi! Yak
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN 26 күн бұрын
Kama Kuna ukwel katika hizi hatua ichukuliwe haraka sana
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 29 күн бұрын
Hilo jamaa halina hoja lina bwata tu😅😅
@rubanimponzi8259
@rubanimponzi8259 29 күн бұрын
Hivi mashabiki wa simba najitambua kweli!! Yaani simba amefungwa na yanga mfululizo unamaana nao wamefadhiliwa na GSM? Simba mjitahidi kuboresha timu yenu ili mpate mafanikio.
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 27 күн бұрын
Kwanini na nyie msimshawishi Dewji adhamini timu 10
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 29 күн бұрын
GSM aachwe awekeze simba tengenezeni timu imara madunduka wote na hao waandishi wa habari wanaojo udhamini wa timu nyingi akili hawana wote😂😂😂😂😂
@razacklazaro6678
@razacklazaro6678 24 күн бұрын
Mo dewji hata Leo anaruhusiwa,Hana huo uwezo
@kazumarihokororo9153
@kazumarihokororo9153 24 күн бұрын
Yaani ajajibu swali japo mojaaa Ana bwabwajaa tuuu
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 27 күн бұрын
Kwanza huyu mwandishi ni kolo na amekomalia sana suala la udhamini
@rajabumalonda2625
@rajabumalonda2625 28 күн бұрын
Kwani Mo akitaka kudhamini vilabu 6 mtalalamika?Hizo ni chuki endeleeni kujenga timu yenu
@HamzaHeri
@HamzaHeri 29 күн бұрын
WEWE MWAMBIE HUYO ACHE UJINGA MBONA BAHARESSA AMEZAMINI LIGI NZIMA
@daudkondo4069
@daudkondo4069 29 күн бұрын
Huyu fala kina Aziz ki Pacome , Chama wamesajili wafanye kazi gani,?
@hawahussein137
@hawahussein137 29 күн бұрын
Hatuna Imani na. Tff
@peterchande957
@peterchande957 29 күн бұрын
Kelele za nini jitoeni nendeni zanzibar
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 26 күн бұрын
Simba katowa pwent ngap kwa yangaaa
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 29 күн бұрын
Wajumbe wa Tifua tifua ote wala rushwa tu mamae zao😏
@johnmweji9345
@johnmweji9345 28 күн бұрын
Hapo Tff wamekaribisha rushwa mpirani
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 29 күн бұрын
Akili hama nyinyi mnaoshindwa kuhudumia hata familia zenu,wewe ulishawahi miliki hata paka Mia acheni vilabu vinashida ya pesa
@dr.allyahmada
@dr.allyahmada 25 күн бұрын
Hapo Simba ilipochukua miaka 4 ilikuwa inachukua kwa sababu ya kuwanunua wachezaji wa Yanga . Kumbuka Simba iliifunga Yanga 4-1 na ikabainika kuwa kuna wachezaji wameuza timu wakiwemo, Jaffar, Juma Abdul, Yondani, Shishimbi na Yanga ilipogundua iliwafukuza wote kwa hiyo hayo huyasemi
@AlonimwelemiJumla
@AlonimwelemiJumla 25 күн бұрын
Akuna sheria yakimpila duniani inayo kubaliana na tff eti gsm iko sawa duniani ni Tanzania tu mwambieni wambula kama anajua sheria zampila tuojiane
@rajabushabani8386
@rajabushabani8386 25 күн бұрын
Kwa Nini Simba tu mnalalamika kwani moo Hana uwezi wa kudhamini vilabu vingine vilivyobaki
@andrewsalufu
@andrewsalufu 29 күн бұрын
Azam anadhamini timu ngapi katika ligi hii....!!!!???
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 29 күн бұрын
Timu ngapi zinavaa logal ya Azam?
@davidmangole-z1z
@davidmangole-z1z 29 күн бұрын
utachoka akili apo xx anakwmbia Azam amedhamini timu ngapi xx si unachoka
@simonnjovu586
@simonnjovu586 29 күн бұрын
Azam kadhamini timu zote.
@daudkondo4069
@daudkondo4069 29 күн бұрын
Huyu mwehu Azam hujui kadhamini vilabu vingapi
@AbdallahMchekwa
@AbdallahMchekwa 27 күн бұрын
Hao waandishi wazingua wanajua ila wanatufanya cc mapoyoyo.
@bongelabwana7523
@bongelabwana7523 29 күн бұрын
Hapa ndo naelewa kwanini Tanzania ni nchi maskini sana duniani kama vijana wenyewe ndo hawa kazi ipo 😅
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 29 күн бұрын
Hakuna jambo linafanyika bila sheria na kanuni, unataka bila sheria wala kanuni mtu achukuliwe sheria?
@Saidaabdu
@Saidaabdu 29 күн бұрын
Kiukweli yanga wamezoea mpira wakuhonga
@sadih5333
@sadih5333 29 күн бұрын
Sawa Sawa tokea enzi ya Issa Makongoro.
@daudkondo4069
@daudkondo4069 29 күн бұрын
Tatizo vilabu hawawajibu hawa wehu mpira ni pesa bila wadhamini timu zitajiendeshaje? Tarimba wa Sport pesa na Azam mbona hamuwataji?
@dochikibaraza2944
@dochikibaraza2944 29 күн бұрын
Simba BORA MJITOE LIGI YA BARA MJIUNGE ZANZIBAR. Kwa usajili huu WA Yanga mtafungwa mengi.
@saimonntani6831
@saimonntani6831 26 күн бұрын
Simba hawana haja ya kujitowa.tatizo rushwa inafanyika ilimradi timu ichukuwe ubingwa miakayote ili ionekane timubora nakiuhalisia haiko hivyo.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 25 күн бұрын
​@@saimonntani6831 Ubora wa Simba na Yanga unajulikana siku ya mechi yao. Kuhusu GSM kudhamini timu ziache timu zenyewe ziamue. Unaijuwa gharama ya kuendesha timu weye? Aje mdhamini umuachilie hivi hivi.
@saimonntani6831
@saimonntani6831 25 күн бұрын
@@hajihassan5433 kwani kabla ya Gsm kudhamini hizi timu nani alikuwa anadhamini mwanzo naligi ilikuwepo? Auu ligi haikuwepo?.
@SaimonMichael-qx8vk
@SaimonMichael-qx8vk 29 күн бұрын
TFF haipo.kiluchobaki ni siasa . mpira umebaki nijukwaa lakampeni laccm hilohalina ubishi
@JosepNinde
@JosepNinde 29 күн бұрын
Kinacho semwa ni sahihi hakuna mpira Tanzania Bali siasa
@omanbarka1588
@omanbarka1588 29 күн бұрын
Sasa basi kama vipi simba tu hamie ligi ya zanzibar yeye GSM asajili vilabu vyete tanzania ye sianapesa
@mubarakbawazir3952
@mubarakbawazir3952 29 күн бұрын
Simba kama hamtakubaliwa Basi jitoeni kwenye ligi kuu Tushiriki ligi ya Zanzibar
@PriscaFrenk
@PriscaFrenk 29 күн бұрын
Sasa simba inamzamini yanga inamzamini azam inamzamini tabora namungo mashuja wanazaminiwa na nani
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 29 күн бұрын
Hakuna mtu aliyezuiliwa kusajiri mo vipi azim vipi
@hamadmasoud490
@hamadmasoud490 27 күн бұрын
Huyo jama wa simba hana hoja na wawo wadhamini ili kusaidia fedha
@charleswestone7931
@charleswestone7931 27 күн бұрын
Huyo bwana hajiulizi simba baina ya timu zingine mechi zinakuwa ngumu kwa simba? Ila kwa yanga hizo zingine mechi inakuwa ya kilafiki? Acheni utani tuta enda fifa tuka lalamike
@hajihassan5433
@hajihassan5433 25 күн бұрын
Unaonaje ikiwa kinyume yake kwamba hizo timu nyingine waifunge Yanga. Point 36 + 6 za Simba na mke mdogo Azam 6 = 48. Yanga kweli Bingwa!
@protasnyoni3801
@protasnyoni3801 29 күн бұрын
Msimu Uliopita Simba Umempa Yanga “Point” Sita (6) nyie mnadhaminiwa na GSM?. Mmeishiwa Hoja, tafuteni Wapi Mnakosea Mkibaki na Malalamiko yasiokuwa na Msingi Mtaendelea Kufungwa kila Msimu.
@razacklazaro6678
@razacklazaro6678 24 күн бұрын
Waloanzisha hii mada sidhan Kam wako timamu!!! Hawana facts
@floravenance4931
@floravenance4931 14 күн бұрын
KWELI KAKAYANGU UMESEMA AKUNA MPIRA
@saalim5401
@saalim5401 25 күн бұрын
Kweli haya makolo akili zao mbovu mpaka vichwa vyao na haya ndio machizi yanayotaka kutuharibia ligi tunaijua hiyo hamkuanza leo mtabweka sana mbwa nyie
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 29 күн бұрын
Mngekuwa na timu bora hizo taarabu zisingekuwepo, hizo ni riwaya ni baada ya kujishtukia timu yenu usajili mbovu, so mnajihami mapema,
@JacobWaryoba
@JacobWaryoba 29 күн бұрын
Anayedidimiza ligiii ya Tanzania ni karia na bodi. Take. Uwezi. Kuwa na. Kanuni ya udhamini huoo. Ni rushwaaa
@dr.allyahmada
@dr.allyahmada 25 күн бұрын
Kwanini na Mo alikuwa anaifadhili African lyon ameiacha nasasa ameamua kuifadhili Simba? We huna point unabwabwaja tu, chezeni mpira
@peterchande957
@peterchande957 29 күн бұрын
Shida iko wapi mbona nyinyi mmepiga 5G, 2g na 1g mliongwa? Mafala nyinyi
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 29 күн бұрын
GSM NDIO ANAKUZA SOKA TANZANIA KWA UDHAMINI WA VILABU VINGI.. VILABU BILA UDHAMINI SI MPIRA UTAPOLOMOKA ? HIYO TFF ILIKAA MIAKA 4 BILA UDHAMINI ILIKUWA INALIA NJAA... MPIRA PESA BWANA
@oddoluambano2211
@oddoluambano2211 25 күн бұрын
Tutaweka udhamini hata timu zingine nyie Makolo Endeleeni kulia
@saimonntani6831
@saimonntani6831 26 күн бұрын
WAMBURA NAKINA ALMASI KASONGO PAMOJA NA KARIA WALICHUKUWA BILION 2 MWAKAJUZI ILI GSM AWEKEZE TIMU HIZO ZAIDI YA 7 KISHERIA JAMBOHILO NI WRONG.HIYO NIRUSHWA . MPIRA GAUWEZI KUWAHIVYO.
@yusuphmakamba4519
@yusuphmakamba4519 24 күн бұрын
Mbona ili swala wanalalamika mashabiki wa simba tu mbona mashabiki wa azam na timu nyengine siwaoni wakilalamika
@maruhe1958
@maruhe1958 29 күн бұрын
Hivi kama simba wanaona gsm kudhamini timu sita ,pengine ndo maana yanga anazifunga timu hizo, je simba isiyodhaminiwa na yanga na ni timu kubwa mbona imegeuka kuwa ngoma. Kila mara simba imekuwa inakula kipigo. Ndg zangu uwezo..
@ilahalladba9050
@ilahalladba9050 29 күн бұрын
Bwanamkubwa kuimba ni kupokezana hata mwaka uliokua simba inachukua ubingwa baktobak mashabiki wayanga walikua wakulalamikia tff inaihujumu yanga kumbee timu mbovuu na kwasasa mashabiki wasimba tengezeni timuu timu mbovuuu siasa nyingii ndio hayaa mahiphap
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 29 күн бұрын
SIMBA TUACHANE NA LIGI YA BARA TUAMIE ZANZIBAR ILI TUWE TUNASHIRIKI KIMATAIFA HUKU TUMUACHIE GSM NA ZAKARIA HUU NI UJINGA
@AlonimwelemiJumla
@AlonimwelemiJumla 25 күн бұрын
Atumia mamlaka ya tff vibaya huyo wambula wamekula pesa za gsm hajali maumivu yawadau wa mpila knacho endelea niubabe wa mamlaka atufafanulie iyo sheria iko kifungu gani inayo mluhusi mzamina mmoja kuzamin vilabu zaidi ya kimoja ispokuwa Tanzania tu
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 29 күн бұрын
Hao mpira umewashinda! Yanga Hawana muwekezaji!! Hayo mambo yakuhonga vilabu labda klabu yake! Kufungwa nyingi wamefungwa wengine pamoja na Simba! Vipi Simba aliombwa afungwe?
@mussasalum652
@mussasalum652 29 күн бұрын
Sasa kama kufungwa mbona simba anafungwa
@adammwandambo4143
@adammwandambo4143 29 күн бұрын
Tuache ubabaishaji kama vip Simba wajitoe watafte ligi nyingine wahamie huko ili tumua he GSM na vilabu vyake aendelee kuvidhamin
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 15 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,5 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 16 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 47 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 91 М.
Sowunmi Queries NNPCL Over $6bn Debt To Oil Marketers
21:39
Channels Television
Рет қаралды 99 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 15 МЛН