Full Video: Mbunge Msukuma alivyomvaa Mpina kuhusu basi lake, ataja samaki watatu kuliponza.

  Рет қаралды 26,248

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku ‘Msukuma’ jana leo alianza kufukua makaburi kuhusu basi lake lililokamatwa kwa kosa la kuwa na samaki watatu akisema linaozea kituoni lakini anashangaa aliyehusika yeye analalamika.
Msukuma ametoa kauli hiyo wakati akichangia katika hotuba ya makadilio ya mapato na matumizi kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara zilizochini yake ambapo amesema kuna watu huwa wanajisahaulisha wakisha kuwa nafasi za juu.
Hata hivyo Spika wa bunge Dk Tulia Akson amekea kauli hiyo akisema siyo sehemu ya mjadala ulio mbele ya bunge na kumtaka mbunge kujielekeza kwenye hoja mahususi huku akimsihi kufuta kauli yake aliyosema message delivery (ujumbe umefika).

Пікірлер: 9
Mbunge Kishimba awavun ja mbavu wabunge "Kwani akili ni Bando?"
10:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
12:08
Global TV Online
Рет қаралды 141 М.
MUSUKUMA -  "TUKIWAITA VILAZA MNATUZOMEA, HECHE UNAKIMBIA UNAENDA WAPI"
12:11
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН