SAKATA LA MUSUKUMA Vs MKURUGENZI KUHUSU V8 YA MIL. 400

  Рет қаралды 216,566

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

#millardayoGeita
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma amesema hajaridhishwa na manunuzi ya gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita aina ya V8 lenye thamani ya mil.400

Пікірлер: 750
@UpeoMinistryofMedia
@UpeoMinistryofMedia 3 жыл бұрын
Tuliorudi kuhakiki hii baada ya kauli ya mheshimiwa kumtumbua mkurugenzi like hapa tujuane😂😂
@philliposylvester2583
@philliposylvester2583 3 жыл бұрын
😂😂😂
@chrisssalmon3175
@chrisssalmon3175 3 жыл бұрын
😅😅😅tupoooo
@stephenmwaisela263
@stephenmwaisela263 3 жыл бұрын
Big up msukuma,wakurugenz wapuuz km hawa ni kutolea uvivu,like mingi kwa msukuma
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
We ndo limbukeni kweli Sikiliza hapa kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@josephatmnongone6143
@josephatmnongone6143 3 жыл бұрын
Msukuma ni mchochezi tu,yeye anatumia gari gani?
@pascaldogan1868
@pascaldogan1868 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kichwa sana basi tu tunaitaji watu kama hawa wanaoweza kusema ukweli hii haingii akilini kabisa
@masongaofficial
@masongaofficial 3 жыл бұрын
Ni kweli sikiliza hapa utaelewa kzbin.info/www/bejne/sKazq6VrjL16a6M
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 3 жыл бұрын
Aiseeee kuna upumbavu wa hali ya juu, yaan gari ya kutembelea waziri ambaye anazunguka nchi nzima, kweli mkurugenzi aisee kuna vitu vinakera saana zaid ya sana.....dah
@simonnzumi3575
@simonnzumi3575 3 жыл бұрын
Unahesabu m1 mpaka m460 huna hata haya kweli?
@kalebuwilliam1014
@kalebuwilliam1014 3 жыл бұрын
Ngoja mzee asikie
@emmanuelsanga9905
@emmanuelsanga9905 3 жыл бұрын
Kalebu upooo
@emmanuelsanga9905
@emmanuelsanga9905 3 жыл бұрын
Mzee kashasikia bwana
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 жыл бұрын
Kasikia,na maamuzi ametoa
@kalebuwilliam1014
@kalebuwilliam1014 3 жыл бұрын
@@emmanuelsanga9905 nipo mzee za siku
@kaguoblake5265
@kaguoblake5265 3 жыл бұрын
Keshaa sikia...
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 3 жыл бұрын
Hapana hizo pesa Ni nyingi mno jamani duh gari moja tu 400M
@godiuskahyarara9377
@godiuskahyarara9377 3 жыл бұрын
Hii Msukuka nakuunga mkono. Haya magari ni ghali sana
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
Mbn mkuu wetu msafara wake hzo zipo nyingi
@davidelliot3267
@davidelliot3267 3 жыл бұрын
@@kenybenjiz7850 JPM ni rais wa Tanzania anastahili kutembelea yale unayoyaona na kwa taarifa yako JPN ni mmoja wa marais wanaotumia magari ya kawaydah kwa rais kutumia sasa uyo mkurugenz kwa umaarufu gani atumie 460m kununua gari moja badala ya kumalizia kituo ya afya then kama hana gari achukue ata la m60
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
@@davidelliot3267 serikali ina hela acha wayatumie tu
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@kenybenjiz7850 hahahaaa kweli kaka kuna wengine wanatumia Audi mpya ya Ml600 au porches ya milioni 900
@kipesekiaruwamallya3098
@kipesekiaruwamallya3098 3 жыл бұрын
waliokuja uku baada ya jpm kutumbua tujuane hapa
@c75923
@c75923 3 жыл бұрын
Engineer hongera sana kwa utendaji mzuri Geita kwa tunaofika mara kwa mara inakua sana! Ila sasa Bro Engineer 400Mln ni nyingi sana kununua gari moja!! Msijisahau sana jamani hatujafika huko!
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Unaumwa Sana pesa za Uma
@c75923
@c75923 3 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 Umma ni mimi na wewe! Kama haikuumi basi kutakuwa na tatizo
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 wewe hujui kitu kuhusu maendeleo ya nchi nyamaza
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Nisijuwe kwavile mimjinga?Najuwa nandio maana inauma pesa za wanaichi kuchezewa ivo.magali mbona yapo mengi tu?yabei poa.atuoishe wasimi wengi tu wenye uwezo mkubwa Watatuchelewesha watu wanamna hii pumbafu
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 hahaaaa yaani acha tu
@James00Bong007
@James00Bong007 3 жыл бұрын
Mkurugenzi boya kweli...
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE 3 жыл бұрын
Mhuu hii haijakaa sawa , haiwezekani kununua gari la Mil 400 ingali bado tunamahitaji mengi ya wananchi
@muzneali387
@muzneali387 3 жыл бұрын
Injinia Kwa serikali hii umetumbuliwa
@sophiazacharia9564
@sophiazacharia9564 3 жыл бұрын
Nabii , leo yametimia maandiko yako.
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 3 жыл бұрын
Tayari
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 жыл бұрын
Ulitabiri,na yametimia.
@happykimaya2762
@happykimaya2762 3 жыл бұрын
Tayariii
@donaldkawacha9875
@donaldkawacha9875 3 жыл бұрын
Ulisema imekuwa
@charotelimo5026
@charotelimo5026 3 жыл бұрын
Namashaka na vyeti vya huyu babu aliyevaa miwani....takukuru waingilie kati
@geraldabel8784
@geraldabel8784 3 жыл бұрын
Aisee huyu jamaa yuko vizuri sana ila bado kuna taasisi bado zinanunua ma V8 ambayo hayana kazi ni watu wanatafuta sehemu ya kupiga hela tu.
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 3 жыл бұрын
Msukuma ana akali sana huyu jamaa nampongeza sana
@shauliniabeid4543
@shauliniabeid4543 3 жыл бұрын
Standard 7 purity
@veronicakanyengele1111
@veronicakanyengele1111 3 жыл бұрын
Huyu ndo mbuge sasa naomba uje kuwa wa Geita mjini
@shomarywawa6227
@shomarywawa6227 3 жыл бұрын
Eng. AMESHA KUWA JOBLESS TAYARI.🤣🤣🤣🤣🤣 SOMA IYOOOOOO
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 3 жыл бұрын
Leo ndio nimekuelewa msukuma safi sana hongera ukweli mtupu tunaitaji viongoz wa namna hii
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
mkurugenzi hafaii,msukuma POINT yake ni BEI ya gari,sio ununuzi wa gari..piga chini huyu mkurugenz
@farajastudioandstationery5798
@farajastudioandstationery5798 3 жыл бұрын
MSOMI ANAZIDIWA POINT NA DARASA LA SABA NDO SHIDA HII, MTU BADALA YA KWENDA KUSOMA UJAZIE ULIPOPUNGUKIWA LAKINI KUMBE UNADIDIMIZA AKILI ZAKO.... BADALA UKOMALIE MASWALA NYETI UNANUNUA GARI LA MKURUGENZI, NDO MAANA MHE. RAIS UWA ANAWATUMBUA
@obadiamduda10
@obadiamduda10 3 жыл бұрын
Fagio la chuma linakuja nyuma yako
@titodaudi8949
@titodaudi8949 3 жыл бұрын
Pumbavu sana na miwani yako Hata aibu huna ndiyo mnunue v8 kwani hakuna gari za bei ya chini na zinazomudu mizunguko ya halmashauri? Kama unataka raha nunua kwa pesa zako
@mwandegeplaza6504
@mwandegeplaza6504 3 жыл бұрын
Msukuma katika ubora wake
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 жыл бұрын
Ha ha ha...tumepata tabu sana kwenye uchaguzi wa 2020....ukweli unabaki pale pale hadi kaburini ( mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.....iko siku msukuma ulimi utateleza na kusema ...( tulishinda kwa .......)
@frankmare1708
@frankmare1708 3 жыл бұрын
@@ezekieljacob5795 sasa mbona haihusiani na uchaguzi hii
@anuaryally6177
@anuaryally6177 3 жыл бұрын
Kama unaendelea kununua magari basi nunua magari ya kubebea wagonjwa yawe mengi
@nestanesta5704
@nestanesta5704 3 жыл бұрын
Duhhh!!! Magu hawezi kuwaacha salama kwa hili
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 жыл бұрын
Yaani na hajaachwa mtu salama.
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 3 жыл бұрын
Imekua kweli 😀😀😀🤣
@DietVader
@DietVader 3 жыл бұрын
the b roll showing the cars reminds me of inversion in tenet. great job editor.
@samwelkyando3414
@samwelkyando3414 3 жыл бұрын
Tenet no moto
@tammymhina5454
@tammymhina5454 3 жыл бұрын
La nini gari hilo la pesa nyingi kiasi hicho mmeanzaee kula bata hayeni tunawasubiri 2025
@salummasoud5778
@salummasoud5778 3 жыл бұрын
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha manunuzi ya gari la 400M kwa ajiri ya kutembelea. Bado matatizo yetu ni mengi mno, kwa kweli hayo ni matumizi mabaya ya fedha. Tunajua jinsi gani Wakurugenzi mnavyo wacorner Madiwani kwenye kufanya maamuzi mnayoyataka. Sasa kwa kuanzia tunakula hicho kichwa ili nawengine wajifunze.
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
Mzee kalimalza kwa haraka sana. Safi musukuma👏👏
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 3 жыл бұрын
Mkurugenzi huo utetezi dhaifu. Gari ni la gharama sana. Subiri Panga la Shaba likushukie. Pole Kiongozi, kazi unayo. Awamu ya Tano si mchezo mchezo.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
Mkurugenzi uone haya basi. Gari 400M kweli? Gari zote za 30/60 hujaziona hata ukataka 400M? Duh!
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Hahahaha ccm oyee
@fanuelgwimo3977
@fanuelgwimo3977 3 жыл бұрын
Oyeee Mitano Tena 😂😂😂
@noelbryson7840
@noelbryson7840 3 жыл бұрын
Sasa kama polepole mwenyewe alishasema ndinga zote za chama tawala ni kali kinoma mnataka mkurugenzi anunue ndinga ya kishamba?? Big up mkurugenzi 🤪..
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 3 жыл бұрын
Kwa kwelii Mkurugenz kayumba saanaa,,, ngoja asikie mzee wa kazii
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 жыл бұрын
Hai make sense? Mpumbavu kweli hivi hiyo Gari itaweza kuwasaidia wanyonge? Na hizo ambulance umenunua Kwa bei gani? Hata kama sikusoma nakuona unalo la kuwajibu watanzania huna msaada kwetu njoo mitaani tuchape kazi na uzeeke bila Gari ya ghari kiasi hicho.MSUKUMA HOYEEE
@amrimzeru2913
@amrimzeru2913 3 жыл бұрын
Kwani waziri mkuu,na ujenzi wao ni nani,? Tumieni magari ya bei ya kawaida,hayo ya milioni mia nne ni ghari sana
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Serikali zetu izi,,, mamae gari la ngedere mmoja tu million 400,,, hii ndio Tanzania kama ya mobutu kule Zaire
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Ngoja magu asiki huo uozoo
@vitusmdegela5356
@vitusmdegela5356 3 жыл бұрын
Wandugu mil 400 nyingi sana hapo service ya c chini ya million 5 hakuna tija hapo wangenunu hilux, 4 ila wao wanawaza starehe wakati Wananch Hawana maji, umeme, Barbara. Shit
@vitusmdegela5356
@vitusmdegela5356 3 жыл бұрын
Wandugu mil 400 nyingi sana hapo service ya c chini ya million 5 hakuna tija hapo wangenunu hilux, 4 ila wao wanawaza starehe wakati Wananch Hawana maji, umeme, Barbara. Shit
@presseg.6362
@presseg.6362 3 жыл бұрын
Hahahahahahahahaha, eti ngedere
@texastexas2545
@texastexas2545 3 жыл бұрын
Mkulugenzi acha dharau, kuanzia mda huu napoandika comment hii huna kazi.
