Madirisha makubwa siyo ndo ubora wa nyumba bari inapunguza uwingi wa tofar zitakazoingia ila ukija kwenye finishing pia kwenye kuweka gill na aluminum itakughari sana
@NdekejaKamuli-sh5peАй бұрын
Yes nipe gharama chap nijue naanza lini
@florianmangasini1269Ай бұрын
Ramani nzuri, ila ungemshauri mteja akaongeza Verandah upande wa Jiko.
@ev.emmanuelkawema2493Ай бұрын
Iko vizuri sana kwa tunaoanza maisha
@MbarakaPilikana2 ай бұрын
Inatumia tofar ngap nimeipenda
@hidayaswai31192 ай бұрын
Nimependa kazi imenyooka.
@RichardMassawe-ss7cy2 ай бұрын
Tatixo Ina mlango Mmoja tu wa nje
@joycelanda89872 ай бұрын
Umetumia tofali ngapi?
@glorytoGod639Ай бұрын
Huyu mtu ana akili sana huyu, good job
@kondoatown8765Ай бұрын
Kwa hiyo nyumba yangu kumbe uliita vidirisha vya jela au sio sisi sio milima broo ...
@judygichia54952 ай бұрын
Pia mmi nko na plan ya kunjenga hivi...
@karimrahim332 ай бұрын
Full budget plz
@godwinkileo7702Ай бұрын
Wewe umeweka madirisha coz mbili kwasababu msingi ni mrefu sana, weka msingi mfupi then dirisha coz mbili uone
@tanzcanmediatv44732 ай бұрын
Naomba nikuahiri unijengee nyumba ya vyumba v5 unajituma sana.napenda vijana wa hivyo
@alsharif4562 ай бұрын
How nyumba inapumua ????????😢😢
@RaviShijaАй бұрын
nairon inawekwa kwnye msing kabla ya mkanda au inatandkwa kwenye vyumba