SAKATA SERIES'''Episode 9 Starling Tinwhite kilangaso Dagobert Queen Kiduchu Tausi

  Рет қаралды 121,114

WHITE FILMS

WHITE FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 342
@issambombwe9985
@issambombwe9985 2 жыл бұрын
Wakwanzaaaaaaa gonga like kama unamkubal Tin Mweupee @Sakata Series 🔥🔥🔥🔥🔥
@samkhonde1254
@samkhonde1254 2 жыл бұрын
😂😂😂😂aki nafurahia sana movies zenu mungu azidi kuwa pamoja nanyi mtuletee vitu tamutamu kama hivi from Kenya love guys
@aliyamohammed4112
@aliyamohammed4112 2 жыл бұрын
Ata huwa sitamani ishee hii movie naipendaa Sanaa much love from Saudi 🇨🇨🇨🇨🇨🇨
@key.one_tz2767
@key.one_tz2767 2 жыл бұрын
Yani iki kipande tinh anawapiga makofi nimeludia zaidi ya mala miah😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣😋
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 жыл бұрын
Team tin white nipe like zangu hapa nimeipenda Sana 🔥🔥🔥 ❤️+61
@cathymgonja8047
@cathymgonja8047 2 жыл бұрын
Jamani tulio rudia mara nyingi hicho kipande wanacho pigana makofi nimecheka mpaka nimelia 😂😂😂😂
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣muacheni tiny jmn nyote mwampiga 👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥
@ashadaudynjokii3636
@ashadaudynjokii3636 2 жыл бұрын
Jamani asanten kwa burudani tunainjoi mungu awalinde mzidi kutupa burudani
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Mamae zakayo anakula kucha mamae zake zakayoooo unatuhaibishaà wajumbe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@babanahbabanah4004
@babanahbabanah4004 2 жыл бұрын
Utamu utamu tin white kilangaso hii combination naipenda sana na dune la pwani
@binjackofficial6242
@binjackofficial6242 2 жыл бұрын
yaani nilikuwa nipo macho nasubiri 🥰🥰🥰🙌
@philiposilayo9580
@philiposilayo9580 2 жыл бұрын
Sakata iko vizuri hongera washiriki wote
@boionemkenyaofficial8822
@boionemkenyaofficial8822 2 жыл бұрын
KAZI nzuri nawakubali kinoma hii combination yenu ni 🔥🔥🔥 acha tuenjoy sasa
@ashurajuma2671
@ashurajuma2671 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥namkubali dume la pwan Yuko🔥
@barakakiula61
@barakakiula61 2 жыл бұрын
Dagobet ajengewe sanam morogor nkukubali snaaaaaaa
@jameswisdomtz8580
@jameswisdomtz8580 2 жыл бұрын
Leo namba moja tenakama kwaida Tiya like kama unakubaki team tin white
@amanishiughaaa6345
@amanishiughaaa6345 2 жыл бұрын
Ira nmecheka kirangoso umetisha daaah
@moviekaa
@moviekaa Жыл бұрын
laana sumaka😂😂😂. Dume la pwani miyeyusho sana😂😂
@binjackofficial6242
@binjackofficial6242 2 жыл бұрын
wa kwanza leo wapi like zangu jamani
@hamisissa1115
@hamisissa1115 2 жыл бұрын
Abdul nakukubali sana we ni nomaaaa.
@complex7582
@complex7582 2 жыл бұрын
Shami hujambo
@blackice4568
@blackice4568 2 жыл бұрын
Kwanini mnatupa episode fupi? Ebu tunataka ndefu kidogo ili tuwe tuna enjoy, I really love this series and I’m your big fan from 🇸🇪🇸🇪 Sweden 🇸🇪
@Ibrahlaiza
@Ibrahlaiza 2 жыл бұрын
Pia mimi nipo hapo hapo episode ni fupi na wana chelea sana
@tungozamswahilijk4656
@tungozamswahilijk4656 2 жыл бұрын
Jifunzeni kuridhika dakika 28 ndogo? Angalieni ugaigai ya mkojani dakika 15/16,binadamu wabaya yakitale kama hii dakika zake na inatoka Kwa wiki mara moja
@Ibrahlaiza
@Ibrahlaiza 2 жыл бұрын
@Mussa Hoza ndio
@nockigona5160
@nockigona5160 2 жыл бұрын
wengine wavivu wa kuangalia dakika nyingi mimi hata dakika 28 nyingi mno wangefata mwongozo wa aladin
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 2 жыл бұрын
Hili kweli sakata 😁😁🙌 Zakayo domo zege 🤣🤣🙌
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
😋😛😛😛
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
thanks kwa Kufatilia
@hancybeny
@hancybeny 2 жыл бұрын
Na wakati alijifanya na mineno kibao kwa Abduli amuunganishie Kiduchu
@mr.tabasamumedia9740
@mr.tabasamumedia9740 2 жыл бұрын
🔥🔥❤️ sataka nzuri sana series tin white big up bro 🤗
@nusranuznusra8979
@nusranuznusra8979 2 жыл бұрын
White penda wewe sakata😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜big up
@mr.tabasamumedia9740
@mr.tabasamumedia9740 2 жыл бұрын
@@nusranuznusra8979 sure series zake 🔥❤️ very creative
@shami1112
@shami1112 2 жыл бұрын
Hapo kwenye makofi jmn nime cheka sn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 жыл бұрын
Wee queen wanizingua bana waona viatu vya mumeo bado tu ht naenda mm namfumua nachanacha 👌👌👌🥰🥰🥰🥰
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 2 жыл бұрын
Hapo kwenye makofi na walivyo mchangia 😂😂😂😂😂 yani sina mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rosemarymoshi2428
@rosemarymoshi2428 2 жыл бұрын
Huyu Aladin Sasa khaaaa🤣🤣🤣🤣 hiyo mikofi Sasa
@kulwachaurembokulwachaurem4694
@kulwachaurembokulwachaurem4694 2 жыл бұрын
Wakwanza Leo nakubal bro tin na member of crew
@Yatosher_Der_Golden_voice
@Yatosher_Der_Golden_voice 2 жыл бұрын
Dume la pwani mzee wa LAANA SUMAKA😂😂
@shadyazitueni5338
@shadyazitueni5338 2 жыл бұрын
Duuuuh mmetisha kal khtr yan mnavtk mmenifany nichek kwa saut
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 жыл бұрын
Hongereni sakata love frome oman
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 2 жыл бұрын
Mashallah asante sana washilika mungu awajalie sana
@mhangojesca6389
@mhangojesca6389 2 жыл бұрын
You made my day 😂😂😂
@rivinerogersrovine1391
@rivinerogersrovine1391 2 жыл бұрын
Hahaha nimefurahi sana alivyo wachalaza makofi tin white
@djkayumba
@djkayumba 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂sakata imekuwa ya mtoto atari🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 2 жыл бұрын
Hahahahah 🤣😂🤣😂🤣😂🤣yani mnajuwa kututowa ma stress 🤣😂😅😆.
@mrsdonmrsdon9748
@mrsdonmrsdon9748 2 жыл бұрын
Zakayo you have made my day walae 😂😂😂😂😂😂
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
😁😃😁🥰😂Thanks🙏to you🥰🙏
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
😄😃😁😃🥰🥰🥰🥰🙏🙏thanks to you 🥰🙏
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 9 ай бұрын
Kilangaso umekimbiliyawapi Kilangaso 😁😁😁😁😁🤣katoto kiduc mtamuuwa moupe jameni 😢
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 2 жыл бұрын
Jmn naomben mtoa hiyo song inaamsha saan😂😂😂😂😂
@ulipoulipotupo7564
@ulipoulipotupo7564 2 жыл бұрын
😂😂😂Tin white ni zaid ya comedy
@jonsonumjumoja8749
@jonsonumjumoja8749 2 жыл бұрын
Mnatisha mwanagu👍👍👍👍👍👍
@joelsichone3747
@joelsichone3747 2 жыл бұрын
Huyu zakayo huyu ananiangusha kabisaa🙆🙆🙆🙆
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 2 жыл бұрын
Huyu tini ,,, hpa kiduchu kampga kwel ,,,,.. kwel si et kamzbua mwnzie la mdomo
@johnizoboy
@johnizoboy 2 жыл бұрын
From Aladin to Sakata🔥🔥🔥🔥🔥
@steliusrweyemam4345
@steliusrweyemam4345 2 жыл бұрын
Wakwanza leo.. nipeni like zangu
@jasminetarimo6952
@jasminetarimo6952 2 жыл бұрын
😂😂 pilika alivyoingia kama mwanajeshi Kofi mwingine kaongea Kofi 😂😂😂 alivyochangiwa sasa
@zakariaathman9019
@zakariaathman9019 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@daudbusanji2586
@daudbusanji2586 2 жыл бұрын
Mguu wa tausy nmeuelewa wallahy
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Kabeba viatu kasepa zakayooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍
@hamdunslimofficail4150
@hamdunslimofficail4150 2 жыл бұрын
Noma sana toka rock city sakata kitaa ndio movie ya taifa🇹🇿🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@rechelmbakilwa5567
@rechelmbakilwa5567 2 жыл бұрын
Saf San jaman aladin
@mhchannel1317
@mhchannel1317 2 жыл бұрын
Naona #Sakata inazidi kukolea utamu harafu #Ugaigai inaishiwa kabsa utamu kwa sasa
@tcking1329
@tcking1329 2 жыл бұрын
Oya zakayo ataniuwa 😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@tcking1329
@tcking1329 2 жыл бұрын
@@Mustykhan I'm big fan of you still Aladdin 👍😄
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
@@tcking1329 🙏thanks more🥰🙏🙏💪
@tcking1329
@tcking1329 2 жыл бұрын
Bro for how long u grow ur hair if no mind give me ur email
@تةامممن
@تةامممن 2 жыл бұрын
Mmmhhh mbavu sina kwakwer kabisa 😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁🤣😂🤣😂🤣😂
@mcdanta6919
@mcdanta6919 2 жыл бұрын
Nimecheka hakiamungu pilika kakiwasha hakuna kuuliza mbata kwenda mbele😃😃
@officialtinnyaltezza9878
@officialtinnyaltezza9878 2 жыл бұрын
Zakayo alipotimua mbio pale daaah 😆😆😆😆😆😆😆😆
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Ila zakayooooo
@hassanichale4643
@hassanichale4643 2 жыл бұрын
Da kka zidi2 kutuleteya vi2 vizuli Kam iv 🙌💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@revocatus5627
@revocatus5627 2 жыл бұрын
Kazi nzur Sana wangap wanaikubali
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 2 жыл бұрын
Ngoj nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ndo sakata bg up wait
@aminamohamedy2049
@aminamohamedy2049 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄ila nyie nimejikuta nacheka simaliziii
@abdulmohamed8852
@abdulmohamed8852 2 жыл бұрын
Big up ndugu yani ineweza
@islamic3794
@islamic3794 2 жыл бұрын
Mbona ya kumi umeichelewesha ndugu yangu au unataka watu wakutoroke ilete bhana
@nessmwambogolo2545
@nessmwambogolo2545 2 жыл бұрын
Kiduchu na babaye💋💋💋
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 2 жыл бұрын
Zakayo bhnaa unatuanguxhaa
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 2 жыл бұрын
Hili kwl sakata duh🤣🤣🤣
@shabanimlisho2163
@shabanimlisho2163 2 жыл бұрын
Dume la pwani huo mwendo msuli utaanguka uoo😂😂😂😂
@felistermichael7640
@felistermichael7640 2 жыл бұрын
Zakayo wewe mzuriîii
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@Iamwinningspirit27
@Iamwinningspirit27 2 жыл бұрын
Abduli anajua kuuzia MTU mbuzi kwenye gunia 😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
mwanangu zakayo umecheza vzl kinoma
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
pamoja support me #AVATASTAR255 🎵👈
@shamimunassoro9261
@shamimunassoro9261 2 жыл бұрын
Nuru ni mrembo jaman 😘😘
@chocolatebby7328
@chocolatebby7328 2 жыл бұрын
Pirik umejua kunchkesha c kwa mbata izo unowapig wenzio😂
@edsonfrank8294
@edsonfrank8294 2 жыл бұрын
🤔😄😄😄 Yan apa nimepatafunzo ndugu yangu Aladin sema ogezeni mda kwa Kila episode
@fatmarashid8267
@fatmarashid8267 2 жыл бұрын
Wa kwanza leo musininyime likes bas
@isacktz5709
@isacktz5709 2 жыл бұрын
Kali ya mwaka 😂😂😅
@suleimansuleiman1127
@suleimansuleiman1127 2 жыл бұрын
Zakayo asa umejua kuliangush jahazi
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@muqbilyusuf7739
@muqbilyusuf7739 2 жыл бұрын
Hili nalo sakata kweli🤣 from Qatar
@aishashomali2716
@aishashomali2716 2 жыл бұрын
Jamani mbavu zangu hatali sana mmeweza meweza meweza tenaaa🤣🤣🤣🤣
@christinesidi2266
@christinesidi2266 2 жыл бұрын
Hongereni Sana❤️🥰
@sifapastory9500
@sifapastory9500 2 жыл бұрын
♥️ kaz nzuri SAKATA
@scholahmwelange1406
@scholahmwelange1406 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣aki dume la pwani mungu anakuona
@aishaaliey9449
@aishaaliey9449 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 shoga angu nae unamkosi umefumaniwa tena 🤣🤣🤣🤣🤣 jamani
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 2 жыл бұрын
Zakayo nilimuona wa maana kumbe domo zege pumbafuu 🤣🤣🤣
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@zaudiashaban7509
@zaudiashaban7509 2 жыл бұрын
Hiyo mikofi jamani nimecheka hatar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpk nusu kujikojoleya
@muqbilyusuf7739
@muqbilyusuf7739 2 жыл бұрын
Tini Wallahy una ufala🤣sasa kilangaso kakufanya nn ume mpa bongo la kofi...dume la pwani aliita kofi aladee 🤣😅
@mariamree2972
@mariamree2972 2 жыл бұрын
Hyo sehemu ya makofi😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
@pawasizogama84
@pawasizogama84 2 жыл бұрын
Mama wa kambo na mtoto wa kambo (sakata)
@amarrahbeibs6644
@amarrahbeibs6644 2 жыл бұрын
Hapa kwa kupingwa makofi na mzee pilika nimemapenda😁😁
@juliusstanley6600
@juliusstanley6600 2 жыл бұрын
mnacheleweshaaa jamanii team tin wapii
@aliyamohammed4112
@aliyamohammed4112 2 жыл бұрын
Mama akadangee kenyaa ndio kwenye pesaa karib kenyaa mama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 2 жыл бұрын
Ukitaka kuwa Muongo basi uwe na Kumbukumbu. Mwanzo ulisema upo Saudi Arabia sahv upo Kenya tena
@aliyamohammed4112
@aliyamohammed4112 2 жыл бұрын
@@nasibuahmedy2438 sas si home n Kenya ama ulikuwa wataka nisema Saudi ndio homee aii ww komaa banaa 😏
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 2 жыл бұрын
Okay ila umekosea kusema karibu Kenya badala yake ungeandika nenda Kenya. Anyway mm nipo Kuwait sio mbali na hapo Saudi Arabia mm pia ni Mtanzania
@fadhilaiddi535
@fadhilaiddi535 2 жыл бұрын
Mzee pirikaaa 🔥🔥🔥
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 2 жыл бұрын
Nawakubali sana 😂😂🙌🙌
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
Uyo zakayo mmempata wap jmn boya ivoo, anakimbiaje sasa jmn😂😂Mali nyeupe iyoo
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
🤓🤓🤓thanks kwa Kufatilia🙏🙏
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
@@Mustykhan ndio wewe sunguraporii unakimbia mali nyeupe kabisa iyoo😂😂😂
@Mustykhan
@Mustykhan 2 жыл бұрын
@@mwinukafundibombanjombe 😂😂🤣🙏🙈
@theohassan6534
@theohassan6534 2 жыл бұрын
We kaka mwenye mabutu umeniçhekesha🤣🤣🤣🤣
@baloubebe5920
@baloubebe5920 2 жыл бұрын
Leyla upo ww kitambo sna nakuona kwenye sakata
@juliasmaick
@juliasmaick 2 жыл бұрын
Nirikua nimeisbili kwaham jaman 😊🤗 1✌
@pascokibesa918
@pascokibesa918 2 жыл бұрын
Ety me nakuja wanichukua🤣🤣🤣
@shadimwambula7748
@shadimwambula7748 2 жыл бұрын
Zakayo Pumbavu nn wew kucha za nn😂😂😂
@iddyomary6604
@iddyomary6604 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye vibao xax napapendaj jmn ila tin kibao ulichomp kiduchu n cha kweli
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 2 жыл бұрын
Eti we nawe shoga angu unamkosi😂😂😂😂😂😂😂
@mbembefilms5379
@mbembefilms5379 2 жыл бұрын
Mwendo wa makofiii hahahaaa
@johnmbigi7930
@johnmbigi7930 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka yani ifike mwisho usiishie njiani
@zakariaathman9019
@zakariaathman9019 2 жыл бұрын
Mweupe unajua ndugu yangu
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,5 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 4,8 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
KOFIA MBILI PART 1-MKOJANI/TIN WHITE/NAGWA/BARUTI
15:38
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 324 М.
Premier Full Episode -  Pete S1 Episode 1 | Maisha Magic East
27:21
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,4 МЛН
Kubwa Kuliko - A Swahili Movie
1:29:05
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 619 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,5 МЛН