@saidihussein2865
@saidihussein2865 3 жыл бұрын
Ukosahihi jrmen gar kerere msukuma acha zalau
@mhojajohn3332
@mhojajohn3332 3 жыл бұрын
Msukuma uko vizuri sana uyu ni jipu sana hakutakiwa kutoka na kujibu utumbo
@wilbrodwemaonlinetv8379
@wilbrodwemaonlinetv8379 3 жыл бұрын
Jamani natafuta gari aina ya Noah (used) kwa milioni 6
@careemissa2502
@careemissa2502 3 жыл бұрын
Ninayo ya m8 km uko tyr nitfte inbox
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 жыл бұрын
Du hizo vx ni ghali sana. Nchi yetu bado ni changa tuangalie angalau Plado kama kenya
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
Kwani hata hyo Tx Prado mbona ni bei ghali piaa almost Milioni mia na zaidi na ya 2014 sasa ya mwaka huu wadhani pesa ngapii,lakini kwani msukuma yeye anatumia ya pesa ngapii?anatumia hyo hyo V8 na mpya kabsa maana kila baada ya miaka mitano wanapewa gari mpyaa, Bado mafuta anajaziwa ,kwahyo atulie tuu kikubwa mkurugenzi afnye kazi kwa nguvu zote.
@agentespionage419
@agentespionage419 3 жыл бұрын
@@happyjohn5882 kwani uliambiwa wanapewa ilo V8 bure?wanachopewa bure ni mafuta,acha uvivu WA kufikiri jifunze kufuatilia mambo
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@agentespionage419 acha kukurupuka wewe soma sms yangu vizri na kuelewaa,wake up and smell the coffee au utbki kuwa akili rake thaaa,mimi sijajsikia vibaya na sitojisikia vibaya maana hata baba angu yupo serikalin na kapewa gari pia anatumia kwahyo sioni wivu wowote.
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@agentespionage419 au wadhani mimi napgawa na V8 au Prado Tx tena ya serikali thaa nitakuwa mpuuzi mkubwa, na hayo magari yenyewe wanapewa free kwa matumiz ya serikali ndiyo maana hawa park nyumbani kwaoo,
@tibiliuslubida323
@tibiliuslubida323 3 жыл бұрын
Ni kwelikabisa ni ghali saaana!!! VX-R
@rahimuhabibu2129
@rahimuhabibu2129 3 жыл бұрын
Asante Mbunge wa kanda ya Ziwa tunakupe sana waambie ao
@mohamedkhamisali6535
@mohamedkhamisali6535 3 жыл бұрын
Kwani lazima mununue magari ya kifahari mbona wafujaji nyinyi, miaka 20 nyuma watu walikua wakitembelea ravafoo au skudo
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Nimefurahi mkurugenzi wageita kupugwa,Ayaone maisha ya uraiyani yalivyo magumu,Kweli pesa za walipa Kodi unnunua gari la vioo vyeusi?chizy baba zima halijitambui,watu madawati hayatoshi,madalasa pia kaa kweli pepo
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Tatizo siyo kununua gari, tatizo ni thamani ya magari husika. Huyu mkurugenzi tutamuona mtaani siku si nyingi.
@zuberyaunda5263
@zuberyaunda5263 3 жыл бұрын
Ni shida
@anethshio497
@anethshio497 3 жыл бұрын
Ishu ni Vipaumbele Kwenye Mipango na Matumizi na si kupewa ruhusa na Waziri Mkuu wala vikao vyenu vya wavaa suti...
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 3 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi ana kiburi sana
@jacobletema3681
@jacobletema3681 3 жыл бұрын
Tena ni kiburi haswa huyu jamaa!!!! Yeye na wote walioidhinisha manunuzi hayo wote "mantanyanga"
@emmanuelnkya9409
@emmanuelnkya9409 3 жыл бұрын
Kumekucha Kumekucha Kumekucha Kumekucha Kumekucha Kumekucha Kumekucha
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 3 жыл бұрын
MKURUGENZI ANATOKEA WAPI HUYU!!?? MALIPO HAPAHAPA....WASHAMTUMIA SAIZI WANATAKA MMWAGA JAMANI CHAAA🤣🤣🤣 MITATU TENA
@nelsonzakayo496
@nelsonzakayo496 3 жыл бұрын
Mkurugenzi umezingua m460 kweli, haya ndo aliyakataa magufuli, halafu pamoja na elimu yake ndogo raisi anajua kuwa msukuma ana akili nyingi, jiandae kung'oka hauna muda mrefu kwenye hicho kiti
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 3 жыл бұрын
Lakini mnanunua magari ya thamani halafu mnaenda kuyapaki kwenye mavumbi? Hamnashindwa hata kutengeneza maegesho ya magari kuwa bora yenye mazingira mazuri zaidi.
