HATA SIMBA WALITAKIWA KUWAJULISHA COAST KWA BARUA KUWA WAMESHINDWA KUINGIZA PESA KWA SABABU HUSIKA NA WAOMBE MUDA MWIGINE WA KULIPA.HAYO YOTE SIMBA HAIKUFANYA
@amaniomar175520 күн бұрын
Shukran Sam Simba 🎉🎉🎉
@SamsonMwaisenye20 күн бұрын
Unajitahidi upo kimpira zaidi sio kishabiki
@msafirimalima324920 күн бұрын
Ni kweli bro
@Elihurumamathew20 күн бұрын
Simba haisajili bali wanafanya sagura sagura kwenye mtumba timu haiwezi sajili wachezaji 12 ambao hata hawaeleweki wengine timu walizotoka msimu mzima mchezaji kacheza mechi 2 sasa sijui itakuwaje kocha mwenyewe mwanafunzi waliomleta msimu ujao tutatembea na helmenti maana watatupiga kwaajili ya makasiriko yao😂😂
@prosperidinya586420 күн бұрын
Yaani ninyi, hamna kizuri Kwa Simba.
@bernardmboma146120 күн бұрын
Hamia yanga bc kama unaona yanga yinafanya vizuri. Kwann unaisemea vibaya Kila siku
@banagakatabazi964812 күн бұрын
Wewe ni mchambuzi shabiki wa kwanza Simba kusema ukweli. Hali halisi ndiyo hiyo. Simba haiwezi kufanya maajabu msimu wa kwanza
@VeronicaAdam-lx8yd20 күн бұрын
😂😂😂 Wew unajuw pes kwel
@maxmia10020 күн бұрын
Sam wewe ndio shabiki wa Simba unaejitambua na wewe ni shabiki unaesema ukweli na unaitetea Simba na unaipenda
@user-mk8tp5dt6q20 күн бұрын
acheni ukuma huo nani asiyejua kuwa huyu ni kuma mwenzeni
@user-xl5sv7lz4g19 күн бұрын
Toka uko we ulsha Amia yanga Ayo maneno yako ivazi sawa
@nabiljumaothman591220 күн бұрын
Wachezaji wa buku buku kibao 😂😂😂😂
@simonlyumaganya974920 күн бұрын
Sibma
@simonlyumaganya974920 күн бұрын
Sibma
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx20 күн бұрын
Nitajie kocha gani Simba au yanga alisajili na mchezaji akawa Bora? Tuawapumzishe bas viongozi ata kwa mdaa