Sakata la maombezi ya Rose Muhando lazidi kutikisa

  Рет қаралды 296,052

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

Hivi karibuni imesambaa video mitandaoni nikimuonesha mwanamuziki wa ijili nchini Rose Muhando akiombewa, Swala hilo limemfanya muimbaji mwenzake wa nyimbo za injili Emannuel Mbasha kufunguka juu ya video hiyo,

Пікірлер: 287
@jacklinepeter9511
@jacklinepeter9511 5 жыл бұрын
Rose aombewee kwa siri ila cc wengine tuombeww hadharani ROHO MTAKATIFU anaposhuka aangalii ustar
@mathewlive77
@mathewlive77 5 жыл бұрын
Ameombewa kamera zimewashwa, zimezimwa , cjui zimefanywaje.... Tunachojua sisi Rose ameombewa na kwa uweza wa Mungu ule uliomfufua Yesu, ule ulio mtoa lazaro kaburin ndio huo Utakaofungua vingo vyote walivyomfunga Rose .
@MariaMlay10
@MariaMlay10 5 жыл бұрын
Mbele ya Mungu hamna cha brand, wote ni sawa. Rose kujitokeza na kufanya hii hadharani ni FAIDA kwa watu wote tujifunze kua no one is safe, tunahitaji maombi sote, no matter who you are, shetani anaweza kujaribu tu. To us, she is here, haya mambo wanajitua brand brand ndio inaacha watu wanakufa na depression kuogopa, jamii itanionaje, naona Aibuu. Asante Rose kwa kuwa shujaa na kusema “Nilianguka Namuomba Mungu aniinue tena” narudia, Rose wewe ni shujaa, i respect you more and more..
@sirshijathaboy4144
@sirshijathaboy4144 5 жыл бұрын
Mimi naona huyu mr.(.....), asome tena injili Yesu alisema aliye na afya hamhitaji tabibu, na kingine kwenye huduma ya utumishi( kwa mtu anayeelewa nini maana ya ukristo) hakuna star mtu akitaka kuibadili huduma ya uimbaji kwa kutafuta kuwa star bora afanye muziki wa kidunia! Huku kwa Yesu hakuna muziki kuna huduma ya uimbaji au karama ya/ kipawa cha uimbaji
@mariammariam2475
@mariammariam2475 5 жыл бұрын
Sir Shija Tha Boy ni kweli
@mariammariam2475
@mariammariam2475 5 жыл бұрын
Hakika
@carolynekahonga5200
@carolynekahonga5200 5 жыл бұрын
Exactly ,
@mariajames502
@mariajames502 5 жыл бұрын
exactly no brand
@silasnnko4384
@silasnnko4384 5 жыл бұрын
Mimi sijaona kosa kwa rose kuombewa public cha msingi amefunguliwa ukisema alikuwa star ntaanza kupata mashaka na utumishi wako mbasha
@raymrash
@raymrash 5 жыл бұрын
Nani kamwaibisha Rose Mhando? A) Mchungaji/Mwombeaji B) Mapepo C) Camera man D) Watoa posti mitandaoni E) hajaaibishwa F) Sijui
@ElKip
@ElKip 5 жыл бұрын
Hivi Yesu alipowakomboa watu, alifanya kisiri au hadharani mbele za watu? Je, hiyo ilikuwa ni showoff? Na je, iwapo ilifanywa hadharani au Sirini, Rose alipona au la? Je, Waswahili walikuwa na maana gani waliposema mficha uchi hazai? Mnaojiita wachungaji na mnamkashifu Pastor Ng’ang’a kwa kuirecord tukio mnatofauti gani mnapoileta mitandaoni kama sio kik mnatafuta humu? Mbona hamkumuombea kisirisiri? By the way Neno Evangelism ni Live TV na maombi yote yalikuwa live so camera haikuwashwa kwa sababu ya Ukombozi wa Rose tu. Somo: mapepo hayana heshima ya kiongozi, msanii, au tajiri na masikini. Yakidhamiria kukuingia yataingia tu. By the way hebu twendeni tukaombewe pia. Unaweza kujikuta unawengi kuliko Aliyeombewa. Mbarikiwe sana
@demicratia4071
@demicratia4071 5 жыл бұрын
well said nimekupenda siri ya niniiiiiiii
@mariammariam2475
@mariammariam2475 5 жыл бұрын
Washington Kipsang Amen
@mercyn.thethe3157
@mercyn.thethe3157 5 жыл бұрын
Ukweli umesema kaka @wishington kipsang
@manasendone4969
@manasendone4969 5 жыл бұрын
Mungu anaweza
@bethmziray690
@bethmziray690 5 жыл бұрын
Ww umekaa kujificha na ndomana flora akakuumbua,sisi ndo tumemheshim ROZI zaidi Kwani tumeujua ukweli kuliko alivyokuwa anasingiziwa mambo mengi bila kuujua ukweli
@johnmuthuri9989
@johnmuthuri9989 5 жыл бұрын
Wacha umakende ngo'mbe wewe. Lazima tumuaibishe muovu shetani.
@ruthkinuthia1255
@ruthkinuthia1255 5 жыл бұрын
hakuna kutharariwa ageobewa kwa office mgesema pst nga'nga wako na mpengo ni vizuri ndio pia waimbaji wegine wajifuze kwa ivyo hakuna mkosa yeyote hapo juu kwa wakati huu kìla mtu amombie dada wetu Rose 💪👏
@davidgithua2660
@davidgithua2660 5 жыл бұрын
its unfortunate wewe unajiita mbasha, mbele ya mungu hamna ombaomba na raisi,,, acha zako.. ata kama hatuungi mkono aliyofanya rose na "mchungaji wake" misingi yetu tofauti. Na wewe uheshimu ombaomba na wapiga ndebe.
@charleswilliam8609
@charleswilliam8609 5 жыл бұрын
The statement that you have made hukufikiria vizuri na unafaa kujirekebisha kaka...imeniuma sana kusikia ulichokisema!!!!!!
@calebkingsman4203
@calebkingsman4203 5 жыл бұрын
Hakuna maombi special.l yesu alificha nani amwombee..acheni propaganda
@erastusndeto9791
@erastusndeto9791 5 жыл бұрын
I have listened for all the comments and your views, but my conclusion is that, you all speak without your personal reflection and evaluation for it. This is is beyond human scope and intelligence to judge or critique. Let God of the Patriarchs make His judgment. Alot has changed from biblical times that was jewish in majority and some way of life cannot be the ultimate and ideal springboard for the same. Let us pray for Rose Muhando to heal and stop our unrequested mshene about the same. Let us not blow the whole thing out of proportion. Ps 91:15
@phellowmmbunitv6077
@phellowmmbunitv6077 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jIa9p6qrrp2Kos0 Wimbo mpya wa Rose Muhando
@dunstanmediatech7360
@dunstanmediatech7360 5 жыл бұрын
Mbasha nahisi kama vile umekurupuka hivi......There is nothing special before the eyes of the Lord. We are equal and sinners, the Bible says in Romans 3:23 "for all have sinned and fall short of the glory of God" we deserve to be Prayed for irrespective
@alexandertewele8595
@alexandertewele8595 5 жыл бұрын
Mbasha amua kuokoka brother.utahangaika sana.et.star? Jiangalie sana mwanangu.i
@melodynakitare1557
@melodynakitare1557 5 жыл бұрын
ur right akemuombea bila kutoa siri ya roze muhondo kupitia video ifeel so bad that's not good badala ya kumsaidie now ameharibu kila kitu kwa maisha yake sijue mwanadada anafeel aje place yuko but let's pray for here so that she becm a strong lady we know
@jerrywilhelm
@jerrywilhelm 5 жыл бұрын
Ndio maana katika mwamvuli wa ustar mnaendelea ku struggle ndani kwa ndani. U star uacheni nje mnapoingia kanisani. Nashukuru amekombolewa katika hayo
@phellowmmbuni2841
@phellowmmbuni2841 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jIa9p6qrrp2Kos0 Wimbo mpya wa Rose Muhando
@apostlekenemanuel2134
@apostlekenemanuel2134 5 жыл бұрын
ile siku utapatikana my frd hautaongea venye unaongea,kwa mungu zote ni sawa mambo ya umaarufu weka mbali,we unashida kumliko,mambo ya asikari wa kilumi kama aliombewa kisiri tujulia wapi chunga brother
@everlynemulongo7004
@everlynemulongo7004 5 жыл бұрын
Msenge wewe,si basi ungemuombea wewe,nkt heshimu apostle wewe,acha ushenzi
@officialjohngatheca938
@officialjohngatheca938 5 жыл бұрын
Hawa hawajui mungu ,they are in their business ,pretending they are praising the name of the mighty God,look at their dressing style ,look their make ups .is it really praising God ?,people have eyes but don't see,.am really afraid when I see this singers who called themselves singers of God ,they were sent to direct people on the bad way by who ever sent them.action speaks more than wards.
@pastorgerardgahungu9201
@pastorgerardgahungu9201 5 жыл бұрын
Reverand pasteur Gahungu Gerard de l'glise Burundi Rhema word christian Revival center.
@qerysir4410
@qerysir4410 5 жыл бұрын
Ikiwa ni mambo na kuogopa aibu basi hata Yesu angesulubishwa chumbani kwa kuwa hiyo ndiyo aibu kubwa! Tafakari!!
@saimonseleka2115
@saimonseleka2115 5 жыл бұрын
mungu huweka wazi dhambi unayoificha ni ngumu kumfasiri mungu ila tusitende dhambi huku tunajifanya kumtumia mungu mana usiombe unyoshwe na mungu Mara mia akunyoshe mwanadamu " wenye macho tuone na kwa masikio tisikie ni vema likawa funzo kwetu huku tukiendelea kumuombea rehema inavowezekana
@pasisylvain
@pasisylvain 5 жыл бұрын
Aise kaka umeogea ukweli kwakuwa huyo mchungaji ni mchugaji anaye taka kipaji asijuwe kama haja mzaraulisha rose amewazaraulisha wa Tanzania wote waimba ijili hatuwaamini tena kupitia huyo mchungaji je yeye ni ni msafi mbele za mungu kweli?
@reganjosephcharles8778
@reganjosephcharles8778 5 жыл бұрын
hakunaaaaaaaa cha siri hapa ,,unataka ujengewe heshima gani wakati wewe ni binadamu tuuu na inahitajika watu waoneeeeee wajue sisi ni binadamu tuuu ,,na kuonyesha Mungu anaweza kwa yeyote na tujue kuwa mtu yeyote yanaweza kumkuta kwa hyo tunahitaji kusaidiana bila kuangalia oooh huyu star ooh huyu vipiiii,,achenii hizoooo,,tena safiiii sana pastor uliyechukua cameraa ,,nimependa sana
@victorbaraza4062
@victorbaraza4062 5 жыл бұрын
pepo ww ushindwe katika jina la Yesu,maombi hayana cha umaarufu wala ustaa tena hayachagui ni sehemu ipi maalu.njoo ufanyiwe maombi at a ww
@jenyjeremia8361
@jenyjeremia8361 5 жыл бұрын
Au nawww unahusika ulitaka wamfungie chumbn kwahyo mastaa choon huwa hamuend acha dhalau kukemea mapeppo nipopote rose wetu tunakuombea upone utupe vitu
@bigmachineschannelkenya7408
@bigmachineschannelkenya7408 5 жыл бұрын
Mbele Za mungu Hakuna ati wewe ni mweshimiwa ati sijui wewe ni Nani that's why in the bible God divided the curtains into two so that all of us we can Neal on the alter and be delivered,,my friend if you think your are president so that pastor will handle you with honor then your lost
@petersonmwanzi6759
@petersonmwanzi6759 5 жыл бұрын
je wajua tafauti ya ukombozi na kuombewa iyo c kuombewa Learn to mind your own bizzness
@johnsonatebe1881
@johnsonatebe1881 5 жыл бұрын
Wacha kucheza na MUNGU, hakuna siri kwa maombi.
@wajeijeindungu8387
@wajeijeindungu8387 5 жыл бұрын
Ukweli haikua haja kuweka kwa camera wahumbili wengi hufanya hifo ndio watu wajue kanisha zao ndio wakue famous. Wengi wanataka kufutilia watu kwa kanisha zao na wengi wako fake naniwakola. Rose angeombewa lakini sio namna hiyo
@brother.jamesmarongo2777
@brother.jamesmarongo2777 5 жыл бұрын
people who never know the truth,and they want to tell us right.u hypocrites,stop criticising the work of God.Rose atapona na amerejea
@marymusa3579
@marymusa3579 5 жыл бұрын
My friend akuna star kwa mungu ukae ukijua ivo tafadhali pole
@kanyithiongo7777
@kanyithiongo7777 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rKingaaunsl2nqM RATHIMWO NI RWIMBO RURU UUUNIINE MEECIRIA NGAI NIATUIKE NDARACA MAUNDU INI MAAKU MOOTHE
@dajoliemakutano4914
@dajoliemakutano4914 5 жыл бұрын
Oh! Pole sana mtumishi wa Mungu! Mungu wa wetu ana tupenda de same! Mbona ni kama Mungu wa ma Str ni mwingine sie Mungu wa machokora?? Check yourselves
@frankfame6593
@frankfame6593 5 жыл бұрын
No one is behold the POWER of God.... All are equal
@monicanjenga988
@monicanjenga988 5 жыл бұрын
nikweli kabisa siyo maombi yote huwekwa hadharani
@elizabethlukale4474
@elizabethlukale4474 5 жыл бұрын
Hata yesu mwenyewe ni wengi alitoa mapepo. Mbasha ajiadhari na maongezi yake.
@denisjerome5651
@denisjerome5651 5 жыл бұрын
Skutaka ku coment but naamua ku coment, bro sisi sote ni sawa au kuna mapepo mengine ya siri? Ata wew ukizingua utaombewa kati kati ya uanja wa taifa
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
acha hizo mbasha, kwani rose kuombewa hadhalani tatizo liko wapi, kwani huyo Mchungaji na rose walikua wanafanya mapenzi ndo useme wangezima kamera, huoni hii imesaidia kufahamu mambo mengi ya rose, wanaoombewa hadhalani ni manyangau au, hata ww ukipatwa uombewe hadhalani ili na wengine wajifunze, eti bland , mbinguni wateule huingia kwa bland, wee vipi, nahisi umeanza kuchanganyikiwa nadhani, usidhani kila msomaji ni zwazwa
@elviramlowe8821
@elviramlowe8821 5 жыл бұрын
Mbasha huna akili ungemwombea wewe bas mpuuzi
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 5 жыл бұрын
Mungu mkumbuke Rose na umponye kwa kila hali aliyo nayo pamoja na familia yake
@queenjackie4350
@queenjackie4350 5 жыл бұрын
Watanzania mna udaku sana amkosi la kusema nyinyi tunawajua ..mbona mlishidwa kumuobea... who are you to judge?? See ur life...rose she is possessed...
@suzzybalondani7904
@suzzybalondani7904 5 жыл бұрын
Queen Jackie your right pahali yakumuombeya wanaanza umbeya kuongeya utafikiri ewo njo watakatifu like wtf akuna aliye kamilika apa Duniani maana sisi sote tunakosaga.
@stellahlamukuru1407
@stellahlamukuru1407 5 жыл бұрын
My voice is to the guy who is taking a bout prayer in privet. Guy remain silent and never talk like that. If Rosé has got her deliverance who are you to question the formula of deliverance. I am a pastor and a singer. I have no problem with the way things have been done. Apostle God bless you. You have my full support if surely it is true that our star Rose is up and is fine. Blessings
@saidnassermahrooqi1787
@saidnassermahrooqi1787 5 жыл бұрын
Hata iweje tunampenda tu nahatumchoki
@rozenahbrian6922
@rozenahbrian6922 5 жыл бұрын
Bona yesu akachapwa hadharani,na alikua mwana WA mungu?
@periswambui514
@periswambui514 5 жыл бұрын
Aiiii huyu mbash anakichaa kwa yesu all we're equal
@janesarah6711
@janesarah6711 5 жыл бұрын
Negative thoughts mungu hakuna star na mabalozi sote ni kitu Kimoja
@jenipharkimaro2873
@jenipharkimaro2873 5 жыл бұрын
mbasha upo sawa wamemzalilisha Ross jaman
@annnjogu972
@annnjogu972 5 жыл бұрын
Tungejulia wapi ati Rose aliwekwa majini..huduma ifanyike kama kawaida but hiyo perfume lol
@suzzybalondani7904
@suzzybalondani7904 5 жыл бұрын
Ann Njogu iyo nikweli but alifanya vibaya asingemuombeya vile azarani mpaka kila mutu ajuwe no that is right baada ya maombi kumalizika na yeye msani Rosa Muhando alisha kuwa sawa njo angesema kama vile ushuhuda nakushukuru Mungu gisi amepona nakufunguliwa na kitu kyenjo kilikuwa namufunga nihiki nihiki nasio vile azarani walivyo mfanya no japokuwa mimi ni Mkongomani na sio mtanzanian ila nimekwazika sana.
@nomasana2362
@nomasana2362 5 жыл бұрын
Endeleeni kulipa sadaka , tuendelee kukula.
@tremophat8244
@tremophat8244 5 жыл бұрын
Wacha tusublili he atarudi sawa
@gksam7697
@gksam7697 5 жыл бұрын
la muhimu ni matokeo ya maombi wala si njia za maombi
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
Mungu amponye rose
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 жыл бұрын
Wewe Mbasha bhanaaa hahahaaa! Kwani aliyemponya si ndiye aliye mpa kipawa cha uimbaji wazi wazi! Je hana uwezo wa kumvika ama kumrejeshea heshima Rose aliye mponya! Nafikiri kwa Mungu brand ya kidunia ni sifuri na hata haina thamani zaidi ya ushuhuda. Kuombewa sirini kwa lengo la kuficha aibu ni kumuonea haya Kristo mbele ya watu ambaye naye atakuonea haya mbele ya baba yake! Neema ya Mungu iwaokowayo ndo imefunuliwa wazi mchana kweupe na camera zikiwa on, wacha watu wauone mwanga mopya kupitia tukio hili. Na ndio ushuhuda utakao wavuta wengi.
@felisterigogo5142
@felisterigogo5142 5 жыл бұрын
Ukweli Wa majibu ya rose ndiyo hayo kweli uliveshwa. Kinyago mshukuru sana mungu kWa kupitia Mtumishi huyo umepata nguvu ulisha tekwa nyara isaya 42: 22 yremia 15:2 simama mtangaze yesu
@felisterigogo5142
@felisterigogo5142 5 жыл бұрын
Aombewe ofisini hadharani Maombi ni Yale Yale ulitaka nani adondoke hadharani ? Rekebisha. Kauli hiyo
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
swali moja la kujiuliza kama rose ni marufu kama mbasha asemavyo ni star swali je katoa wapi mapepo mana mastar hawana mapepo yeye katoa wapi uyu rose alifikiri anachezs na Mungu kuna kipindi alisema ukristo ni unafki na hautaki bora kurudi kwenye dini yake na aliongea hayo kwa kiburi sana alipo itwa kufanya show kanda ya ziwa na alilipwa halafu akutokea alipo patikana ndipo akatoa hayo majibu ya kujiinua aliona yeye ni tajiri na ni star kwaivyo anamamuzi yake ashukuriwe Mungu Wa mbinguni kwa kumuonyesha haziakiwi na hana star Bali anaitaji walio jishusha na kunyenyekea hii iwe fundisho kwa waimbaji na hata kwa akina wema wasijifanye dunia yao
@suzzybalondani7904
@suzzybalondani7904 5 жыл бұрын
Jane Suma amen
@eastbwoy8757
@eastbwoy8757 5 жыл бұрын
wewe wacha maombi hayana siri
@habelkalume9011
@habelkalume9011 5 жыл бұрын
Devil is Rilly and Jesus is Rilly
@missfa4650
@missfa4650 5 жыл бұрын
This is season 1 watch out season 2..Proud to be Muslim..
@aggymathesh170
@aggymathesh170 5 жыл бұрын
God knows us better n we should not blame one another. we are children of one father. Barikiweni sana.
@egospeltz9486
@egospeltz9486 5 жыл бұрын
Kuna ukweli hiyo haijaharibu image ya Rose kwa wapenzi wake tu, Bali imeleta uchochezi kati ya Rose na manager wake. Inaweza kumuua kabisa kihuduma nije ya hivyo watu wengi uelewa wao wa rohoni no mdogo itamwongezea tu unyanyapaa, na Yesu wetu atatukanwa na si kutukuzwa. Rose anahitaji msaada zaidi hata baada ya maombi tayari ana roho ya kukataliwa, hana pesa n.k hayo yote yatizamwe kwa macho mawili, wasiwe watoa msaada wa kiroho tu na kimwili hawasaidii hiyo haina maana. Yesu ni wahuruma kwakweli my sympathy to her is great.
@kibasiwakibasi5070
@kibasiwakibasi5070 5 жыл бұрын
Ah hsisee koo na maombi
@anglehope8534
@anglehope8534 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka mbasha
@fredanunda7719
@fredanunda7719 5 жыл бұрын
Not bad point,anyway,
@gervassanga72
@gervassanga72 5 жыл бұрын
Nakubaliana nawe
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 5 жыл бұрын
kwa mungu hamna star hawezi zaraulika kwa mungu hakunasiri
@fetybakari1933
@fetybakari1933 5 жыл бұрын
Mm ni muislamu. Ni bora uovu ufichuliwe anaemdhuru ajue jinsi ya kumuepuka. Si mtu huyo meneja kwa kweli
@anthonyesendi5492
@anthonyesendi5492 5 жыл бұрын
Amina
@meshackmwanzia3751
@meshackmwanzia3751 5 жыл бұрын
Kwank
@meshackmwanzia3751
@meshackmwanzia3751 5 жыл бұрын
.moo
@bonifacekyalo9491
@bonifacekyalo9491 5 жыл бұрын
Ameni
@vitalissalmon9453
@vitalissalmon9453 5 жыл бұрын
Ajijuwi huyo kwa mungu akuna star wala konkig yeye pia katekwa na shetani anaitaji maombi
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp 5 жыл бұрын
Kwa Mungu wote ni sawa!Wala hakuna ustar!!Bwana YESU amevuliwa nguo,ametemewa mate,amepigwa mijeredi na amekufa kifo cha aibu,na Bwana YESU ni mkuu kuliko huyo Rose Muhando wako!!Kwa hiyo bother! Tafuta jengine la kuongea!!
@yesgood3491
@yesgood3491 5 жыл бұрын
Mbasha acha ujinga!! utakuwa hujaokoka wewe!! Rose ni star wa nani!! Star wa Neno LA Mungu ni Roho mt na Yesu mwwnyewe!! Unajidhalilisha ndugu!! Npen namba ya Mbasha ya simu ,ameniudhi sana!!
@wagithurijoe9774
@wagithurijoe9774 5 жыл бұрын
Ingekuwa bora hata wewe uongee hivyo kwa Siri. It's a matter of public interest. So, naifanywe hadhalani.
@kanambalimussa4054
@kanambalimussa4054 5 жыл бұрын
hakuna ustar kwenye huduma ya mungu binadamu wote ni sawa ,,cha msingi hapa ni swali je amefunguliwa ?
@anthonyesendi5492
@anthonyesendi5492 5 жыл бұрын
Ukweliiii
@saidnassermahrooqi1787
@saidnassermahrooqi1787 5 жыл бұрын
Bwana akupe afya
@joycemwongeli2708
@joycemwongeli2708 5 жыл бұрын
. .
@marymusa3579
@marymusa3579 5 жыл бұрын
Star kwa mungu akuna tuko sawa mdogo kwa mukubwa
@miriamsulle8198
@miriamsulle8198 5 жыл бұрын
Kanambali Mussa kabisaaaa uko sahihi
@siahmunissi6846
@siahmunissi6846 5 жыл бұрын
Hats Mimi sikufurahishwa kabisa
@saidamusinya4350
@saidamusinya4350 5 жыл бұрын
Rose did nice .......shetani si mtu wa kutolewa kwa siri ..ni mtu wa kukemewa hadharani atoke kila mtu akishuhudia ..there is nothing there like kujidharaulisha ama kujishusha Rose ....you did the best ....bravo ...M/Mungu akurudishie kipawa chako Amina
@consolatakathure3398
@consolatakathure3398 5 жыл бұрын
mbasha umeongea ukweli
@priscahpraise860
@priscahpraise860 5 жыл бұрын
mbasha wewe ume potea mbona huku muita kwa ofisi Rose na huyo muchungaji ukawa ambie hivi na hivi mmekosea unaona umepata yaku ongelea usi sahahu kuwa pia wewe unayo dhambi
@maikomgwao4906
@maikomgwao4906 5 жыл бұрын
Midevu jinga
@malimanyanja4248
@malimanyanja4248 5 жыл бұрын
Atali sana
@faithtv76
@faithtv76 5 жыл бұрын
To my understanding, I know that there are certain things we are not allowed by God to share with people through social media! eg. You talked about (Rom 13:7) as you were pailling up your blame to the Pastor. Don't you know that you were breaking the same will of God?. If you honored him, you would not talk with your father through media... It is disrespectful! Thank you!
@emanuelemil4058
@emanuelemil4058 5 жыл бұрын
paster aliemwombea rozi mhando nadhani amefanya vizuri, kwa sabab dunia yote imejua kuwa rose alivamiwa na mapepo,kwakuwa hana imani ya kiroho tena mwilini mwake. uyo ni m2 mwenye dhambi tu, na ameishatenda dhambi nyingi mungu amemdhalirisha, ili asiendelee kuwadanganya wa2 wenye imani Kweli ya mungu
@hassanjas1034
@hassanjas1034 5 жыл бұрын
sisi sote ni sawa mbele ya mungu
@costantinochaula4479
@costantinochaula4479 5 жыл бұрын
Pole dada
@danielmwasi5450
@danielmwasi5450 4 жыл бұрын
Wewe ni 0
@jaelnabibia6859
@jaelnabibia6859 5 жыл бұрын
Ukweli
@kwamejoseph3264
@kwamejoseph3264 5 жыл бұрын
jaman,maombi popote,ili mladi vita imekupata hilo ni funzo kwa wakristo ili tujipange vzur ktk kumwabudu mungu
@lilianalex4096
@lilianalex4096 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka angu. Sijafurahi kbs Huyu Mchg alivyofanya. Kila Jambo wanalirusha tu hewani kwanini wanataka Utukufu kwa wanadamu badala ya Mungu kuwainua jamani? Sijapenda huyo anatafuta jina ili aseme si mmeona nilimwombea Rose Mhando.Hekima utumike jamani kwenye huduma. Tutafika wapi ?
@perisshiundu1138
@perisshiundu1138 5 жыл бұрын
Very true, words of wisdom, am a Kenyan but I wasn't happy the way pastor Nga'nga hundled Mhando, I think he wanted publicity(atension seeker) tena baadaye anakanusha hakuwa anakemea mapepo kwa Rose Mhando..... Sio kila mtu anafanya rokoto rokoto rapapa rekereke.... eti pia ni roho wa Mungu, pia Nga'nga alipagawa na mapepo ya wale watu alikanyaga barabarani kule Naivasha.
@salomeherbert4407
@salomeherbert4407 5 жыл бұрын
Hakuna cha kulinda brand hapo. Maombi ni maombi tu, ukitaka kujua kwamba hakuna brand jifunze namna mapepo yanvyovamia hata nyie mastaa. Usipotoshe umma
@upliftmediake
@upliftmediake 5 жыл бұрын
So true
@Chibago-xx2xy
@Chibago-xx2xy 5 жыл бұрын
Msilete ubinadamu wenu ktk injili ya kristo ,,, Ukiwa kama kweli wew ni mchungaji unaelewa aina za maombi usinge toa hisia zako,,,,
@dafrozachalukula9745
@dafrozachalukula9745 5 жыл бұрын
Waliokowepo waliona (kipindi cha YESU)walakini sio ulimwengu mzima, kwani angetoa ushuhuda msingesadiki? Enyi kizazi kilicholaniwa na utandawazi!!
@ummukauthar7138
@ummukauthar7138 5 жыл бұрын
laanatullah ala rose
@faithmuthemba7661
@faithmuthemba7661 5 жыл бұрын
I agree
@irenemjema3895
@irenemjema3895 5 жыл бұрын
nikweli kabisa
@demicratia4071
@demicratia4071 5 жыл бұрын
ANGALIENI HATA you tube watumish pastors wanawaombea watu hata watumishi wa Mungu hadharani sasa hapa mumeona ameweza kuombewa mnajisuasua mbona hamkumuombea kisiri basi. MUNGU amemponya kwa alivyotaka maana Rose ni Mwana wa Mungu vilevile Aliyemponya Mungu.amzidishie baraka azidi kukemea hayo.mashetani
@chrissmwambapa6167
@chrissmwambapa6167 5 жыл бұрын
Acheni kufanya dhambi mbele ya madhabahu, halafu unasema eti rozi ni star kwa mungu hakuna star Kama hulijui Hilo naona mbasha umepotea halafu hivi nyie waimbaji uzinzi mmeruhusiwa
@mahmood8537
@mahmood8537 5 жыл бұрын
Kwa Mungu hakuna ustaa, Nakama mmeshiriki wote SUKUMA MOTONI PUMBAVU
@marymusa3579
@marymusa3579 5 жыл бұрын
Kwa mungu sisi wote tuko sawa akuna star sioni makosa ya kuombewa adharani. Iyo ni jia moja ya mapepo kushindwa haraka upesi. From KENYA we love you rose
@jarednyakundi7533
@jarednyakundi7533 5 жыл бұрын
Hizi ni siku za mwisho,nataka Mangalore huyu pastor vizuri Kenye anafanya,hii ni fame tu
@Gacheri-Gacheri
@Gacheri-Gacheri 5 жыл бұрын
Hakuna star in the kingdom of God, sometimes God take us through some difficulties just to acknowledge that he is still God.We fall down but we get up all by the glorly of God,All we need is to pray for her .
@shemsakiobya6146
@shemsakiobya6146 5 жыл бұрын
kwa hiyo wanaoombewa hadharani sio watu
@neemalushinge2477
@neemalushinge2477 5 жыл бұрын
nisawa ila ilatati halipo kikubwa MUNGU amemponya rose muhando wetu
@georgemadinda8514
@georgemadinda8514 5 жыл бұрын
Jambo la msingi ni kwamba Rose afunguliwe, awe huru, atafanya huduma ya Mungu vizuri akisha funguliwa.. Weka mbali habari ya ustaa
@stevanogati4472
@stevanogati4472 5 жыл бұрын
Makanisa ya siku hizi hayana Siri,sifa mitandaoni, wahenga hawakukosea kwa kusema kizuri cha jiuuza kibaya cha jitembeza,heri mganga kuliko wachungaji,huwenda hata waganga mtashangaa wakivikwa Taji huko mbinguni,
@barakasam5569
@barakasam5569 5 жыл бұрын
Unavyo ongea nikweli kbs , kwani camera yanini? Yesu kasema musimpe nguruwe chakula cha watoto. hiivideo haikua muhimu sana, kwasababu wanao yitazama wote siokwamba anawahusu.
NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA
8:53
Daily News Digital
Рет қаралды 13 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
TAHA yazaa milionea mwingine wa parachichi mkoani Njombe
6:32
TAHA ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.