@didimhutila8985
@didimhutila8985 3 жыл бұрын
Mpuuzi huyu, utanunuaje v8? Kwa nini asinunue Gari ya m50 nane? 🤔
@gracechalagwa9745
@gracechalagwa9745 3 жыл бұрын
Mzee baba Magu ingilia hapo wewe na Msukuma mpo vizuri Mkurugenzi hafai.
@stanleymwakifumbwa7286
@stanleymwakifumbwa7286 3 жыл бұрын
Hata aibu huna, Msukuma usinyamaze, hapa mkurugenzi umezingua
@lucasrichard1682
@lucasrichard1682 3 жыл бұрын
Ni jambo jema tunapoamua kukosoana pale tunapoona mambo hayako sahihi. Lakini tusikosoane kwa sababu ya chuki,tuongozwe na kweli pamoja na haki. i) Hivi wabunge mnatumia magari gani? ii) Mnalipwa posho sh ngapi kwa siku? iii) Mnalipwa kiinua mgongo sh ngapi baada ya miaka 5? -Je, nyie hamna shida katika majimbo yenu mpaka mnapokea posho mnazopokea,viinua mgongo hivyo na magari mnayotembelea? -kwa nn wabunge msiwe wazalendo kwa kutumia gar za bei nafuu,posho kidogo,kiinua mgongo kipungue ili fedha hiyo nyingine ikatatue matatizo ya wananchi? " Tutoe kwanza boliti katika macho yetu kabla ya kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzio"
@franklutindi4167
@franklutindi4167 3 жыл бұрын
Wew msukuma bila hao wew ungerudi chunga mdomo wako kaz walioifanya kubwa sana wacha watembelee magar mazur pumbavu wew
@mligogodfrey8882
@mligogodfrey8882 3 жыл бұрын
Kuna passo inauzwa mil 2.5 km mkurugenzi ukiitaji nijulishe,halafu hela nyingine twende bar.
@josephizengo5912
@josephizengo5912 3 жыл бұрын
ahhahahahaaaa
@evansm8802
@evansm8802 3 жыл бұрын
You deserve excellence my man
@tabiafataki8917
@tabiafataki8917 3 жыл бұрын
Wakati milion 400 wangepata gari nyingi angenunua kwa pesa yke sio izo Magu tumbua uyooo afai kbs
@gidionseleman7318
@gidionseleman7318 3 жыл бұрын
Tayari alishapata alichokuwa anakitafuta. Raisi kashamtumbua, safi sana.
@emmanuelbuganga7325
@emmanuelbuganga7325 3 жыл бұрын
Safi sana, Mimi naona tuandamane.
@chamwilambomusa4447
@chamwilambomusa4447 3 жыл бұрын
Hamkuona hata landcruiser za m150-2000
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Jamaa alikua anajitapa Sana Sasa ona tz hakna uhalali umeenda Sasa pole sana
@mcpambe8063
@mcpambe8063 3 жыл бұрын
Kata 19 kuzifikia mara kwa mara hata Passo yenye matunzo mazuri inaweza sana. Tufanye basi Passo itawahi kuchoka; tunakupa RAV4. Kama nayo sio, kwa kiwango cha juu sana, Mkurugenzi ungetulia injini zilizopendekezwa kutumika serikalini ambapo Toyota GX ndio ilionekana kizio tosha kwa wakurugenzi. Prado haikutoshi? Hardbody je? Kama Ofisi ya Waziri Mkuu ilipitisha dokezo la ununuzi wa VX kwa mkurugenzi; basi dalili zote mnakwenda kuuporomosha uchumi kizembe sana kwa tamaa zenu za maisha ya kifahari kupitia kodi za wananchi.
@jacksonluwumba20
@jacksonluwumba20 3 жыл бұрын
Bro unazingua gari 4 Tena kod zawanaich
@dickngimba4333
@dickngimba4333 3 жыл бұрын
Huyu mkulugez hajui kuwa tanzania wananchi wengi wanakufa hata panado hawana uwezo wa kunnu musukuma uko vzur sana mku mungu atakulipa mm huwa naona unahakil sana kwann waskupe uwazili wa fedha maana maskin tunakosa hatamiko serikali inasema mbaka uwe na mali isyo hamishika kwel huyu anajisifia kununuagar kwel ya kupanda yeye kwel dunia inamambo
@jumamaswe4963
@jumamaswe4963 3 жыл бұрын
Huyo mkurugenzi atimke tu kazi, amekosa gari ya milioni hata Mia? Kama anapenda gari nzuri anunue yake kwa pesa yake na sio pesa za walala hoi. Hawa ndo wana tuchelewesha.
@shauliniabeid4543
@shauliniabeid4543 3 жыл бұрын
Million Mia yote hiyo ya nn wakat Kuna gal za milion7 znazo endana na kaz yake
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Huyu alikua anunue japo pikipiki tu ainde nayo job halafu hawa ndo wanaoshindwa kuapa
@josephndali9584
@josephndali9584 3 жыл бұрын
Wenye mji tumerudi, uko sawa mh, king msukuma
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Kumbe hata kituo cha Afya hamna halafu mnajisifia mmejenga Vituo vya Afya vingi awamu hii ya Jiwe
@majutomlaganile7420
@majutomlaganile7420 3 жыл бұрын
Mmmmm!!!gari mlioni Mia 4,mkuu?je shuka,net nk zipo za kutosha?na wasiojiweza hawapo?mkuu unahitaji kujiongeza bhana sio poa mkuu.noma sana mkuu!ni ufujaji wa wazi kabisa.
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Taifisha gari, fukuza kazi!, weka ndani! Pumbavu zake! Gari la M 460 ndiyo Lina make sense?
@rajabuhamisi2940
@rajabuhamisi2940 3 жыл бұрын
Kweli m 60 unapata pickup nzuli m 400 unajenda hata kituo cha afya dah sawa bna.
@jumakassim5351
@jumakassim5351 3 жыл бұрын
Gari sio lake namba si umeona SM
@noelbryson7840
@noelbryson7840 3 жыл бұрын
Alafu we msukuma uache tabia ya kummaind mkurugenzi wetu wa kishua!! Wakina polepole wenyewe nanakwambia chama tawala kinamiliki mandinga makali halafu wewe msukuma unakurupuka unammaind mshikaji?? Kwanza mandinga ya bei rahisi hayakimbii. So big up MKURUGENZI..
@softrock7155
@softrock7155 3 жыл бұрын
Toyota Land Cruiser LX ni gari nzr, lina comfortability, affordable, durable, bei 160m wakurugenzi wengi wanaojielewa na kuwathamini wananchi wanyonge wamenunua hayo na wanayatumia. Kumbe hapo amekwenda kula raha tuu.
@mohamedbinfadhil1396
@mohamedbinfadhil1396 3 жыл бұрын
Oya unaongea kibabe halafu unatumia pesa zetu ovyo v8 ww la nini na halmashauri haina zahanati au ukiumwa ww inatosha wenzio hawaumwi???
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
We Mkurugenzi humjui Msukuma we ongea kwa kujimwambafai tu
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 3 жыл бұрын
Msukuma nakupenda Sana
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 3 жыл бұрын
ungepinga kule kwenye kikao lisinunuliwe maana na wewe ni member mule kwenye council hizo specificatios zinatolewaga na mamlaka husika na kibali kutolewa cha kununua sasa baada ya wewe kupinga kwenye vikao husika unapinga kwenye press hiyo sio sahihi unaweza ukawa na hoja lkn sio sahihi ulipotolea una room nzuri km member kupinga kabla halijanunuliwa unavyolileta kwenye press kwa namna hiyo ni kuleta taharuki kwa watu wasiofahamu utaratibu kama mkurugenzi kajiamulia tu kununua isije ikawa hiyo V8 imekuuma wewe binafsi maana mpo eneo moja unasingizia uchungu kwa wananchi
@a.katunzi5815
@a.katunzi5815 3 жыл бұрын
Serikali inatumia magari ya namna hii. Ndiyo utaratibu. Gari kubwa, imara, ina uwezo wa kwenda popte, guarantee ya km 100,000 hivi nk. Hata hao wabunge waliwahi kukopa, walingane na Serikali!!
@marcokanyama4533
@marcokanyama4533 3 жыл бұрын
Nipo nawewe Msukuma hilo gari linafaida gani kwa wananchi mkurugenzi wafaidishe wananchi sio V8 ni kuumiza wananchi
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Saana tu Yani inauma mno.hadi nimelia
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 inauma sana ila naomba nikuulze unadhani Msukuma anatumia gari ya pesa ngapii? Yeye kapewa land cruiser V8 mpya ya 2020,kila baada ya miaka mitano wabunge wanapewa gari mpya,ila kingine serikalini kuna utaratbu wa kuwa na gari ya aina fulani, kwa mfno kuna watu wanatumia porches mpya ya milioni mia saba au Audi ya milioni mia tatuu, mpya ya 2020 na ni bei ghali mnoo,ila je, hyo MTU anaingizia serikali shingapii ? Au fursa zipi hana tengenezaa hakiwa kazini?kwahyo wala msiumie maana yupo kwenye system
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@ashamwandu6572 mbona magu kuna siku alitembea na V8 mia mbili na Prado Tx 150 lakini amkuongea chochotee,na zinatumia mafuta mengii sana sanaa,
@Kivuruge255
@Kivuruge255 3 жыл бұрын
@@happyjohn5882 v8 mia mbili!😳 alipita nazo wapi? Ukiona msafala wa rais una magari mengi bas jua hayuko peke ake, apo anakuwa ameandamana na baadhi ya watendaji wake ikiwemo mawaziri na sio kama unavo zani wewe.
@zuberigwakula8531
@zuberigwakula8531 3 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi anafaa kuwa kwenye Serikali ya KAZI NA BATA
@modestapeter2997
@modestapeter2997 3 жыл бұрын
😃😃
@mamahustru
@mamahustru 3 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi ni wakutumbuliwa.
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 жыл бұрын
Na ametumbuliwa kweli
@mamahustru
@mamahustru 3 жыл бұрын
@@yhasintakalenyula970 Alikuwa anaonekana hajaelewa Msukuma alichokuwa anaongea. Ndo ile kuna watu wanaishi maisha ambayo yako nje ya uhalisia ya wananchi wanaotakiwa kuwa wanawatumikia, kiasi kwamba kiukweli haelewi hasa wajibu wake ni nini kwa huyu mwananchi. NA ni wanasiasa wote tu. Ukimsikiliza majibu ya huyu mkurugenzi, ni sawa na mama Tibaijuka na bilioni zake za mboga tu.
@kyambarungwematv6828
@kyambarungwematv6828 3 жыл бұрын
King msukuma umetishaaaa San
@afropatriot7769
@afropatriot7769 3 жыл бұрын
Alafu Kuna maalimu analipwa laki tatu kwa mwezi anategemewa na ukoo mzima,akiskia hii atatumia Sana,mil 400 kwa nchi maskini Kama Tanzania na kwa mahitaji ya mtu mmoja ni pesa nyingi Sana aisee
@jumamakaja8802
@jumamakaja8802 3 жыл бұрын
Mbona ata gari ya m 80 ingefaa tu. TATIZO tz ulimbukeni Sana lazima ujue chenye bei kubwa pia matumizi yake ni ghali kuanzia mafuta spea na matengenezo mkurugenzi unataka kufa na ofisi ya waziri mkuu kwa ubishoo wako.
@josephmkongwi2323
@josephmkongwi2323 3 жыл бұрын
Zamani nilijua mpinzani kumbe ni chama tawala
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Sasa gar lote hlo Lina Mana gan jamn
@dottontumba7351
@dottontumba7351 3 жыл бұрын
This is too much,,, mkurugenzi si bora ungekata 200m ukanunua vitanda vya wagonjwa,,, 460m kwa v8????
