SWALEH BIN ALLY ASOMA QASWIDA YENYE UJUMBE MZITO KWA JAMII ATUNZWA PESA NA MADOLA WATU WAMVAMIAA!

  Рет қаралды 89,135

Comex Media

Comex Media

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@salumsamosa2845
@salumsamosa2845 3 жыл бұрын
Watu na kazi zao SWALEH ww sijui kwnn ukawa bado upo zanzibar ulitakiwa uwe DUBAI, mungu akuweke sana broo🙏
@idatally3846
@idatally3846 3 жыл бұрын
Swaleh nakpenda sana na napenda ukisoma wallah una saut mzr " Vyema nyoyo kusafisha tuish kwa kupendana wallah" mashallah allah akuhifadh
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Ujumbe mzury mashaa Allah ila minanda mpunguze kuipiga sauti ya shetan huwo mnanda ila unakipaj sana kipenzi cha Allah swalehe bin aliy
@almaalmo7616
@almaalmo7616 2 жыл бұрын
What a message!!! What a voice!!! outstanding performance 💯
@arafasalim9948
@arafasalim9948 3 жыл бұрын
Mashallah ujumbe mzuri na ndo qaswaid ambazo zinahitajika kuskilizwa katika jamii ili zijenge jamii
@zubaidaalsalhi3242
@zubaidaalsalhi3242 3 жыл бұрын
👂🎧😋😋😋 *Yassalsaam 🥰🥰* fundi km fundi😋😋 *WALLAHI unajua mpaka UNAKERA kwa utamuu❤️❤️💯💯*
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 жыл бұрын
Dua njema tumuombee Allah amzidishiye kipaji zaidi ya hap ila minanda wapunguze kuipiga
@aliseif8729
@aliseif8729 3 жыл бұрын
Mashaallah nilifkir niko bara arabu kumbe znzbr Ww unajua hadi unakera daah
@tumually2754
@tumually2754 Жыл бұрын
Mashaaallah ujumbe umefika mwenye akili timamu anapata funzo zuri hapa na ndo qaswida tutakazo so kelele za waimbaji mungu akulinde 🥰💯❤
@maryamkhamis6580
@maryamkhamis6580 3 жыл бұрын
Allah akulinde na mahasad kiongozi wng wa ukweli
@IsmailNassor-el7mh
@IsmailNassor-el7mh 9 ай бұрын
Comex upo vzr broo keep working❤💥💥
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Somo yangu Saleh nakukubali sana ww unajua brother
@salmamahmoud7299
@salmamahmoud7299 Жыл бұрын
Asante sn bro mung akupe into mref
@MaryamAli-mm1wt
@MaryamAli-mm1wt 2 жыл бұрын
Very nice
@hemednassour4763
@hemednassour4763 3 жыл бұрын
MashaAllah uyu jamaa yuko vizur sana nashgaa mbna hatoi albamu tukainjoy
@fakhtaaliy2001
@fakhtaaliy2001 3 жыл бұрын
Kwa kweli
@yussufrashid22
@yussufrashid22 3 жыл бұрын
Kaz yke moja tu n sawa na album 5 za watu wengn
@saheelameir4313
@saheelameir4313 9 ай бұрын
Sauti nzuri ya kusomea QUR'AN sio minanda
@mohdhaji550
@mohdhaji550 6 ай бұрын
Nikweli mkuuu​@@saheelameir4313
@mohdhaji550
@mohdhaji550 4 ай бұрын
Nikweli kabisaaa​@@saheelameir4313
@shabanrajabu7087
@shabanrajabu7087 3 жыл бұрын
Utauwaaa shekheee kila la kheir yaaa salaam
@ashajuma6531
@ashajuma6531 2 жыл бұрын
Mashallah mwanamme wa kwanza zanzibar kwa sauti nzuri ni huyu hakuna anomkuta.
@ibrahimshaame7386
@ibrahimshaame7386 2 жыл бұрын
umempenda au tembeen aqaz n afnaaania mbn huyo haingiiiii ata kidogo🤣🤣🤣🤣
@azizamohd4117
@azizamohd4117 3 жыл бұрын
Mpigaji beat Zanzibar one dulido master
@JamilaAbdi-w7r
@JamilaAbdi-w7r 10 ай бұрын
Mashaaalah mungu akuzidiahie
@OthmanAmour-i6e
@OthmanAmour-i6e Жыл бұрын
Maashallah nimeipenda kwakweli.
@adammakame2154
@adammakame2154 3 жыл бұрын
Mashallah kwenye harus yng nitakuhitj kijana uje unisomee hv vitu
@HashiatyRashid
@HashiatyRashid Жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@saidially7921
@saidially7921 4 ай бұрын
Mashallah Mashallah
@KhansaaBurhan
@KhansaaBurhan 5 ай бұрын
Mabruk mashallah ♥️
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 3 жыл бұрын
Mashaallah qaswida nzur San
@mimamima2336
@mimamima2336 3 жыл бұрын
King of Qamariyya
@mrturufu1725
@mrturufu1725 3 жыл бұрын
King of Qaswida
@ukhtymaua2621
@ukhtymaua2621 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua sana
@JamilaAbdi-w7r
@JamilaAbdi-w7r 10 ай бұрын
Nakupenda kwajili Allah
@mimamima2336
@mimamima2336 3 жыл бұрын
Mashllah mashllah mashllah
@husseynali1051
@husseynali1051 3 жыл бұрын
Marhabaa Allah akulipe kherii
@NassorWassalum
@NassorWassalum 9 ай бұрын
Masha Allah
@yassirswaaleh2200
@yassirswaaleh2200 3 жыл бұрын
mashaallah kiongozi
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 3 жыл бұрын
Nakubali
@majaniali8981
@majaniali8981 3 жыл бұрын
MashAllah
@JamilaAbdi-w7r
@JamilaAbdi-w7r 10 ай бұрын
Nakupenda bure
@mayasaid-zi3bi
@mayasaid-zi3bi Жыл бұрын
mashallah mwalimu wangu
@maryamhamad494
@maryamhamad494 3 жыл бұрын
Qaswiida tam
@aesherwendo4413
@aesherwendo4413 Жыл бұрын
MashaAllah,tabarkAllah
@shabanrajabu7087
@shabanrajabu7087 3 жыл бұрын
Wauweeeeeeee
@swabrahswabrah636
@swabrahswabrah636 3 жыл бұрын
mashaallah
@maryamhamad5158
@maryamhamad5158 3 жыл бұрын
Duh Mashaallah
@fathiyahamza7586
@fathiyahamza7586 3 жыл бұрын
Unajuwa sn swaleh napenda unavosoma
@Zowazowa-xu1gk
@Zowazowa-xu1gk Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤
@aminaramadhan2188
@aminaramadhan2188 3 жыл бұрын
Jaman huyu kaka kaoa au😚 maana nampenda
@hemednassor2362
@hemednassor2362 2 жыл бұрын
Anawatoto 6
@zumratissa7233
@zumratissa7233 Жыл бұрын
​@@hemednassor2362😅
@fakhtaaliy2001
@fakhtaaliy2001 3 жыл бұрын
Mpigaji kasida plz nani Jamani
@comexmediatz
@comexmediatz 3 жыл бұрын
Unatak kusoma na wwe au
@fakhtaaliy2001
@fakhtaaliy2001 3 жыл бұрын
Ndio
@comexmediatz
@comexmediatz 3 жыл бұрын
@@fakhtaaliy2001 chkua namba ktk description ktk video yyte hapo chini tutafute whatsapp
@fakhtaaliy2001
@fakhtaaliy2001 3 жыл бұрын
@@comexmediatz kwani ukisema kama mpigaji gedu au Dochi au Nasru itakuwa sijakuelewa kaka
@comexmediatz
@comexmediatz 3 жыл бұрын
@@fakhtaaliy2001 mimi sijui ilikuanatk nkutumie namb za uyo alosoma umuulize mna nimempigy cmpati ...ningekujib tu ila cjampat et
@maidmaissa9203
@maidmaissa9203 3 жыл бұрын
Mung akulindeee mrithi wa abuuuu
@bubulibubulishrine701
@bubulibubulishrine701 3 жыл бұрын
Mashaallah
@SamyloveHaji
@SamyloveHaji Жыл бұрын
Mashaallah ❤
@RabianKhamis
@RabianKhamis Жыл бұрын
❤❤❤🎶🎶🎶🌹🌹🌹
@shazilmakuchu6271
@shazilmakuchu6271 3 жыл бұрын
Eeeee kali Sana
@radhiaali8043
@radhiaali8043 3 жыл бұрын
Ya salaam mashaalla mashaalla
@amechande325
@amechande325 3 жыл бұрын
Heeeeeeee kali tena Cana uct wng xwaleh
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anafaa kushirikiana na juma faki wa qadiria somo NJOO qadiria umoja ni nguvu yan unaweza
@abdillahsalum1457
@abdillahsalum1457 3 жыл бұрын
Ww fundi ndugu
@saheelameir4313
@saheelameir4313 9 ай бұрын
Yaan watu wajinga sana humu nasoma hizi comments najikuta nacheka. Mnahimizana kupiga hii miziki na ushindani tena. Kwnn msihimizane quran kusoma na kushondan
@salmamahmoud7299
@salmamahmoud7299 Жыл бұрын
Asante sn bro mung akupe umri mref
@SamiaMohammed-o6y
@SamiaMohammed-o6y Жыл бұрын
Mashaallah
@habibali3860
@habibali3860 2 жыл бұрын
Mashallah
Ust. juma Faki (Aqaz) -Ndoa ni Baraka 2021
9:02
Juma Faki
Рет қаралды 267 М.
WAZAZI TUJITAHIDI KULEA VIJANA WETU | UST: KHAMIS MSHAURI | VIDEO QASWIDA {ihyaul umma.}
16:38
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Ya Robbi Sholli Ala Muhammad | Qomarun - Hadroh Ainus Safaah
10:26
SALEHE WA QAMARIA | MSAMAHA | Official video
6:00
ghariri online
Рет қаралды 65 М.
HATA NAWE UMO KIZABI ZABINA [CHID YURI] TEAM KAZI
14:25
CHID YURI
Рет қаралды 6 М.
Juma Fakih na Fakih Mmbarouk wamefunika kwenye Miaka mitano ya Afnania.
7:48
G VIDEO PRODUCTION CHANAL
Рет қаралды 20 М.
Kaswida nnzuri ya harusi
14:26
manikiller wcb
Рет қаралды 62 М.
ibilisi Kutoka Qamaria
16:08
Hesmin TV
Рет қаралды 116 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН