Mashaaaaallah ❤ kasida mzur allah awabarik mtunzi na msomaji amiiin🤲🤲🤲
@Abdul-zg7ci2 жыл бұрын
Hadi machoz yananito wawah naipenda sana hiii kaz
@MWIGAADAM-r3e9 ай бұрын
Me nilijuwa msomaji ni mkenya wa mombasa
@salehkhamis30633 жыл бұрын
Yan qaswida kama hizi nzur zenye vinanda mwanana na sauti nzur tumezoa kuzisikia kwa qadiria ila Sasa kumbe hadi nyinyi mnaweza. mashallah mmejitahidi sana mtafikia malengo mazir
@patrikkajole218 Жыл бұрын
Ao n moto
@mohamedisimai6 ай бұрын
Hm huyo qadiria anakaa chini hapo
@MuhammadiAlly-be1tw Жыл бұрын
Mashaallah jazzakalah khaira inshaalla...
@asharamadhan36672 жыл бұрын
Mashaallah qaswaida nzuri inaujumbe mzuri sana allah akubarik
@aymanmeery5011 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah kaswida❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nouraalhasani75372 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah yani qasida ya ukweli hlf nzr sana sana mashaallah
@YasiruuvanSeyyidyousouph Жыл бұрын
Qaswida yenye mashiko sana na ujumbe mwenyez mungu akuongoz katika kazi zako
@bydhwaamilandu Жыл бұрын
wallah sichoki kuisikiza hii qaswida ,nzur maashaallhaaaa❤
@JohaynaAbdallah2 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah qassidah nzuri sanaaa ALLAH awalipe kila la kheir
@ummysaabersaeedy81528 ай бұрын
Hii kasida yangu pendwa nairudia mara mia inanihuzunisha na kunipa faraja nakumbuka homeland Zanzibar nataman kurud kuishi kwetu ila maisha daah naumia sana kuishi huku nahisi kila kitu kimeisha Ila Allah yupo anipe aman ya moyo😢😢
@saidhassan-xg2uo8 ай бұрын
Mashallah qaswda nzr sn na ujumbe mzr sn love Zanzibar from Saudi Arabia
@AbubakariKininga8 ай бұрын
Mashaallah kakayt Allah akubaarik kwakutuimbia qaswida nzuri tena yenye wasiha mzurisn kbs ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@atibz45703 жыл бұрын
Mashallaha mzr San Tena Sana hongera
@IsmailNassor-el7mh9 ай бұрын
Fundi mmoja masha allah sheh wet ❤
@salamaali22293 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi kaka inshallah👏🏾
@salehkhamis30633 жыл бұрын
Yan hi qaswida nimeikubali sana napenda sana vinanda vya kiarabu
@tumually2754 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akuweke kipenzi chetu🤔💯💝😭
@SHUKURUTV Жыл бұрын
Mashallah Wallah chozi limetoka
@allymakame60252 жыл бұрын
Yuko vzr mashallah aende aqazii
@AbdulrhamaniAli Жыл бұрын
Umetisha xanaaaa brother
@NassorAhamada6 ай бұрын
Mashaallah kaswida mabrour
@khamisabdalla53322 жыл бұрын
Mashallah kijana umetisha sanaaa
@abdihaji13203 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie na akuondolee na mabay swaleh
@ibrahimjuma28582 жыл бұрын
Namkubali huyu mpk naumwaaa
@salehkhamis86533 жыл бұрын
Al,madrasat Qadiria ya amani Zanzibar wasipo angalia vizur Hawa jamaa wanakuja kwa Kasi mno na huenda wakaleta upinzani mkubwa katka tathnia ya Qaswidah Zanzibar na Tanganyika kwa ujumla