SANAMU ishushwe WATANZANIA wamekataa yule Sio NYERERE

  Рет қаралды 15,095

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@ABM1963
@ABM1963 10 ай бұрын
Hiyo sanamu inafanana na Aboud Jumbe Mwinyi.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 10 ай бұрын
ULIJUAJE ? Nilifikiria kabla nikadhani naumwa macho .
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 9 ай бұрын
Libomolewe,sio Baba wa Taifa.Aibu kwa Taifa
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 10 ай бұрын
Kuna sanamu South Africa la Nyerere lina sura jake lakini sanamu la Nyerere la Ethiopia hapana
@esamwakilasa
@esamwakilasa 10 ай бұрын
Wachongaji wa ovyo haendani hapo hakuna Siasa
@Zayeed_tv
@Zayeed_tv 10 ай бұрын
Wametengeneza sanamu la mlokozi afu wanasema ni nyerere
@babalao910
@babalao910 10 ай бұрын
Mmh TANZANIA BANA, SI MNGEOMBA TU MSAADA WA YULE DOGO ALIYECHONGA SANAMU YA NABII MKUU.
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 ай бұрын
Yule anaejifanya raia nambarimoja yani mama wa kambo toka nchi jirani kapigilia ushungi bila shaka sukari imemshinda ataweza ya sanamu?
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 10 ай бұрын
Kumbe raia tuko kwenye mstari (namba/foleni) 😂😂😂 sijui mim namba ngap
@jumasaleiman
@jumasaleiman 10 ай бұрын
Mumenda mbali sana tizameni sanam ya karume raisi wa kwanza wa zanzibar sanam yake ni zamani ila ukitizama sanam yake imefanana mwenyewe kabisa karume ipo kisiwanduwi zanzibar
@dynamicmwakibinga4371
@dynamicmwakibinga4371 10 ай бұрын
Sanamu lile sio la mwalimu ni la mwanafunzi
@masoudymichael
@masoudymichael 10 ай бұрын
Kama tumeshindwa tu sanamu tutaweza kuongoza nchi kweli hivi tupo seriously kweli😂
@esamwakilasa
@esamwakilasa 10 ай бұрын
Kweli haendani kabisa
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 10 ай бұрын
Hiyo sanamu ni aibu tupu!
@gibsonsimburya5291
@gibsonsimburya5291 10 ай бұрын
Hii kwa mtizamo wangu ni spiritual attack kwa watanzania. Walioandaa hiyo sanamu wanajua ni kwa nini waliamua au kuamrishwa kuweka hilo jisura. Yamkini kuna watu wanataka sura ya mwalimu ipotee kabisa miongoni mwa watanzania na Afrika after like 50yrs. Kiroho hiyo inaondoa kabisa legacy ya mwalimu spiritually
@gibsonsimburya5291
@gibsonsimburya5291 10 ай бұрын
Ilianzia kwa Mr K na lile la kampala. Walivoona kimya tumeridhika Sasa wanapeleka atack internationally.
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 10 ай бұрын
Nyerere kama ni wa familia yao sawa lakini kama ni baba wa taifa siyoooooo kabisa
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 10 ай бұрын
Ni kweli hata hafananii
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂wabongo mwachekesha kweli, hivi watu wasipo wachunga, likiwekwa sanamu sahihi mtalifanya ibada.
@zidatv1122
@zidatv1122 10 ай бұрын
Matokeo ya chanjo za korona yameanza kufanya kazi kila kitu ndiondio
@eliashelyongolo4123
@eliashelyongolo4123 10 ай бұрын
Pale Tabora kuna sanamu halisi ya baba wa Taifa ,sehemu alipokua machozi akidai Uhuru endapo wasinge tupa uhuru atawashitaki UN ikishindikana atawashitaki kwa MUNGU pale Tabora eneo la karibu na soko kuu kina sanamu sahihi kabisa ipo mpk kesho,
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
Madaraka kesha zeeka haikumbuki vizuri sura ya baba yake😂😂
@abelimwakijungu1226
@abelimwakijungu1226 10 ай бұрын
Wawahusishe wamakonde wachonga pale mwenge. Wanajua sana kumchonga Nyerere.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 10 ай бұрын
Aibu tupu😢..Nyerere sio huyo kabisa
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 10 ай бұрын
Siyo ya nyerere
@Ndalolusulo-yt2ol
@Ndalolusulo-yt2ol 10 ай бұрын
Hii sanamu hapana heri hata wangeweka ya makongoro wakasema ni nyerere tungekubali
@hamismabula9934
@hamismabula9934 10 ай бұрын
Bora kabisa🤝
@Xyz-dc3yq
@Xyz-dc3yq 10 ай бұрын
Inafanana na Prof. Lumumba😂 hizi ni dharau
@kwisa4899
@kwisa4899 10 ай бұрын
Nchi ngumu hii watu wanamuzi kwa kumjengea sanamu tena wanasafir pasipo aibu huku nchi ipo gizani baada ya kumuenzi kwa matendo .
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 10 ай бұрын
WATU WANA JIAMINISHA UONGO KUWA KWELI NATILIASHAKA HATA MUNGU HAMWAMINI KABISAAA! Halafu ni wasomi ETI! Mwe mwe mwe mwe YESU TUSAIDIEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Waombewe watendaji wa serikari yetu au tuwapake mafuta yaliyoombewa pengine watapona .
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 10 ай бұрын
Hapo sasa watanzania ndipo wanapo onekana majuha.
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 10 ай бұрын
Upigaji upo mpaka kwenye sanamu?😂😂watu wamepiga
@hamismabula9934
@hamismabula9934 10 ай бұрын
Mnaleta siasa hata kwenye mambo ya kitaalamu! Waachieni wasanii wa mambo hayo wawatengenezee!
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 10 ай бұрын
Kwani mama anasemaje kuhusu picha ya mama😂😂😂😂we miso misondo umepigaje apo:::::?!😂😂😂
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
Sanam ya nyerere ya dom ndo imefanana na nae
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 10 ай бұрын
Madaraka aachane na sisi sanamu siyo ya Baba wa Taifa. Labda ni Baba yake yeye ambaye hatu mjui
@hamismabula9934
@hamismabula9934 10 ай бұрын
Hivi Samia naye anaona sawasawa tu mambo yanavyoenda enda namna hii!?!?!?!?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 10 ай бұрын
Kumuenzi nyerere ni kufanya yale ya maana aliyoyafanya,na sio kumuenzi nyerere kwa kuchonga sanamu!upuuzi mtupu
@seif3401
@seif3401 10 ай бұрын
Mama matembezi hana jipwa
@seif3401
@seif3401 10 ай бұрын
Hapa time pigwa
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 10 ай бұрын
aibu aibu aibu jamani
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 10 ай бұрын
Hivi nyinyi wasafi hamna cha kuongelea mnaongelea sanamu ili iwe nini, isaidie nini, lotawasaidia nini
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 10 ай бұрын
Walioiweka, inawasaidia nin
@esamwakilasa
@esamwakilasa 10 ай бұрын
Hiyo sio sura yake kabisa akome huyo babake kwake sisi ni rais wetu baba wa Taifa kubwa jinga madaraka
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 10 ай бұрын
Iyo sanamu itautafauti gani na ile iliyo pelekwa bugiri na kigwangala 😂
@mohamedishemvaa5558
@mohamedishemvaa5558 10 ай бұрын
Mauzauza
@fadhilisawe434
@fadhilisawe434 10 ай бұрын
Ni baba yake MADARAKA bana
@ErickpatrickBisengimana
@ErickpatrickBisengimana 10 ай бұрын
Huyo lumumba
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 10 ай бұрын
Hiyo ni sanamu tuu na SIYO photo yake. A statue is not a photo just like an image of someone or something so it's not necessarily hundred percent to look like a person or a thing
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 10 ай бұрын
Nyamaza wewe
@atutweve4160
@atutweve4160 10 ай бұрын
KWANI RAIS HAKUONA?????? MAKUBWA 🤔🤔🤔MBONA KAMA HAWEZI KUJITETEA MAMA YETU JAMANI 🥹😩😩😩😩😩🤔🤔
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 10 ай бұрын
INAMAAANA MAAFISA USALAMA WOTE HAWAIJUI PICHA YA BABA WA TAIFA?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 10 ай бұрын
Ujinga mtupu,tunaacha kujadili mambo ya maana,rasilimali za nchi zinaporwa,mko bize kujadili sanamu
@ishe_ngo8926
@ishe_ngo8926 10 ай бұрын
Hivi nyie kuitana chumvi mna maana gani?
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@saidseleman2973
@saidseleman2973 10 ай бұрын
Ongeeni shida ya sukari
@voicdesition897
@voicdesition897 10 ай бұрын
Mimi kama fundi maiko nilie husika kutoa hiyo kazi hapo nasemaje tanzania hamjui kutazama angalia kwa macho ya rohon ni kambangwa mtupu
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 10 ай бұрын
KAMBANGWA YULE GOLIKIPA WA ZAMANI WA TIMU YA MAJIMAJI! Sasa KAMBANGWA wa nini hapo?
@egdldm4981
@egdldm4981 10 ай бұрын
Lishushwe kwanini?😮 Ile ni sanamu ya Nyerere sio lazima ifanane na Nyerere maana halisemi kuakisi sauti ya Nyerere halisia. Sanamu Iko vizuri tu.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 10 ай бұрын
ACHA HABARI HIZO WEWE
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 ай бұрын
Ndio maana watoto wale sio wako Hatushangai yasanumu
@esamwakilasa
@esamwakilasa 10 ай бұрын
Kwa iyo wewe ufe afu iletwe picha isiyoyako ni sawa2😂
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 10 ай бұрын
Kumbe HATA TUKIULIZA NANI ANATAKA KUFA SAIZI KUNA WATU WATAITIKA NA KUNYOOSHA VIDOLE JUU!
WALIOFANANA NA SANAMU YA NYERERE
3:42
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
🔴#LIVE:JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM (O2/01/2025)
40:32
Wasafi Media
Рет қаралды 2,7 М.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM O2/01/2025
37:03
Wasafi Media
Рет қаралды 2,7 М.
Sh Abdirahman Bashiir "Side Uga Fa'idaysana Waqtika 2025"
55:30
Xogmaal Media
Рет қаралды 31 М.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН