Kichwa cha habari ni tofauti na alichokiongea, mwandishi huna waledi
@chiefmajai934527 күн бұрын
Washabiki hilo halipo wao matokeo jibu utalipata ngao ya jamii
@zuberykasimu27 күн бұрын
Mim Yanga ila sam huyo jamaa kanyooka , hana mafindofindo kilicho bora anasema kubovu ana kemea,
@kassidpandu86627 күн бұрын
leo umepunguza uchawa bado na Mchome
@hamidjuma217827 күн бұрын
Yani hawa watu wakisainiwa mtu mkubwa age kubwa free agent mvp huoni kama kuna maneno hayaeleweki😊
@amaniomar175527 күн бұрын
Huyu kijana huongea ki football
@hamidjuma217827 күн бұрын
Baleke sio feee
@ThePlants-zc3rp27 күн бұрын
acha kukatisha wanasimba tamaa nyau ww
@stanleymfikwa935027 күн бұрын
Upo sahihi. Mashabiki wawe makini presha Inaweza kutenganisha mwili na roho. Maana mateso waliyonayo wana simba mmm!
@user-ou9tk1rp1p27 күн бұрын
Wenae taira tu
@ArafaChiponde27 күн бұрын
Alafu na yeye huyu hata haelewekagi juzi alisifia usajiri wa simba leo anaponda.
@MrishoMindu-zq7mz27 күн бұрын
Huyu Mama mja mzito hajielewi wawapi? Viongozi walio sajili wanajiamini kwamba mwakani tunaenda kufanya vizuri . Wewe ambaye haujaweka hata mia unataka kuaminisha watu tusitegemee kufanya vzr msimu wa 2024 - 2025. We umemsajiri nani? Yaani Simba haiwezi kufanya vzr kwa Sababu simba imeondoa wachezaji wengi we kichaa kweli. Chals honghouh huyu Mimba ina msumbua.
@MrishoMindu-zq7mz27 күн бұрын
Wewe ndio Comedy sio Ahmed Ally huna unachokijua.
@imranulotu876827 күн бұрын
Wewe ni yanga uliochangamka simba wamejichimbia kabuli wao wenyewe waambie ukwel tu