Hapo umeongea GB 64 kikubwa uwezo wa wachezaji kama mnajua mnajua tu National Team zina kutana 14 days wanaingia kwenye mashindano. Wanakipiga.
@LovelyBird-sf5fn16 күн бұрын
Bro uko sawa hapo
@user-vk5dj7st3p17 күн бұрын
Vizur, kaka, iyo, Simba, mpya
@aminaomary556717 күн бұрын
Tunafurahiiiiiiiiiiiii kama kweli tunapata Azizo k. Bado feitotoooooooo❤❤❤🎉🎉🎉🎉moira wa vijana mwaka huu.
@Aman-vx6xb17 күн бұрын
Sa10 ninan me naona kikos tayar cha msingi tupen usajil mmoja wa kuwakera tuu
@eddiemwangaraba928917 күн бұрын
Sasa hivi hawana la kuongea Tena maana wakati ule simba ikisajili ooh wamesajili wa wazee Leo kimya
@user-bo5ee2tp9p17 күн бұрын
Hapo umeongea point saaanaa
@levocatuspjohn863817 күн бұрын
Ndugu zangu wanasimba me moyo umeshaanza kudunda kwa hofu duh Mungu saidia tuwafunge yanga goli nyingi 😢😢😢😢
@essaumapunda576617 күн бұрын
Utopolo mpira wa sasa ni wa vijana Mo big up kazi umeimaliza
@fredylucas248417 күн бұрын
Mo ataoa timu nzima na wanachama kwakweli. Sijaona washabiki wenye vichwa panzi kama Simba. Kuwadanganya ni rahisi sana😅😅😅
@Mary-fs4mc16 күн бұрын
Aziz ki😂😂😂 , haya rudi hapa utupe taarifa imekuwaje Aziz ki na Yanga😅😅😅😅😅
@twahakabajemi971616 күн бұрын
Wewe waota!!
@flaxbeatman17 күн бұрын
nakubali 😂😂😂😂 vijana na wazeeee tareh 8
@RashidKaoneka-bj8mm16 күн бұрын
Walimfanya kitu kibaya huko centro
@salimmalaka25616 күн бұрын
BILA YA KISOMO NA ALBADIRI YA KINGA KWA WACHEZAJI WATAROGWA NA WATAONEKANA WABOVU HAWAFAI ANZENI KUTOKA LEO
@eddiemwangaraba928917 күн бұрын
mwaka huu jitu linakufa nakuua nyongo za watu ndipo watajuta kwa Nini wamechukua chama
@MolotoniMalisela17 күн бұрын
Nakubali kaka
@fredylucas248417 күн бұрын
Huyu mgonjwa wa akili huyu. Bado namsubiri ahamie Azam kama alivyosema
@KhamisHamadi-gd3eb17 күн бұрын
Hajielewi
@AbdallahShekhan-qx3kp17 күн бұрын
Gb 000000 tunakuja kukuvalisha shanga Aziz yupo Yanha tajiri ni GSM tu wengine pesa za urithi.
@khajihamisi505416 күн бұрын
Mtawakataa!!jamaa zangu
@bmkaskazinib436317 күн бұрын
Bingwa wa kihistoria miaka 30 Yanga,Bender's ya jihadi rangi kijani wekundu no moto tu njano no matunda,ngoja tuone eachezaji hawana afya mnasingizia madawa,hao TFF no simba kwa mini wasigundue hili we gala tu hukijui unachosema
@RashidKaoneka-bj8mm16 күн бұрын
Bangi inakusumbua unahamia lini azam?
@khajihamisi505416 күн бұрын
Wapumbavu kama Hawa wako wengine upande huu, kiongozi wao alishawaambia!!!
@Hope-ok9dy17 күн бұрын
Mshindwe kumpakiza chama azizi mtamuweza azizi tayari miaka miwili fakolo wewe
@user-ic2cb9gm2j17 күн бұрын
Wewe ni mropokaji wa kawaidaa
@Hope-ok9dy17 күн бұрын
Subirini tarehe nane paka nyie
@raulencomarkesh584817 күн бұрын
Mtambo huo
@KhamisHamadi-gd3eb17 күн бұрын
Hata ishu ya chama ulisema mo ameshamsainisha miaka miwili,nikama haujielewi vile
@fredylucas248417 күн бұрын
Huyu ni mwezi mchanga kama Simba wenzake
@peterrobertkabate23917 күн бұрын
Gb kila interview unarudia maneno yale yale
@MrishoMindu-zq7mz17 күн бұрын
Jiongeze hawa sanga Tv wame iedit matapeli hawataki kumpoza Gb 64.
@revocatusmalimi452517 күн бұрын
Hilo nalo neno,umesema kweli na umetolea mfano mzuri wa timu za Taifa.
@DenisMalima-cq9hp17 күн бұрын
Hivi huyu jamaa uko Centro walimfanya nini
@salimmalaka25616 күн бұрын
MATOPOLO MACHOGO FC WANATOWA RUSHWA NA WANATUPIGA MISUMARI HATA TUKICHEZA MECHI ZINGINE WA LAANA WALA MIHOGO HAO