KUTEKWA KWA ABDUL NONDO: "BADO ILIONEKANA NI POLISI WALIFANYA HIVYO... " - RC CHALAMILA

  Рет қаралды 2,508

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 8 сағат бұрын
Hilo jamaa lmelewa na kuvimbiwa madaraka. Halijui laonhea Nini!!
@NSAMBELAGEORGE
@NSAMBELAGEORGE 10 сағат бұрын
Bwana huyu anafanya maigizo
@SalmanFarhad-j2h
@SalmanFarhad-j2h 10 сағат бұрын
Me naenda kulala
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 12 сағат бұрын
Kama hali ndio iko hivyo, kuna makosa gani wananchi kujihami kwa watu hawa....??
@StaaManeke
@StaaManeke 12 сағат бұрын
Chalamila umeongea vizuri. KWANINI AMEVITOLEA MFANO VYOMBO HIVYO? POLICE UHAMIAJI WALA WANAJESHI!)
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 13 сағат бұрын
Kuhusu abdul nondo ,unasema polisi hawahusiki kwa vipi wakati abdul nondo anapata mateso hao waliomteka walikuwa wakijieleza wao ni polisi na wakamwambia anaisumbuwa sana serikali kwa naneno yake ,,chalamila unatufanya sisi watanzania ni mazezeta
@KasabalalaRuta-nu1sm
@KasabalalaRuta-nu1sm 15 сағат бұрын
Kwan chalamila amekuwa mkuu wa polis,Ili ni jukumu la IGP kulitolea ufafanuzi
@Ranaimuye
@Ranaimuye 13 сағат бұрын
Inwezekenaje iwezekanaje utekaji uendeleaje? Kazi ya Polisi ni nini?
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 12 сағат бұрын
Ni polisi acha ujinga ni polisi na wale wa Mzee Kibao ni Nani Mama alisema na itelegisia ni kubwa mbona atuambii ya Mzee wetu Kibao acha mdomo mwingi Dar ni mchezo umevamia Jiji
@EliaHiluka
@EliaHiluka 12 сағат бұрын
Kwanini chalamila unawasemea polisi wewe ni msemaji wa polisi?
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 11 сағат бұрын
😊😊😊😂
@salyali7807
@salyali7807 14 сағат бұрын
Na kwanini waaendee kuwachukua si wawaite polisi tu ... kwanini wawavizie.. mume fail kwa hili
@salyali7807
@salyali7807 14 сағат бұрын
Kwahivyo sasa yeyote anakwenda na pingu auliwe kwasababu anaweza kua si polisi
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 7 сағат бұрын
Nyie.ccm.endeleeni.kuwafanya.watanzania.wajinga.mungu.wetu.atatupigania.
@moxamedabdillahi3822
@moxamedabdillahi3822 12 сағат бұрын
Kama halitakufika wewe basi elewa kizazi chako kitakuja wapata namuomba Allha kwa uongo huo unao sema akuhukumu hapa hapa kabla ya kufika kwake akhera
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 15 сағат бұрын
IGP Anasemaje
@SalmanFarhad-j2h
@SalmanFarhad-j2h 10 сағат бұрын
Me naenda kulala
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
USHAURI MZITO WA DUDU BAYA UCHAGUZI CHADEMA/Mbowe apumzike
12:00
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 27 М.
RUTO'S WORST MISTAKE THAT WILL COST KENYANS EXPOSED FEARLESSLY
11:52
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 460 М.