Sara Alex amtwanga Jesca Mfinanga kwa pointi | VITASA |

  Рет қаралды 12,065

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Dabi ya Arusha imemalizika namna hii, Sarah Alex akimchapa Jesca Mfinanga kwa pointi.
Hizi hapa ni nginjaginja za pambano hilo

Пікірлер: 27
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 8 ай бұрын
Sara alex. nakukubali sn mdogo wangu nice. Ila nikupe ushauri bifu,figisu,mikwara na majigambo, ni kabla ya mchezo, lkn baada ya mchezo hutakiwi kuendelea kuwa na chuki huo ni mchezo sio uadui. hiyo kitu itakuharibia mdogo wang, una safar ndefu sn ktk game..pambano likiisha peace & love itawale,.zingatia hilo dada.
@SarahAlex-d5k
@SarahAlex-d5k 8 ай бұрын
Sawa pia Mimi Sinaga bifu na Mtu 😢
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 8 ай бұрын
@@SarahAlex-d5k safi sana nafurahi kusikia hivyo, kaza nakuona mbari sn ktk vitasa na MUNGU akubariki
@AshuraMatimbwa
@AshuraMatimbwa 8 ай бұрын
Mm shabiki yako Sara ❤❤ kazi nzuri
@RehemaIssa-ii6kr
@RehemaIssa-ii6kr 8 ай бұрын
Safi sana wajina wamwanangu nimefulai sana nilikua nahangalia pambano uku roho yangu inadunda.mi rehema Issa kidevu kutoka dar es salaam nakupenda sana mwanangu kipenzi
@SarahAlex-d5k
@SarahAlex-d5k 8 ай бұрын
Love you mama
@RehemaIssa-ii6kr
@RehemaIssa-ii6kr 8 ай бұрын
Asantee mwanangu umenieshimisha akika 🙏🙏❤️♥️♥️🥰🥰
@WilliamPeter-ky7sx
@WilliamPeter-ky7sx 8 ай бұрын
Pambano hili la kina dada limekuwa kali sana tofauti na lile pambano kuu la kina kiduku.... Hongera sara
@SarahAlex-d5k
@SarahAlex-d5k 8 ай бұрын
Nashukuru sana
@jumaseif2140
@jumaseif2140 8 ай бұрын
Sara nakubali sana
@JosephMbua
@JosephMbua 8 ай бұрын
Safi sanaa Sara,keep it up
@MohammedHussein-xx6pi
@MohammedHussein-xx6pi 8 ай бұрын
Sara Alex love you
@user-xg1bo2xl8z
@user-xg1bo2xl8z 8 ай бұрын
Hatimaye imekuwa fisi ameonekana😂😂😂😂
@Angelkilawe
@Angelkilawe 8 ай бұрын
Sara oyoooooooo
@BenjaminBonface
@BenjaminBonface 8 ай бұрын
Sara ni bondia wakike namba moja mwingine hayupo
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 8 ай бұрын
Kashinda kihaki kabosa
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 8 ай бұрын
sara anastamina nzuri saana
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 3 ай бұрын
Mnaongea sana watangazaji kuliko kutangaza ngumi
@salminmshindo4344
@salminmshindo4344 8 ай бұрын
Kuwa na dem kama huyu ni balaa
@mwajumahamidu2141
@mwajumahamidu2141 8 ай бұрын
Yani jesca insonekana kabsa anapigwa nabado anakataa kua ajapigwa
@Nguli-j6r
@Nguli-j6r 8 ай бұрын
Nimependa utulivu wa Sara na kujiamini pia hata gad yake imetulia lkn kwa ushauri USISAHAU jab ina mchanganya adui
@SarahAlex-d5k
@SarahAlex-d5k 8 ай бұрын
Ntalifanyia kazi 🙏
@Nguli-j6r
@Nguli-j6r 8 ай бұрын
@@SarahAlex-d5k 🙏🙏🙏
@mwajumahamidu2141
@mwajumahamidu2141 8 ай бұрын
Sara anajua bhn uyo jesca mdomo mwingi hana lolote
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 19 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 43 МЛН
EPISODE; 48 NI NABII GANI ALIYELELEWA NA ADUI YAKE
17:36
Kishki Online TV
Рет қаралды 24 М.
KIKONGWE (( EPISODE 02 ))
19:41
DOKO
Рет қаралды 178 М.