Hoya Huko Mbele sio Poa nyie Natamani Niwawekee Uhondo wote Hapa..!!!
@SelewawaSelewawa26 күн бұрын
Tuwekee mzee
@JamilaAbdallah-i4v26 күн бұрын
Asa kwanini unatuwekea dakika 17? Si angalau ungeweka 20
@KalamundoyaKalamundoya26 күн бұрын
Weka
@AlesMgogo26 күн бұрын
Sasa ndo utuwekee nying tutachoka tutazila kitale
@paulinusdominic-b1m26 күн бұрын
tatioz unazingua unachelewesha kutoa alaf unatoa dakika chache sasa bora uweke dakika chache ila kilabaada ya siku1 au 2 uweumetoa muendelezo
@HappyRightgirl-u6o26 күн бұрын
Mpo vizuri ila tunaomba tuongezewe dakika ,tunao kubaliana na hili tujuane
@FarajaAlois-c1e26 күн бұрын
Kabisaa
@mpondajuma209526 күн бұрын
Kunywa soda popote ulipo waambie ntalpa
@HappyRightgirl-u6o26 күн бұрын
@mpondajuma2095 yakweli hayao mbona kama napigwq na kitu kizito hivyo
@mpondajuma209526 күн бұрын
@HappyRightgirl-u6o unakunywaaa2
@eunicecharles61225 күн бұрын
Kweli
@HasanooTozzy25 күн бұрын
Daah nimependa saana mzee KAMA RAMADHANI KAMA anaisaidia kwa kuilinda familia yake licha ya madhaifu yaliyojitokeza kwa mwanae pamoja na mjuu wake. KWELI UTU UZIMA DAWa 💥TEAM RAMADHANI KAMA .💪🏽
@DonMooFILMES_Express26 күн бұрын
Kuna tamthilia hii ya SAMAHANI halafu kuna DUNIA, hizi ndizo kazi zenye mafunzo na kusisimua KZbin nzima Tz. Weka like kama unakubaliana na mimi.
@abubakarali212326 күн бұрын
Kunywa energy nitalipia
@DonMooFILMES_Express26 күн бұрын
@abubakarali2123 nimeshakunywa kaka Mangi anasubilia hela hapa 😁
@zuleyakeah22026 күн бұрын
Umeiwacha wapi mission impossible
@kabonakabona812126 күн бұрын
Afu Kuna mission impossible 😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@GASPERTARIMO26 күн бұрын
Yaan hapa Niko nasubr next episode SAMAHAN ASANTE na hyo DUNIA Kwa hamu sana jmn
@MussaMpemba-g7t26 күн бұрын
Filamu ipo sawa sana kwanza Nampa hongera sana mzee wanguu kama ramadhani kama kwa kucheza filamu hiiii kwa asilimia %100 hongera sana ahsanteni wote kwa pamoja
@Momramso26 күн бұрын
Daah mzee kama ramadhan kama wajna wa mwanaguu samarekooooo🤝😂❤❤❤❤🎉🎉🎉
@morganijoshua263326 күн бұрын
Da mzee kama noma sana huyu mzee anajua hadi anaboa😅😅😅😅😅
@kitaraabdi952926 күн бұрын
Mzee nomaaa 😂😂
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Kabisa😂
@ANTHONIAKADOYI-l1v26 күн бұрын
Kwa ajili ya mashabiki zenu na wanaofatilia move hii, naomba msicheleweshe sana.
@profesakiongozi393025 күн бұрын
Kabisa
@NagibKhamis26 күн бұрын
Asante sanaaa Mr kitaleee kazi nzuriii,sana na tumehurahiaaa,nyoyoooo zimeburudika vilivoo kwa muendelezoooo huuu,asanteee tumevuttiwaaa sana kwa mipangilio wa tamthilia hiii,,,,,,shukran sana tukopamojaaaa,,,na tunazidiii kusubiriaa muendelezooooo ujaoooooooo
@NagibKhamis25 күн бұрын
Asanteee sanaa,tukoopamojaa
@Malyunsaidisaidi26 күн бұрын
Oya sio powa🙏🙏🙏🙏
@SABURIMUTRA26 күн бұрын
Samahani asante, imenipa funzo sanaa nawapa hongera nimejifunza vingi kitale hatariii,ila mmechelewesha jamanii, kama mzee hatarii
@Kaka_kenny23 күн бұрын
Professor Gumlasenga ukiacha character alovaa, aisee ni mwamba sana ame nail vzl sana kwenye Movie 😅
@RatifaMusa-c5i26 күн бұрын
Move nzurii fupi then mnachelewesha jitahidin kutufraisha na kazi zenu tnawapenda jmn😍😍
@DamarisDuuTausi26 күн бұрын
Watufurahisha dakika kidogo movie ikosawa kitale hongera sana ❤❤❤❤❤❤❤
@asha-r1d3w25 күн бұрын
naitwa asha ramadhani kama sasa njooni talatibuu😂😂😂😂😂😂
@AlymisagoSwami4526 күн бұрын
Jamani nataka na mim like zangu mzee ramadhani kama yuko vizur kwenye uuu serious kbsa
@MwanashaRashid-i9y26 күн бұрын
Babu uko swa❤❤❤
@mohammedkidody561824 күн бұрын
❤❤❤
@aminahhuawei113325 күн бұрын
Mzee kama ubarikiwe sanaa baba yangu mungu azidiii kukubarikiii akupemaisha marefu ameen❤❤❤❤❤
@SabraSef12 күн бұрын
Mzee kama ndo anaefanya niangalie Big up mzeee🎉🎉🎉🎉
@StarBwoiyz26 күн бұрын
Mzee kamaa 😂😂😂🎉🎉🎉🎉 🔥 🔥 kiboko ya wachawi
@Najmahnyangasi26 күн бұрын
Wa mwisho jaman kutoka kenya mimi ❤❤❤❤ila hakuna hata anae sapoti movie kazi nihiyo ya kwanza na wa 5 hajulikani wa ishirini ninani mmmh 😂aaah jaman
@LoiceLoice-c1b23 күн бұрын
Nampenda san baba Aisha ana cheza pat yke vzur hongera san babu❤❤❤❤❤
@DamarisDuuTausi26 күн бұрын
Mzee kama hongera sana mimi niwewe tu nakutazama hapa
@MERRYMEENAH26 күн бұрын
Mama shafii anaigiza vizr hatumii nguvu ila mko vzr sana 🎉❤
@jumazahoro353726 күн бұрын
Kwanza mama ni pisi kali
@aikt.26 күн бұрын
kwangu kitale wewe ni story creator mzuri sana. Niswala la muda na Mungu. 💥💫
@AshaLazaro-u9m26 күн бұрын
Hawana imani na mganga waoooo 😂😂😂😂😂 make kwanza nicheke vibe limewaisha marafiki wabaya hawaaa mmmh😂😂😂😂
@AngelMbaraka26 күн бұрын
Huu mwandiko niliujua kabla ya kusoma jina nikajua kama sio Asha,Bas Aisha au Mwajuma 😂😂😂
@JulianaMwilongo-o7y25 күн бұрын
SAMAHANI ASANTE👐👐👐👐KITALE
@NaimaNuhu26 күн бұрын
Oyooooo wakwanza mm leo😂 yarabii tupe uzima na afya 🙏🙏
@mtindogenious_jr-on4vu26 күн бұрын
From USA congratulations💯💯💯
@nishawangaiwangai976525 күн бұрын
Mzee ramadhani big love❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪
@umentco960026 күн бұрын
Hogera sana babu haisha napenda sana kila kipindi uko nimefatilia sana kutoka kwa maneno ya kwambia uko sw babu
@RashidashaibuIssa-e8m24 күн бұрын
Nampenda bure sana huyu yangu jaman 🎉🎉🎉🎉
@KareemJuma-n7b25 күн бұрын
Mzee kama honger kwako🎉🎉🎉🎉🎉
@IzzAl-DinFadheel26 күн бұрын
sema huy mzee aliyepokonywa uganga ana mawenge san 😂😂 kifup namkubal...✌️✌️
@ukhutymamuu747013 күн бұрын
😂😂😂😂
@petromatola542626 күн бұрын
Kazi nzuri sana kila mtu amevaa uhusika vizuri 🫡🫡🫡
@Malyunsaidisaidi26 күн бұрын
Jamani walioko makina vip mzigo huw😢😢😢
@OkinawaMchizi26 күн бұрын
Kilio changu kipo kwenye dakika kwenu nyie wakali wa izi kazi. all in all good work 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@maryamanalisi19726 күн бұрын
Maa shaa Allah ❤❤🎉🎉
@beatricerauteli357826 күн бұрын
Huyu mzee kama awe babu yangu basi naona Aisha na mama ake wanafeli aisee ningetamba vibaya mno 😂😂😂😂😂
@FatmaBakar-up7jv26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@OkinawaMchizi26 күн бұрын
Tuongezewe dakika bana aah sio kweli 🎉🎉
@RIZIKIDola26 күн бұрын
❤❤❤❤jamani mutuweke ndefu kidogo mzee kama Ramadhan yupo sawa
@JoyceShayo01926 күн бұрын
Mtuongezee dk vpand n vifupi. Alafu Kam inawezekam muitoe kila siku jmn ❤❤❤❤
@GeraldChamlonde26 күн бұрын
Mapema ngoma tunayo
@JustinStyno26 күн бұрын
Mzee kama kazi yako nzuri kabisa
@SalumuKilwanda24 күн бұрын
Mzee kama noma sana🎉
@osmankiaaba26 күн бұрын
Kaka kazi nzuri lakin dk ni chache mno fanya utuongeze
@khamisimbogha61526 күн бұрын
Dakika ni chache mno
@MwantumuAbdallah-iy9wj26 күн бұрын
Jaman mbona dk chache afu utamu kunoga
@NeriaMwaibako26 күн бұрын
Kwakwel waongeze jamanii
@yusterchesco881826 күн бұрын
Kweli kabisa
@Mainatongwe26 күн бұрын
Nampenda sana Ramadhan kama wachezeee hao😂😂😂
@azizamtamile130826 күн бұрын
Huku Dunia huku samahani asantee huku my doungter unyama sanaaaa❤️❤️
@ZeinabMohammad-t2z26 күн бұрын
Kazi nzur sana❤❤❤❤❤❤❤
@FaridaKarembo25 күн бұрын
Huyu mzee kipoko ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nimependa
@gullkhan339925 күн бұрын
nawapenda san lakin kazi munakauza san❤❤❤❤
@AminaMpoto26 күн бұрын
Ongela cn kakangu
@Naeema-d9s26 күн бұрын
Kazi nzur big up sana❤❤
@HalimaMkop26 күн бұрын
Kaz nzur🎉
@ThomasKibutwa26 күн бұрын
Safi sana. Kazi nzuri.
@Sidik-d7e26 күн бұрын
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU I LOVE THIS FILM FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💗❤❤❤❤ I LOVE PEOPLE OF TANZANIA 🇹🇿. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA . MY ALLAH BLESSED EVERYONE WHO MAKE THIS 🎥 FILM AND ALSO ACTOR AND ACTRESS MY DUA ALWAYS WITH THEM UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Tunazidi kulisongesha kama kawaida tupo na mzee kama❤🎉
@AsmahAmilikhan25 күн бұрын
Tupostie ata vipande viwili dabo hongera kwa kazi nzuri
@majidayubu822125 күн бұрын
Kitale salute zote pls hakikisha ina kwisha vizuri mana weewe umaliziaji mtihan
@MaryamTerran26 күн бұрын
Iko powa sana ❤❤❤❤❤
@Salmamazige26 күн бұрын
Mie pia nimewahi jamaniii Maasha'allaah kazi nzuri wameitendea kazi
@kitaraabdi952926 күн бұрын
Daah simchezooo Babu noma sanaa
@MealiiOmar26 күн бұрын
Jamn mschelewa kutoa yn Babu uko vzur sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rosembaja275226 күн бұрын
Nimekuwa wa kwanza napenda kumuona kama Ramadhan kama❤❤❤❤❤❤❤
@Singidaicon26 күн бұрын
@@rosembaja2752 mm ni wakwanza
@RamadhaniOmary-e3d26 күн бұрын
Mjuu wangu Asante
@rosembaja275226 күн бұрын
@@RamadhaniOmary-e3d mungu akupe afya na neema kipaji unacho na tunatamba na wewe♡♡♡♡♡♡♡
@RamadhaniOmary-e3d26 күн бұрын
@rosembaja2752 shukran sana mjukuu wangu
@PillyAbdelNasser26 күн бұрын
Unajua kutupa Raha kwa kwel daah hongera brooo
@ShadiaOthman-vq1jy26 күн бұрын
hamuwez mzee kama nmefrahii kumuona mzee kama kaweka ulinzi halaf kafikaje😂😂😂😂
@m.mmarckus629826 күн бұрын
Mm nilijua tu asingewaacha kizembe😂😂
@Shadia5445 күн бұрын
Miee naendelea nayo mpaka niwafikie mlipo jamaniii 🎧🪑🪑
@IreneMsile26 күн бұрын
Mnazingua bhana mbona dk ni chache sana ongezen basi kidogo
@emmyfaustine432326 күн бұрын
Mzeee kama ni 🔥🤸🤸🤸🤸🤸
@darprprime349225 күн бұрын
Haya niwape ratiba DUNIA SAMAHAN ASANTE CHAKI KIZAZI CHA ABDALLAH KIUNO season 2 SITUATION SHIP 😊😊
@harithmohd631826 күн бұрын
Jaman mbn dakika kidog wadau uk yan hii mov Big up
@jumaluaga709226 күн бұрын
Mnaonaje mkiniita mzee kama😂
@lucykavundo913326 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@KikwapeTz26 күн бұрын
😅😅😅😅
@tausimussa655325 күн бұрын
Haya Mzee kama juma kama 😂😂😂😂😂
@JamesMlajile25 күн бұрын
❤❤ makopa kwa lamazani kama
@dalalimrembo25 күн бұрын
Yaani haka kazee kachawi noma sana.... Ndo mara ya kwanza kwenye game na kaua aisee ni zaidi ya fundi anajua mno na sauti yake sasa na macho mie hoi😅😅😅😅😅😅 umesema "ya aisha? Ya kwakwe? Una uhakika?? Ya kwake? He killed it💝😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👌