SAMAHANI ASANTE |ep 16|

  Рет қаралды 97,086

KitaleMkudeSimba

KitaleMkudeSimba

Күн бұрын

#KitaleMMkudeSimba
#SamahaniAsante
#Tamthilia #Movie #Comedy # Film # Drama #series #congo #fightcongo #m23 #vitayacongo #usa #marekani #nigeria #kenya #zambia #Rwanda #Mozambique #Dubai #Southafrica #botswana #Malawi #Uganda #DrcCongo #Uae #Oman #Mali. #Zuchu #Mbosso #DiamondPlatnumz #Alikiba #Harmonize #Marioo #ChinoKid #wemaSepetu #Whozu #Kajala #Rayvanny #Aslay #BabaLevo #Mwijaku #DotttoMagari #WasafiTv #CrownTv #Yanga #Simba #Manara #Uchambuzi #Udaku #Habari #Michezo #MillardAyO #GlobalTv #SamiaSuluhuHassan #TunduLissu #Ccm #Chadema #Mbowe

Пікірлер: 481
@EsterLipamba
@EsterLipamba Ай бұрын
Jamani tunao mkubali mzee Ramadhan kama 🎉🎉❤🔥🔥🔥🔥✔️✔️
@paschalwangaponda3537
@paschalwangaponda3537 Ай бұрын
Tupoooo😊
@BarakaMangi-d3j
@BarakaMangi-d3j Ай бұрын
@MaryamSaiddy
@MaryamSaiddy 11 күн бұрын
Tupo
@AzizaMsangi-o7b
@AzizaMsangi-o7b Ай бұрын
Jaman movie fupi kitale halafu usiwe unatucheleweshea hivi yani had tunasahau kweli dooh ila kazi nzur sana😍
@SamwelMhagama-v5j
@SamwelMhagama-v5j Ай бұрын
Wambiee tutaachaa ku support kazii yaoo
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Ай бұрын
Kabisa wanachelewesha
@emmanuelyhassan8362
@emmanuelyhassan8362 Ай бұрын
Leo nmeiwahi mapemaaaa😂😂😂😂nipeni like zangu
@NagibKhamis
@NagibKhamis Ай бұрын
Asante sana Mr kitale,,,safi sana kazi nzuri sana na tumefurahia tena sana kutuburudisha nyoyo zetu,,,,ila umetuachaa na ghofu na mawazoo,paka hapa tulipofikia,,,,,,,,,Mr kitaleee tafadhaliii ,tafadhali, tafadhali,naomba na pia nawaombea mashabiki wote wanaofatilia tamthilia hii yetu,,,,,samahani Asante,,,,,,,Mr kitalee mkundee Simba,,,naomba ututumbuizee mashabiki wote kwa muendelezooo,katika hizi siku mbili ,kwa hisani ya sherehe ya christmasi, na kumbukumbu ya ku ukaribisha mwaka mpyaa,,,,nyoyooo zimakinike kwa mipangilio uliotupangiaa,,, tukoopamojaaaa,,Mr kitale,,(kumradhi,,samahaniiii na asanteee,)Kila la heri nawatakieni,,katika kazi yenu,,,mungu atujalie umri,tuwe ni wenye,kuonana tena mwakaniii,,,,,,usiku mwemaaa
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Habar zenu wapendwa wasoma comment hii mungu awape maisha marefu na baraka tele mungu atujalie tuvuke mwaka salama allah atupe mwisho mwema kes sote
@ZainabuZai-k3b
@ZainabuZai-k3b 22 күн бұрын
Aminii
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Ай бұрын
Mambo ni motooooo asante sana kitaleeee ilee kabulii uliyoibaa ulimaliza kwelii 😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁🙌🙌
@MoshineeTanzania
@MoshineeTanzania Ай бұрын
Haya nmekua wa kwanza like zangu hapo🔥😎
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 Ай бұрын
Kazi nzuri boss kitale huna baya ila wahisha kazi mkuu
@LUTFIYAMohammed-o4o
@LUTFIYAMohammed-o4o 17 күн бұрын
Yaaan naipenda movie mzur mumepambana sana❤Asante
@kingcicero1708
@kingcicero1708 Ай бұрын
Team mzee Kama Ramadhani Kama, tujuane
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Ай бұрын
Tupo😢
@MUSSADADI-j7r
@MUSSADADI-j7r Ай бұрын
Daah Yan kuhusu mzee kama ramadhan niandaa pich kubw y ukutan
@paschalwangaponda3537
@paschalwangaponda3537 Ай бұрын
Tupo😊
@JazminAdamz
@JazminAdamz Ай бұрын
Tupo💪
@BarakaMangi-d3j
@BarakaMangi-d3j Ай бұрын
💪
@AbdallahRamadhanihemedyRamadha
@AbdallahRamadhanihemedyRamadha Ай бұрын
Ndugu kamati ya Samahani ahsante muwe mnajitahid kutupa kitu kwa wakati msiwe mnatucheleweshea ivyo
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi Ай бұрын
Kitale hongera sana ninzuri nimeipenda sana.wewe ndio unajua vile uliset hii story so mimi nasubiri urushe nione.asante sana
@meresianaunami8337
@meresianaunami8337 Ай бұрын
Wooow leo nlikua naimani itatoka kila wakati naingia kuchek😂 hatimae❤😊
@Latifa0Tayfa
@Latifa0Tayfa Ай бұрын
Mbn dunia episord 35
@saburitwaha-r8o
@saburitwaha-r8o Ай бұрын
Nimechelewa jamani ila jamani naomba like tunaomkubali mzee kama na mtunzi kitale
@Manyanya.Manyanya
@Manyanya.Manyanya Ай бұрын
Habari zenu wapendwa Mimi naitwa Matilda Niko katika Tamthilia ya Dunia nawapenda sana wapendwa 🙏 naomba mnifollow wapendwa
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 Ай бұрын
Sawa mke mdogo wa manyanya mtuachie kitu sasa mda wote tunachungulia tu hewaaa ❤
@MussaRasul
@MussaRasul Ай бұрын
Tunakupenda zaidi
@Veefety
@Veefety Ай бұрын
Tunakupenda piaa mrs manyanya mdogk❤❤
@nehemiawilliamkibona1785
@nehemiawilliamkibona1785 Ай бұрын
Tunawafuatilia kazi yenu njema sana, sijui mwendelezo mnatoa lini?
@ahmadabdallah9555
@ahmadabdallah9555 Ай бұрын
Kumbe waangaliag za wenzio pia honger ako
@munamamaj9622
@munamamaj9622 Ай бұрын
Bila shaka mtoto wa Aisha hajafa atakua kaekwa msukule 😂😂😂😂
@felistajackson6052
@felistajackson6052 Ай бұрын
Bila shaka itakua yale maji aliyopewa
@MaulidyMapalala
@MaulidyMapalala Ай бұрын
Sema kuna kitu kimoja unazingua unachelewa kuweka yan toka asubui mpka saiz ndyo unaweka.
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it Ай бұрын
Mjatugea mIejesho wa (PILAU)😂😂😂😂😂 😂😂😂
@MARIE-iy4bx
@MARIE-iy4bx Ай бұрын
Eeebanae😅
@annamontanah8366
@annamontanah8366 Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@card26_4L
@card26_4L Ай бұрын
Iv uyu mzee sio mchawi kwel kwel kwenye maish yake ya kawaida maana anatisha😂😂
@hashimuharuna9145
@hashimuharuna9145 Ай бұрын
Ikikupendeza siku ya mwaka mpya achia vipande viwili tukonge nyoyo na macho😇
@ShariphaSaid
@ShariphaSaid Ай бұрын
Ubunifu mzuri na uhalisia uko sahihi kwa waigizaji wote nawapenda sana 🎉🎉🎉❤
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d Ай бұрын
Kazi nzur sana ❤❤
@PeterNguvila
@PeterNguvila Ай бұрын
Tamthilia Kali sana brother kitale umetisha sana
@Sofhy-uq2tv
@Sofhy-uq2tv Ай бұрын
una weza jitaidi. utafika mbaLi zaidi yapo tuna kupe nda pia na kazi yako👏🤙👍
@KhadijaDija-ir2hq
@KhadijaDija-ir2hq Ай бұрын
Asamahani mnatuchelewesheaaa lakini asante kwa kutuwekea mapema leo😅
@PrettyNoura-p5p
@PrettyNoura-p5p Ай бұрын
😂😂😂
@OmegaKigonja
@OmegaKigonja Ай бұрын
😂😂😂
@mwanaabdul693
@mwanaabdul693 Ай бұрын
Mda mdogo jamani move tamu wallah 😊❤hongeleni
@MwanamisiJapani
@MwanamisiJapani Ай бұрын
Allamdulilah ❤samahan asante🎉🎉🎉
@AlfredyMalila-y1g
@AlfredyMalila-y1g Ай бұрын
Kitale shikamoo kaka movie zako Siku zote zinafundisha sanaaaaaaaa
@WazirAbdalah69
@WazirAbdalah69 Ай бұрын
Duh hili goma kitale kaliii sana
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
kila mmoja wa kwanza nimechoka kuwa like nyingi wa kina wa kwanza 😏😏
@chibodel4046
@chibodel4046 Ай бұрын
Iyi season iko sawa kabisa,big up sana tuko Burundi Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Ай бұрын
Babu mzaa mama ni baba kabisa Aisha wee maskini pole sana Yani hii mv inamafunxo bala
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Ай бұрын
Mm simpi pole acha yamkute nahuyo mama yake
@ApterUpvcAluminium
@ApterUpvcAluminium Ай бұрын
GUSA ACHIA TWENDE KWAO 🔥🔥🔥
@kelvinjoseph4545
@kelvinjoseph4545 Ай бұрын
@@ApterUpvcAluminium 😅
@youngsaly2566
@youngsaly2566 22 күн бұрын
Movie imeanzia kati unarud mwanzo then nd mwsho... Kitale ana utunzi mzuri San big up broh
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka Ай бұрын
Doctor niazime miwani 😂😂😂❤❤🎉
@ShukranSaidi
@ShukranSaidi Ай бұрын
Jamani tunaomba mtuongezee Dakika Series Nzuri Sana napenda
@winfridathomas7710
@winfridathomas7710 Ай бұрын
SIWEZI KUISHI BILA MZEE KAMA RAMADHAN KAMA 😅😅😅❤ HAILAVYUUUUUU DANGA LANGU MZEE KAMA🤣🤣🤣❤❤
@IddaPeter-d5b
@IddaPeter-d5b Ай бұрын
Kaz nzuri sana jaman🥰
@ishaanizkeah8814
@ishaanizkeah8814 Ай бұрын
Mapema ndo best
@Salmamazige
@Salmamazige Ай бұрын
Maskini Salma 😢 hivi wakina mama mbn mnafichaga Siri nzito hivi😢😢
@SAUMUBONGO
@SAUMUBONGO Ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤❤ nimewahi leo
@hamisimussa7428
@hamisimussa7428 Ай бұрын
Leo wa kwanza naomba lake ze familia
@harunamuhode
@harunamuhode Ай бұрын
Binafsi nimefurahi sanaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NuratyDante
@NuratyDante Ай бұрын
Mama mama yake Aisha anaigiza vzr sana
@SelemaniMalima
@SelemaniMalima Ай бұрын
Kitale umetisha sana umewaza nini kutoa kitu kikali kama iki maisha ya kwel haya
@hamzaamry6251
@hamzaamry6251 Ай бұрын
Mpaka sasa sijaelewa kwanini..??? Wanamuandama aisha sijajua kwanini..??? Wanapambana asijifungue vizuri ila binadamu pumbav sana 😢😢
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Ай бұрын
Nyota yakeeee😢😢😢
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 Ай бұрын
Hiii dunia acha tu ndugu yangu mimi nimeteseka nimezika watoto watatu alaf nakuja kugundua ni watu wakaribu walikuwa wananichezea acha kabisa
@AishaZuber-z6g
@AishaZuber-z6g Ай бұрын
​@@beautyibrahim8428Pole sana mom kila familiya yapo hayo yaan hata hujui umewakosea nn yaan binadamu
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 Ай бұрын
@@beautyibrahim8428duh pole sana kumbe haya mambo ni real aiseee pole dear
@maylucson001
@maylucson001 Ай бұрын
Pole😢😢​@@beautyibrahim8428
@mariambenderakatoi2891
@mariambenderakatoi2891 Ай бұрын
Mimewai leo mia mmi jmni😂😂 like basi
@MaryamSaiddy
@MaryamSaiddy 11 күн бұрын
Namkubali mzee kama ramadhan kama
@IshakAli-i6y
@IshakAli-i6y Ай бұрын
Unachelewa sana kutuma unatupa wakati mgumu mashabikizako jitahidi
@SadikiKawawa
@SadikiKawawa Ай бұрын
Uyo babu anajua sana tena sana nimetokea kumkubar
@kelvinjoseph4545
@kelvinjoseph4545 Ай бұрын
😂 mjomba amesema wamepima Aisha wamemkuta na muanguko
@derrickmzungu4727
@derrickmzungu4727 Ай бұрын
Anko kazingua sana 😂😂 Amepigaje hapo😅
@kelvinjoseph4545
@kelvinjoseph4545 Ай бұрын
@derrickmzungu4727 anko jau kumbe vipimo vinaonesha hadi mianguko
@StellalaurenceNyangwa
@StellalaurenceNyangwa Ай бұрын
Mko makini
@doctormkawa3313
@doctormkawa3313 Ай бұрын
😂😂😂
@sherryspices8840
@sherryspices8840 Ай бұрын
😂😂😂
@NajmaRajabu-y8b
@NajmaRajabu-y8b Ай бұрын
Mamelina nimempenda amejua kuvaa uhusika wa kutahayari 😂😂😂
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo Ай бұрын
Kazi mzuri San ila tunaomba utuongezee dakika tu mkude Simba na usichelewesh San yaan mpk tunasahau
@mgogokagongo1387
@mgogokagongo1387 Ай бұрын
Kama Ramafhan Kama mwamba haswaa❤❤❤
@MwajumaShabani-v6b
@MwajumaShabani-v6b 25 күн бұрын
Mm wakwanz nipeniii like zangu🎉🎉🎉🎉
@URIMBOTHELOVE
@URIMBOTHELOVE Ай бұрын
Mzee kama mmemuuzi sasa acha wayakute. Apo heshma itakuwepo😂😂
@URIMBOTHELOVE
@URIMBOTHELOVE Ай бұрын
Na hii hospitali madokta wapo wawili tu. Au hospitali ya kichawi😢😢
@MercyMbithe-p5e
@MercyMbithe-p5e Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@winfridathomas7710
@winfridathomas7710 Ай бұрын
😂😂😂 Hospital Inamilikiwa na Wachawi Itakuwa
@essiesammy6505
@essiesammy6505 Ай бұрын
Ndo hospital za vijijinii
@naimamalekela812
@naimamalekela812 Ай бұрын
😂😂😂😂hii itakuwa ya kichawi
@yelivideoproduction9599
@yelivideoproduction9599 Ай бұрын
Ni dispensary siyo hospital
@NasraAlly-i5n
@NasraAlly-i5n Ай бұрын
Tunaipenda sana basi msitucheleweshee episod
@jeannettekeza6434
@jeannettekeza6434 Ай бұрын
Kazi nzuri ❤
@Jamila_1996
@Jamila_1996 Ай бұрын
Nimemuona mama aisha kwenye kombolela❤❤❤❤
@HudhaimaJuma
@HudhaimaJuma 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤😊
@TatuHamadi-q3z
@TatuHamadi-q3z Ай бұрын
Jmn mbon moja 😢 alaf inachukuw muda sana kutoka jmn
@MobigoMalius
@MobigoMalius Ай бұрын
Team ramadan kama tup so kaz nzuri
@VeronicaRichard-l8b
@VeronicaRichard-l8b Ай бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yako kitale
@godfreykabigi6300
@godfreykabigi6300 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua chukua japo unachelewa kuweka
@JumanneIddi-x9c
@JumanneIddi-x9c Ай бұрын
Nzur sema sinapishana mda mlefu sana kuziachia
@Shadia544
@Shadia544 11 күн бұрын
Jamaniii aisha miee ndiyo nangalia leo jamaniii 😢😢
@Official-sj6kw
@Official-sj6kw Ай бұрын
Ni siku nyingine ten kaka mkubwa katukumbuka nikupe maua yako🌹🌹🌹
@JanethChammbago
@JanethChammbago Ай бұрын
Daaah hii movie bhn ni nzur mnooo Babu yake Aisha arud kwa mjukuu wake tyu maaana wamemuandama sana lkn bd hatujui chanzo Cha kile kikundi Cha wachawi kumuandama Aisha,,,, pia tunaomba msicheleweshe kuweka muendelezo jmn
@CellinaMsimbe
@CellinaMsimbe Ай бұрын
Ilinikuta hii watu wa morogoro wakikushindwa wewe wanachukua mtt 😅😅😅 yan huu mkasa wa aisha ni mm kabisaa hakiii doh kaka kitale Mungu akutunze
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN Ай бұрын
Mdogoangu ktk maisha hakuna anaetaka mafanikio ya mtu hasa vijijini ni noma
@ImaniKomba-up1xl
@ImaniKomba-up1xl Ай бұрын
Top in KZbin 😂✊✊🎉
@abiyo9200
@abiyo9200 Ай бұрын
Babu heshima yako maua chukua🎉🎉🎉🎉
@latifanasibu2089
@latifanasibu2089 Ай бұрын
Wakwanza mim leo 😅Okeee tuendelee na kama ramdhan kama
@mickychuku6444
@mickychuku6444 Ай бұрын
imeanza kuchangamka sasa.....
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Ай бұрын
Mzee Kama Ramadhani Kama anaupiga mwingi sana❤
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Asante samahani 29/12/2024 Mungu awatunze tuvuke mwaka salama🙏❤️
@mohamedimanzi-y9j
@mohamedimanzi-y9j Ай бұрын
ila jaman iih nyimbo iih hatari sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BabyWaa
@BabyWaa Ай бұрын
Naikubali sana hii movie lakin musiicheleweshe kuitowa ni tamu atari❤
@MwanengoMbogo
@MwanengoMbogo Ай бұрын
Wapi like zangu mm ndo wakwanza
@RizikiMohd-t9h
@RizikiMohd-t9h Ай бұрын
Mnamfanyia Aisha mnatak kuolew nyie au
@bahatimpilly5302
@bahatimpilly5302 Ай бұрын
Aisha kapotezaa Mtoto sasa ubishi tu....Mzee Kama endelea kusaidia wengine Nabii akubariki kwao
@kelvinjoseph4545
@kelvinjoseph4545 Ай бұрын
Mapema tu
@Mainatongwe
@Mainatongwe Ай бұрын
Samah Asante imekua ya moto sana ila punguzeni kutisha
@EmmaculateKaingu
@EmmaculateKaingu Ай бұрын
Kwn Aisha alifanya nn mbona munamuandama sana
@richardernest2902
@richardernest2902 Ай бұрын
Kama🔥🔥
@jafarsalum6891
@jafarsalum6891 Ай бұрын
Daah kumbe Melina ni shangazi yangu bwana alafu hamsemi 😅😅😅
@bahadurbahadur-ir4ub
@bahadurbahadur-ir4ub Ай бұрын
Hatimae wamemla mtoto nyama😢😢😢😢😢😂😂😂
@LailatSleyoum-ex6rb
@LailatSleyoum-ex6rb Ай бұрын
Nambari uno🎉
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s Ай бұрын
Unaona Sasa kama mgemsikiliza Babu Babu Yako ungejifuguwa salama Aisha jamani Usha ona wapi hayo kumpiga Babu Yako mzaa baba yako
@BenjaminiMathayo
@BenjaminiMathayo Ай бұрын
Kazi mzuri sana
@RashidOmary-c4g
@RashidOmary-c4g Ай бұрын
Mwenyezimungu atujalie sote tufike salama 25 tufike salama
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
Inshaallah Allah Kareem
@yusuphdeule686
@yusuphdeule686 Ай бұрын
Nawapenda sana mnajuaa
@kangokamau9680
@kangokamau9680 Ай бұрын
Kibabe nipo top 40 leo kwenye comments
@johanesjofrey2105
@johanesjofrey2105 17 күн бұрын
Kwahiyo mtoto wa aisha wamemfyuuuuu🤔, doctor bwana,et muwe wavumilivu😂 Kitale umetisha
@Samiyabahatinanti
@Samiyabahatinanti Ай бұрын
🤣🤣🤣😁uyu babu mcawi nikivuruga wasawayake ni babuwake na aisha
@VenasHamis-z2x
@VenasHamis-z2x Ай бұрын
Mzee Kama fundi Sana
@shukuruhassan3388
@shukuruhassan3388 Ай бұрын
Movie ni nzuri xn ila muda ni mchache sana ukichanganya na vipande vinavyo rudiwa
@ShariphaSaid
@ShariphaSaid Ай бұрын
Mzee ramadhani jamani fanya kitu kwa mjukuu wako jamani😢😢😢
@jordanabeid5061
@jordanabeid5061 Ай бұрын
Uwe unaweka ata vipande viwili bhana......ila uyu jamaa alie imba humu anajua sana
SAMAHANI ASANTE |ep 15|
22:04
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 104 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 17|
18:47
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 104 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
SAMAHANI ASANTE |ep 24|
17:36
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 54 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 18|
17:24
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 97 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 20|
18:47
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 106 М.
SAMAHANI ASANTE  EP 23
16:02
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 117 М.
Premier Full Episode - Selina S1E1 | Maisha Magic East
28:19
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,2 МЛН
SAMAHANI ASANTE |ep 22|
19:11
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 98 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 21|
21:25
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 108 М.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 757 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 14|
16:46
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 101 М.