Tulio angalia hii interview baada ya Gadner kufariki like hapa tujuane😢
@jovanafidelis28028 ай бұрын
Nipo hapa
@allymatilda75194 жыл бұрын
Jide kama jide...komando kama komando..anaconda kama anaconda..queen kama queen..respect you kwa mziki mzuri much love and respect kwako binti machozi ..mlio penda hiki kipindi like hapa ku show love kwa komando jide 🖤
@mwajumalubunga15343 жыл бұрын
Me namkubali sana commando jide
@brigithadidas51284 жыл бұрын
Mtangazaji pekee ambae hakumbukagi kupak ata lipshine😀
@hashemsaef15164 жыл бұрын
Salama kwa maumbile haitaji chochote kile cha kupaka zaidi ya mafuta ya muili. Kosa kubwa la SALAMA haja badilika roho na akili sababu kaja na kipindi kipya kwa kazi ya zamani yani ana hoji watu wale wale aliye wahi ku wahoji katika zama za kipindi cha MKASI ilihali sio hivo inavo stahili. Pame pita kipindi kirefu sana kisha pame jitokeza wasani wengi chipkizi ambao mashabiki wengi wa mziki wana hitaji kuwajuwa kupitiya kipindi chako
@ibbu-tz4 жыл бұрын
@@hashemsaef1516 mimi nahisi ni sahihi anavyofanya, kwa sababu lazima apate attention ya watu kwanza. Laiti angeanza kwa hao chipukizi kwanza watu wangeboeka mapema. Mbona hata Gigy kapita hapo na ni wa juzi tu. Mimi nahisi anakuza kipindi na jina kwanza na nahisi mengine yatafuata.
@musichealsTz4 жыл бұрын
Utu uzima dawa
@dominicnzai82564 жыл бұрын
Unanitania Nini anapaka hivi wadada wa sikuizi inawezekana kweli bila makeup.....
@mutwalesylvie74433 жыл бұрын
Salama nimzuri bila vipodozi
@Elfuego2574 жыл бұрын
Tunachukuliaga watu poa sana mitandaoni but the Lady Jide sounds like a really smart woman to me, actually among the few i came in contact so far👍💪
@johnchannelmacha32214 жыл бұрын
jaydee is my best female artist..words alone cant express what u mean to me
@edwindudi48064 жыл бұрын
One of the best interviwer and interviewee l have ever had, very matured, !!!! Kutoka kwa msanii anayejitambua sana.
@thobiasnerro27432 жыл бұрын
Lady Jaydee. Mungu amekujalia kipaji cha kuimba lakini zaidi sauti yako tamu sana. Umeimba nyimbo nyingi sana lakini wimbo wa FARAJA ulinitoa machozi kila nilipousikia. Kila ninapokuona wimbo huo unanijia kichwani. Hongera sana. Baadaye urudi kwenye dini yako uimbe nyimbo za kumtukuza Mungu.
@mrnorthern07404 жыл бұрын
Mtangazaji bora kabisa wa kike kuwahi kutokea Afrika Mashariki. Salama Jabir
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Salama ww uko natural sana nanimzuri mashallah
@salummhina48573 жыл бұрын
Nimependa life style hiyo ya yeye kufanya kila kitu pamoja na kua yeye ni star 💫 Wengi kibongobongo akianza maisha tuu hata hajaolewa au kuoa basi anakua na house girl au houseboy. Nimejifunza kitu
@allytauka81964 жыл бұрын
The real meaning of legends
@kaskaziniansgang12884 жыл бұрын
Ukimuangalia Jay Dee unajihisi kumuona Yondo Sista au Miss ChakaChaka
@shanishosho9114 жыл бұрын
Yap
@ghettoyouth_movies4 жыл бұрын
she so cute. Jaydee love you. i'm from Rwanda.
@veronicasiweya55074 жыл бұрын
Helloo..welcome to Tanzania😘
@neemamilia25184 жыл бұрын
Welcome Tanzania arsene niyonkuru
@abyssiniaseif17033 жыл бұрын
Salama i loved how you put your questions forward and expressed your arguments👌🏽
@LilianMwamwaja4 жыл бұрын
Hii interview ilikuwa ngumu kwa Salama kuhoji ...umenyatia nyatia sana maswali huku ukifuatilia mood ya Jide....pole
@stevebaluhya24054 жыл бұрын
Alijua atatukanwa😁😂
@ramadhanbm73564 жыл бұрын
😀😀😀😀😂😂😂kweli kabisa
@LilianMwamwaja4 жыл бұрын
🤣🤣
@rodgersgregory71984 жыл бұрын
True
@sherrysalim504 жыл бұрын
Hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
@mgallason...56864 жыл бұрын
Your voice is stunning Judith. I love it.
@Emmy226554 жыл бұрын
She is so beautiful my jay dee💋💋💋 I love u so much 😘😘😘😘😘form sauza Afrika 😘😘😘I need one day I can meet u . My jay dee 😭😘😘but I'm form burundi. Watu wananifananisha na jay dee San sn 😭😭😭 I love u jay dee .love u so much . Please come one day to sauza Africa I can see u 😭😭😭
@simonpangare4584 жыл бұрын
gonga za LADY JAY DEE HAPA
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Hii sijui kwanini🙌🏽 ukiwa mtu ambae unasema kweli yani black ni black, white ni white watu wanakuona jeuri au unaongea sana 🙌🏽
@mercykatabi1567 Жыл бұрын
I just love the both of you ladies♥️
@rehemanguli58874 жыл бұрын
Amazing interview
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
Misimamoo,kabambeee safi sana komandooo Jide I love the spirit🙌😊
@zainabramadhan21094 жыл бұрын
Wawoooo
@zussicutie4 жыл бұрын
SO MATURE LADY JAY DEE....MA'SHAA'ALLAH QUENTINUE DE AWSM SPIRIT 👌😍❤😚STRONG WOMEN💪GOOD HOST MAM...SALAMA... ❤😊
@nurumanyota4164 жыл бұрын
Wahooooo! mama judithi, na kuita mama sababu ulisoma darasa moja na baba yangu mzazi, nawapenda sana dada salama, na mom jud
@delphinasenge33214 жыл бұрын
Mbona hukunitafuta tena?
@helenabalinzigu96164 жыл бұрын
Ok.
@shamsaali9827 ай бұрын
Wana ngokolo tujuane shy oyeeee❤❤❤❤
@lilypuka29224 жыл бұрын
Jide na kupenda sana una jitambua na una fanya mambo kwa uweledi hongera sana
@ohlalaboutique24814 жыл бұрын
Jd wewe msatarabu sana sauti mzuri na wimbo kali kali
@princemujuni98034 жыл бұрын
Haya majina ya vyakula wallah hizi ni akili za Salama mwenyewe msosi utaitwaje Sharukhan mara Bruce Lee
@pascalsamwel48413 жыл бұрын
nakumkubari sana jide kwa kazi zake nzuri na zenye ujumbe
@kassimoludara47464 жыл бұрын
love the interviews... but i'd be sure to visit samaki samaki nikija TZ
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Salama utuleteaga watu wenye nidhamu kama JD siku zote, siyo zile parapara za gigy money kulala na davido it's a shame kwa jamii yetu, wale waache wahojiwe kwingine wewe uko juu sana.
@ndojes7114 жыл бұрын
Kila k2 n kujifunza.... Kam hujajifunz ww kuna m2 kajifunza
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
@@ndojes711 Umesoma kuelewa au umesoma kujibu? Idiot
@neemayatosha16184 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 You even call someonebody Idiot really?Go check yourself on the mirror. Jamii inahitaji wakina Jide na kina Gigy pia. Ni kweli kwa mtazamo wako Gigy anaiaibisha jamii ila ana haki pia ya kuhojiwa na ninaamini kuna walijifunza
@queenseptember46404 жыл бұрын
Jamii ni mchanganyiko wa machizi, wazima, malaya, wachaMungu, wapumbavu, werevu..... kwa hiyo tusitengane.
@evancenicholaus77394 жыл бұрын
@@queenseptember4640 umenifurahisha Sana😂😂😂
@mussamsella58014 жыл бұрын
Jide kiukweli ni dada ambae uko so unique ...umepitia mengi sana kiasi sijui lipi litakua geni kwako Salama ni mtangazaji flan wa kipekee sana hapa Tz ... Bahati mbaya sana kujielewa kwenu kumewafanya muishi maisha flani tofauti sana
@beatricetenywa43674 жыл бұрын
Nilikuwaa na deni hapa,siwez kosa hii 👌
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Legendary jide, una madini sana ya maneno 😘😍
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Mimi Kiswahili Nakipenda Lakini Jay Dee Katoka Mbali 👏🏾👏🏾👏🏾
@beautymasatu12004 жыл бұрын
Love you Salama❤️💪
@ethiopidemakaveli66442 жыл бұрын
Napenda sana uyu dada jay dee. Anakasauti kazuri sanaaaa
@augustinolaurent34094 жыл бұрын
Naomba siku moja ufanye interview na AMOS MWIJONGE!
@judithapolinal49433 жыл бұрын
Wajina dada yangu tumelingana tabia🥰🥰🥰🥰
@bish_daddiyao4 жыл бұрын
Damn Lot to Learn Thanks For the Free advices Woooow Salama Cheupe You One Hell of A Presenter ❤️🇰🇪
@ZaharadaffaZaharadaff4 жыл бұрын
Interview ya kibabe sana ✌️ Salama umekua bonge sana aisee
@saumuhamisi1603 Жыл бұрын
Beautiful show Salama 🥰
@kobelochamanga97573 жыл бұрын
Ukipata mwanamke Kama salama Safi sana
@CTCNAVY Жыл бұрын
naangalia mara ya mia this episode ya Salama na Jide it was FIRE
@kendrahivy3614 жыл бұрын
Kipind cha kibabe hongera sana salama na team yako nzima💫🔥
@glorianikiza60334 жыл бұрын
Nampendaga saana commando hatakuongea sauti yake ni nzuri big up
@erza68324 жыл бұрын
I m your first fan from burundi, salama💙💙
@musichealsTz4 жыл бұрын
Jide anajua sana, hakuna promo kwenye ile media kubwa kipindi kile lakini bado tuu mziki ukasonga mbele, na matuzo kama yote. Hakuna wa kumfananisha Jide na vitoto vya promooooo.
@husnazahoro70824 жыл бұрын
Nakuelewa sana wewe ni comando hunaga shobo uko juu kuliko mwanamziki Yoyoote si wa kiume wala wa kike
@simulizionline80494 жыл бұрын
Show kali sana, kama mngeweza kupunguza matangazo kidogo, ingekuwa kali zaidi..
@Thatgurl-l8n2 ай бұрын
We love you JD
@wisehood04174 жыл бұрын
I can't wait to see hormonize on this special table be blessed without politically you the best
@tabithadaniel73644 жыл бұрын
Yan mi jide NAMPENDA SANAAAAAAA jamani komando jide big up sana
@juliennempawenimana20494 жыл бұрын
Mimi nimunyarwanda nakupenda salam Mimi nishabiki wa ledy j
@aishamother99434 жыл бұрын
M nawapenda wote mashallah kila mtu anasababu zake zenye zinanifanya n wapende. Salama naomba ile movie ukacheza ka mwanaume plz.
I love the idea, but the background inapoteza attention to the foreground, too many pics on the wall. Think about it madam legendary
@zuhurangindoh30874 жыл бұрын
Mm nawapenda wote mwenyezi mungu awabariki
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
Yaan jide ni mimi kabisa sikubaligi kushindwa kwa kweli yaan ntajitahidi mpaka kieleweke
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Mh kumbe kiboko pia
@shekhamasoud83924 жыл бұрын
salama vipindi vyako havijawahi kua vibaya...unavipindi bora nakupnda sana
@dajia47874 жыл бұрын
interview yakizazi sana Jide ; unajua Salama nisha HIT SANA,36:11
@immaculatakadyanji59274 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana nimefurahi kumuona jide. Nampenda balaa.
@avinjephuta75114 жыл бұрын
Hii kali
@christinenyamu16453 жыл бұрын
I just like how you let people tell their stories without interruption
@gracesuleiman74582 жыл бұрын
Nampenda hyu dada
@nellymatalanga50334 жыл бұрын
Nice one .respect ti ths lady .next #ALIKIBA #MRBLUE hope we see them here
@rukiachamani11014 жыл бұрын
Interview kali sana na yenye mvuto.
@hassanhajj68044 жыл бұрын
Yah
@kaizamulinda6333 жыл бұрын
Jay dee. Very cool
@charlesdamas18633 жыл бұрын
Gdee nakuzimia sana
@GGGB20114 жыл бұрын
Nice nawapenda wote Jide na salama
@loner_wolf4 жыл бұрын
Hizo Mic zinatatizo gani wakinadada mbona mmezipiga mashuka au zinasikia baridi 🤔🤔🤔🤔
@abbyadams86914 жыл бұрын
Wamezivika hijabu,si unajua Salama ni Mzenji!😆😆😆
@godfreymwandoje1222 жыл бұрын
Jide yuko pow sana
@kijangapeter51354 жыл бұрын
Embu mpeni jimbo huyu Dada mkuu,,kichwa sanaaa
@mussamsella58014 жыл бұрын
Bonge 1 la jibu ...ni kweli ulihit vya kutosha na bado uko vizuri so huna unachojutia
@tracemsolla76044 жыл бұрын
Nakupenda jide
@consolataantony73654 жыл бұрын
nakupenda jide
@sele25074 жыл бұрын
Jide mpole sana
@talentshows89844 жыл бұрын
Smart girl
@emilymngongo51734 жыл бұрын
Siasa na unafiki haviachani!!😆😆
@loner_wolf4 жыл бұрын
Juzi kati Jide alimjibu mtu eti anakalia SHINGO sio makalio 😂😂😂😂😂
@bundukitv4 жыл бұрын
Karibu kuipitia makala maalum inayohusiana na RADI www.mrbunduki.com/2020/10/usifanye-mambo-haya-10-radi-inapopiga.html
@marthandenuka79034 жыл бұрын
Jide iron lady, nakupenda sana dada.
@johnkailler46604 жыл бұрын
Nice
@fatmazullu49334 жыл бұрын
Ooh kumbe my mate Mbuyuni primary! Ok
@azahomar25044 жыл бұрын
Salama jamani umebadilika umekua mzuri si uzaeeee katoto
@letisiaseleman38064 жыл бұрын
Meipenda saut yake ya kuongelea
@upendomtambo51034 жыл бұрын
Vile unavyojiweka ndio utakavyokuwa
@ramadhaniabdi95304 жыл бұрын
Jide una majbu mazur sana cjui kwann hutak Siasa
@ljm48674 жыл бұрын
Much respect for you Jide...👍👍
@frank.z.ntakind4634 жыл бұрын
Mimi tu nishajibishana na Jide twitter😆😂wasn't about his personal life tho just mgongano wa idea
@lucasdismas43144 жыл бұрын
she is a woman,you got to refer her as “her” or “she”
@knifensharper27254 жыл бұрын
Maashaallah
@hashemsaef15164 жыл бұрын
Wanao msikiliza sana salama niwale wanapenda aina ya maneno yake yakihuni kinamna yake wala sio kazi bora. Sababu wageni wake wengi nikizazi kilio pita na sio kizazi kipya