kaka plz nijib hii... mm ninay 10m nataka vyumba viwli jiko na seble kiwanja chng kiko kisemvule inawezekana kufanikiw? nataka nijumba kizur cha kisasa nitafanikiwa?🤔🤔
@salimanguzo55538 ай бұрын
❤
@abdulabisalum81202 ай бұрын
Apo mchanga umesahu
@ahz6907 Жыл бұрын
weka breakup ya hiyo 2.2M kila kitu cement,mchanga,kokoto,nondo,rangi,milango,madirisha,bati,umeme
@SaitotiHinyura Жыл бұрын
Thanks
@karimrahim336 ай бұрын
Maelezo yake na bajet ni tofauti chukua calculator then utapata jibu tumia hayo maelezo
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Kwaiyo hukiunganisha hizo bajentinaweza kupata nyumba yachumbatatukwa milioni 6na laki6inawezekana
@HappyJohn-ky9cr Жыл бұрын
Ndugu yangu sio kweli...inazidi
@ZKA6458 ай бұрын
@@HappyJohn-ky9crtena sana, hapo sijasikia kitu chochote kinachohusiana na choo, choo chenyewe, sinki ya kukosha mikono n.k…., mabomba ya maji, mfumo wa kutoa maji nje, mfumo wa umeme yaani vitu vingi tu bado. Na nyumba kusimamisha boma ni rahisi, lakini kwenye finishing ndiko kwenye gharama kubwa…
@ZKA6458 ай бұрын
@@HappyJohn-ky9crpia na kuhusiana na jiko, hata kama litakuwa ni dogo tu, lakini lina gharama pia, kweli inatia moyo hii estimation yake, lakini sio rahisi kiasi kama hichi