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 3 жыл бұрын
Mkurugezi jihuzuru kabla mzee baba hayajamfikia
@jamess.gazigile5916
@jamess.gazigile5916 3 жыл бұрын
Ni dhahiri kabisa ukiacha gharama ya manunuzi ya gari hizi, maintenance yake ni ghari pia hata madereva wa serikali wengi wanayatumia vibaya kwa maana ya uendeshaji barabarani hata inaumiza afu wajeuri wanatusumbua nafikiri ifike kipindi wawekewe Sheria ili nao wawe makini kuyatunza, Mtu akiendesha stk, dfp,Stl, su na yenye special no wanajihisi wako juu ya Sheria.
@evansm8802
@evansm8802 3 жыл бұрын
I love the confidence,
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
msukuma hongera sana kaka tuipende tanzanian yetu jpm oyeeeee
@hassanturky7511
@hassanturky7511 3 жыл бұрын
Ana jauri kumbe . Atolewe kazini huyu
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
MSUKUMA ONGEA BABA ..HUJAWAHI ACHA ....MTU SALAMA NAKUKUBALI SANA MSUKUMA Huyu baba na miwani yake yaani hata hawazi duh....
@joachimhenjewele367
@joachimhenjewele367 3 жыл бұрын
Kununua V8 Kama council Ina uwezo so issue kwani mkurugenzi aunt mayor wanahitaji usalama na comfortability Katika kazi Zao za kufuatlia na safari za Mara kea Mara za uwajibikaji wa majukumu yao. Na so geita tu. Council nyingi wanayo Mbona. Nimepata faraja kusikia wenye maamuzi walikaa na kuamua. Sasa mh Msukuma inaonekana haudhurii vikao ikiwemo finance, hayo ndo matokeo....... Wasela wanaita kubweka🤣🤣🤣🤣🤣
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 3 жыл бұрын
Kashamanuliwaa tyr😂😂
@zenj1986
@zenj1986 3 жыл бұрын
Kwani kama mungenunua landcruiser wanazotumia misitu inatosha. V8 kwani inatumia maji??? Maana 400 kwa gari moja ni ubaridhirifu wa mali ya ummah.
@BenWerner2530
@BenWerner2530 3 жыл бұрын
Swala sio kutokununua gari. Bali kutumia hiyo amount of money 400m ni hela nyingi sana, ukizigatia wilaya yenyewe bado inamahitaji muhimu mengi zaidi. Hivi kweli hakuna magari ya bei rahisi? Acheni ubinafsi. Hata office ya Waziri Mkuu na wenyewe Wamekosea kutoa kibali. Very sad kuona Viongozi kama hawa.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 жыл бұрын
Safi sana msukuma,huyo mkurugenzi atumbuliwe hafai kabisa halafu anazalau sana
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 3 жыл бұрын
Duuuuu 400ml mkurugenzi kweli tutaenda kweli.
@saidsalum6101
@saidsalum6101 3 жыл бұрын
Ila msukuma kunawakati huwa unatulia kweli unasema vitu vyamaana gar la milioni mianne na stini kweli v8 nahiyo basi yakubebea wagonjwa iwe v8 nayo sasa
@benedictsanga6149
@benedictsanga6149 3 жыл бұрын
Milioni 450 ni pesa nyingi kwa wananchi wanyonge ambao wanahitaji huduma Bora hawana hata ambulance
@paulopaulo6577
@paulopaulo6577 3 жыл бұрын
Chama cha upinzani haipo hpo
@awadhabdulkadiry4539
@awadhabdulkadiry4539 3 жыл бұрын
Na mimi nakuunga mkono mtani wangu
@shukranitv2971
@shukranitv2971 3 жыл бұрын
Hapo Kaka huna chako ww umeishaaa
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Yaan ungejua mkurugenzi umeniudhi dahhh yaan hesabu huna kazi... Ww ni msomi bure... Aise hata mtoto wa darasa za awali anakuzidi. Dahhh hii imeniuma!!!
@chebelafrank656
@chebelafrank656 3 жыл бұрын
Mkurugenzi hufai V8 ya nini bhana
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 3 жыл бұрын
Okay sawa tumeelewa
MBUNGE MSUKUMA: Kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu
5:25
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 22 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA
10:05
Rais Alivyowateua Tu Nikampigia Simu ''MSUKUMA''
6:00
Global TV Online
Рет қаралды 48 М.
Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
12:08
Global TV Online
Рет қаралды 137 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН