SALEH JEMBE ATOBOA SIRI SIMBA KUMSAJILI PACOME?/AMEGOMA KUONGEZA MKATABA?/YANGA WAMUACHE AONDOKE?

  Рет қаралды 8,630

JEMBESPORTS

JEMBESPORTS

Күн бұрын

Пікірлер: 10
@Geofrey-k3g
@Geofrey-k3g Ай бұрын
Nakukubali sana Salehe Jembe. We ni mchambuzi mzuri
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 Ай бұрын
KAMA YANGA HAIKUANGUKA WAKATI anaondoka NABI,MAYELE,FEISAL,BANGALA ,JUMA SHABANI,mtasubiri sanaaaaaaaa,tofauti ya simba na yanga ni scouting,wachezaji wengi wa simba injinia alishawaona na aliwaacha
@VenanceMgema-xu6bq
@VenanceMgema-xu6bq Ай бұрын
Hujatwambia kama hoja za mashabiki kulalamikia ufadhiri wa GSM tim 8 ligi moja
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 Ай бұрын
Huyu simchambuzi bali shabiki, watim fulani watu kama Hawa muwape Tim kama jemedali said, wakione chamoto
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Ай бұрын
Kiufupi ni kwamba yanga imeshuka kiwango kimeshuka, kinachowabeba sasa hivi ni makosa ya kibinadamu na uzoefu wa wachezaji, ukimwangalia Aziz K, Aucho, na hata Pacome viwango vyao vya sasa siyo kama vya msimu uliopita
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i Ай бұрын
Acha akili mbovu wewe hata wewe, sio kila siku utamridhisha mkeo siku nyingine utashindwa kumridhisha kutokana na mambo mbalimbali 😂😂😂 yanga iangalie kwa uwoga ivo ivo, ile ni quality ya yanga ndio inatoa maamuzi
@HusseinMajali-dd4vx
@HusseinMajali-dd4vx Ай бұрын
Unateseka ukiwa wp ndg
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 Ай бұрын
Kutokuwa na makosa ya kibinadam ndo kiwango chenyewe hauna hoja
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Ай бұрын
@@beatusmajumbi7125 Lugha nyepesi ni kwamba wachezaji wamezeeka
@kapambahassan1183
@kapambahassan1183 Ай бұрын
Eti timu inashuka kiwango, hizi ni akili za hovyo za huyu kibaraka wa Makolo, hapa angetakiwa kusifia kuwa viwangi vya timu za ligi kuu vimekuwa na wamefanya usajili mzuri anabaki kusema Yanga kiwango kimeshuka na inawezekana anayasema haya kwa kuwa tu timu inayoishabikia imefungwa goli chache na Yanga,
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
HIVI NDIVYO DAISLE SIMON ULOMI ALIVYOKUA AFISA WA JESHI LA POLISI
6:29
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 12 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН