SAMMY NDERU FT ROSE MUHANDO (WAKATI WANGU OFFICIAL VIDEO)SMS 5814748 Skiza to 811

  Рет қаралды 872,365

Sammy Nderu

Sammy Nderu

3 жыл бұрын

#Sammynderu#Rosemuhando#Wakatiwangu#

Пікірлер: 462
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
Wakati wangu uko kwa hivyo sitakufa moyo 🙏🙏 Hata Kama hali yangu Ni ngumu mm sikatii tamaa
@DeejeyAsley1
@DeejeyAsley1 3 жыл бұрын
This one is amazing bro. Blessings
@sophiakimani3847
@sophiakimani3847 3 жыл бұрын
Keep it up!
@lilianmainaofficial935
@lilianmainaofficial935 3 жыл бұрын
Amen
@michaelgathaburu8560
@michaelgathaburu8560 3 жыл бұрын
This awesome its touching
@puritykatiku7978
@puritykatiku7978 3 жыл бұрын
Yaani once I Iisten to this song,I gain courage of living in my situation knowing my tomorrow must be greater than today🙏👏
@jacksonnnonjela348
@jacksonnnonjela348 3 жыл бұрын
Wangapi wameuona rose muhando gonga like basi
@stephenkalulu6200
@stephenkalulu6200 3 жыл бұрын
Mm huyu hapa vitie sana
@stephenkalulu6200
@stephenkalulu6200 3 жыл бұрын
Vipi brathe niko
@paulmuyanga3445
@paulmuyanga3445 3 жыл бұрын
If it was football then she's Messi anytime she opens her mouth to praise God you've to listen one 💕 watu wa mama weka like.
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
May this song minister to you and be a blessing to you... Wakati wangu upo na hio Mimi sitakufa moyo🙏🙏 Team kusonga mbele mko wapi✋✋
@essymsoo4634
@essymsoo4634 3 жыл бұрын
Amen
@essymsoo4634
@essymsoo4634 3 жыл бұрын
🤚🤚🤚🤚
@agneskatoto8765
@agneskatoto8765 3 жыл бұрын
Amen Amen
@overcomerjames
@overcomerjames 3 жыл бұрын
Amen
@agnesmutula1375
@agnesmutula1375 3 жыл бұрын
Very touching song, being blessed... Tnku
@symomofficial8955
@symomofficial8955 3 жыл бұрын
This is awesome bro uuuuuuuiiiiii wapi like za Sammy 👏👏👏👏👏
@wlkmwlkm3381
@wlkmwlkm3381 3 жыл бұрын
😂😂😂ufanyie nini likes zake yangu ndio hiyo nimekupa
@vailethkidady7322
@vailethkidady7322 3 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi,,,siku yangu ikifika atanitendea
@emmanuelmutunzi2338
@emmanuelmutunzi2338 3 жыл бұрын
Tangu nisikiye habali za Kifo cake Rose Muhando nilihuzika sana siku rudi KZbin but ni meshituka na shangaaa sana kumbeee yupo muzimaaaaa ooooo munguuuuu upewe sifaaaaa ukatuimbieeee wimboooo wa kunya Rwandaaaaas
@slimmyalicia7633
@slimmyalicia7633 3 жыл бұрын
@Rose Muhando Malkia wangu wa Gospel from Africa, ata akitia tu only 3 Words the song gonna Lit💥🔥🔥My love from Germany 🇩🇪❤
@sophiakimani3847
@sophiakimani3847 3 жыл бұрын
This lady Will never age neither lack.....hii kuimba kwake kwote,May God never forsake her.she's God's vessel.namupenda sana since the year nineties....
@annemakusa3648
@annemakusa3648 Жыл бұрын
Rose nakupenda bure. Huyu Mungu ambaye amekuinua na akakupigania ni Mungu wa kweli. Zidi kumuishia na kumtumikia. Hata mimi sikati tamaa, najua ipo siku Mungu anaenda kunibadilishia hali yangu. Mungu pia akuinue kwa kuwasaidia waimbaji wadogo wadogo.
@alexkibali4308
@alexkibali4308 3 жыл бұрын
Mama Rose you're a real mentor...raising the upcoming,may God keep you for this generation...🙏💫
@emilianaemmanuel7318
@emilianaemmanuel7318 3 жыл бұрын
Amina
@puritykambua996
@puritykambua996 3 жыл бұрын
Malkia wa Africa.. Mama yao@Rose muhando you never disappoint.. Such a hit song..🔥🔥 mungu hazidi kukuinua hatua kwenda ingine.. injini ya bwana isonge mbele,💃💃🙏
@user-co8tl4yz6c
@user-co8tl4yz6c 6 ай бұрын
Endelea kubarikiwa na Mungu, umenitia moyo na ujasiri mkubwa
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Ooh yes mungu atatenda majabu kwa maisha yangu ,,na nitakuwa mshindi ,maana alie ndani mwangu ni mshindi
@HakizimanaJeanPierre-zg1wl
@HakizimanaJeanPierre-zg1wl 5 ай бұрын
Glory be to our Lord 🙏 , wakati wetu utafika tu, wakubali au wasikubali
@lorinelukaya6741
@lorinelukaya6741 2 жыл бұрын
Najua wakati wangu utafika TU!!! Mungu yupo atatenda
@GITHINJI_J.D
@GITHINJI_J.D 3 жыл бұрын
This is so great and powerful bro Nderu and mum Rose... Siku yangu ipo na haitapita... Mmenibariki sana.. Nawaombea neema tele
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
Amen🙏
@user-ix7nq4xw2i
@user-ix7nq4xw2i 6 ай бұрын
Wakati wangu utafika,it doesn't matter what I'm going through I believe the living God 🙏🙏
@wambuacarolyn5476
@wambuacarolyn5476 5 ай бұрын
I had bought a bottle of diazinon to end my life but kumbe wakati wangu ndio hujafika. Thanks rozie for the song
@graciemkagonye7780
@graciemkagonye7780 3 жыл бұрын
Wacha nisonge mbele namtumainia bwana...soo inspiring bro sammy mbarikiwe na dada Rose..yeye ni ushuhuda wa kutosha
@emmanuelwepukhulu4852
@emmanuelwepukhulu4852 3 жыл бұрын
Mungu akubariki rose Muhando sana na sana. Ulipotezwa na maadui zako nilihuzunika sana lakini namshukuru Mungu aliyeumba mbingu na nch amekuinua
@muriithijwangeciofficial4106
@muriithijwangeciofficial4106 3 жыл бұрын
Sirudi nyuma,namngoja bwana yesu.cant get enough of this song 🔥🔥🔥
@annahkitondo8206
@annahkitondo8206 3 жыл бұрын
Ahadi za bwana ni kweli,atatenda kwa wakati wake,namsubiria tu.
@franciskenyeru6837
@franciskenyeru6837 3 жыл бұрын
A great song. How I longed to shake Rose's hand. Mungu awabariki kila siku. Hata mimi wakati wangu utafiki tu
@melchizedeknyarora2490
@melchizedeknyarora2490 3 жыл бұрын
Amen kipao nguvu sana Rose is aking maker mentoring and supporting many upcoming gospel artists. Sge is humble and prayerful. God bless this work. Diaspora tunawaombea.
@mikamungaya1898
@mikamungaya1898 3 жыл бұрын
Wimbo huu inaujumbe nzuri ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu
@marymuema2381
@marymuema2381 3 жыл бұрын
Be blessed watumishi wa mungu. Namgoja bwana wala sikati tamaa.
@honestmacha1593
@honestmacha1593 3 жыл бұрын
hongera mungu atakurudishia vilivyopotea hakika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@gregotieno1367
@gregotieno1367 3 жыл бұрын
Namgoja bwana siku ili nibarikiwe najua, majira yangu yatafika be blessed Rose very powerfull song
@peterwaithaka2041
@peterwaithaka2041 3 жыл бұрын
Wow, nice song. Rose collabo zinatokea poa sana. Kazi safi Sammy
@margaretnjoronge5712
@margaretnjoronge5712 3 жыл бұрын
Nanii mwingine anafurahishwo na bite ya hii song...wa dancer mko juu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Ameen hakika nyuma sirudi tena nasonga mbele 🙏🙏🙏🙏
@hopekaluma6579
@hopekaluma6579 3 жыл бұрын
Powerful wacha nimgoje Bwana be blessed watumishi wa Mungu
@wakedcell6125
@wakedcell6125 3 жыл бұрын
This song is really encouraging me place nafanya umaid🙏🙏🙏iposiku its a blessing to me may God continue using Rose to administer His word😘
@irinetongoi5217
@irinetongoi5217 3 жыл бұрын
Amen...me too
@samuelkangethe4041
@samuelkangethe4041 3 жыл бұрын
@@irinetongoi5217 God bls u soo much
@irinetongoi5217
@irinetongoi5217 3 жыл бұрын
@@samuelkangethe4041 Amen
@felistersmwende8615
@felistersmwende8615 3 жыл бұрын
Never give up,, there's your day,,u will shine
@greatme30
@greatme30 3 жыл бұрын
Never give up
@ajuogahphelix5645
@ajuogahphelix5645 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri wenye baraka. Mungu akubariki sana Sammy
@josephinesmith8185
@josephinesmith8185 3 жыл бұрын
Namngoja Bwana,sikati tamaa wakati wangu utafika
@eglajebichii4543
@eglajebichii4543 Жыл бұрын
Listening to this song counting days to my graduation 🎓🎓🎓🎓. Mimi sirudi nyuma, just applied for a master's scholarship mungu atatenda tu. I trust the process 🙏🙏🙏. I can't get enough of this song. Blessings upon Blessings.
@sammynderu725
@sammynderu725 Жыл бұрын
Amen,no turning back we are focusing ahead where our blessing are
@allanmbuyu5800
@allanmbuyu5800 6 ай бұрын
Huyu madam amebarikiwa sana hii ni pure talent
@eznermomanyi814
@eznermomanyi814 3 жыл бұрын
Majira yangu yatafika..I wount lose hope Mountains will fall
@avisajames
@avisajames 3 жыл бұрын
Ni mwaminifu siku zote atatenda tu Wimbo mzuri sana mawaziri.
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 жыл бұрын
Niko hapa nangoja wakati wangu utafika na sirudi nyuma 🙌🙌🙌
@julietjuliet9965
@julietjuliet9965 3 жыл бұрын
Amen amen may God use you to save the world until your last breath on earth amen 👏👏👏👏👏👏👏
@julianaandrea5839
@julianaandrea5839 Жыл бұрын
Mungu akujalie Mtumishi, Tena akupe haja ya moyo wako 🙏
@rhodahbranice3379
@rhodahbranice3379 3 жыл бұрын
Hallelujah,,wakati wangu utafika tu sitakata tamaa
@user-gw3zl2mu5e
@user-gw3zl2mu5e 5 ай бұрын
Powerful Song,Unaenda Mbali Bro
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 3 жыл бұрын
Yes sirudi nyuma Namgoja Mungu wakati wake nitabarikiwa
@fridahmakena2596
@fridahmakena2596 3 жыл бұрын
Nikweli hii niwakati wangu nakungoya bwana unibariki nice song
@perismuriuki2274
@perismuriuki2274 3 жыл бұрын
Wakati wangu itafika tu,ahadi za Mungu kwangu utafika tu katika jina la Yesu...Siku moja nitabarikiwa
@Mr89stephen
@Mr89stephen 5 ай бұрын
More than two decades blessing me with great songs, consistent sauti nyororo. Stay blessed Rose.
@hadasarmburu2129
@hadasarmburu2129 3 жыл бұрын
Wakati wangu utafika pia hallelujah when I will count my blessings one by one
@lindahmbigura716
@lindahmbigura716 3 жыл бұрын
Nasonga mbele na yesu...nyuma sirudi tena....wouh power song. More grace to you minister of God👏👏👏
@reubengeorge6840
@reubengeorge6840 3 жыл бұрын
Nangoja wakati wangu Mungu atanifanyia wepesi like
@baibegee
@baibegee 3 жыл бұрын
Wherever Rose Muhando is, there`s annointing, seems like she`s & supporting & mothering upcomming Gospel musicians in Kenya❤ ALL praise & honor..More BLESSINGS LOADS of LOVE❤❤
@gladysmwove5220
@gladysmwove5220 2 жыл бұрын
Rose muhando nakupenda tu dada..mungu akubariki hadi ushangae...Yaani uwa wanibariki mamaa
@sammynderu725
@sammynderu725 2 жыл бұрын
Amina 🙏
@eunicenjeru215
@eunicenjeru215 3 жыл бұрын
I love any song where Rose is.My heart just loves her.
@sheesheykoh3574
@sheesheykoh3574 3 жыл бұрын
That makes 2 of us I have always loved from when I was young she's gifted so is this gentleman.
@mwangangi.martha7121
@mwangangi.martha7121 3 жыл бұрын
She is blessed
@judymsupaofficial2159
@judymsupaofficial2159 3 жыл бұрын
I wonder how many times will I watch this to get enough of it🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️ More annointing on you twinie 💯💯
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
Thanks 🙏🙏
@jecintahkibuku5923
@jecintahkibuku5923 5 ай бұрын
Sammy Nderu You're going far in Jesus mighty name. You're a hero. Fly like an Eagle 🦅
@mosesnyagaofficial6266
@mosesnyagaofficial6266 3 жыл бұрын
Hakika Mungu ana mpango na wakati wake kwetu. Ubarikiwe bro
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
Amina🙏
@marymzumbwe5153
@marymzumbwe5153 3 жыл бұрын
Ubarkiwe mtumishi wamung Asante kwaujumbe mzr
@marykimani2895
@marykimani2895 3 жыл бұрын
Sitaogopa naimani hatatenda kwaimani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@aaronsimiyu3302
@aaronsimiyu3302 3 жыл бұрын
For sure she's a champ. Gospel world class . Rose Muhando you are a source of inspiration to me.
@verohnyab5699
@verohnyab5699 2 жыл бұрын
A blessed and talented woman from tz ❤️❤️❤️❤️👊👊👊👊. Press on mamaaa. You're a heroin
@moseskofficial7035
@moseskofficial7035 3 жыл бұрын
This woman eeeeish. More grace of God bro.
@trizaheric5512
@trizaheric5512 3 жыл бұрын
Powerful song. More grace Brother Sammy Nderu. 🎶🎶🎶🎶💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@reginaaminga9502
@reginaaminga9502 3 жыл бұрын
Ooooh,Amen nangoja wakati wangu
@amoswekesa1476
@amoswekesa1476 6 ай бұрын
TikTok brought me ❤❤❤❤
@muchwelucy368
@muchwelucy368 3 жыл бұрын
Hello Dada Rose.Hongera.Naomba sana kukutana nawe.
@missymissy4817
@missymissy4817 3 жыл бұрын
That 💕between kenya and tanzania is undeniable 💃💃💃💃💃
@samilahthirika6483
@samilahthirika6483 3 жыл бұрын
Amina Amina nyuma sirundi! Kazi nzuri dugu.
@everlynemuno9987
@everlynemuno9987 6 ай бұрын
Amen..am waiting the lord to bless me one day
@sarahnk6334
@sarahnk6334 3 жыл бұрын
Rwimbo ruru rundathimaga omuthenya omuthenya, gukiire gutukire ati ihinda riakwa norigukinya ria kurathimwo, na noegwika kuoguo ndigwitigira onakii
@sarahnambuva3153
@sarahnambuva3153 3 жыл бұрын
Sikati tamaa wakati wangu utafiki.rightful msg
@JeremyhadassahOfficial
@JeremyhadassahOfficial 3 жыл бұрын
Nice one my brother. Nifanye hiyo connection nifanye collabo na Hutu mtumishi wa mungu
@jeandedieuniyongabo9041
@jeandedieuniyongabo9041 3 жыл бұрын
Nasonga mbele sirudi nyuma.asante
@annnderu1077
@annnderu1077 3 жыл бұрын
Wow wow wakati wangu ndo huu sasa
@isaackaruri6114
@isaackaruri6114 3 жыл бұрын
Wa Tanzania walimdhulumu rose but I thank God ana hit kenya Glory to God AMEN
@josephchosenmwangi
@josephchosenmwangi 3 жыл бұрын
Wimbo umeibwa ukaibika👏👊👊👊👊
@PapaTheKingMKenya
@PapaTheKingMKenya 3 жыл бұрын
Nice song indeed bring likes to my fellow gospel minister
@milcahmisoi7576
@milcahmisoi7576 27 күн бұрын
I love this song❤it touch my soul alot ❤❤
@rachelsika9588
@rachelsika9588 3 жыл бұрын
Najua wakati wa Mungu ukifika atatenda
@mc.chebaibaimeruti3283
@mc.chebaibaimeruti3283 3 жыл бұрын
Sammy nderu nice one that time will come ...ameeen
@agnesnabuyemba1932
@agnesnabuyemba1932 3 жыл бұрын
Amen 🙌 more blessings dear Rose I am now in Dubai but I am a Ugandan
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
A Thanks
@pendokatonge1183
@pendokatonge1183 3 жыл бұрын
Usikate tamaa mama nakupenda bure.
@peninnahwanza6304
@peninnahwanza6304 3 жыл бұрын
Amen sikati tamaa nasonga mbele nikimngoja Bwana Hallelujah,, Dada Rose na Bro Sammy barikiweni zaidi
@irenealex658
@irenealex658 3 жыл бұрын
Wozaaaaaaa siwezi kataaaa tamaaaaa
@liznzembi5906
@liznzembi5906 3 жыл бұрын
What a blessing song🙏🙏🙏🙏,, Barikiweni sana watumishi wa Mungu,, fanyeni kazi ya mungu bila kuchoka kuna malipo mema baada ya kazi🙏🙏🙏🙏🙏 Najua wakati wangu Utafika tu❤️❤️❤️
@neemanickl
@neemanickl 3 жыл бұрын
That’s my classmate back primary school 🏫 bravo sammy God bless you,lovely song 🎧 mob love from Germany 🇩🇪 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪
@sammynderu725
@sammynderu725 3 жыл бұрын
Asante sana 🙏
@calebnzoki4119
@calebnzoki4119 3 жыл бұрын
Rose you are a blessing,, mungu akuzidishie,,,you are a blessing to me
@janekihiu7077
@janekihiu7077 3 ай бұрын
It's so good to see you again my dear, this is the love of God for us,our God of endless chances. Live long
@annwanjiku5923
@annwanjiku5923 3 жыл бұрын
Be blessed mum ata Mimi njua atanitendea and Amen
@roderick636
@roderick636 3 жыл бұрын
Encouraging song, Yu mwema siku zote, najua atanitendea makuu wakati huu mgumu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Limmieofficial
@Limmieofficial 2 жыл бұрын
Atatenda...sirudi nyuma nasonga mbele🔥🔥🔥.. ROSE MUHANDO IS A BEAST in gospel
@sammynderu725
@sammynderu725 2 жыл бұрын
Amen
@monicahcheruiyot
@monicahcheruiyot 3 жыл бұрын
Wow wow good work brother Sammy. Happy for you kabisa. Our time will come in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏
@alfredkengere2164
@alfredkengere2164 3 жыл бұрын
Neema yake mbele..good inspirational ..thanks
@josephinesheehama752
@josephinesheehama752 2 жыл бұрын
Mmhhh keep your brotherhood and sisterhood Kenyan and Tanzania. From Namibia
@sammynderu725
@sammynderu725 2 жыл бұрын
Ooh thank you so much 🙏
@dan_holyfield
@dan_holyfield 2 жыл бұрын
Najua wakati utafika Tu 😭❤️🙏
@collinskhaemba8492
@collinskhaemba8492 3 жыл бұрын
Wooow l really love this, there is my tym coming and my prayers will be answered
@janetnzisa6912
@janetnzisa6912 Жыл бұрын
I'm listening 🎧 to this song with tears in my 👀 yaani tears of joy coz I'm 💯 sure wakati wa Bwana utafika🙏🙏
@sammynderu725
@sammynderu725 Жыл бұрын
Amen... Utafika tu ukimwongoja mungu
@florencewanjiku6715
@florencewanjiku6715 3 жыл бұрын
I love it. Watching from Saudi Arabia
@fridahjepkirui4097
@fridahjepkirui4097 3 жыл бұрын
What a powerful song....I know my time to be bless is coming...nangoja nibarikiwe pia... hallelujah...may God bless you Rose
MAJIRA - Rose muhando x Antony Kyalo  (Official Video)._
6:51
Antony Kyalo
Рет қаралды 1,3 МЛН
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
JEFF KURIA
Рет қаралды 107 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 74 МЛН
MTULIZA BAHARI // MSANII MUSIC GROUP SKIZA 5969035 to 811.
4:24
Msanii Records
Рет қаралды 19 МЛН
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH BON KALINDO
59:52
Zodiak Malawi
Рет қаралды 10 М.
VITABU BY  PURITY KALISA FEAT ROSE MUHANDO (OFFICIAL VIDEO)
6:50
purity kalisa
Рет қаралды 2,2 МЛН
Rose Muhando -  Ombi Langu (Official Music Video) SKIZA CODE - 5964896
6:05
Rose Muhando Official
Рет қаралды 17 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 2,2 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 7 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 3,5 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 514 М.