Salama Jabir afunguka alichokipost kuhusu Ugomvi wa Diamond na Ali Kiba

  Рет қаралды 342,766

Octagraphy

Octagraphy

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@joanolisa1
@joanolisa1 9 жыл бұрын
This chic is very intelligent!! Big up!!
@famenaluck567
@famenaluck567 8 жыл бұрын
Salama Jabir, you are damn perfect! I like you
@aurapanorama1634
@aurapanorama1634 4 жыл бұрын
Last year pia nilimwambia naseeb kwa page yake ya insta bro chunga na hizi team zisije zikakushusha kimziki those days naseeb ilikua akitajwa ana kuja kujibu concetrate wit ur career bro. Nowadays naona amebadilika naseeb. Big up
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 6 жыл бұрын
Masha Allah, mm nakupenda sana daa salama kwa busara yako
@jumaamaitha2277
@jumaamaitha2277 9 жыл бұрын
Salam uko juuu! Vyenye umewajibu hlo swali MBNA interview dakika kidogo
@octagraphy
@octagraphy 9 жыл бұрын
Jumaa Maitha Nilifanikisha kupata kipande hicho tu!
@nadyakisho811
@nadyakisho811 5 жыл бұрын
ni kweli salam wal so uongo mambo ya timu ndo yanayo fanya wasan wetu kuzid kuwa madui man ukiangalia wote ni wasani wetu ikitokea moja kashuk aibu ni kwetu sisi watanzani mondy kiba wana wakilisha tz mm nawaombea2 amani
@rahmasalum6420
@rahmasalum6420 9 жыл бұрын
I just loved everything about you wallah and you are absolutely right
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 8 жыл бұрын
Rahma Salum
@adijaniyonkuru1968
@adijaniyonkuru1968 9 жыл бұрын
wape ukweli my sister Salama
@kwangumakwaia3823
@kwangumakwaia3823 7 жыл бұрын
Kweli salama sisi mashabiki ndio tuna mattz ya kudisi watu, mtu unafikia mpaka unatukana duuuuh kisa Ali kiba na Daimond wakati wenzetu wanapambana na hari zao na sisi tupambane na hari zetu!
@SuperKibwana
@SuperKibwana 9 жыл бұрын
ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia habari hizi za kuchosha kati ya wasanii hawa ambao wote ni wapenzi kwetu. sasa ni wakati wa kuwakutanisha kwa pamoja kupitia Mkasi au chombo chochote cha habari ili waweze kuzungumza kwa pamoja na kuvunja hili zogo lisilokuwa na mpango. Salama Jaber waalike wote katika Mkasi please. Maana it is too much!!!
@reubenbegashe2372
@reubenbegashe2372 5 жыл бұрын
Uzeee bhana haubishi odi unakuja penda husipende, ila cha msingi nikuacha Good history like salama
@shariffamasoud3424
@shariffamasoud3424 6 жыл бұрын
Hii interview imekaa poa sana jabir nakukubal mama
@sumashare
@sumashare 9 жыл бұрын
Umeongea poa sana, hongera sana
@bone102
@bone102 9 жыл бұрын
Nakukubali kisenge Salama upo juu
@aishambise6529
@aishambise6529 4 жыл бұрын
Nilisha.muona.huyu.Dada.Nairobi..jamaninapenda.vayake.sn
@cheupegmailcomHhcheupe
@cheupegmailcomHhcheupe 9 жыл бұрын
Hizo team zaaminisha nini? Kiukweli tanzania mnaweza mziki mko sawa, uigizaji mko sawa, lakini acheni mambo ya team peaneni support na inshallah kazi zeni zitakuwa nzuri zaidi.
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 7 жыл бұрын
xana 2 jabir nilkuelewaga xana hii interview unawaza kile nachokiwaza cna team mond na kiba wote wanajua nafurahia kazi zao
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 жыл бұрын
Ila dada unajieleza vizuri....good....
@deboramrema2861
@deboramrema2861 6 жыл бұрын
Safi dada ila mwenye akili anajua ila mshamba lazima alazimeshe kuwa wana ugomvi mm naamini kabsa hawana bifu na Mungu awapiganie kwenye kazi zao na kama kuna hata mmoja wao mwenye kitu moyoni akiachilie ili apate afya ya moyo
@maryamelyas9382
@maryamelyas9382 7 жыл бұрын
love you miss jabir
@ananiasangwa7761
@ananiasangwa7761 9 жыл бұрын
Wasanii wa Kibongo acheni vibifu Vya kitoto. Pigeni kazi! Alikiba na Diamond kila siku bifu bifu. Tatizo ni uchanga wa fikra. Ninachoamini kila msanii ana upekee wake wa kipaji. Diamond hawezi akawa Alikiba halikadhalika kwa Alikiba. Mkigombana sana wadogo zenu watachukua fursa zenu. Music is a game you can make at least one attempt to be a superstar but you can't always maintain the consistency of being a superstar of all Decades till termination of your existence from the earth planet.
@TradingPHD
@TradingPHD 5 жыл бұрын
Anania Sangwa bila Beef mziki huunogi
@pammmoja2429
@pammmoja2429 7 жыл бұрын
Pole dada
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 7 жыл бұрын
pole sana
@danielmnzava6907
@danielmnzava6907 9 жыл бұрын
Ombi langu siku Waite wrote kwenye kipindi chako cha mikasi ili waonye kykomaa kwa kimziki ili na wasanii wengine waige sema salam upo juu
@mangenjile6384
@mangenjile6384 9 жыл бұрын
kusema kweli salama ukopoa sana ila nataka kuuliza wewe. na dj ffetr bona mwa fanana
@hassanmsellem5302
@hassanmsellem5302 5 жыл бұрын
Hujui kufananisha Dogo, na kama wamefanana unadhani ukijibu VP?
@ommyclassictz3098
@ommyclassictz3098 8 жыл бұрын
safi sana ukweli ndo huo
@fredyfilberty6647
@fredyfilberty6647 9 жыл бұрын
safi sana salama hawana bifu lolote wanatuzingua tyu
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Huyu m.mke nataka nimuoe nimuhifdhishe qur ani arudi kwrnye line
@saumus5771
@saumus5771 9 жыл бұрын
Nicy alivyoongea salama good
@daeaglechams9182
@daeaglechams9182 8 жыл бұрын
salma😍😍😍😍😍
@mzeemtopa9131
@mzeemtopa9131 5 жыл бұрын
Duh, salama unazeeka mama weee
@elenkilistian4005
@elenkilistian4005 6 жыл бұрын
Wape ukweli kaka salama
@edwinmbugua7738
@edwinmbugua7738 2 жыл бұрын
Kaka? 🤣🤣
@rahimstamil7369
@rahimstamil7369 9 жыл бұрын
Yah am imu mondy Nimechagua mondy because ndio msanii anaenitia moyo plz lets see him for suvces@diamondplatnumz
@abassiabassi153
@abassiabassi153 7 жыл бұрын
Rahim Stamil mh
@abassiabassi153
@abassiabassi153 7 жыл бұрын
duuuuuh aya bhanaa
@nellyesendi9160
@nellyesendi9160 7 жыл бұрын
Damn she's hooooooooot
@freemasonkingdom2847
@freemasonkingdom2847 6 жыл бұрын
Salama nataka nikuoe
@christde1
@christde1 7 жыл бұрын
girl can i marry u.
@Jakaugagi
@Jakaugagi 5 жыл бұрын
Umbea reloaded
@leviticuslevis3867
@leviticuslevis3867 6 жыл бұрын
Yo it boy’s close
@abdinassir154
@abdinassir154 9 жыл бұрын
Lakini mbona diamond akihojiwa anakana kua hawana ugonvi kwa hio anamuogopa ally kiba
@bianaramadhani5406
@bianaramadhani5406 8 жыл бұрын
saf
@sadypapa530
@sadypapa530 9 жыл бұрын
Tuache majungu izo kazu tu
@omsnomsjd4899
@omsnomsjd4899 6 жыл бұрын
VP.salama.kushapata.bwana.au
@missesdaniel6686
@missesdaniel6686 9 жыл бұрын
alikiba ana dharau xana xana nilisililiza interview yake ya e fm alichoongea kinaniumiza xana .yaani ukweli haupingiki bwana diamond yuko juu .kazi aliyofanya ni kubwa .alikiba kinachomfanya amchukie diamond ni mafanikio tu aliyoyapata diamond basi
@augustinowilliam6530
@augustinowilliam6530 6 жыл бұрын
Sss
@josephpilla382
@josephpilla382 7 жыл бұрын
L.
@dingotv382
@dingotv382 5 жыл бұрын
d
@isacanania2543
@isacanania2543 7 жыл бұрын
h
EXCLUSIVE INTERVIEW: ALIKIBA NA MKEWE AMINA LIVE #LEOTENA
47:42
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 335 М.
DUNIA (Ep 43)
22:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 40 М.
Jamaa kaigilizia sauti ya Jakaya Kikwete mpaka Watu wakacheka
13:13
Millard Ayo
Рет қаралды 3,3 МЛН
Salama Jabir, binti asiyecheza na maswali
3:02
BBC News Swahili
Рет қаралды 292 М.