Mwenyezi mungu ndie ajuae kubwa ni kumuombea dua na sisi tujiombeeee dua tuipate khusnul khatima .
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahal pema pepon 🤲🙏🙏
@BarbaraPatience-qt9cc Жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!!!! Bahari hua haimezi kabisa!!! Lazima itatema!!! Atapatikana tuu!
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kumbe hajapatikn pia 😭😭
@hamisaally968 Жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 bado na leo wametangaza ndo mwisho kumtafuta
@sabraothman4531 Жыл бұрын
Huyo alikua kwenye sakaratilmauti ila hawezi kusema ndio mana alikua anahangaika na kutaman kilakitu .Allah amsameh makosa yke Allah amlaze mahali pema nass Allah atupe husni lhatima na kauli thabit inshaallah
@NanahBrown Жыл бұрын
Nami nilisema hivo hivo yaan nilivomuona Kwa kwel mn alikua na Stration flan hiv inayowakta watu baadh wakikumbwa na hilo😢mng atupe mwisho mwema inshaallah
@sabraothman4531 Жыл бұрын
Allahumma amin inshaallah 🤲🤲
@kdpretoria780 Жыл бұрын
ni msongo tu wa mawazo akaamua kujiua
@neamusic2601 Жыл бұрын
Kweli nmeona
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Allah atawapa subra kwa kipindi hiki kigumu kila mtu na alivyo andikiwa siri ajuwae allah msilaumu kila mtu kapangiwa yake na kila kitu kinakuja na sababu
@EddySaid-hy4ik Жыл бұрын
Mungu ndyo mwenye kujuwa mitihani yke cc tunakisiatu allqh amsamehe makosa yake
@SaadaNtuse-cd1hz Жыл бұрын
Mungu ampushe mwenzetu mbeleyetu nyumayake
@peninamilanzi3619 Жыл бұрын
Poleni Sana, nikweli msindikizaji alipigwa bumbuazi dah inauma Sana 😭 Mungu wa Mbinguni atutetee na atuhurumie
@NajmaHassan792 Жыл бұрын
Aky zikifika zimefika inauma sna😢😢
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun polen sana yote kwa yote ahadi yake imefika watu wasimlaumu huyu kaka 😢😢😢
@aliomar255 Жыл бұрын
Kwa asilimia kubwa inaonekana alkua na msongo wa mawazo, au alkua na maradhi ambayo yalkua yanamtia stress coz kuna maradhi ukiwa nayo unapata stress
@ImDidah Жыл бұрын
Dah,umewaza kama mie
@ShaibuAlly-z3u Жыл бұрын
Sana...yanafanana mawazo
@HedinaSamwel Жыл бұрын
Pole sana kama kazi yamungu aina makos
@AbdallahHamisi-s4h Жыл бұрын
Amn ishapangwa ila kikubw tumuombee duwa inshallah
@aminahhuawei1133 Жыл бұрын
Pole sana allah ampe kali thabit amsamehe makosa yake😭😭😭😭
@salehothman6144 Жыл бұрын
Pole sana kaka kijana ilionesha alikuwa ana msongo mkubwa sana wa mawazo allah amhifadhi na amsamehe madhambi yake inshalah.
@NahiratyMachela Жыл бұрын
Alivyokuwa anadhunguka labda alitaka kujinyonga 😭
@jamilajumaa2980 Жыл бұрын
Ameen
@othmanali7408 Жыл бұрын
Amin
@MerryRenatus-ck4lz Жыл бұрын
Alikuwa ana stress zilijaa maskini maisha haya
@mohamedhilali9756 Жыл бұрын
Pole na ww. Ila nikutafute inbox nna shida n ww
@SophiaKova Жыл бұрын
Daaah nashindwa kuendelea kuongea but safiri salama 😢😢😢😢😢
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
Allah amlaze pahala pma peponi poleni sana
@Juke995 Жыл бұрын
Kiukwel nchi yangu inaongoza kwa uzembe yan boti kampuni kubwa inakosaje emergency ya watu wakuzamia ambao wako tayari tayari 24 hours 😢daaaah pole sana kwa familia
@abumuhammad9615 Жыл бұрын
Hivi unaujua mkondo wa nungwi uliozamisha mv spice kweli? Kuna diver gani utamtupa kwenye mkondo huo wa maji akatafute maiti?....hapo wasubiri baada ya siku tatu bahari itamcheua tu katika pwani yoyote ya karibu either tanga,pangani,unguja ama mombasa na visiwa vya karibu
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
@@abumuhammad9615kabisa ndugu watu wanarahisishaa
@claudiajames2003 Жыл бұрын
Pole kaka,najua umepata pigo kuona ndugu Yako akijitosa kwenye maji na hukuwa na msaada wa kumuokoa
@feisaldesign4156 Жыл бұрын
Pole sana yust kaka yang Allah akupe wepes by your classmate
@modynassor3336 Жыл бұрын
Allah akufanyie wepes inshallah
@zeyanaalgheithy6561 Жыл бұрын
Allah atafanya wepesi
@hawamohammed9740 Жыл бұрын
Binafsi nimeumia sana wallah kama mzazi basi akili yangu ipo tafrani naomba aonekane akiwa hai keshakufa lkn aonekane Yaa Rabbi 😢😢daah inaumiza sana na baharia hawakua fasta kivile pia
@dudemussa6715 Жыл бұрын
Poleni sana, muwe na subira.
@winfridapeter9455 Жыл бұрын
Poleni sana jamani,MUNGU akawaponye mioyo ktk kipindi hiki kigumu🙏
@NemaAli-zh6hr Жыл бұрын
All in All , kaka umepooza sana bhn😢😢 wew si ungemrukia km jet lee😢😢
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
ALLAH AMFANYIE WEPES APATIKANE AKIWA NI MZIMA
@ZainabuIddy-r1o Жыл бұрын
Aizee inauma sana 😭 Allaah ampe pumziko la kher
@KhadijaSaid-vj9kh Жыл бұрын
Innalillah wainailayhi rajiun mola ampe kauli thabit ktk safar yake
@Kabwela776 Жыл бұрын
Inaonekana alikuwa na maradhi ya akili mengine yanakuja ghafla kwa kutumia madawa ya kulevya kwa siri, msongo wa mawazo ( depression au manic depression au kukosa usingizi , infektion in the brain kutokana Na magonjwa kama ukimwi , magonjwa ya akili uwa yanakuja na mawazo ya kujiua, ni kukosa uelewa wa magonjwa ya akili mkamsafirisha kienyeji marehemu kwenye boti kuna jinsi ya kusafirisha mgonjwa wa akili kwenye boti au gari
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Hakika alikua mvuta bangi huyu Mola amsameh makosa yake sote hatujui mwisho wetu
@FeisalDoctor Жыл бұрын
Pole sana bro yust nd mitihan y dunia tuendelee kuomb duw t
@khalfanmohammed7594 Жыл бұрын
Allaah awape subra wanamsiba
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Pole sanaaaaa😢😢😢. Ugonjwa wa akili
@maryselaitule3102 Жыл бұрын
Mental health is really jamani ingawa kwa kibongo bongo tunawezaichukulia siyo issue sana
@hellenamagesa991 Жыл бұрын
Kweli kabisa utasikia uchawi ujinga ni mwingi bongo
@ashabakke4733 Жыл бұрын
Kweli kabisa inaweza mpata mtu yeyote yule
@SophiaKova Жыл бұрын
Yan nilivyoona tu hilo tukio had mwili wng ukasisimka daaaah maji mengi kama yale jaman,😭😭
@adilhabib8988 Жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaih raajiun mwenyezmungu atupe subra wapemba na waislam wote kwa jumla
@muhammedyussuf8406 Жыл бұрын
Ameen yaarabbi
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
😢😢😢😢ya Allah jmni inaumaaah jmni jmani hiyo iliandikwa jmni nikuomba mwish mwema tuuh
@MwanaHussein-s2n Жыл бұрын
Jmn hii kitu mbona kama imejirudia ilishawah kutokea kipindi cha nyuma😢😢
@MwanaidiSalehe Жыл бұрын
Ilitokea mdada wa unguja pia alijirusha alikuwa anatok dar anaend zanzibar ila yy alipona
@MwanaHussein-s2n Жыл бұрын
@@MwanaidiSalehe ni huzuni kwa kweli 😢
@NadyaNassor-y6w Жыл бұрын
Dah ni pigo kubwa sn kwa wanafamilia 😢 pole sn wifi yngu MUNGU akupe nguvu zaidi
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Iinnaa lilaahoo wa innnaa ileehiim raaajiiiiuun
@issaalfani1030 Жыл бұрын
Unashindwa kumuhoji mtu alikua anaumwa nini
@almuwaffahyouthgroup Жыл бұрын
Allah atupe subra na imani
@RashidiMusa-od3nm Жыл бұрын
Kiukweri inauma sana nilikuewepo ndani ya meri nahuyo jamaa alikuwa makini sana na ndugiyake maana kunawakati jamaa alimpeleka chooni akwa hadi mlango wa chooni kamshikilia asije kujikomelea kwandani
@hassanrashid9436 Жыл бұрын
dah kwa kweli hapa ndo tunapata funzo. Analoliandika Mungu hutokea tu juu ya umakini wote huo lakin hakuweza kumzuia kujitupa hilo ndo liliandikwa na Mungu limtokee. Mungu awape subra familia yote na huyo kijana aliyekua naye Mungu ampe nguvu na ujasiri wa kuhimili tukio hilo linauma sana.
@shadyahamad3724 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu amfanyie wepes aliko lakini kuwa huko hai mmm sizani kwa maji yale😭😭😭 mbele yake nyuma yetu
@Marzzzzzz20 Жыл бұрын
Mtangazaji anajua anajua tena!
@wisetonnytz99 Жыл бұрын
Anajua kivp wakat kashindwa kuhoji alikuwa anaumwa nin!?
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Ee Mungu 😢
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Dah.utakut hali ngumu ya maisha mpk mtu anatow uhai wake
@ConesChikulo-o7i Жыл бұрын
Itakua msongo wa mawazo jaman
@ZainaRashed Жыл бұрын
Allah awape subra
@amanimatokeo9139 Жыл бұрын
Duh mtihan innalilah wainnailah rajoon
@ABEERSHOP Жыл бұрын
Innalilahi wainalilah rajuhuni kifo alikiona mpaka kamwambia mama yake amuombee ili afike salaam 😭😭
@hawamohammed9740 Жыл бұрын
Jaman naumia sana wallah haya maneno yamenikata kama kisu Allah awape subra wafiwa Allah ampe jannah kipenz chetu
@hassanrashid9436 Жыл бұрын
@@hawamohammed9740nikweli yanauma sana hayo maneno
@magembekisabo9632 Жыл бұрын
Mabula -wasukuma
@HadiaSULEIMAN-v6w Жыл бұрын
Dah Allaah awape subra
@mussakiligaliga4348 Жыл бұрын
Polen sana wana familia subra inahitajika
@ashabakke4733 Жыл бұрын
Pale aliposema anataka kwenda chooni itakuwa alikuwa anaangalia ma,zingira .ndio maanaikawa ngumu kuokolew. Alishajuawapi anakimbilia. Hii itakuw Depression
@MohammedAlnabakhany Жыл бұрын
Wazee wamakoti myeusi ( wachawi) wamefaya yao wamempiga bumbuwazi uyo msindikizaji, dah! Pole sana. Allah ndo anajua Kila kitu.
@brendagregorymndeme109 Жыл бұрын
Tatizo la saikolojia ni hatari sana mm pia nimekutana nalo usiombee aisee
@alleyd.alleyd Жыл бұрын
Unaweza nielezea kwa kifupi nini kilitokea kwako?
@kimwalove Жыл бұрын
Alichokosea ni kumuacha akae mbele angemuacha akae dirishanj
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Ahad yake imefika 😢😢
@ScholarBrian-pw9nm Жыл бұрын
Kifo hakizuirik dear hata angemfunga kamba kama ilipangwa ingetimia Tu💞
@randomclips5474 Жыл бұрын
sio suala la ahad sw ahad zipo, na uzembe katika maisha upo ila alichokosea kimwalove ni kwamba analaumu, sio mda wa kulaumu 🚶♂️
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
@@randomclips5474 kwa iman ya dini yangu ni kuwa ahad yake imefika 🙌🏿🙌🏿
@stonetown578 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa kishamuona hayupo vizuri ikisha kamuweka kati yy kakaa dirishani.
@chimamilion Жыл бұрын
Mtangazaji naomba namba tupeana pole yamsiba
@maryoommaryoom Жыл бұрын
Si utuambie ukweli km umependa mtangazi jamani tukusaidie kipenzi 😅😅😅😅
@chimamilion Жыл бұрын
@@maryoommaryoom ai kiutu uzima bhna
@maryoommaryoom Жыл бұрын
@@chimamilion ata mi naona
@princethaly3648 Жыл бұрын
Huyu kijana anahitaji Matibabu ya watu wa saikolojia
@zeinabjuma9389 Жыл бұрын
Poleni sana
@Bilioneabichwa331 Жыл бұрын
Kujiua ni dhambi kubwa sana, motoni
@SophiaKova Жыл бұрын
Hata yeye alikuwa hajijui na kujiua sio kosa lake ni matatizo tu ya kidunia
@Bilioneabichwa331 Жыл бұрын
@@SophiaKova ukijiua ni motoni tu, kwann unakimbia majukumu
@NayaNiha Жыл бұрын
🎉
@Fatumasaidi36 Жыл бұрын
Allah amrehem. Wakti ukishafika hauna dawa. Pumzika kwa amani. Kabuli popote ulipoandikiwa.
@FrancisSteven-sy7ej Жыл бұрын
😅l
@neemamollel6057 Жыл бұрын
Very sad let him r.i.p😢😢
@witymazubu2977 Жыл бұрын
Lakin kama alijuwa huyu mtu hayupo sawa kwann hakumuweka dirishani akaketi mwanzo ,pili ukiona umepanda na mtu hayupo sawa unatoa tarifa kwa uwongozi wa chombo husika mapema hivyo inakuwa inakupa umakini zaidi yamungu ni mengi piah lakin Kuna uzembe ulifanyika piah
@zakialaizer-xo1qm Жыл бұрын
Kwakweli kwanini asimueke dirishani jmn?Mungu anisamehe ili huyu kijana kama vile kafanya kusudi
@BwayNation143-gl1sg Жыл бұрын
God protect us R.I.P
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Poleeni sanna kwa msiba mziito muliopata nfuguzanguni
@hafidhivuaamakame4453 Жыл бұрын
Jamani huyu kijana dalili zinaonyesha alikuwa na maleria yamepanda kichani ndio maana na kwa maelezo inaonyesha hawakumpeleke hospital huko Pemba
@josephatjordan2150 Жыл бұрын
😂eti malaria
@Urmillar Жыл бұрын
Wacheka nini sasa,wee hujui malaria ikipanda kichwani waeza kuwa wazimu@@josephatjordan2150
@hafidhivuaamakame4453 Жыл бұрын
@@josephatjordan2150 yeah kama hawakuwahi kumpeleka hospital basi ndugu yangu hakuna chengine maana Zanzibar saivi malaria mengi mno hususa huku kwetu sisi unguja
@clementhiddi1486 Жыл бұрын
Pole sana. Hili suala liangaliwe kwa undani lisije kutokea tena
@HasmaNassor Жыл бұрын
Allah awape subra wanafamilia wote 😭😭😭
@Burner_Acc Жыл бұрын
Huyu jamaa kapewa mgonjwa ila yeye ndo kakaa dirishani. Hilo ndo kosa la kwanza. Common sense isn't common at all.
@SalumhamisRamadhan Жыл бұрын
Daah hyo video nimeiona mpka moyo umesisimuka cos pale aliporukia nipabaya saana cdhan kama atakuwa hai
@fadhilirajabu2816 Жыл бұрын
Allah ampe kauli thabit
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
inalilahi wainailahi rajiun 😭💔
@sadaalsheibani7106 Жыл бұрын
Ukiona mtu haeleweki jambo la kwanza ni spitali ili asaidiwe jaman kwamaelezo inaonyesha alikua anaanza kuumwa akipelekwa kwa doctor angepata dawa angerudi hali yake ya kawaida Allah awape subira family
@beautyibrahim8428 Жыл бұрын
Ndio maana alikuwa anapelekwa kwa mama yake wakajue cha kufanya
@Laizer3 Жыл бұрын
Matatizo ya kisaikolojia hayo hapo mtu anamatatizo na anajiona kama amekosa msaada hadi anajiua
@AllyHajj-u3u Жыл бұрын
Wakat ukifika hauna sbb ya kukwepa
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
Huyu kijana anaonekana alikuwa kalala mpaks kashtuliwa na mwenzie alokuwa kakaa nae kumwambia mwenzio kainuka ndo na yeye kutaharuki but too late
@georgesamwelihuri7562 Жыл бұрын
Lakini camera inaonyesha alishutuka ndani ya sekunde chache, maana alimfata ile a nakaribia kumkamata ndo akawa amelukia kwenye maji
@NemaAli-zh6hr Жыл бұрын
Yah ni kweli @@georgesamwelihuri7562
@Jumafundi-n1v Жыл бұрын
Kama nikarafuu zingekua zishakamatwa zamani dah mtihani
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Kazi yq MUNGU haina makosa lakin na meli zetu hazina ma diver...
@haido.99 Жыл бұрын
sikilizeni video vizuri ACHENI KUKURUPUKA KUTOA COMMENTS ah!
@hallin9561 Жыл бұрын
ata kama nikitaka kujiua siwez kujiua kwa taabu kiasi iki aisee. nijiue kwa kuRelaxy ata bastola is great
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Usiongee hivyo Muombe tu Mungu .kwa sababu inatokea kama pepo tu ..Tenaa hiyo comment yako ilekebishe mtandaoni kuna watu wengi hata majini yapo
@yusufabdallah3721 Жыл бұрын
Pana wajibu ya kua na watu wakuweza okoa mtu kama huyu kabla haja ruka na bada yavkuruka...vijana wako mombasa hodari ajabu...lazima kila,safari kue na,watu kama kumi wenye ufundi wa bahari .hi ni aibu kikazi
@HarunaKuvi Жыл бұрын
Leo mwili wa kijana ulionekana nyakat za saa 5 asubuhi maeneo ya Tumbatu
@imakanyi8654 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@HIDAYASAID-ue1df Жыл бұрын
Maisha haya dah😢
@IsmailMjesh Жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@hailinhelen4675 Жыл бұрын
jamaa huyu kapowa sana si wa kupewa mgojwa sana ila alikuwa amuweke mwenzie mwanzo wa siti na sio mwisho wa siti mpaka kainuka yeye hana habari
@ZainabuMteti Жыл бұрын
Hakuna anaejua qadar uchangamfu hauhusiani na ahadi ya mja.